Ajuza Raia Wa Sweden adai kutapeliwa na mpenziwe kijana huko Diani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Ajuza moja wa Raia Wa Sweden Anahangaika Katika Mji Wa Diani Kaunti Ya Kwale Baada Ya Kufilisika akiwa kwenye bahari ya mapenzi na kijana mmoja mwenyeji wa diani #CitizenNipashe
    Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
    This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
    Follow us:
    citizentv.co.ke
    / citizentvkenya
    / citizentvkenya
    plus.google.co...
    / citizentvkenya

ความคิดเห็น • 264

  • @hbh3436
    @hbh3436 6 ปีที่แล้ว +82

    She should call her embassy in Nairobi, they will help her.

  • @margretwangari1018
    @margretwangari1018 6 ปีที่แล้ว +51

    Jameni huyu kijana atafute kazi amlishe mzungu😨😁😁eti sio besiness minded stupid man

  • @goo6341
    @goo6341 6 ปีที่แล้ว +13

    Seek help from your Embassy in Nairobi. They should help you. Sorry for your situation.

  • @rubiekyke7463
    @rubiekyke7463 6 ปีที่แล้ว +7

    Kumbuka mungu anakuona.umejinice na pesa zake sa zimeisha.....utaki kumsaidia.
    Kwa hivo we ni wale wakusahau kuna Leo na kesho uijui.chenye umefanyia huyo mama ata wewe utafanyiwa ivo, ivo.ata ikiezekana watalii wawe wakitembelea Tz na Inchi zingine ndo mtafute kazi.mnaharibia Kenya ladha.....sa wageni tayari wataogopa kutembea Kenya.

  • @humble_boy_0013
    @humble_boy_0013 5 ปีที่แล้ว +4

    Utajua hujui mama
    When I move
    You
    Move jst lyk that😂😂😂

  • @felistasmaina5132
    @felistasmaina5132 6 ปีที่แล้ว +21

    Like seriously ? This woman is of the same age to this guy’s mom am worried y do people dont fear God

    • @thehunterhunter9030
      @thehunterhunter9030 6 ปีที่แล้ว +1

      Felistas Maina I am asking myself the same question. It seems that we love money more than our lives

    • @blessdgurl
      @blessdgurl 6 ปีที่แล้ว +1

      Felistas Maina why can’t she fear God?

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 5 ปีที่แล้ว +1

    She need to go to Sweden Embassy and tell her story. You guys Need to help her get access to her embassy. And this Guy need to be arrested, otherwise it will cause a black eye on Kenyan Tourism industry.

  • @Ladypeace12312
    @Ladypeace12312 5 ปีที่แล้ว +5

    Well, should be easy, go to Swedish embassy and say u lost your passport, get a temperary travelling document and go home for treatment

    • @hon.maambo342
      @hon.maambo342 5 ปีที่แล้ว +2

      Haha you know right ' it's the easiest way out of the country as a foreigner

  • @binbenmartin3425
    @binbenmartin3425 6 ปีที่แล้ว +68

    Ati Hamisi ???? Hahaaaaa.
    Huyu ni mwangi .

    • @anastaciaw9806
      @anastaciaw9806 6 ปีที่แล้ว +1

      binben martin 😂😂😂😂😂

    • @lisaa1520
      @lisaa1520 6 ปีที่แล้ว +2

      binben martin hapo umesema hamna cha Hamisi huyu aende kwa Embassy yao Nairobi watamsaidia tu.

    • @thevineyard7149
      @thevineyard7149 6 ปีที่แล้ว +1

      Pole mama. Ole wake mwizi Hamisi.

    • @judithnderitu6454
      @judithnderitu6454 6 ปีที่แล้ว +2

      only mwangi can do such act. every man loves money.

    • @bryanchemase4878
      @bryanchemase4878 6 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

  • @binbenmartin3425
    @binbenmartin3425 6 ปีที่แล้ว +48

    Mwangi tiga ngoma maani,,,
    Ati hamisi !!

    • @quingugi9902
      @quingugi9902 6 ปีที่แล้ว +1

      binben martin 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣aki kii

    • @hanifajuma342
      @hanifajuma342 5 ปีที่แล้ว +1

      😀😀😀😀😀😀

    • @liliankibuga1608
      @liliankibuga1608 5 ปีที่แล้ว +1

      Hahaha

    • @shirowdestinys5775
      @shirowdestinys5775 5 ปีที่แล้ว +1

      binben martin 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @kennethkiptoo9431
      @kennethkiptoo9431 5 ปีที่แล้ว

      Haha lol

  • @johnnybegood92
    @johnnybegood92 6 ปีที่แล้ว +6

    Pls pls try to be more human than judge mental with U seak comments. Shit happens in life.. Who are U to judge her than trying to help her.

  • @leonardmikangi8998
    @leonardmikangi8998 6 ปีที่แล้ว +3

    aaaha aha kenyans you,re so talented

  • @sherrykeya7370
    @sherrykeya7370 6 ปีที่แล้ว +40

    Wewe kijana enda ukatafute kazi wacha ujinga

  • @beamazing2497
    @beamazing2497 6 ปีที่แล้ว +8

    Pwani kazi ndio hiyo..getting a mzumgu is winning a jack pot.

  • @nikipandasishuki7783
    @nikipandasishuki7783 6 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana mama mzungu Mungu atakuonekania. Na madem wa kenya pia muache kuturingia. Kuweka pesa mbele. Nimetafuta dem for 15yrs kila dem ataka financialy stable wakati yy hana hata kazi. Leo hii niko qatar kazi je vile hamna kitu niwaambiaje nanyinyi.badilikane tabia

    • @hadijayassin5810
      @hadijayassin5810 6 ปีที่แล้ว

      Kiparty Kenya me too nataka chali, am ready to go please nitafute we talk Hadija

    • @hadijayassin5810
      @hadijayassin5810 6 ปีที่แล้ว

      kiparty kenya me too natafuta chali nitafute we talk

    • @elnorahmjomba1311
      @elnorahmjomba1311 4 ปีที่แล้ว

      Nikipanda sishuki saa hii vile uko catar ukija watakupenda manake uko na pesa pole lakini dunia imekua mbaya hakuna uaminifu

    • @elizabethmuiakalungo56
      @elizabethmuiakalungo56 3 หลายเดือนก่อน

      Hatari but all in all omba mungu akupe mke wa ndoa maana ...

  • @amounanyale9220
    @amounanyale9220 6 ปีที่แล้ว +18

    😂😂😂ati vibabu na vinyanya

  • @bongasasa3895
    @bongasasa3895 6 ปีที่แล้ว +10

    Kweli there is no romance without finance, struggle continues choma bangi na kukaranga wanyanya or be a man uende kazi!

  • @fatumaababy1281
    @fatumaababy1281 6 ปีที่แล้ว +10

    Duh some people just won't learn. How could you spend everything you have to this kind of men who even dont respect you?its so sad

  • @andygal5605
    @andygal5605 6 ปีที่แล้ว +9

    This guy is mean....not so fair ripping off this woman....

    • @thealchemist2750
      @thealchemist2750 6 ปีที่แล้ว

      Do u know how kenyans/africans suffer

    • @blessdgurl
      @blessdgurl 6 ปีที่แล้ว

      andy gal he did the right thing

  • @lindamunialo
    @lindamunialo 6 ปีที่แล้ว +3

    Vibabu na vinyanya😂😂😂😂😂

  • @deokizizi3308
    @deokizizi3308 5 ปีที่แล้ว +2

    i am very sorry for that oldwoman god bless her

  • @chimwanakasanda3952
    @chimwanakasanda3952 4 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe na wazungu wako na ujinga😅😅

  • @brigidmua9558
    @brigidmua9558 6 ปีที่แล้ว +30

    Kulala na nyanya sio mchezo. ....hamisi amejaribu

  • @johnkariuki9106
    @johnkariuki9106 6 ปีที่แล้ว +2

    Haaa haa vi babu n vinyanya aah jameni good one

  • @carolinecampbell4040
    @carolinecampbell4040 4 ปีที่แล้ว +1

    Doesn't she have any friends or relatives back home? 50k is not a lot of money.
    Be a lesson to others older women looking for love

  • @reemiiomar9386
    @reemiiomar9386 6 ปีที่แล้ว +5

    Aende embassy y kwao atapata usaidizi

  • @wildsightings1552
    @wildsightings1552 5 ปีที่แล้ว +7

    A very good lesson to this woman, imagine someone coming all the way from Sweden because of sex

    • @elyjak6380
      @elyjak6380 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @denniskirui2009
    @denniskirui2009 6 หลายเดือนก่อน

    Noma sana

  • @joycechege1135
    @joycechege1135 6 ปีที่แล้ว +2

    noma aki

  • @aishahussein4415
    @aishahussein4415 6 ปีที่แล้ว +16

    Kamcheka ajuza yule jamani babu swaleh juzi ulikuwa unauza figo yako daah! kajisahauwisha! Haya!

    • @lucymwega784
      @lucymwega784 6 ปีที่แล้ว +1

      Aisha Hussein nyani haoni kudule na maskini akipata matako hulia bwata saa hii anacheka taka kabisa ameniuthi

    • @pennystang6065
      @pennystang6065 4 ปีที่แล้ว

      Nyani haoni kudule

  • @melonyakinyi8881
    @melonyakinyi8881 4 ปีที่แล้ว

    this is interesting

  • @hannahw4769
    @hannahw4769 4 ปีที่แล้ว +2

    😂, you always reap what you sown.

  • @pennystang6065
    @pennystang6065 6 ปีที่แล้ว +3

    Mombasa kuingia rahizi kutoka tatizo

  • @margaretmshai7069
    @margaretmshai7069 6 ปีที่แล้ว

    kinyee ee👌👌👌👌 mtajuwa hamjui pesa usiyoitolea jasho pole🚶🚶🚶🚶

  • @jaymwana8860
    @jaymwana8860 6 ปีที่แล้ว +1

    mombasa iko na wenyewe ukiibeba na mgongo itakubeba na kichwa😂😂😂😂😂😂

  • @kaimuridionisia1032
    @kaimuridionisia1032 6 ปีที่แล้ว +2

    Kijana mwenye ana heshima unatoa mama ako nguo na unamtexa cuz pesa simeisa toka sasa ukajifanyie job

  • @thewashiifamily7776
    @thewashiifamily7776 6 ปีที่แล้ว

    Wonders

  • @kerstingeyer1719
    @kerstingeyer1719 5 ปีที่แล้ว +1

    Does anyone know what came out?

    • @wambuianne6847
      @wambuianne6847 4 ปีที่แล้ว +1

      she came to kenya in the name of love now she has nothing even food she want to sell her fone so that she can get something to eat to make the matter worst she took a loan in a bank they hold her passport she is even sick she is seeking medical treatment

    • @kerstingeyer1719
      @kerstingeyer1719 4 ปีที่แล้ว

      @@wambuianne6847 so is she still in Kenya? She wont find money here especially now with Corona who will help her.

    • @wambuianne6847
      @wambuianne6847 4 ปีที่แล้ว

      about still in Kenya I dnt know cause this vedio it for long ago 2yrs I think she got help through Sweden embassy

  • @husnisunkar8477
    @husnisunkar8477 6 ปีที่แล้ว +1

    swedish embassy should help her.

  • @africamakikia7459
    @africamakikia7459 6 ปีที่แล้ว +8

    Hahahaha utakula huu na hasara juu vinyanya na vibabu na pita mbio mimi

  • @hibohassan8939
    @hibohassan8939 4 ปีที่แล้ว

    God bless that woman

  • @stecybeib8030
    @stecybeib8030 6 ปีที่แล้ว +2

    Waa!na ww ulifaulu kuuza figo

  • @ntolanto_de_first4087
    @ntolanto_de_first4087 6 ปีที่แล้ว +1

    Bure sana!!!

  • @mimikwisha85
    @mimikwisha85 6 ปีที่แล้ว +7

    Vijana hawana hata utamaduni, wameutupilia mbali. Hivi vibabu na vinyanya vinamagonjwa ya
    zinaa. Ambayo hayakwatuki mwilini hata kwa dawa ya tembe au sidano. Jihatharini na mchunge jamii zenu mwaweza kuwaletea familia zenyu maradhi na fedheha.

    • @mohrb8502
      @mohrb8502 5 ปีที่แล้ว +1

      @Ali Ali umefika huku nako,kutusi watu,base ni wapi vile?we ni.bwigi.wa matusi lakini bwege kiakili..
      noma sana.

    • @mohrb8502
      @mohrb8502 5 ปีที่แล้ว

      @Ali Ali Go sodom and gomora.

  • @happynyabbysombaso9418
    @happynyabbysombaso9418 6 ปีที่แล้ว

    Mmmmmm God have Marcy

  • @lydiakorir6612
    @lydiakorir6612 4 ปีที่แล้ว +1

    Swaleh anamcheka and the last time I checked he was advertising his kidney

  • @walusuna
    @walusuna 4 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂 ati "kero ya vibabu na vinyanya vya uzunguu....."

  • @edwardmuriithi2316
    @edwardmuriithi2316 6 ปีที่แล้ว +2

    Wacheni ujinga.kama ni msapele angekua missing in action

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 3 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu (Allah) katuonya tusikaribie zinaa mpaka tutakapo funga ndoa. Kwani zinaa ni uchafu na pia uchangia ufukara

  • @davidlubanga5527
    @davidlubanga5527 6 ปีที่แล้ว +9

    Swaleh si wewe ulifilisika pia hivyo ukataka kuuza figo?

  • @ayushayush5141
    @ayushayush5141 6 ปีที่แล้ว +2

    vibabu na vinyanya Kweli😂😂😂😂

  • @anthonykambo3313
    @anthonykambo3313 6 ปีที่แล้ว

    Geraree here👋👋👋

  • @Captainevans2024
    @Captainevans2024 4 ปีที่แล้ว

    Nice video 👍

  • @wemakalam9415
    @wemakalam9415 6 ปีที่แล้ว

    Kazi ipo jamani mié napita nduki💃💃💃💃💃

  • @theresiadaniel4906
    @theresiadaniel4906 6 ปีที่แล้ว

    Uwiiii pole dia hii ndo watu mweusi utaipenda

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 4 ปีที่แล้ว

    Wee mjinga sanaaa mwana mke.niwa kukonturoriwa

  • @jamillaibrahim7068
    @jamillaibrahim7068 6 ปีที่แล้ว

    Very sad

  • @lizkimani9576
    @lizkimani9576 6 ปีที่แล้ว +12

    Wewe mrasta...uta pata Karma...mwizi wa pesa na pia mwizi wa roho...

    • @maimunamohamed9811
      @maimunamohamed9811 5 ปีที่แล้ว

      Wewe ingekua huyo kijana nimbaya angekua ashamhepa huyo shosh. But imajin ako nae. Huyu kijana nimvumilivu

    • @janenyambura5357
      @janenyambura5357 4 ปีที่แล้ว

      Jamani😭😭

  • @aishamohammed3547
    @aishamohammed3547 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu hamisi wa diani hata kiswahili si chakidigo aseme niwawapi lkn sio diani 😆

  • @khadijatumna3453
    @khadijatumna3453 6 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂Aty vibabu na vinyanya

  • @kake_alicios7620
    @kake_alicios7620 6 ปีที่แล้ว +1

    Mapenzii

  • @saudmohammed3390
    @saudmohammed3390 5 ปีที่แล้ว +1

    Go to your Embassy

  • @gideongathekiamkoloni5043
    @gideongathekiamkoloni5043 5 ปีที่แล้ว +1

    Nyanya na libido iko juu kama farasi.Jinga yeye atajua Malindi ni Mali ya Hindi ambayo hutumbukia Hindi.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @softymoha5484
    @softymoha5484 6 ปีที่แล้ว

    Mmmh!

  • @mbarakahmed3892
    @mbarakahmed3892 ปีที่แล้ว

    Wewe mdoi mamboyako tisa wenzako watapatapa we wawainjoi😂😂😂😂😂😂

  • @maliethnyoni2847
    @maliethnyoni2847 5 ปีที่แล้ว +1

    😁nao wakome bwana mbon ata sisi tunataperiwa ivyoivyo n hao wazungu

  • @wakilinathannjoroge835
    @wakilinathannjoroge835 5 ปีที่แล้ว

    At least he did not abandon her. Ingekua dem angekua ashamtoka

  • @WanjiruMuya
    @WanjiruMuya 6 ปีที่แล้ว

    Microwave generation that doesn't want to earn clean money instead chasing their grannies what a disgrace😱😧😭hope she gets help

  • @icusmarkavelly1372
    @icusmarkavelly1372 6 ปีที่แล้ว

    This is so sad. Going hungry ain't a good thing

  • @daimavlog
    @daimavlog 6 ปีที่แล้ว

    Aende ubalozi wa Sweden jamani, km wakimbizi na watu wengine wako huku wanakula ela za kodi buree jamani yeye anateseka huko. Nasave jina kesho nijaribu kuuliza wamfate mtu wao aisee. Hii ya wazee kwenda afrika isharushwa kwenye magazeti ya Sweden, wanaenda Zambia, Kenya n.k kutafuta mapenzi bila kujua wenzao wanatafuta pesa.

  • @mercynjau7528
    @mercynjau7528 6 ปีที่แล้ว

    This lady is nt a sweden native. She looks like she comes east europe

  • @marykinuthia5780
    @marykinuthia5780 5 ปีที่แล้ว

    Pole sana!

  • @cytkl
    @cytkl 4 ปีที่แล้ว +1

    These demons are the biggest oppressers and thieves. Kharma 🤣

  • @dubabaxakazoom.5530
    @dubabaxakazoom.5530 6 ปีที่แล้ว

    Nko na wangu hapa ametulia tu habanduki hasikii..na hataji kwao..asema hapa kwetu sasa tunauza samaki pamoja.

  • @tonnyanthonys2159
    @tonnyanthonys2159 4 ปีที่แล้ว

    Wewe weh bana unatumia lugha mbaya hapa tafathali!! ... *Vibababu na vinyanya "🤔🤔

  • @sebastianmusamali811
    @sebastianmusamali811 4 ปีที่แล้ว

    Wololololo,,,kismat

  • @fayahafrika6853
    @fayahafrika6853 6 ปีที่แล้ว

    Balaaa....

  • @doreenkrause91
    @doreenkrause91 5 ปีที่แล้ว

    Hallo huyu jamaa si Mu coast huyu ni kamau beste yangu.beste yangu alingiwa na uvivu wa maisha ya kufanya kazi ya pesa za ubwete na sasa zimeisha pesa na maisha ndio yamekua magumu.Tafuta kazi ulishe bibi,bibi ndio baraka yako beste.

  • @subzommy7986
    @subzommy7986 6 ปีที่แล้ว

    Funny...how the guy says the old lady isn't bussness-minded...where the fuck is his progress....

  • @nancypretty7576
    @nancypretty7576 6 ปีที่แล้ว +1

    Looks like Facebook love hehehe

  • @franklineorema453
    @franklineorema453 5 ปีที่แล้ว

    Hamisi!!!! Wee Njoro tiga wanaa mani!!!

  • @philipkomba5525
    @philipkomba5525 4 ปีที่แล้ว

    😆😆😆 hii ni kiboko ya ajuza yaan jamaa anasema kbs ati ni hakuweza kumshauri wafanye investment

  • @sherrykeya7370
    @sherrykeya7370 6 ปีที่แล้ว +1

    Woi

  • @patiencelizz3730
    @patiencelizz3730 6 ปีที่แล้ว +3

    Poor her!

  • @chasydaniela1233
    @chasydaniela1233 4 ปีที่แล้ว

    Santa Mdoe ankula huu na Sara juu”

  • @pintondg675
    @pintondg675 6 ปีที่แล้ว

    Ahahahaa... Aty hata ukim-cheki 😂

  • @maureenmuhonja722
    @maureenmuhonja722 6 ปีที่แล้ว

    waaaah

  • @sammycharo8857
    @sammycharo8857 6 ปีที่แล้ว

    Kuwait mvuvi broo

  • @wheelermckinnon3682
    @wheelermckinnon3682 5 ปีที่แล้ว

    Why is she supporting an able bodied young man? Ati "i have to sell clothes and telephone so we can eat??? There's an ocean he can go fishing and you'll eat!" I have no sympathy 50,000 kshs is only 500 Euro. Let him pay for his way too....nkt

  • @janemwangonela7033
    @janemwangonela7033 4 ปีที่แล้ว

    Yani sitaman kusikia Africa ana jishusha hazi kiasi hiki kumfanyia unyama baada ya kuwasaidia watu sasa yeye Hana hata kitu kama kijana wa Africa wekeza basi

  • @zakiahilal8949
    @zakiahilal8949 6 ปีที่แล้ว

    Si aende swedish embassy Sweden haitupi raia wake

  • @dinahlwambi1734
    @dinahlwambi1734 6 ปีที่แล้ว

    Maskini sio vizuri

  • @maureenjannephar3507
    @maureenjannephar3507 5 ปีที่แล้ว

    Hamisa mwenyewe aiii hata Mimi maskini I can't, very untidy

  • @milchshake4162
    @milchshake4162 5 ปีที่แล้ว

    THE THING IS, SHE IS AN ADULT AND UNFORTUNATELY SHE LOST HER RATIONAL MIND WHEN SHE GOT INVOLVED WITH HARD DRUGS AND BECAME ADDICTED, KWELI MOMBASA RAHA .THE LOCALS JUST WANT A GOOD TIME THEY NEVER CARE ABOUT THE OLD AGE TOURISTS.

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 5 ปีที่แล้ว

    Vijana, karibuni huku kwetu Haydom Tanzania tugange njaa.

  • @nickdeestrongnick2779
    @nickdeestrongnick2779 6 ปีที่แล้ว

    hahhahaahha raster man goes skilar

  • @lilym704
    @lilym704 4 ปีที่แล้ว

    Aslani wa Africa ni waizi sana sio kenya tu Tanzania pote Uganda hizo ndo style zao kudanganya vi bibi vya kizungu juu wapate pesa hatta ulaya ndo ivo ivo tabiya zao ni wavivu kila kitu wanataka kwa urahisi.

  • @ceonews4639
    @ceonews4639 6 ปีที่แล้ว +7

    utajua hi ni kenya

  • @dominicgilisho3605
    @dominicgilisho3605 ปีที่แล้ว

    Hahaha funny

  • @elizabethpflug1304
    @elizabethpflug1304 7 หลายเดือนก่อน

    Sorry for that Africa have no chance for women even we same no. Chance only open your eyes and think twice Africa is Africa🤔