Give your aunt a big thanks for showing us this delicious dish of East Africa. I can see it has all the flavours of the meat, veges, potatoes and spices together with 'kachumbari' makes its unbelievable.
Yaani natizama mpaka kama naisikia harufu nzuri ya pilau kwenye mtandao! Mate yamenijaa mdomoni! Dah Saafi sana!! Ila bado sijajua kwanini pilau la uswahilini linakuwaga tamu zaidi??
Almost like my recipe Ila mi nikishakaanga viazi vikipata tu viungo navitoa kwanza halafu navirudisha tena maji yakikauka coz nikipika ivo vinaivaaaa kiasi vinapasukapasuka
Black pepper Cardamom Garlic Onions Salt Pure tomatoes Cumin Bell pepper Cilantro (option) Potatoes Beef or goat meat Rice I'm hoping I didn't miss anything else
MashaaAllah mpenzi mate yanitoka hapa😋😋
Mashaallah mama etu amejitahidi kwa mlo mtamu Allah akubariki 🤲
Looks so yummy. Wamama wa kiafrika are the best. The way she cooks 3 kilos like its half a kilo. Loved it.
Mama hongera sana nimependa ilo pishi raisi
Give your aunt a big thanks for showing us this delicious dish of East Africa. I can see it has all the flavours of the meat, veges, potatoes and spices together with 'kachumbari' makes its unbelievable.
Wa Kwanzaa wapi likes zangu da ika
👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽 kama zoteeeeeee 😂
@@ikamalle ❤️❤️
❤❤ Napenda unavyopika pilau
Mambo ya maji ni kiasi gani kwa kweli mi nikipima tu lazma yazidi au yapungue, ila nikikadiria tu na macho yanakua perfect😂😂😂
Yaani natizama mpaka kama naisikia harufu nzuri ya pilau kwenye mtandao! Mate yamenijaa mdomoni! Dah Saafi sana!! Ila bado sijajua kwanini pilau la uswahilini linakuwaga tamu zaidi??
Mama apo sijaona kirojo cha pili pili akh mate yani dondoka jipilau lime kubali 😋😋😋
Looks so yummy 😋 Could you pls list the ingredients coz I didn’t hear all of them.....ty
Analogue pilau yenyewe taaamuuu kuruka. Asante sana.
Délicieux Bon appétit 👍
I love this ,, so simple and real 😊🤗🌹✨🌹🌹,,, so yummy 😋😋🤤🤤🤤
Huuu nimetamani isee will cook thanks
Mabachela gonga like..
Jaman limechambuka vizir nataman hongera sana mpishi
Asante sana
Mamayangu uyu jmn love you so much 💗 ❤ 💖
🥰🥰🥰
Pilau linaonekana liko tamu sana sasa na hiyo kachumbari hapo juu you know what I’m talking about 😋😋😋
😋😋
Oooh yes baby we do😀😋😋😋
😋😋siku mkiwa mnapika hivi dada niite nije kuwa tester nilete ushuhuda youtube😅
Usihofu dear 😊
Napenda sana mapishi ya kiswaz swazi
Very nice! I can almost smell it from here!!
😊
So yummy I love pilau
Pilau la kupikia kwny mkaa Tamu balaaa😋
😋😋
Vp hakuna uwezekan wa kuipua pilau kabla viazi havijaiva kweny hlo pilau la uswailin ?
Masha Allah
Pilau la nguvu 👏👏😋
Na mm nitajalibu mama yangu upewe maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hilo ndy pilau sasa sio mapilau ya basmati na yakupikwa kwenye majiko ya gas
mmmh 😋😋😋😋😋
Nimeipenda hay mapish
Plz nielezee maji ni kiasi gani n the best spices to use from where exactly. Thanks n be blessed for the enlightenment
Pilau masala one cup of rice two cup of water
Simple and yummy
Yammy Yammy
Woow!upishi wangu jamani🔥🔥🔥
Mama haruna kafanya kazi saana hahahaha
waaaaaaa yammmy
Sawaelewi kabisa tajeni kila kiungo kwa jina
Kwani hapo nitaja kwa nini kama sio majina????
@@ikamalle kila step taja hio spice it will be easy to make notes
Please Ika, nina ombi kujua recipe ya viungo vya pilau wanavyochanganya uswahilini
Hata mimi my dear
Lkn hivyo vitangatio ndo cja vifamu vizur dadangu na ningependa kujua
Hapana chezea polau laki TZ wanitamanisha jamani
I remember mambasa raha 🥺
Sweet!
You're always really darling ma sha Allah 💝💝
Asante dear 😋
@@ikamalle dada unawagen au mbona pilau kubwa sana
Familia kubwa Nobert
@@ikamalle hongera msalimie huy Mama alyepka nmependa pishi lake
Nimejifunza
Good
Kina kaa kuwa kitamu sana but ningependa kujuwa kupika kama kilo moja ( kilo 8)
Ety dada Ikka pilau hili mbon. Limetiwa nyanya??
Pilau ukitia nyanya linakua tamu sanaaaa 👌👌
Kajaribu kutia nyanya ni tamu balaa
Nimekubali
Almost like my recipe Ila mi nikishakaanga viazi vikipata tu viungo navitoa kwanza halafu navirudisha tena maji yakikauka coz nikipika ivo vinaivaaaa kiasi vinapasukapasuka
❤❤❤
Nice jmn
Pilau linavutia mama
asante sana mama
Sasa ndo kusema makontena hayakuwepo au🤔🤔🤔
Makontena yaliisha 😂😂
Can you pls write the recipe in English below thanks
Black pepper
Cardamom
Garlic
Onions
Salt
Pure tomatoes
Cumin
Bell pepper
Cilantro (option)
Potatoes
Beef or goat meat
Rice
I'm hoping I didn't miss anything else
Waaaaah where has this account been ??? 😍🥴🥴🤤🤤🤤🤤🤤🤤yaani yaaaaaani this food 🤤🤤🤤🤤🤤
Tamuu 😋
Dada aika amesahau chumvi😃😃
Angalia tena Vizuri (6:16)
Tayali means alright?
Exactly!
She said "iko tayari!" "it's ready!"
@@ikamalle Oh👍
@@sandropulahr562 hhhh i get it,)
Tayari means it’s ready
Chumvi inawekwa mwisho eehhh??
hujatuwekea vipimo na mahitaji kipenz
Hili lapimwa kwa macho dyadya, 😂😂😂kiafrika zaidi
Kitu hicho Jamn kimenoga
Ika love u xo much
Uswazi rahaa bwana
Rahaa sana
mashaallah
❤
😍
Mafuta ni kiasi gani kwa hizo 3kg
Salam alekum
Jamaniiii 😏😏😏😏😏☹☹☹☹☹😋
Mbon swaum zimepondwa na maganda
Vp chumvi🙆
Mate yananitoka
Mpka mate yamenitoka🙄
😂😂😂
B mkubwa ana balaa hatari kabisa
Sanaaa 🔥🔥🔥
Ni tamu sana uswahilini
Tamu san
😋😋😋😋😋😋
😋😋😋
Kwani dada vitunguu swaumu hamtoi maganda
Havijatolewa
?? Clearly you can tell the garlic is cleaned out🙄dumb comment
@@shironganga1395 mind your business
Kwikwikwi bure kabisa 🙄
🤤🤤
😋
🤤🤤🤤🤤🤤🤤🤤
😝
Mm mm
I love this ,, so simple and real 😊🤗🌹✨🌹🌹,,, so yummy 😋😋🤤🤤🤤