VOICE OF JOY CHOIR - OLE KWAO ( Official Video 4K )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025
  • Bwana Yesu asifiwe Wana Wa Mungu, tumependa kuchukuwa nafsi hiii kwakuwa karibisha kuungana nasi kwa kutazama Video ya wimbo wetu mpya unawo tamburika kwajina la
    { OLE KWAO } by CHOIR OF JOY CHOIR
    Hatimaaye upo hewani kwanzia mda huu
    Uwabariki na uwavundishe na pia uwaponye.
    Mungu atusaidie sote tuendeni katika mapenzi yake ili siku yakiyama itakapo kuja sote twende kwane Mungu Baba.
    Help us kwaku share and subscribe kwa Ndugu Jama na marafiki.
    Mungu awabariki nyote Amen 🙏

ความคิดเห็น • 181