Mashaallah tabaraka Rahman Mwenye enzi Mungu akuzidishie kheri na baraka akuhifadhi akupe maisha marefu uzidi kuendlea na kuitangaza dini ya Mwenye enzi Mungu
Mashaallah, mashaallah, mashaallah. Swadakta:umesema kweli Sheikh Othman Khamis. Baada ya WAZAZI WAWILI,tunapaswa kuwapenda WAKE zetu zaidi na zaidi ili
daa urijuwaje she he wanaume sikuizi ata umpe mamilioni atamki asante mungu awahidi ndio maana ndowa hazidumu wanaume hawana shukran wanaume allah awahidi
hakuna maelekezo ya dini ambayo inasema kwamba si lazima kumfulia nguo huu ni upotofu kabisa . bora aseme asaidiwe . au kuna dalili hata moja ambayo mtume alifua nguo. Kuna mambo ambayo ni wajibu mwanamke na kuna mambo ambayo akifanya ihsani. kuna mambo ambayo mwanaume ni wajibu na mengine ni ihsani.
Umesema mengi mazuri ila moja (kazi za nyumbani), kumsaidia mke ni sunnah kwa mwanamume sawa, swali ni nani mwenye kazi? mwenyekusaidia au anae saidiwa? kama kazi za nyumbani kama sio za wanawake niza nani? maana hata wanaume zio zao wala hatukuamrishwa kuwa ni zetu ila imependekezwa kusaidia.
SHEKH SAHIHI
WAMBIE WANANDOWA.BOSI WANDOWA ZETU.NI ALLAH SUBHANA TU.
PIA WEKENI DARSA LANDOWA KABLA YANDWA HIZI❤
Mashaaallah shekh mawaidha yako mzr Allah azidi kukupa umri uzidi kuelimisha jamii ya islam. Allah akubariq
Sahih sheikh...Dua zako ustadh nami Allah anipe ndoa yenye kheir. 😭ALHAMDULILLAH ALAA KULLI HAALI
Ameen
MashaAllah TabarakaAllah. Is very true and inspiring speech to the MEN.
Omar Jeylani
Masha Allah shukran jazeelan somo zuri sana
Mashaallah tabaraka Rahman Mwenye enzi Mungu akuzidishie kheri na baraka akuhifadhi akupe maisha marefu uzidi kuendlea na kuitangaza dini ya Mwenye enzi Mungu
Maashallah allah anijalie mume mwema ❤❤🤲🤲🤲🤲
Shukuran Sana asante Kwa kutufundisha jadhaka-allahu lheir
Shukran Jazeelan jazak Allah khayri 🌺
MASHA ALLAH hadiraha
Mashaallah, mashaallah, mashaallah. Swadakta:umesema kweli Sheikh Othman Khamis. Baada ya WAZAZI WAWILI,tunapaswa kuwapenda WAKE zetu zaidi na zaidi ili
mashalha alha akujalie maisha mema hapa duniani nakesho ahera akupe jannatu nnaim kwamafunzo mema ulio towa iwe nisadaka kwako ewe baba yangu
Maa shaa allha allha akukhifazi
Tabarakallah ustadh nashkuru kwa hutba nzuri Allah anijalie ndoa ilokua njema nayakudumu inshaallah
MashaAllaah darsa zuri sanaa
Allah awajaze Neema waume wote wawe wenye kutekeleza hao manbo. JazakaAllaah kheyran
Assalamu alaykum
Sheikh mada ni nzuri sana
Alhamdulillah mungu akuzidishie nuru uelimishe umma wanandoa
Mashaalla Alla akulipe kher kwa kukumbusha waislamu hususan wanaume na jamaa za wanaume ambao wanayaona mageni haya
MashaAllah TabarakaRahman jazakallah kheir Inshaaallah
Naomba Mungu niolewe na mume mwema anijali nimjali nitamuheshimu lnshaAllah
Rehema Ahamadi Ahmadi kama unasema kweli basi itakuwa kheri
@@hassanjuma2677 Niko serious lnshaAllah
Rehema Ahamadi Ahmadi nami natafuta mke mwenye fikra nzr kama zako, lnshaallah
@@hassanjuma2677 Nami nakuombea Dua lnshaAllah Mungu apokee
@likoni tv hahaha simjui hanijui
Shukran Allah akulipe kila LA kheri
Jazakallahu kher
Man'sha Allah
MashaAllah I love your darsa
Jazakallah kheir
Maashallah mawaidha mazur, Allah akuzidishie kila laher
Ameen
Mashallah swadatah
Maaashaaa allah shukran
MashaAllah jadha ka Allah kheir shuq-ran
Hhm
Maasha Allah
Mwenyezi mungu amhifadhi Shekh othuman Imamu wamtoro
Mwenyezi mungu amhifadhi Shekh othuman Imamu wamtoro
jazaakumullah kheir
No zako shekhe .nina shida muhimu na ushauri nataka toka kwako.inshaaallah biidhin allah
Masha allah
Ni kwelii kabisa sheikh
daa urijuwaje she he wanaume sikuizi ata umpe mamilioni atamki asante mungu awahidi ndio maana ndowa hazidumu wanaume hawana shukran wanaume allah awahidi
hakuna maelekezo ya dini ambayo inasema kwamba si lazima kumfulia nguo huu ni upotofu kabisa .
bora aseme asaidiwe .
au kuna dalili hata moja ambayo mtume alifua nguo.
Kuna mambo ambayo ni wajibu mwanamke na kuna mambo ambayo akifanya ihsani.
kuna mambo ambayo mwanaume ni wajibu na mengine ni ihsani.
@@omariselemaniissa1178 fuatilia dini kwa karibu usiwe unatoa kasoro ya maelezo ya shekh bila kuisoma dini
umenigusa sana shekh
ManshaAllah
Haki Mungu angenpa mume akiwa na mapenz ya dhati tuishi kwa raha bila karah
Jazaka allahu khairan
jazakallahu kahaila
Shukran
masha Allah
Mashaallah
Mashallah shukuran
yaan unachoongea shehe unaongea point nzur San Allah akuongezee maish maref san
Mashhala
maishallah darasa zuri sna
Mafundisho mazuri sana.
saf sanaaaah
Yukowapi anaejua haya maneno jamani. Maana wengine tinaogopa wanaume maana wengine mnh
Kwann waogopa wnaume mbn tyupo
Ila ayo mambo niwa chache wayawezayo
Hassan Waswa Sasa kama mtu hawez ndo uislamu haiwez ndo apo ndoa zinapoharibika maana hatufati sheria
Umesema mengi mazuri ila moja (kazi za nyumbani), kumsaidia mke ni sunnah kwa mwanamume sawa, swali ni nani mwenye kazi? mwenyekusaidia au anae saidiwa? kama kazi za nyumbani kama sio za wanawake niza nani? maana hata wanaume zio zao wala hatukuamrishwa kuwa ni zetu ila imependekezwa kusaidia.
Kazi za nyumbani pia ni jukumu lenu, hatukuamrishwa kidini kufanya kazi za hauz, rasul swa mwenyw alikua akifamya bampa to bamba na wakeze
Mke ni pambo la nyumba, ila wanaume mumegawanya kazi nyie, ila hakuna tatizo ya kazi kufanya wanawake, ila muwathamin na muujue umuhimu wao
@@rahmasaeed1480 kazizanyumbani nijukumu lamume kumfanyia mkewe kamamume anauwezo amuwekee mkewe mfanyakazi wakumsaidia kazizandani kwani mkehahusiki nakazizingine zozote isipokua kutandika kitanda nakujiremba kwaajili yamumewe na ukikuta yukoraf nakitandapia hakijatandikwa unaruhusiwa kumuuliza kulikoni?
Nikweri shekh
Swadacta ya Cheh
Miwanaume mwasikia uko😂
Twasikia labda sheh aongeze saut
Masha Allah
Shukran
Mashaallah
Mashaallah