MIAKA 25 YA MIZENGWE KWENYE GEMU, WAMEONGEA - "TUNAGOMBANA SANA"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- MIAKA 25 YA MIZENGWE KWENYE GEMU, WAMEONGEA - "TUNAGOMBANA SANA"
Wasanii wa kundi la vichekesho la Mizengwe ambalo limekuwa likifanya vizuri kwa muda mrefu sana katika tasnia ya uchekeshaji wamefunguka sababu za kundi lao kuwa hai kwa muda mrefu katika tasnia hiyo jambo ambalo makundi mengi yanashindwa na kuishia huvunjika baada ya muda mfupi tu..
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY:
www.youtube.co....
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
www.youtube.co....
GLOBAL RADIO TV:
www.youtube.co....
EXCLUSIVE INTERVIEW:
www.youtube.co...
Hongera Mizengwe kwa kutimiza miaka #25 kwenye game umli wa mtu mzima .
Nakubali Sana hawa watu bongo hakuna zaidi yao kubali kataa kwanza ktk kazi zao hawatumii lugha chafu wanaburudisha na kuelimisha nawatakia maisha marefu Sana mungu azidi kuwasimamia
Mnafanya kazi kubwa sana
Amina, na ubarikiwe sana.
RIP Max,aiseeee atakumbukwa daima hasa alipokuwa na Zembwela,Sumaku na Matata n walimu wa mume wangu wa sanaa
Mizengwe iko kijamii zaidi
I love them.
Hivi huyu Maringo 7 kumbe haongei na accent ya Congo in real life.
Hyo mtoto wa dar kwao mwananyamala kisiwan
Nyinyi ndiyo comedian bora AFRICA MASHALIKH
Dada mtangazaji upo vizuri sana na maswali yako yote ni ya msingi
Nawapenda sana mizengwe,mko vizuri sana
Nawakubali sana. Wajitahidi kuongeza ubunifu, pia waendane na sayansi na teknolojia.
kazi nzuri
Nawapenda wote Mizengwe😍👍🙏🏼
Nawapenda sana.mizweenge
Kumbe safina unsauti nzuri hivo😎😎😎🤸🏃🏃🏃🏃
The Best of my List ya MIZENGWE
- SIRI HADHARANI
- UKIJA JIPANGE
- MSIGOMBANE
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
wanatisha sana
Raha jamani! We mtangazaji umefanya la maana sana dadaangu! Mie hao jamaa nimeanza kuwaona bado nikiwa na miaka 13 tangu wanaanza shughuli zao na hadi leo nakuwa mtu mzima! Nitaomba mualiko siku hiyo kusherekea miaka thalathini yao akijalia mwenyezi Mungu
Mizengwe hoyeeee baba lao
Nawakubali
Jamani angalieni KELELE MSIBANI MIZENGWE 😂😂😂😂😂😂
Hawa jamaa noma sana
Mizengwe baba lao
Onesmo Haule sana tu!
Dah lafudhi zao nzuri, kumbe kule ni kuigiza. Afu Safina nimekupenda.
dada safina sikutegemea kama una sauti hiyo
Mi sikatai nyie ndo comedy ya Taifa
nice
Nawapenda sana mizenge. Hasa safina napenda unavyoongea kihehe
Safina wacha kuremba kiswahili Kama ebitoke unaboa Sana, si uwe really tu?
Kumbe mkono waonqea vzr
babu na Mkwele wako wapi?
Wamebanwa na shughuri za kifamilia, lakini wapo.
Hili kundi ni nomaaa
Kamenenepa kadada ako
Asantemi Wasafi kwa kutuunga mkono.
wasafi media umeona?
Tumekua naadabu hahahaaa
KUNDI LANGU BORA KABISA LA VICHEKESHO
Asante kwa kutuunga mkono.
Nyamidela
Nyamidela Mamam lao.