HANDSOME AFUNGUKA ANAVYOPIGA PESA KWA KUUZA UJI MTAANI!
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
- Kijana Frank Wakuru anayefanya kazi ya kuuza Uji kwa kutembezakatika maeneo mbalibali ya jiji la Mwanza amefunguka anavyopiga pesa kupitia kazi hiyo.
www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App
Hongera sana brother tumiya furusa yako bila uonga wala kujali fulani atanijadili vipi ....👏👏👏👂👂 piga kazi
Safi sana brother umeamua kujizima data
Hongera sana kaka Mungu azidi kubariki kazi ya mikono yako🙏
Kazi nzuri sana Mungu akuongoze kakangu utakuwa mbali sana
Hongera sana kaka ila mtangazaj umepoa
Vzr sana kaka mkubwa
Kaka hongera
Hongera sana brother 🔥🔥🔥
Nzuri Sana Ila nnachomshauri ajibrand awe na jina la biashara yake
Boss big up
Dope
Bg p