TAFAKARI YA DOMINIKA YA 27, MWAKA "B"- 06-10-2024 | Na Pd. Bonaventure Maro, C.pp.S

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • Itukuzwe Damu ya Kristo! - Milele Amina!
    ◻️Karibu Mwanafamilia ya St. Gaspar Media!
    ◻️Hili ni Channel maalum inayomilikiwa na Seminari kuu ya Mt. Gaspari del Bufalo, Ipo mahususi kwa ajili ya kushare Taarifa mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Mafundisho ya TASAUFI YA DAMU AZIZI YA YESU , Uinjilishaji kwa njia ya Tafakari za Kila Siku, Nyimbo za Dini, na matukio mbalimbali ya Kanisa Katoliki ambayo tutakuwa tunayaweka katika Channel yetu ya TH-cam @st.GasparMajorSeminary
    ◻️Pia kama utakuwa na Swali lolote kuhusu Damu Azizi ya Yesu, Shirika la Damu Azizi ya Yesu, Kumfahamu Mt. Gaspari del Bufalo unaweza kuuliza na kupata majibu humu.Karibu sana tushirikishane Tone la Upendo!
    MAWASILIANO
    📱 +255 715 999 802
    📧Stgasparmajorseminary@gmail.com
    @st.GasparMajorSeminary
    #St. Gaspar Media Ndoto_inaendelea

ความคิดเห็น • 32

  • @JohnDaimon-h8y
    @JohnDaimon-h8y 11 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu akubarik kwa tafakari nzuri ya siku hii Leo amin

    • @St.GasparMedia
      @St.GasparMedia  4 วันที่ผ่านมา

      AMINA ndugu,
      Tubarikiwe sote ndugu yetu.

  • @paulinamacheyeki8381
    @paulinamacheyeki8381 12 วันที่ผ่านมา +3

    Nimeipenda sana tafakari hii ya Padre Bonna. Imenijenga upya mimi mtu wa ndoa
    Nimejifunza mengi, arii mpya ndani ya ndoa, hata kama unajikuta umechoka ndani ya ndoa yako simama tena sawasawa na neno hili la Mungu kupitia Padre huyu. Ahsante sana Baba kuamsha tena mioyo yetu wana Ndoa. Tumsifu Yesu Kristo.

    • @St.GasparMedia
      @St.GasparMedia  12 วันที่ผ่านมา

      Amina.....barikiwa sana

  • @amambiastephen178
    @amambiastephen178 13 วันที่ผ่านมา +4

    Nilikuwa naisubiria sana Tafakari hii. Nawashukuru sana kwa namna mnavyotuimarisha kiroho. Nawaombea baraka na neema kutoka kwa Mungu Baba Yetu.

    • @nestadamian2241
      @nestadamian2241 13 วันที่ผ่านมา +1

      Karibu sana tupo kwa ajili yako ndugu

    • @antonyeponda5560
      @antonyeponda5560 12 วันที่ผ่านมา +1

      Barikiwa sana

    • @St.GasparMedia
      @St.GasparMedia  4 วันที่ผ่านมา

      hahha AMINA Ndugu, ASANTE sana, Tubarikiwe wote. Tuzidi Kuombeana.

  • @rosemaryassenga3594
    @rosemaryassenga3594 12 วันที่ผ่านมา +1

    Mfupa unasimama badala ya nguvu na nyama udhaifu. Nimeipenda sana. Tunatakiwa kweli tuombe sana neema ya Mungu ili malezi bora katika familia yalete watawa bora na walei bora. Barikiwa mno kwa mafubiri yenye uzito na uvuvio wa Roho Mt.

    • @St.GasparMedia
      @St.GasparMedia  4 วันที่ผ่านมา

      AMINA dada Rosemary.
      Tubarikiwe wote na tuzidi kuombeana ndugu yetu.

  • @DerickMbunju
    @DerickMbunju 11 วันที่ผ่านมา +1

    Ahxante yesu kwa baba bony emee e!

    • @St.GasparMedia
      @St.GasparMedia  4 วันที่ผ่านมา

      AMINA ndugu, tuzidi kuiombea Miito na kuombeana sote.

  • @CHRISTINABAYO-p9t
    @CHRISTINABAYO-p9t 12 วันที่ผ่านมา +2

    Asantee sana baba Kwa tafakari nzuri 🙏🙏

  • @Sr.EmmanuelaMalanji
    @Sr.EmmanuelaMalanji 12 วันที่ผ่านมา +1

    Baba mahubiri Yako yananifariji sana. Mungu akubariki Kwa neno
    Utume mwema

    • @St.GasparMedia
      @St.GasparMedia  4 วันที่ผ่านมา

      AMINA Sr. Malanji Emmanuela, Tumshukuru Mungu anayetufariji daima. Tuombeane ili Kazi yake izidi kuendelea mbele ndugu yetu.

  • @japhethrogasiano-hp3lj
    @japhethrogasiano-hp3lj 11 วันที่ผ่านมา +2

    Ee MUNGU tuongoze

  • @EmiliaGeorge-g4r
    @EmiliaGeorge-g4r 12 วันที่ผ่านมา +2

    Amina father Bonaventure tumebalikiwa na tafakari

  • @judithmakuba6917
    @judithmakuba6917 12 วันที่ผ่านมา +1

    Asante sana Padre🙏

    • @St.GasparMedia
      @St.GasparMedia  4 วันที่ผ่านมา

      Tumshukuru Mungu dada Judy.

  • @PrimariaSmaldone
    @PrimariaSmaldone 12 วันที่ผ่านมา +1

    Amina.Mungu azibariki familiya zetu.

  • @Christinamlowe-z8e
    @Christinamlowe-z8e 12 วันที่ผ่านมา +1

    🙏🙏🙏🙏🙏🥳,itukuzwe damu ya kristo,.

    • @St.GasparMedia
      @St.GasparMedia  4 วันที่ผ่านมา

      Milele Amina dada Christina.

  • @PaulinaMachege
    @PaulinaMachege 11 วันที่ผ่านมา

    Amina kwa tafakari ya leoo

  • @juniorngongo366
    @juniorngongo366 13 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤aksanti kwa tafakari nzuri ❤❤❤

    • @St.GasparMedia
      @St.GasparMedia  4 วันที่ผ่านมา

      Tumshukuru Mungu ndugu.

  • @emmanuelkigwenembe
    @emmanuelkigwenembe 13 วันที่ผ่านมา +1

    🙏🙏🙏