Hi Lovies Video za biashara th-cam.com/play/PL0lMsQJd3yDB5YqRtSZUla-Wb9N9XMqd5.html Please Subscribe tuweze kusonga pamoja please share the video 🥰 #roadto50k ✔️Mahitaji ya hii pilau ya Kilo 50 hayo hapo chini ukipenda zidisha ila too much of something is poison Pilau mix ½Kg Onion 3Kg Garlic ½Kg Paste 1Kg Uto 10 Litre Hoho 2Kg Tomatoes 2Kg Ginger ¼Kg Dania 6Pcs Salt 1½kg Maji 4 geleni(zile kubwa)Silazima yatumike yote yategemea na mchele zaidi angalia video🥰🥰 Ukitaka ya 10kg punguza vipimo🥰🥰 yaani cheza na kugawanya tu!
Hi Lovies
Video za biashara
th-cam.com/play/PL0lMsQJd3yDB5YqRtSZUla-Wb9N9XMqd5.html
Please Subscribe tuweze kusonga pamoja please share the video 🥰
#roadto50k
✔️Mahitaji ya hii pilau ya Kilo 50 hayo hapo chini ukipenda zidisha ila too much of something is poison
Pilau mix ½Kg
Onion 3Kg
Garlic ½Kg
Paste 1Kg
Uto 10 Litre
Hoho 2Kg
Tomatoes 2Kg
Ginger ¼Kg
Dania 6Pcs
Salt 1½kg
Maji 4 geleni(zile kubwa)Silazima yatumike yote yategemea na mchele zaidi angalia video🥰🥰
Ukitaka ya 10kg punguza vipimo🥰🥰 yaani cheza na kugawanya tu!
Mashallah chakula mzuri. Na kumbuka zamini sikale, 1968-72 Uganda ndio hivo tulikuwa twa pika pilao za harusi, hakika awo hafula.🌴
I love how everyone is helping around with cooking. The pilau turned out so well.
Thanks mpenzi
Hadija unanigeuza kuwa Mama Lishe rasmi wallah , Allah barik
Yeees nataka sqna uwe mama lisheeeee😍😍nimefurahi na karibu
Ameen
@@HadijaSheban Ahsante kipenzi ... Vipimo kwa description pls nijue naanzaje
Wow the pulao looks so inviting thanks for sharing with us
Thanks dear
Mash allah napenda sana chakula cha kupikwa na kuni kinakuwa na tasty mash allah
Tasty mwanzo mpaka mwisho hakina mfano😋😋
Mashaallah, may allah bless you for being selfless 🙏🏼
Tabarakallah my love Allahuma Ameen
Mashallah sister khadija shukran ❤🥰🥰🇴🇲
Tabarakallah darling ❤️
Inaitaji nguvu sana na hongera ❤️ madam chef
Asante sana chef wangu
Dada hadija hongera kwanza kwa kazi nzuri
Mashaallah nlitamani nipate hii pilau Kama sai yaani inavutia sanaa
Tamu sanaa na kajuive weuuuh
Maa sha ALLAH ilikua poa
Sanaa
Wow it turned out so well thanks for sharing ❤️❤️
Welcome dear
Jee watu 500 wanaweza kuwapikia kilo ngap za mchele@@HadijaSheban
Walaikum musalam kipenzi tumeenjoy wow yumyum 😋😋
Asante sanaa kipenzi
Mashallah mashallah keep it up gal
Thanks Love❤️❤️
mashaAllwa toeni muziki
Okey sawa
Ma sha Allah yavutia
Na tamu sana mpenzi
Naulza mwenye anajua bei ya hizi sufuria hupika kilo 50 aniambie
Kwakweli sijui pia mm nataka nunua nkijua nitakwambia
Amazing 😍
Thanks
ما شاء الله
Tabarakallah
Weeee nimejifunza
Asante love
Mzr san ...pia tunaomb uwek discription..ya v2 ulivotmia ..chin ya box
Sawa kipenzi nasghulikia baby nitaweka kila kitu
Wafaaa. Kutumia Maji kias ganii 😮
Soma comment nimepin
Aa nice vedeo mashAllah.kilo 20 biriani mchele watumia nyama kiasi gani?vitungu,viazi na tomato plz let me know
Ws love kindly reduce the ingredients zenye nimetaja kwa 50🥰
Please do pili pili yambirimbi it made pilau my favorite school lunch
I will dearest
❤❤❤❤❤
Masha'Allah... tupe recipe ya mbirimbi dada
Inakuja soon mpenzi
@@HadijaSheban in shaa Allah
Hello there, how’s it going? Definitely mouthwatering
Hello so cool on your side?
Nice
Thanks
Margedi moja ni watu wagapi plz
Maa shaa Allah
Tabarakallah 🥰
MashaAllah 😋👌
Tabarakallah ❤️
Kwani hukuosha Michele?
Ndio
Hii mob yenye imepikwa kwa mawe ndio the best and tastes amazing😋👌. Sasa wacha nilete plates zetu msitumalizie nyama😆😆
🤣🤣🤣musikuje wemgi pls.sis...yeees hi nitamu kushinda za 2kg
Umetumia mchele aina gani?
Mchele unaoitwa biriani
Am still wondering how you guys managed to balance all the ingredients.
It was not easy but penye wapishi hapakoseki jambo
😋😋😋😋😋😋😋😋
Hi dear thank you for this...ume tumia Rice Gani?
Hi zile tu za local
Hadija tafadhali ipike hio pilipili ya mbirimbi niione ...🤗
Nishapikq love search pilipili ya mbirmbi hadija utaipata
Mashaallah
Tabarakallah
Samahani auntie nyama ilichukua dakika ngapi kuiva na je ilikuwa brownish?
sikuhesabu dakika ila iliiva kwa moto mdogomdogo
NAPENDA SANA
Asante kipenzi
Keki plz
Mbona hakuna viazi?
Hatukueka tulihofia kuharibika tukieka
Assalamu alaikum. Naomba ingredients zakupika pilau 50kgs please. Thanks
Waaleykhm mussalam soma vizuri hapo juu niliamdika ukitaka unafanyaje🤗
Mbona haina viazi?
Ingebaki ingeoza
Salt kiasi ngani
Soma chini
Faaris
Hadija unavofunikia mfuko then ukaeka moto juu si mfko unaungua ndni ya ubwabwa??au unaprotect vip usiungue...
Hio ni karatasi kama gazeti vile nibora iungue karatasi kuliko wali wenyewe
Ok shkran..unjbu on time mashaAllah..
Silazima uweke carrots
Ukipenda waeka
Mafuta umeeka lita ngap
Nimepin hio . comment
Chakula kitamu vp naweza pata wap sufuria mzito Kam hyo
hizi mpishi alikuja nazo
Nyamba hakuna😆
🤣
Mchele ulikua kilo ngapi
60kg but sufuria kubwa was 50kg
Dawa za pilau zilikua kiasi gani
Am sorry nawaandikia pls
Nangojea hii pilau ya 50kgs nione yapikwa vipi.
Asante sana
Faars
Maa sha ALLAH
Thanks dad🥰
Mashallah
Tabarakallah