Yesu Ni wangu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2020
  • bwana yesu yeye aliye Mwenye UPENDO MKUU... Ametuchagua sisi Tuwe Marafiki Zake wa karibu sana Ambao Atajifunua Wakati wote.. Hivyo sisi Tuliomuamini tunapata Ujasiri Wa kusema YESU NI MWOKOZI Ni rafiki Mwema na tutakaa upande wake kwa uaminifu na kujenga ufalme wake..AMEN.
    #MAISHAMANASSE
    #YESUWANGU
    for more info +16052312917
    instagram Maisha manasse
    facebook Maisha manasse
  • ภาพยนตร์และแอนิเมชัน

ความคิดเห็น • 53