UWANJANI SDA CHOIR - HEZEKIA (Official video )6K
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
- UWANJANI SDA CHOIR - HEZEKIA (Official video )6K
Ujumbe wa huu wimbo unapatikana katika kitabu cha
2 wafalme 20;1-11
karibu na ubarikiwe na huu ujumbe, huku na wewe ukitengeneza mambo yako kwa ajili ya ujio wa YESU mara ya pili.
UWANJANI SDA CHOIR
LUHANGA SDA CHURCH (DSM TZ)
+255656 847 894 call and whatsap
+255687 057 650 call only
+255745 884 334 call only
uwanjanisdachoir7@gmail.com
Wimbo wenu wa Hezekiah unanibarikinsanaa wapendwa MUNGU aendelee kuwapandisha viwango vya juu zaidi nawapenda sanaaaa, barikiweni mnoooo.
barikiwaa
Tengeneza mambo ya Nyumbani yako... mbarikiwe sana ❤
Yaan kwa ufupi Mungu wa mbinguni awabariki sana mmefanya kazi KUBWA SANA
Amina je umesuscribe
Hongereni San Uwanjani sda choir,Mungu awabariki San kwa Ujumbe Mzur San Hakika mfikee Mbali 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hongereni sana, mnaimba vizuri sana. Huu wimbo huku kenya kila siku asubuhi kwenye makambi yetu lazima upigwe. Mungu awabariki
Amina
tengeneza mambo ya nyumba yako kwa maana si mbali utakufa
Yaan binafsii sichoki kuwasikilizaa walaa kuwatazamaa maan mnanibarikii sanaaa UWANJANII CHOIR hakikaa nyiny ni wa kimataifaa💪♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Barikiwaaa
Barikiwaa amina
Nawapenda sana mbarikiwe kwa wimbo mzuri👉🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️
Mbarikiwe sanaa kwa Kazi zuri
WIMBO MZURII SANAAA
Hongereni sana kwa wimbo mzuri...Mungu awabariki🙏
Nawapenda by isopo
Hongereni Sana nawapenda Sana Mungu azidi kuwainua viwango vya juuu. Joy ngigwa
Mungu awabariki zaidi Wana wa Nuru tuzidi kutengeneza mambo ya nyumba zetu hakika nabarikiwa sasna na ujumbe huu
Mungu awabariki sana wimbo umenibariki sana.tutengeneze njia zetu kama hezekia
Nimeupenda sana wimbo huuu mungu azidi kuwabariki Sanaa nasi tuzidi kumtegemea munguuu
Hongereni sana
ninaweza kusikiliza huu wimbo hadi asubuhi bila kuchoka,ahsanteni sana
Nawapenda
❤
Wimbooo mzur sanaa aisee,Mungu awabarikii sanaaa❤❤❤
Hii ni moto saana.. Mungu azidi kuwatumia vyema kwa kazi yake
Ujumbe Uniqueness saan,, hakika mtunzi wa wimbo huu na waimbaji be blessed
Mungu awabariki ktk utumishi wenu nyimbo zenu hasa huu wa HEZEKIA umegusa mioyo ya wengi Unanibariki sana sana Mungu awe nanyi
Amina
Hongereni sana.. colors ni wow!! 🎉
Wakati wa kutengeneza ni sasa.mue kioo na mfano kwa jamii wamshuhudie Mungu kwenye maisha yenu.Mungu awtusaidie.mkaimbe mbinguni pia
Amina
Nabarikiwa sana ❤❤❤❤safi sana Mungu awabariki kwa kazi nzuri sana akawatimizie mahitaji ya mioyo yenu
Sauti Tam video kariii ❤❤
big up 2023 for u
Sijui lini nitakufa tengeneza Mambo yangu kama.Ezekia..Barikiwa sana uwanjani
Ameen 🙏🙏 ujumbe mzuri Sana Bwana awabariki
Mimi siyo msabato, ila huu wimbo wenu ndio napokelea nikipigiwa. Watoto wangu wameukalili wote🙌🙌
Wimbo umenitoa machozi, Mungu tusaidie! Amen
Pole sana tengeneza mambo ya nyumba yako je umesubscribe ili kupata mazuri zaidii
Mbona haina quality audio and video
Hongeren sana kwa utumishi,mmetubariki wengi sana
Hongereni sana wimbo mzuri mno
Asanteni Kwa wimbl mzuri watu wa Mungu naendelea kubarikiwa nao Kila siku
Tumuombe MNGU msiwe na kiburi maana dah mkojuu sanaa
Hakikaaaa
Kwa hakika nimekabarikiwa na tungo zenu.Barikiwa
Jamani wimbo mzuri nabarikiwa sana
Wimbo wa pekee sana.
Tengeneza
Rererujah wimbo mzur,,mbarikiwe San ❤❤
Barikiweni Mungu akawe pamoja nanyiiiiii siku zote
Wimbo mzuri sana ujumbe ni mkubwa mno na watoa ujumbe mmependeza sana.
Barikiwaa sana wote mlioona vyema kutumia jumbe zenu msisahau kasbscribe
Amina
Mnanibariki sanaaaaaa songeni mbelee uwanjani kwaya yangu nawapenda sanaaaa
❤❤❤❤ Wimbo mzuri sana umenibariki 🙏🙏
Amina 🙏💖
Mungu awabariki sana. Wimbo huu umenibariki sana
Amina
Amina watumishi,hebu na mzidi kumsifu Mungu.
Wimbo went wa Ezekiel unanibariki
Hongereni sana ,wimbo mzuri
Hakikaa wimbooo in mzur sanaaa❤❤❤❤❤❤❤
Mungu awainue
Nabarikiwa na sana na wimbo huu wa Tengeneza
Mbarikiwe kwa nyimbo nzuri
Wooow tutengeneze mambo ya nyumba zetu ...Mungu awatunze
Mfike mbali watumishi wa Baba
Tengeneza Mambo ya nyumba yako nimebarikiwa sana🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Umesubscribe
Mungu awapeleke mbali.
HAMJAWAHI KUFANYA VIBAYA NAWAOMBEA MEMA YOTE SONGENI MBELE MTANGULIZENI MUNGU NYENYEKEENI MKONONI MWA MUNGU BARIKIWENI
Amina
Barikiweni watumishi mung
Mungu awabariki sana kwa wimbo mzuri
Mbarikiwe watumishi wa Baba
Mungu was mbinguni awabariki sana
Mungu awabariki Sanaa nawamisi pia
Hongereni sana kwaya kazi ni nzuri
Ameenni mda wa kutengeneza mambo ya nyumba zetu Mungu awabariki sanaa ❤❤
Ameen, Wimbo wa Unabii..
amen Mungu awabariki sana
Huu wimbo naupenda sanaaaaaa
Mungu awabariki sana
Ameeni wimbo mkali saana
Safi sana uwanjan Mungu wambinguni awabariki
Amina je umesubscribe
Kwa hakika ninabarikiwa
Safi kazi nzuri saana wimbo wenye ujumbe mzuri sauti zuri zilozo pangika vizuuri maneno yamtamkwa vizuri yaan Bwana awabariki Sana Sana
Amina barikiwaa
Barikiweni sana
mibaraka tele
God bless you 🙏 all CHOIR you touch me
Mbarikiwe sana
Barikiweni Sana
Barikiwen
Waooo wimbo unaujumbe mzito.good job👏👏👏
Amen
Bwana awabariki sana
Mbarikiwe sana,, what a song,,, 😍😍😍💞
Mbarikiwe
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤
🎉
❤
❤❤
❤❤❤
Haleluya Mungu ni mwema🙏🙏🙏🙏
Barikiwa
Hezekiah is the song of year
Hongereni kwa wimbo mzuri wenye ujumbe mzuri, kwa utukufu wa Bwana mkazidi kuinuliwa na Mungu mwenyewe👏👏
Amina je esubscribe
Asante
Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri
Hallelujah, Ameen Ameen, jamani mbarikiwe sana, kuna watu wanaimba jamani daah ❤
Nawapenda sana Mungu aendelee kuwatumia❤❤❤Ujumbe huu ukabariki watu wote ulimwengu ❤❤
Twakupenda pia
Amen 🙏🙏🙏
God bless you for your good work.
Amen ❤