- 9
- 69 364
Uwanjanisda choir
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 18 ธ.ค. 2022
วีดีโอ
UWANJANI SDA CHOIR - HEZEKIA (Official video )6K
มุมมอง 63Kปีที่แล้ว
UWANJANI SDA CHOIR - HEZEKIA (Official video )6K Ujumbe wa huu wimbo unapatikana katika kitabu cha 2 wafalme 20;1-11 karibu na ubarikiwe na huu ujumbe, huku na wewe ukitengeneza mambo yako kwa ajili ya ujio wa YESU mara ya pili. UWANJANI SDA CHOIR LUHANGA SDA CHURCH (DSM TZ) 255656 847 894 call and whatsap 255687 057 650 call only 255745 884 334 call only uwanjanisdachoir7@gmail.com
HEZEKIA UWANJANI SDA CHOIR KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA 0747050546 VIDEO COMMING SOON
มุมมอง 740ปีที่แล้ว
Created by InShot:inshotapp.page.link/YTShare
Milango mitatu uwanjani sda choir 0656847894 subscribe &share dar Tz
มุมมอง 1.7Kปีที่แล้ว
UWANJANI SDA CHOIR KWAYA YA UINJILISTI NA IPO TAYARI KUALIKWA MAHALI POPOTE KWA AJILI YA INJILI YA NENO LA MUNGU POPOTE NA YESU TUTAKWENDA KWA NGUVU YA MUNGU MAWASILIANO 0656847894 , 0654108999 NA 0747050546
❤❤
Amen 🙏🙏🙏
mibaraka tele
God bless you for your good work.
Mnanibariki sanaaaaaa songeni mbelee uwanjani kwaya yangu nawapenda sanaaaa
Kazi njema mlifanya kuja kituhubiria kupitia nyimbo hapa syokimau. Karibuni tena
Kwa hakika nimekabarikiwa na tungo zenu.Barikiwa
Mungu awabariki sana
🙏
WIMBO MZURII SANAAA
Mimi siyo msabato, ila huu wimbo wenu ndio napokelea nikipigiwa. Watoto wangu wameukalili wote🙌🙌
Barikiweni sana
Mbarikiwe kwa nyimbo nzuri
Mungu awabariki sana. Wimbo huu umenibariki sana
Uyo alie solo abarikiwe afile mbaliii❤❤❤❤❤🎉🎉
Video jaman
Asiah muhamed ubarikiwee😂🎉🎉❤❤❤❤
Asanteni Kwa wimbl mzuri watu wa Mungu naendelea kubarikiwa nao Kila siku
Wimbo went wa Ezekiel unanibariki
Nawapenda
Mbarikiwe sanaaa
Hii album ilikuwaga nzuri Sana,nyimbo mzingezibadili
Amina barikiweni watumishi wa baba
Mungu awabariki wainjirishaji abarikiwe mtunzi ,mpiga chombo Mungu ambariki mwalimu,,mama anaye soro sauti inafanana na yule mama aliye soro kwaya ya king,ongo
Ndo yeye❤❤
@@kenny_msng Amina amina
Alie solo abarikiwe
Barikiweni Mungu akawe pamoja nanyiiiiii siku zote
Amen
Hongereni sana kwaya kazi ni nzuri
Hongeren sana kwa utumishi,mmetubariki wengi sana
Amen ❤
❤❤❤
Uwanjani kwaya yangu maisha yangu yoteee mpka yesu arudi nawapenda bureeee hakika mnanibariki mnoooo songeni mbele chapeni kazi ya MUNGU taji zinawangoja mbinguni hakikisheni hamkosi pale juu kando ya bahari ya kioo mimi nitakuwepo wewe jee????
Barikiwaa sanaa mkuu 🙏🙏🙏
barikiwa tchaaaaaaaaaa
tutakuwa wote kando ya kioo
Uwanjani tenaaa❤❤❤❤
Barikiwaa
Whouaouuuuuhhh, a good song, be blessed my Choir
amenii sifa na utukufu kwa Mungu mkuu
amen
Mimi m'moja wawale wanao fwata nyimbo za UWANJANI tangu Congo DRC/KOLWEZI, hata kama mimi siyo mu Adventista lakini napenda sana nyimbo zenu, hapa na waite sana vidéo ya M'samaria
Mbarikiwe Sana Uwanjani kwa Ujumbe mzuri 🙏🙏🙏🔥🫶🔥🔥
barikiwaa sanaa
Number 1 be blessed.. uwanjani
aminaa
ninaweza kusikiliza huu wimbo hadi asubuhi bila kuchoka,ahsanteni sana
tengeneza mambo ya nyumba yako kwa maana si mbali utakufa
Barikiwa
Amina
Wimbo mzuri sana ujumbe ni mkubwa mno na watoa ujumbe mmependeza sana.
Wimbo wenu wa Hezekiah unanibarikinsanaa wapendwa MUNGU aendelee kuwapandisha viwango vya juu zaidi nawapenda sanaaaa, barikiweni mnoooo.
barikiwaa
Hongereni sana ,wimbo mzuri
❤❤
Mbarikiwe sanaa kwa Kazi zuri
Hongereni sana kwa ujumbe mzito. Bwana awabariki kwa wimbo mzuri. Mmetisha sana watu wa Mungu
Ameen, Wimbo wa Unabii..
Hongereni sana
❤
Hongereni sana kwa wimbo mzuri...Mungu awabariki🙏