Mizengwe Ya Mzungu!
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- Mzungu mmoja wa Marekani amewashangaza wengi katika kaunti ya Siaya kwani yeye ni mchuuzi wa keki anazozipika mwenyewe katika mtaa wa Siaya. Mwanaume huyu ambaye ana umri wa miaka 48 amewaacha wengi vinywa wazi haswa kwa kuwa biashara ya uchuuzi inanasibishwa na watu wenye mapato ya chini. Hata hivyo kama tulivyogundua ni kwamba mwanamume huyo aliingia bishara hiyo ili kuwanaifaisha wengine.
Richness depends on obeself hardworking determination confidence courageous and implementation
😊 great we give smile to less fortunate
Good job keep it up you and your girls!!!
Indeed he's doing God's work. ...God will open doors for him
Wakenya na vitu kubwa🙌
Akili ni mali, don't give up, God will bless the work of ur hands, thank u and may u be blessed
I like what this family is doing. God bless them.
Amen
The man is having fun riding and making some cash with it.
Nyie wakenya nanyi mnataka kl ktu kubwa kubwa aiyyyi!
Hiyo maffin haiwekwi kubwa! Hiyo ndio kiazi sii boflo.
Hard work pays anywhere. I am sure someone must have said in their mind before, “muffins can’t sell here”, it’s all about mentality not your environment.
Hongera
He is so great
Wanzungu ati ni rich never Africans are rich everything is from Africa.
Eti keki huyo anakaziyake nyie mtaijua baadae sana, mwenye akili amenielewa!
Hhhhh msikia huyu mjinga ati keki dng aungeza
Kweli mjinga
Inaitwa cupcake si bowlcake,ikiongezwa size na bei pia iongezwe mlalamike vizuri.
🌹🌺🌻🌼🌷🍎
ujinga ya wausi...ati wazungu ni tajiri
Mashallah Allah
MZUNGU AMEAMUA
Wamezoea KDF
Analipa tax
wakenya nakulalamika apoww
si wakenya tunalalamika kuhusu size ya hio muffin.
Mungu amsaidie
@@juliuskilae2492 🌹🌼🌷👍👍👍👍