Subhaanallah sheikh umeliona hilo yaani inasikitisha sana watu waliohifadh qur-aani awapewi heshima yao inavyosatahiki hs hp kwetu Tanzania lkn wenzetu huko Arabuni india mashaa Allah .
Hapa kwetu sisi wenyewe tumejaa hasadi, mtoto akihifadhi Qur'an hachukuwi muda atakuwa hajifahamu kwa hasadi zetu. Tumeombeni Allah atuongoze Sana kwa hilo. Hatupendani Wala hataki kumuona mtu anafanikiwa
@@rukiamohammed5031 km Kuna weekness, kuisema sio kwamba n kupinga Bali n kutaka kustawisha, so n Muhimu kuwa wapole, na kupokea makosa km n sehem ya ubinadamu, hakuna mkamilifu zaidi ya Allah pekee
@@hassansimai1454 Ushauri;1.Usimuulize chochote(Yaani kaa kimya kabisa) 2.Mpe na muoneshe upendo mkubwa zaidi kuliko kabla ya fumanizi.3.Usimueleze mtu yeyote awe ndugu au rafiki au jirani yako kuwa umemfumania mumeo.
ManshaAllah,uko vzr shekh,mungu atupe usikivu mara zote ktk mambo ya dini tukufu ya Allah
MaashaaAllah sheikh umefafanua vizuuri Allah akujalie kilalakheri nduguyangu nakupenda kwa ajili ya Allah
Mashalaa
Hasante sana sheikh wangu unajuwa kutafsir. Barakallahu fiq
Shukran shekhe mungu akupe umri mferu zaid ya huo ulonao Inshallh
Subhaanallah sheikh umeliona hilo yaani inasikitisha sana watu waliohifadh qur-aani awapewi heshima yao inavyosatahiki hs hp kwetu Tanzania lkn wenzetu huko Arabuni india mashaa Allah .
Hapa kwetu sisi wenyewe tumejaa hasadi, mtoto akihifadhi Qur'an hachukuwi muda atakuwa hajifahamu kwa hasadi zetu. Tumeombeni Allah atuongoze Sana kwa hilo. Hatupendani Wala hataki kumuona mtu anafanikiwa
@@mamyomar1241 kweli kabisa Allah atuhifadhi na husda za kila aina
Saimu ALLAH akuwezeshe kwakila jambo lako..akufanyie wepesi ktka rizik zako
maashaallah maashaallah Alhamdullillah kwa nasaha nzuri
Allah akuzidishie kila la kheri kwa kazi kubwa uifanyayo ya kuelemisha umma wa kiislamu.
Amiin
MashaAllah jazakalahu kheri.Allah akuhifadhi akupe umri na Afya uzidi kutuilimisha
Maashallah shekhe Allah akuzidishie
Mashallah nashkru kwahlo
Maashaallah sheikh wetu shukraan jazaka Allahu kher
MashaaAllah Allahu Akbar yan unafafanua vinzuri kiundan kabisa Kheri kwako
MashaAllah sheik khutbah nzuri sana hii,Allah akuhifadhi
Allah akuhifathi na hathabu ya kaburi
Mashallah Jazakallah kheiran in shaa Allah
Maa shaa Allah. Allah akupe afya njema yakuzungumza maneno Allah
MashaAllah akupe maisha marefu
Mashaallah mm nakupenda mpaka peponi
tunawaheshimu sana mashekhe wetu😘😘
AMIN THUMMA AMIN 🙏🙏🙏 kwa sote INSHALLAH
Shukran sheikh wangu, napenda sana gisi unavyo towa sauti yakuskika
Shukran sana kipenzi chetu sheikh Allah akulipe kwa wema wako. Amiyn
Mungu akulipe kwa kutupa elimu
mashallah endelea hivyo hivyo kuelimisha umma wa kiislamu mola atakujaza kila la kheri inshaalah
Jazaka allahu khayra
Barak'allahu fiiQ
Sheikh mjasiri nimempenda mara nimemsikia mara ya kwanza kumsikia anavyomthamini na kumtetea ahlil Qur'an kwa ajili ya ALLAH
Inshallah shekh wetu
Shukran Sheikh wetu mpendwa
Masha allah 💡Jazakallahu khyr
Jazakallah khaira shekhe
Mashaallah.. Allaah akuzdishie Iman
Insha Allah, Allah atupe mazingatio ktk swala🤲🤲🤲🇰🇪
Ahsante saana
جازك الله خيراً.
تقبل الله منا ومنكم
Amiina
Mungu awazidishie umri inshallah
Allah akulipe kila la kher
Umenielewesha kitu cha. Muhimu sana
Jazaka llahu khayr ostadh.
Mashaalah Allah akuhifadhi
Shukrana sana sheikh ytu
Shukran shekhe Allah akupe kila lenye kheri na weye.
Masha allah
Naam tuwahesgimu viongoz wetu wa dini jmn😂
Jazakallah khaira
Shukran jazillah sheikhe 🤲❤
Shukrani sheikh kwa nasaha
ماشالله تبارك ارحمان.جزاك الله خير
Allahu akbru mawaidha mazr sana
Shukrani mada nzuri sana
Mashallah sheikh jazakallah
Mwalimuwangu sh Othman natamani nikuona siku 1 nikusalimiet njoo Zanzibar
BarakazaAllah zikufikie
MaashaAllah
Jazakarau khery
Mashallah tabarakallah
Aamin,AaminAamin mja wa Allah❤❤❤
Mashaalla shekhe Alla ibariki
Mashaallah tabarakallah
Baraka Allah fiiq
Asante ustadh
Jazak lwahuu hailla
God bless you
Ok saf
Nimelewa shehee
Mashallah
Allah akubarik
Masha allah
Jazakallah kheir
Shukurani shekhe mola hakulipe ujira elimu uliyo tupe sisi
Shukran habibi
Manshalla
Shukran jazeelaah
Maashaallah
MashaAllah JazakAllah Khairan
Masha AllAh
Aamin
Amina
Swala yoyote?
Ok
Maa shaa allah
Kweli anayo yaongea kikubwa 2yasikilize na 2yafanyie kazi 2
Dua kwaalie funga kwamwexi waramadhani tu au funga yoyote
Aamiin yaaarrab
Mbona umetoka nje ya mada unatoa maelezo mengi kuhusu kitu tofauti na mada iliyoandikwa hapo juu.
Kuna tatizo gani kutoa maelezo juu ya mada unayotembea nayo ili watu wanaokusikiliza wakuelewe vizuri.
Ww tulia huna ulijualo muachie shekhe wetu km una bando la mawazo Zima data 😌😌
@@rukiamohammed5031 km Kuna weekness, kuisema sio kwamba n kupinga Bali n kutaka kustawisha, so n Muhimu kuwa wapole, na kupokea makosa km n sehem ya ubinadamu, hakuna mkamilifu zaidi ya Allah pekee
Wewe nikiziwi ambaee huskiii tulia tuuuuuuu
@@rukiamohammed5031 Hahaha nacheka kama mazuri vile
Asante
Shukuran
Inshaallah
Shekhe katika swala ya faradhi kwenye sijida unaweza kusoma dua yoyt ile mfano dua za kutatua matatiz.na nyenginez
allhamdulilah
Shukrani habui mafunzo matamu
Shukran shekh
Alhamdulillh Allah akuwezexhe
Shukran sana kwa kisomo kizur
Nipeni ushairi iwapo umemfumania mume Ila bado nampenda nampenda
Nifanyeje abadilike
@@hassansimai1454 vumilia
@@hassansimai1454 Ushauri;1.Usimuulize chochote(Yaani kaa kimya kabisa) 2.Mpe na muoneshe upendo mkubwa zaidi kuliko kabla ya fumanizi.3.Usimueleze mtu yeyote awe ndugu au rafiki au jirani yako kuwa umemfumania mumeo.
MashaAllah
Mmmmh
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته يا شيخ أدعو بأي صوم يعني صوم رمضان أم النفل أو خاصة بصوم رمضان بس
Ma haa allah
Shukran
Wale wasioweza kusujudu wanaoswali kwenye kiti
Asalmaleykum warahmatullahi
Waaleykum salaam warah matullah
Allah akulipe kheri sheikh Othman.+968 98503325.sheikh Mohammed Boki naomba nitafute kwa namba hizo ninashinda ktk Quran
K
Sheikh sura ya kwanza mtume muhamade swaallah wasalam alisnzs kusoma ndani ya quoran