Daa! Hii clip imenifunza Kitu wakati wa uhai wake alikuwa na marafiki wengi Sana na wanapesa ila wanao msitili ni hawa masikini ambao hawajui hata bei ya whisky wala Ferrari ila wale wavaa suti na mabilionea wenzake waliishia kumchafua kwa anasa za pombe Kali nakujiondokea zao. Mungu naomba nijalie moyo wa kutobagua tabaka lolote kwenye jamii yangu.
Pesaaa aiziki mtuu aisee hataa uwe na pesaa vipii watakao kuja kukuchimbia nyumba yako ya milele ni walalaoi ambao kipindi cha uwahi wako ulikuwa unawaona kama vile taka taka aiseee Mungu aniepushiee hiyo dharau
Kumcha Mungu ni jambo la maana sana ata ukifa unakwenda mahali salama, ila shetani huwa anatupeleka kwenye kuwekeza vitu vya ulimwengu na mwisho kifo kinakuja ghafla na kwenda mahali pabaya.tujali sana roho zetu ziwe na uhusiano mzuri na Mungu.
Kabisa Edward maana.hata hapo wanaomstil n masikin sijaona wale wavaa nguo.nyeupe.na mashampen kama walivyoahid Kifo n Siri tuish kwa.kuthaminiana kwa hali yyte ile
Amen 🙏🏾 ni kweli kabisa hapa Duniani tunapita tu. Na hata mali tulizo nazo ni mali ya mungu tunapaswa kuhudumia wahitaji pia kwakilichopitia katika mikono yetu.
Kifo ni mwisho wa maarifa yote ya hapa duniani, Haijalishi ulifannya nin, ulikuwa nan na umeacha nini.. Jamani eeh.. Mungu kwanza. Nakupenda Sana wimbo wa Bushoke, dunia tunapita
Dunia na mambo yote yatapita neno la Mungu litasimama unaeringa kwa ajili ya cheo au kazi mbona huyu kazikwa na watu wa kawaida tu jitafakari wewe matajiri watafukia kaburi lako au ni watu wakawaida amen
Lafiki zake malehemu wenye pesa wamekaambali mbali hawataki vumbi wanao fukia kabuli ni maskini ambao hawakuwahi hata kumshika mkono enzi za uhai wake 🤨🤨
Kazikwa na watu wasiokuwa na hela, watu walevi wa kawaida tu ambao labda katika uai wake hawangefika ata karibu naye, na ata kaburi lake halijawekwa plaster kama tulivyotarajia azikwe kifalme kulingana na uwezo wake mkubwa kifedha. Marafiki wake wa starehe wamo ndani wakinywa na ku party. Mungu tujalie mwisho mwema
Tafuta kwanza hekima ya Mungu ukishaipata omba mali, hii ni sababu mali isikutawale bali hekima ya Mungu ndio ikutawale !! Ukitafuta mali bila kuwa na hekima ya Mungu hapo ndipo huibuka maswali mengi !!! Suleiman alikuwa tajiri lakini aliomba hekima kwanza kabla ya mali !!! Lets focus to God because He is the provider of everything, make Him first and He will consider you first and He will protect you !!
Kila nafsi itaonja umauti Na kila nafsi itaenda kuchuma ilicho panda, Tumuombe mungu atujaalie mwisho mwema Tuondeke katika hii Dunia hali ya kuwa akiwa radhi nasi🤲🤲
Nimeamin maskini ndo kila kitu hapa duniani ona wanaoshika chepe na kumzika bilionea ndo tunaotimuliwa vumbi mtaani na magari yao mungu atupe mwisho mwema Innshaalah.
Allah alishatuhurumia ndo maana akamlete neno wake kwetu yaani Yesu Kristo, akafa akazikwa na akafufuka siku ya Tatu. Njoo kwa Yesu na hautaogopa kifo kwani mauti imeshindwa ukiwa ndani ya Yesu. Haleluya.
@@maryamkhatau9445 acha hizo bana khatau, unajua kuzaliwa ndani ya dini ni kitu hatari maana unarithi imani za baba yako. Kaa umuombe Mungu akuoneshe ukweli. Yesu ndiye njia, kweli na uzima. Usikubali kurithi tu imani na ukakubaliana nayo.
Mm nilifiliri hilo kaburi lake litakuwa kama mfano wa kaburi la mkapa, kumbe kazikwa kawaida tu, Ama kweli pesa si kitu mbele ya kifo, alikua analala kwenye kitanda chenye thamani yake lkn leo hii kaenda kuulalia udongo, Yaa Allah tujaalie mwisho mwema viumbe wako.
wachimba kaburi ni watu wa kawaida sanaaa wale hunaona awafai urafiki na ww.ila marafiki zako kipenz watajitenga mbali ili vumbi lisi wachafue *Ukieliwa kifo utayaelewa maisha*
Dunia ni starehe ya kuondoka upesi na ahera ndiio itabaki milele Mari zisidudanganyee tukajiona tutakaaaa milele na afyaa isitudanganyeeee ,,,,,,sasa anaanza maishaaa ya kabulini mpaka kiamaaa ,,,usiku wa kwanza kabulinii
Kwenye parties alikuwa ana henda na matajiri wenzake; ila kwenye kaburi lake au nyumba ake ya milele wanao lichimba ni maskini wanao kosa ata Bando ambao haku wai kuwaita kwenye party zake.. R.I.P 😭😭😭😭
Ukiona mtu anazikwa heshima zote na nguvu zote ujue kanisani alikuwa muumini mzuri maaskofu huwa wanasema jamani tumjengee kaburi muumini mwezetu lakini unakuta hajawahi kulanyanga kanisani Amezikwa na wahuni bora dada yake angekondisha watu wajenge kaburi lake yaani
Daaa umesema kweli sana ndugu.Mungu hutuweka mahali tulipojichagulia kutokana na jinsi tulivyoishi hapa duniani. Inabidi mapadre na mashehe waige huu msemo.
khaaaaa!! yan na umaarufu wote huo anazikikwa na kurudhiwa vumbi kienyeji vile!!!! nlidhan atashushwa kaburin kisasa na mitambo maalum du! mungu atupe kujitambua wakat wa uhai wetu tukumbke kumcha!
Hayo ndiyo mazishi ya aibu ya billionea kuzikwa na vijana wahuni na wavuta bangi. Ama kweli thamani yako iko ktk uhai na uzima wako na si baada ya kufa.
@@mabyserolouchcraig2431 Mtindo au muonekano wa tukio hilo, utulivu na nidhamu ya watu wanaoshiriki kuhifadhi au kuustiri mwili wa marehemu, mazingira na watu ndiyo sababu yangu kuyaona kama mazishi ya aibu, lakini vinginevyo bado haiwezekani watu wa aina hiyo pekee kuwa sehemu ya watu aliyowasaidia kwasababu wanaoonekana kufanya shughuli hiyo ni kundi la vijana wahuni na pengine walevi na wabwia madawa ya kulevya. Nisamehe ikiwa kwa mtazamo na tafasiri yangu inakwenda kinyume na ww.🙏🙏
🙆♀️🙆♀️🙆♀️ yaani mtu akifa anasahaulika haraka ivo walecwa champagne wako wapi ama hawataki kuchafuka na udongo?kaa vizuri na watu wenu na wanakijiji ndo watakuzika....🤔🤔🤔🙄🙄🙄🙄🙄
Kama Mungu akiwa ndio chaguo lako la kwanza dunia na fahari zake hazitokutawala, bali wewe ndio utaweza kuvitawala kwa msaada wa Mungu !! Usikubali mwili ndio uiendeshe nafsi yako !! Maana mwili uozao huidanganya nafsi isiyooza ikahukumiwa katika uchungu !!
Ya allahu biha ya allahu biha bihusnul hatma yaa Allah jaarni minal swahilina wa jaarni minal mutatwahirina wa jaarni fii ibadika swalihina amiiin ya allah
Matajiri muwapende masikini ndo tunaowazika matajiri wenzenu wanashangaa tu ata kushila chepeo no.... Sio mnajifany all white party nkija na Bicycle yng mnanizuia kuingia tutawarushia makokoto.... Tujifunze kupendana jmn
Kipo cha kujiifunzaa Hakika duniani tumekuja km tulivyo na tutaondoka km tulivyo kuja Ukiangalia Hawa wanao mzika ni malofa km mm yaan maskini naiman wamelipwa ili wamfukie kwa pesa yake mwenyewe akuna tajili alie shika chepe hii ina maana tusi dhalaulianee Mungu tujalie mwisho mwemaa
Dah! Kweli kufa ni hatari ,marafiki wana shindwa hata kusubiri lufukiwe???hata ndugu wame waachia fukara wenzangu hiyo kazi ya udongo ,wao wanarudi kukaa kwenye viti vizuri alivo nunua marehemu,mna shindwa japo kusubiri tu mchakato wa kufukia uishe ,kweli maisha nime ya elewa tena n'a tena, kwa ustarabu huu hamna atakaye pita hapa baada ya mwaka mmoja
Nimejifuza kitu Kikubwa Sana kupitia Msiba huu usimzarau mtu leo kazikwa na watu ambao pengine ezi za uhai wake walionekana si chochote Mungu naomba hekima yako🙏🙏
Huwa najisemea mwenyewe, Sasa mm ninafaida gani yakua tajir halafu masikin wanateseka , ewe mwenyezimungu nakuomba usinijaalie kuwa tajir ikiwa sinamoyo wakuwasaidia wanyonge
Nimejifunza tujitahidi kuishi na watu vizuriii,maana ukifa huwezi jua ninan atakaye kuzika,bilionea leo anatupiwa mchanga hata na mtu ambaye alishindwa kumsaidia maji ya kunywa😭😭rip ginimbi mbele yako nyuma yetu
Hapo ndo ukifikiria sana utajili unaona auna maana jumba lote kaliachq na alijamsaidia kitu kaenda kulala sehemu ambayo hata laki aifiki binadamu tujitahidi kuwekeza zaidi kwq mungu kuliko duniani huyu shetani anatundanfanya tukifa anatukimbia tunabaki wenyewe na mungu wetu
Masela kitaa ni watu wa kuwaheshimu sana ndo wanaoshika chepe kutufukia marafiki zetu wenye hela zao ht hawasogei ndo kwanza watajiziba pua kukwepa vumbi
Waliishia kumwagia pombe jeneza lake kisha wakaacha kumalizia kumstiri wameenda fanya party anakuja zikwa na masikini kweli utajiri una thamani nikiwa hai, 😭wingi wote ulio nyuma pale hata kushika chepe Inna lillah waina lillah rajiun
Matajairi wanapaswa sana kuwaheshimu watu wasiokuwa na pesa kwan wao ndiyo huwaweka katika pumziko la milele, hakuna tajiri wala kiongozi wa serikali ambaye huchimba wala kufukia kaburi la tajiri ama kiongozi bali masikini ndiyo hufanya shughuli hizo
Lazima itumie pesa ukiwa hai ata kama ni zako kidogo kwa ivyo kama alipata zake nyingi hiyo ni bidii ya maisha yake kuzikwa ki kule Kule tu kila mtu ataacha ata mimi..kama nalalia gunia nitaliacha niingie mchangani na kama yeye alilala kwa 6by 6 bado analala mchangani..cha muhimu ni uishi vizuri Fanya kazi kwa bidii tengeneza hela zako muogope mungu na ujue kifo ni cha kila mtu
Anaye kuzika siku zote nimaskini nomeamini kuwa hata uwe na marafiki wazuli kiasi gani siku yakuzikwa kwako hata odongo hawatashika kuhofia kuchafuka ila maskini hatojali atajitowa kuchafuka yeye ili akustili
Daa! Hii clip imenifunza Kitu wakati wa uhai wake alikuwa na marafiki wengi Sana na wanapesa ila wanao msitili ni hawa masikini ambao hawajui hata bei ya whisky wala Ferrari ila wale wavaa suti na mabilionea wenzake waliishia kumchafua kwa anasa za pombe Kali nakujiondokea zao. Mungu naomba nijalie moyo wa kutobagua tabaka lolote kwenye jamii yangu.
Ni kweli umeona tajiri hpo ameshka chepe hmna mungu tupe kujielewa na kutobaguana amen zaidi tukutumikie tukuche na kuacha maovu
Kweli kabisaaa
Mim mpk nimelia kiukwwli
Umeona eeh
Alikuwa havagui na anafanya charities maisha yake yote. Hao wanaomfukia hapo ni miongoni mwa waliokuwa wakisaidiwa naye
Masikini alikua ana lala ndani kwenye kitanda cha fahari leo ana lala chini allah atupe mwisho wa kheri inshallah
amin
Ksbisa atupe mwisho mwema pesa zote zile wanamxika na mchanga bila kuweka mfuniko wa cement mungu mkubws
Aisha Arusha. Inshallah
Mmmm kifo kina Tisha my MUNGU ATUJALIE MWISHO MWEMA
Amiin yaa Rabbi
Pesaaa aiziki mtuu aisee hataa uwe na pesaa vipii watakao kuja kukuchimbia nyumba yako ya milele ni walalaoi ambao kipindi cha uwahi wako ulikuwa unawaona kama vile taka taka aiseee Mungu aniepushiee hiyo dharau
Kumcha Mungu ni jambo la maana sana ata ukifa unakwenda mahali salama, ila shetani huwa anatupeleka kwenye kuwekeza vitu vya ulimwengu na mwisho kifo kinakuja ghafla na kwenda mahali pabaya.tujali sana roho zetu ziwe na uhusiano mzuri na Mungu.
Amen
Kabisa Edward maana.hata hapo wanaomstil n masikin sijaona wale wavaa nguo.nyeupe.na mashampen kama walivyoahid Kifo n Siri tuish kwa.kuthaminiana kwa hali yyte ile
Amin thuma Amin
Amen 🙏🏾 ni kweli kabisa hapa Duniani tunapita tu. Na hata mali tulizo nazo ni mali ya mungu tunapaswa kuhudumia wahitaji pia kwakilichopitia katika mikono yetu.
Kifo ni mwisho wa maarifa yote ya hapa duniani, Haijalishi ulifannya nin, ulikuwa nan na umeacha nini.. Jamani eeh.. Mungu kwanza.
Nakupenda Sana wimbo wa Bushoke, dunia tunapita
Kweli 2nataftaga pesa za bureee tuu...mwsho we2 ni udongo mungu a2jaalie mwisho mwema tuu na waliotangulia awapunguzie adabu za kaburi🙏🙏🙏
Mungu wangu Muumba mbingu na nchi na vyote vnavyoonekana na visivyoonekana,, naomba unipe moyo wa huruma na unijalie kifo chema
Na mwisho mwema amiin
Amina
Dunia na mambo yote yatapita neno la Mungu litasimama unaeringa kwa ajili ya cheo au kazi mbona huyu kazikwa na watu wa kawaida tu jitafakari wewe matajiri watafukia kaburi lako au ni watu wakawaida amen
Wachimba kaburi na wafukiaji ni masikini wale rafiki zake vishua wanafanya party 🙁
Hii imeniongezea uelewa wa maisha 🙏🏼
Lafiki zake malehemu wenye pesa wamekaambali mbali hawataki vumbi wanao fukia kabuli ni maskini ambao hawakuwahi hata kumshika mkono enzi za uhai wake 🤨🤨
Marafiki wako mbali kabisa
nmeelewa kama ulivo elewa wewe mkuu
@@justinpeter7040 ni tatizo sana
@@braidenmuziki8652 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Kazikwa na watu wasiokuwa na hela, watu walevi wa kawaida tu ambao labda katika uai wake hawangefika ata karibu naye, na ata kaburi lake halijawekwa plaster kama tulivyotarajia azikwe kifalme kulingana na uwezo wake mkubwa kifedha. Marafiki wake wa starehe wamo ndani wakinywa na ku party. Mungu tujalie mwisho mwema
Kifo kifo kifo🙌🤲ALAH TUJALIE HATMA NJEMA YARABIALAMIN
Amiin yarabil-allamiin
Tafuta kwanza hekima ya Mungu ukishaipata omba mali, hii ni sababu mali isikutawale bali hekima ya Mungu ndio ikutawale !! Ukitafuta mali bila kuwa na hekima ya Mungu hapo ndipo huibuka maswali mengi !!! Suleiman alikuwa tajiri lakini aliomba hekima kwanza kabla ya mali !!! Lets focus to God because He is the provider of everything, make Him first and He will consider you first and He will protect you !!
Pesa haiwezi kukuzika fanya yote ila usije ukamzalau binadamu mwenzako 🙏🙏
Kila nafsi itaonja umauti
Na kila nafsi itaenda kuchuma ilicho panda, Tumuombe mungu atujaalie mwisho mwema
Tuondeke katika hii Dunia hali ya kuwa akiwa radhi nasi🤲🤲
Ameen shukran jazaakallah kheir
Amjn
Ameen thumma ameen
Amin
Amin thuma Amin
Nimeamin maskini ndo kila kitu hapa duniani ona wanaoshika chepe na kumzika bilionea ndo tunaotimuliwa vumbi mtaani na magari yao mungu atupe mwisho mwema Innshaalah.
si kweli
LA ILLAHA ILA LLAH, kaburi ndio mwisho wa majivuno
Niliowakosea wote wanisamehe maana sijui kesho yangu,kuna kitu nimejifunza hapa kwenye clip hii,,,Mungu nijalie mwisho mema.
😭😭😭
Huu ndio mwisho wa kila mwanaadamu hakuna tajiri wala masikini njia ni moja tu. Mola amsamehe makosa yake ampe malazi mema Ameen.
Kwa kweli kifo ndio mwisho wa mambo yote uwe masikini uwe tajiri ila njia yetu ni moja Ila tunatofautiana ck ya kutangulia .R.I.P Ginimbi.
Inna lillahi wa inna ilaiyhi rajiun
Ashes to ashes,dust to dust. Mungu atujaalie mwisho mwema.
Ameen
Amiin
Aimeen
Ameen
🙏
Leoo hiii wanao mzika jamaa ni walala hoi kabisa marafiki zakee wamekaa pembeni wanakunyaa pombeee
Msiba ni SoMo Leo kafukiwa yeye kesho mie au weye tujiandae ndugu zangu😭😭😭😭😭 najivutia picha siku yangu ikifika Allah tuhurumie waja wako
Allah alishatuhurumia ndo maana akamlete neno wake kwetu yaani Yesu Kristo, akafa akazikwa na akafufuka siku ya Tatu. Njoo kwa Yesu na hautaogopa kifo kwani mauti imeshindwa ukiwa ndani ya Yesu. Haleluya.
@@melkizedekanthony4151 amini Imani yako na Mimi nabaki na kwangu huyo kwako ni yesu kwangu Mimi ni nibii Issa as daima utalipa kwa dhambi zako
@@maryamkhatau9445 acha hizo bana khatau, unajua kuzaliwa ndani ya dini ni kitu hatari maana unarithi imani za baba yako. Kaa umuombe Mungu akuoneshe ukweli. Yesu ndiye njia, kweli na uzima. Usikubali kurithi tu imani na ukakubaliana nayo.
Mm nilifiliri hilo kaburi lake litakuwa kama mfano wa kaburi la mkapa, kumbe kazikwa kawaida tu, Ama kweli pesa si kitu mbele ya kifo, alikua analala kwenye kitanda chenye thamani yake lkn leo hii kaenda kuulalia udongo, Yaa Allah tujaalie mwisho mwema viumbe wako.
Kwa Mungu sio kwa mzungu hakuna atakacho zikwa nacho mwanadamu ila jeneza to na sanda tuwache viburi maisha mafupi
Dah kifo bwana eti Huwo udongo wote amefukiwa bilionea lakini leo ameacha kila kitu na amelala kwenye udongo hakuna taa wala kitanda wala AC hakuna
Duh sijawai ona bilionea anafukiwa na udongo matajir tu wajaengewa yeye naona atajengewa kwajuu
Ni kweli
QAg b
Kwani wewe ukizikwa utaenda kupepewa na kipepeo kaburini hiyo ni njia yetu soote bna
@@dorisjessy5960 wambie dada yangu iyo ni njia tu sisi zote na mungu anajua mengine tusiwe watu wakuhukumu na sisi bado tuko safarini jamani
Sisi wa maskini tuna onewa nawa tajiri awa juwi ya kwamba sisi njo tuna wazikaka tu pige like zetu apa
wachimba kaburi ni watu wa kawaida sanaaa wale hunaona awafai urafiki na ww.ila marafiki zako kipenz watajitenga mbali ili vumbi lisi wachafue *Ukieliwa kifo utayaelewa maisha*
Kabisa ndugu
Tutafute ela tuache kuwasingizia waliofanikiwa ni freemason.
Sure
Kweli kabisa👏🏿👏🏿
Amin
Goodluck Temu....umeongea bonge la point coz watu wanaishi kukariri
Hamna jamaa ni real masonic niliwahi chart nae mwaka flani hivi maisha yalipo yumba sana ila nimtu peace sana rest in peace
Daaah tuishi kwa upendoo na tueshimianeee woteee maan rafki waleo ndoo adui wa keshoo r I p ginimbi
Dunia ni starehe ya kuondoka upesi na ahera ndiio itabaki milele Mari zisidudanganyee tukajiona tutakaaaa milele na afyaa isitudanganyeeee ,,,,,,sasa anaanza maishaaa ya kabulini mpaka kiamaaa ,,,usiku wa kwanza kabulinii
hiv kazikwa kwenye udongo au amepaishwaa angani??
Hii ndio kiboko ya jeuli kifo ni kiboko yao . Mungu atupe mwisho mwema maana kifo kipo mda wowote tu tunatembea nacho
Kwenye parties alikuwa ana henda na matajiri wenzake; ila kwenye kaburi lake au nyumba ake ya milele wanao lichimba ni maskini wanao kosa ata Bando ambao haku wai kuwaita kwenye party zake.. R.I.P 😭😭😭😭
Ukiona mtu anazikwa heshima zote na nguvu zote ujue kanisani alikuwa muumini mzuri maaskofu huwa wanasema jamani tumjengee kaburi muumini mwezetu lakini unakuta hajawahi kulanyanga kanisani Amezikwa na wahuni bora dada yake angekondisha watu wajenge kaburi lake yaani
Pesaa
Nikionaga hivi naona
Mda wowote Nami itakua hivi yarabil tupe mwisho mwema sote tunapita kwenye mlango Wa mauti
Umeona wanaozika wote watu wa hali ya chini na hao mabilionea wako wap ehhhhh mungu tusaidie
Nimepata funzo.Hata tukiwa na fedha nyingi tukumbuke kuwa wote makazi yetu ni udongo ndipo tusubiri hukumu
Ingekua bongo bongo wangejenga kaburi...ila jamaa na hela zake wahuni wanafukia tuu bila hata kujenga duh😥
Umeonae tena wataanza kuzusha kuwa ndiyo masharti yq utajiri wake
Yani angekua ndani ya tiles za kioo
Eti nashangaa masikini ndio wanafukia matajiri wenzie wameondoka pesa zote zile hata kujengea kweli alikuwa freemason
Mungu atukumbuke
Mungu amlaze mahali alipojichagulia.zote tutaonja umauti.jiadaeni roho na mioyo yenu.
Daaa umesema kweli sana ndugu.Mungu hutuweka mahali tulipojichagulia kutokana na jinsi tulivyoishi hapa duniani. Inabidi mapadre na mashehe waige huu msemo.
Kabisa, kila m2 anajichagulia mwenyewe.
@@abbyadams8691 kabsaa na sio eti nkila anaekufa mahali pema peponi.n pahali uliojichaguliaa.
@@myunaniniahmad6463 ukwel uu.
Nimependa hii comment
Tajiri haziki lkn tukumbuke hakuna tajiri bila maskini
khaaaaa!! yan na umaarufu wote huo anazikikwa na kurudhiwa vumbi kienyeji vile!!!! nlidhan atashushwa kaburin kisasa na mitambo maalum du! mungu atupe kujitambua wakat wa uhai wetu tukumbke kumcha!
Matajiri wenzake wapo mbali kwenye magari maskini wenzetu ndio wanaokuzika tujifunze kitu kwnye uhai
Marafiki wako wapi niliskia wangevaa white eti kuenzi uhai wake.Best frnd n muumba wetu kwakwel.kazikwa na watu wachini kabisaa
Hayo ndiyo mazishi ya aibu ya billionea kuzikwa na vijana wahuni na wavuta bangi. Ama kweli thamani yako iko ktk uhai na uzima wako na si baada ya kufa.
Sio mazishi ya aibu hawa ni miongoni mwa wale alowasaidia
@@mabyserolouchcraig2431 Mtindo au muonekano wa tukio hilo, utulivu na nidhamu ya watu wanaoshiriki kuhifadhi au kuustiri mwili wa marehemu, mazingira na watu ndiyo sababu yangu kuyaona kama mazishi ya aibu, lakini vinginevyo bado haiwezekani watu wa aina hiyo pekee kuwa sehemu ya watu aliyowasaidia kwasababu wanaoonekana kufanya shughuli hiyo ni kundi la vijana wahuni na pengine walevi na wabwia madawa ya kulevya. Nisamehe ikiwa kwa mtazamo na tafasiri yangu inakwenda kinyume na ww.🙏🙏
Mwenyezi mungu akulaze unapo stahili
Hao matajili wenzake mbona hawaonekani wanamzika masiki jamani hata kujengeya tu kaburi imeshindikana mungu tupe mwisho mwema katika hii duniya🙏🙏
Watu wange jua maskini ndio watakuzika ukifa wasingekua waki watimulia mbali nyakati za sherehe. Tajiri gani akashike jembe
th-cam.com/video/ZEcMHHMxjms/w-d-xo.html
Kweli kabisa yaan daah mpka huruma,yule ambae umdhanii ndie atabeb koleo na jembe kufukia mchna,ila yote memaa
@@happyjohn5882 mmm mhhhhhh ndugu we acha tu hapo ndipo tunasemaga acha mungu aitwe mungu
Yan umeongea kitu cha maana sana nichokuwa nakifikiria wakati nangalia hi video apa dah
Mwenyewe nliangalia nkawaza hivi hivi,
Kweli mwanadamu ni mavumbi,na mavumbi tutarejea.Mwisho wa safari yako ni Mungu pekee anajua.
Kifo bn Leo unqlala nje kwa mchanga unaacha jumba na samanizote ndani
🙆♀️🙆♀️🙆♀️ yaani mtu akifa anasahaulika haraka ivo walecwa champagne wako wapi ama hawataki kuchafuka na udongo?kaa vizuri na watu wenu na wanakijiji ndo watakuzika....🤔🤔🤔🙄🙄🙄🙄🙄
Wale mabos wenzie hawashiki chepe wanakimbiavumbi maisha hayaaa, mungu amlaze mahali pema peponi
Wenye kuzika wamelewa top 😔😔😔
Magari yte yle ata funguo wa gari ajaachiwa vyooote kaacha ,kifoniukumbusho mkubwa kwa mwenyekukumbk
Ivi kweli iyo magari itawashwa na funguo gan
Wenye hawani pesa ndo wanamfinika tusidharau maskini
MBNA sijaona watu walovaa nguo nyeupe..utaringaa wee mwisho wake kufunikwa dongo TU🙄🙄🙄🙄
Kama Mungu akiwa ndio chaguo lako la kwanza dunia na fahari zake hazitokutawala, bali wewe ndio utaweza kuvitawala kwa msaada wa Mungu !! Usikubali mwili ndio uiendeshe nafsi yako !! Maana mwili uozao huidanganya nafsi isiyooza ikahukumiwa katika uchungu !!
Daah! Hata ufanye nn apa chini ndo mwishi wake kibaya zaid hatujua mda wala saa😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Dah Aiseee kweli binadamu tunapita kalinga na pesa mali majumba ya kifahari vyote kaviyacha wanandugu tufanye ibada
Ya allahu biha ya allahu biha bihusnul hatma yaa Allah jaarni minal swahilina wa jaarni minal mutatwahirina wa jaarni fii ibadika swalihina amiiin ya allah
Kifo Nouma pamoja na utajiri wote wanaoshika chepe kumzika ni maskini tu matajiri wao ni kuaga tu.
Masela wanarusha chepe tuu😂😂😂😂
Mnajisikiaje kutudanganya atazikwa na gunia la pesa?
Naangalia wanao mzika yani ni watu wakawaida tu sioni tajir alieshika koleo hapo, daaah ila siyo poa
A i p mbele yake nyuma yetu mungu aipumzishe roho yake maali pema
Msela anazikwa na masela, dunia mapito na haina chochote
Matajiri muwapende masikini ndo tunaowazika matajiri wenzenu wanashangaa tu ata kushila chepeo no....
Sio mnajifany all white party nkija na Bicycle yng mnanizuia kuingia tutawarushia makokoto....
Tujifunze kupendana jmn
Kipo cha kujiifunzaa Hakika duniani tumekuja km tulivyo na tutaondoka km tulivyo kuja
Ukiangalia Hawa wanao mzika ni malofa km mm yaan maskini naiman wamelipwa ili wamfukie kwa pesa yake mwenyewe akuna tajili alie shika chepe hii ina maana tusi dhalaulianee Mungu tujalie mwisho mwemaa
Mungu azid kupewa sifa mana hachagui tajir wala maskini wote tunakufa tu
Dah! Kweli kufa ni hatari ,marafiki wana shindwa hata kusubiri lufukiwe???hata ndugu wame waachia fukara wenzangu hiyo kazi ya udongo ,wao wanarudi kukaa kwenye viti vizuri alivo nunua marehemu,mna shindwa japo kusubiri tu mchakato wa kufukia uishe ,kweli maisha nime ya elewa tena n'a tena, kwa ustarabu huu hamna atakaye pita hapa baada ya mwaka mmoja
DUNIA NI MAPITO AN MWENYE AKILI HUZINGATIA WANAO MZIKA WENGI NI MASKINI APO
True
Sadakita
Umeonaeee tajili Hana mda wakuchimba kabuli
Yaaan maskini wote peponi
@@husenhamis1173 🙏🙏🙏🙏
Mazishi ya ajabu Sana hta kulijenga kburi hkuna matajiri wenzke hawaonekni kburi linafukiwa majbu hya 😂😂😂
Yn Habra ndo imeisha na wenda washaenda hawana mali zake uko na kuxifivha kbs
Kaujenzi nini?
siku zote masikini huwa wadharauliwa lakini bila kukumbuka kuwa ndyo wazikaji watakao kuzika
Nimejifuza kitu Kikubwa Sana kupitia Msiba huu usimzarau mtu leo kazikwa na watu ambao pengine ezi za uhai wake walionekana si chochote Mungu naomba hekima yako🙏🙏
Kuzikwa na mtu yoyote sio issue uwo mwili unaludi mahali pake na roho mahali pake kwahio LA msingi kutengeneza njia zako na Mungu
Nambona kwenye matanga sijawai ona milionears wakishika kijiko tujaza mchanga ...kifo kina Siri... Rip
Jaman bona wanakelele sana ka Wapo sokoni.ee jamanieeeee uislam neema kwakweli
Hayo majinga yanarushiana udongo kwel makubwa jinga
Huwa najisemea mwenyewe, Sasa mm ninafaida gani yakua tajir halafu masikin wanateseka , ewe mwenyezimungu nakuomba usinijaalie kuwa tajir ikiwa sinamoyo wakuwasaidia wanyonge
Muombe Mungu utajiri na moyo wa kusaidia wanyonge. Kwani ufakiri ni nusu ya Ukafiri.
Tunapofanikiwa kupata Mali hatuna budi kuwasaidia maskini,, pamoj na ufahari wote kazikwa na watu Wa chini sana
Hapo ndipo mwisho wa kila kituu hata uwe na pesa vp. Mungu mpe kauli thabiti mja wako
Hizo pesa bora wangesaidia yatima Na vikongwe kuliko kuzfukia kwa Mumgu hakuna matumiz ya pesa 🙄🙄huko ni amali zako ty
Nimejifunza tujitahidi kuishi na watu vizuriii,maana ukifa huwezi jua ninan atakaye kuzika,bilionea leo anatupiwa mchanga hata na mtu ambaye alishindwa kumsaidia maji ya kunywa😭😭rip ginimbi mbele yako nyuma yetu
Hapo ndo ukifikiria sana utajili unaona auna maana jumba lote kaliachq na alijamsaidia kitu kaenda kulala sehemu ambayo hata laki aifiki binadamu tujitahidi kuwekeza zaidi kwq mungu kuliko duniani huyu shetani anatundanfanya tukifa anatukimbia tunabaki wenyewe na mungu wetu
Masikini ndo wanakazi ya kuchimba na kufukia Ila matajiri wao wanaonekana kwenye shampeni tu! Ama kweli chiz so lazima avue nguo!
dunia ni mapito na kila mtu atapita.hakuna anayejua mipango ya Mungu.hata hivyo hizi ndo siku za mwjsho
Sasa mbona hawajamwekea slab jamani pesa yote munashindwa na kujengea kaburi zuri na kueka slab hamna
Ndo mjue ukivaa suti hamna rafiki anayekuzunguka atashika spade kukusitiri ni wale unaowafungia vioo mtaani
Matajili wapo wakula biriani. masikini wamzika bilionea kazikwa kama paka alidokoa mnofu
Matajiri waheshimuni masikini maana hao ndio wa kuwazika ..hapo sijaona Tajiri ht mmoja akirusha mchanga
Masela kitaa ni watu wa kuwaheshimu sana ndo wanaoshika chepe kutufukia marafiki zetu wenye hela zao ht hawasogei ndo kwanza watajiziba pua kukwepa vumbi
Kaacha mke na watoto?
Waliishia kumwagia pombe jeneza lake kisha wakaacha kumalizia kumstiri wameenda fanya party anakuja zikwa na masikini kweli utajiri una thamani nikiwa hai, 😭wingi wote ulio nyuma pale hata kushika chepe
Inna lillah waina lillah rajiun
Kaondoka mtume nasi pia tutaondoka hata uwe tajiri vp huwezi nunua roho kullu nafsi thalikatul maut
Mmmmmmmm itakuwa sio kweli pesa zote hizo azikwe kwenye kabur la hivyo hata watu hapo hakuna na hilo gunia la pesa c litatolewa hiii bado cjaamin
Matajairi wanapaswa sana kuwaheshimu watu wasiokuwa na pesa kwan wao ndiyo huwaweka katika pumziko la milele, hakuna tajiri wala kiongozi wa serikali ambaye huchimba wala kufukia kaburi la tajiri ama kiongozi bali masikini ndiyo hufanya shughuli hizo
Mi ni kwel kafukiwa na matope ivo?
Imeisha iyooo
Kifo kiboko haktakagi ujinga hata uwe na pesa nyng vp huwez kutoa rushwa usife
Ukielewa kifo umejua maisha Sasa malafiki zake waliokua wanakula bata wamekaa mbli wanaogopa vumbi wanaozika masela wakitaa t
Hao wanaozika wenyew wamelewa,duuh
Kumbe hata uwe pesa vipj utazikwa na masikini duuuuu sikujua
Jeneza na uzuri woote ule mwishowe matope na history imeishia hapo no gunia la fedha cz ni za serikali ukifa unabiacha
😂😂😂😂Dah
Just wait for your turn my friend
Kweli kabisa