YESU AMEONA MACHOZI YAKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 29

  • @RahmaMrita-et1ez
    @RahmaMrita-et1ez 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ee Bwana Yesu fichua na maisha yangu, masomo yangu pamoja na ndoto zangu zitimie 🙏🙏🙏🙏

  • @GraceJohn-po8yr
    @GraceJohn-po8yr 5 หลายเดือนก่อน +1

    Fichua na kwang yesu

  • @RahmaMrita-et1ez
    @RahmaMrita-et1ez 4 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu atukuzwe ,naomba kuuliza mbona channel ya redio singida haishiki

  • @اسامةالعبدالواحد
    @اسامةالعبدالواحد 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu nikumbuka nisifukuzwe kw job yngu nitetee nko miguuni mwako Ee Mungu wa Ibrahimu

  • @augustinemsengi5867
    @augustinemsengi5867 2 หลายเดือนก่อน

    Fichua YESU wa ngomeni watesi wote wakate motooooooo

  • @ashuramachinja
    @ashuramachinja 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba fichua na kwangu yesu

  • @niyiesther6571
    @niyiesther6571 7 หลายเดือนก่อน +2

    YESU KRISTO wa NGOMENI fichuwa na kwangu

  • @jenniferlopezy3644
    @jenniferlopezy3644 7 หลายเดือนก่อน +3

    Yesu fichua na kwangu

  • @KristinaPatrick-x8g
    @KristinaPatrick-x8g 5 หลายเดือนก่อน

    Yes fichua nakwangu nafamilia yangu

  • @omarirubase-qi8ok
    @omarirubase-qi8ok 7 หลายเดือนก่อน +2

    bwana yesu na mungu mkuu nakuomba uiweke juu zaid ngome ya yesu cristo alio hai ilipo kimara temboni mlinde na mtunze baba yangu wa kiroho kuhani na mwalimu musa richard mwacha adumu adumu adumu sana

  • @richarddaniel411
    @richarddaniel411 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wangu nisaidia na mimi

  • @RabieGerard
    @RabieGerard 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu nione na mimi 😢😢😢😢

  • @jenniferlopezy3644
    @jenniferlopezy3644 7 หลายเดือนก่อน

    Naomba na mm Mungu unifichulie maisha yangu

  • @ElizaMolle
    @ElizaMolle 7 หลายเดือนก่อน

    Baba nawomba ufichuwe na Mimi nijuwe anaye nifatiliya maisha yangu

  • @KanyereMavale
    @KanyereMavale 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu naomba nami unisaidie matatizo nimengi.naishi drc samahani sana naomba namba ya mutumishi namiye aniombeye.

  • @saitawilson7307
    @saitawilson7307 7 หลายเดือนก่อน +1

    Aminaa kubwaa

  • @SarhKinia
    @SarhKinia 7 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi naomba maombi nko na shida

  • @jovitasilasi-zz4hu
    @jovitasilasi-zz4hu 7 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba MUNGU wa madhabau ya ngome ya YESU kristo unisaidie na mimi na wanangu wote

  • @saimonyona5036
    @saimonyona5036 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba uniombee

  • @EladiSamu
    @EladiSamu 5 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wamungu unisaidie hata mm idavida

  • @stanleymwaselela1849
    @stanleymwaselela1849 7 หลายเดือนก่อน +1

    Jitu la mbinguni

  • @saimonyona5036
    @saimonyona5036 6 หลายเดือนก่อน

    Fichua nakwangu

  • @Denice-so4ix
    @Denice-so4ix 7 หลายเดือนก่อน

    Amina kubwa

  • @princemozes9923
    @princemozes9923 หลายเดือนก่อน

    👍👍👍👍

  • @FrumenceBoniphaceMasero
    @FrumenceBoniphaceMasero 5 หลายเดือนก่อน

    Baba lao fichua

  • @SarhKinia
    @SarhKinia 7 หลายเดือนก่อน

    Pia mm anione na shida zangu nlizo nazo

  • @EmanuelAntapa
    @EmanuelAntapa 7 หลายเดือนก่อน

    Aiseee

  • @sephaniatlemai3552
    @sephaniatlemai3552 6 หลายเดือนก่อน

    Utapeli huo

  • @CatherineMkuu
    @CatherineMkuu 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hosanna