It's about time 🇰🇪🇰🇪we need each other Sawa f__k 🇹🇿🇹🇿 WE need to support 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪And don't 🇰🇪🇰🇪 surport Ham and Ray Don't 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎵🎵🏡🔥💯💯💯💯don't think about NJ he A STARBOY 💙💙💙
Babalevo, Lukuga ni mto uliyoko Congo ambao unaochukuwa maji ya tanganyika na kuyapeleka ndani ya mto mkuu wenye maji yanayo tembeya kwa kasi zaidi Africa na piya kasi yake niyapili duniani baada ya mto Amazon ya hukwo Brazil 🇧🇷, mtu uyo wa congo unaitwa FLEUVE CONGO.🇨🇩 I was just need to make this clear LUKUGA siyo upepo bali ni mto unao chukuwa maji ya Ziwa Tanganyika.
Nataka chawa kama baba levo yuko mwaminifu😊😊
Waga nafurah sana kuona interview za baba levo usema kwel
It's about time 🇰🇪🇰🇪we need each other Sawa f__k 🇹🇿🇹🇿 WE need to support 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪And don't 🇰🇪🇰🇪 surport Ham and Ray Don't 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎵🎵🏡🔥💯💯💯💯don't think about NJ he A STARBOY 💙💙💙
Ndio kabisa tena uho lukuga ni mto ambao uko kalemie 🇨🇩
River lukuga in kalemie I miss soko ya lukuga kisebwe
Asili ya kwetu huko
@@erickmisilakuba6426 ndio ndugu n'a mimi navio kuandikia nipo 🇨🇩 uvira Ila kalemie huwa natembelea sn
Huo wimbo diamond kawaibia watu wangapi watu waache ujinga maana Diana Nyange naye aliingia kwenye bifu kuhusu huo wimbo na hakuwa pekee yake
C kiki 😂
Diana nyange ni mawazo na illikua beat tu sio kuiba produser alimpa coz diana alikua hafiki studio kipind hicho
@@nicksonisaya6550 search wimbo wa Daina Nyange-Naumia kisha uje tena
Diana nyange ni beat yake
Na mawazo n beat ya baby j na udeude inatwa nambie
Baba Levo is so funny
Eti ni mzee wangu😂😂😂😂 shikamo pesa
YAMMY HUYOOOO
KUNA VITU BABA LEVO UNAONGEA BAADAE VINAWEZA KUKULETEA MATATIZO KWA UJINGA WAKO UKIDHANI NI SIFA KUMBE NI UJINGA NANI AKUIBIE WIMBO KAMA SIO UJINGA.
Babalevo, Lukuga ni mto uliyoko Congo ambao unaochukuwa maji ya tanganyika na kuyapeleka ndani ya mto mkuu wenye maji yanayo tembeya kwa kasi zaidi Africa na piya kasi yake niyapili duniani baada ya mto Amazon ya hukwo Brazil 🇧🇷, mtu uyo wa congo unaitwa FLEUVE CONGO.🇨🇩
I was just need to make this clear LUKUGA siyo upepo bali ni mto unao chukuwa maji ya Ziwa Tanganyika.
Hahahahaha duh
😂😂😂😂😂lukuga
Huyu diamondi kwa kuiba hawezekani😂😂 alafu asemi
😂😂😂😂
Kumbe mwizi itakua wengii wa.mewaiba
NMESBR AD MWISHO NISKIE AKO KAWIMBO