ISSA TAMBUU ATEMA CHECHE ALICHO FANYIWA DIAMOND NYUMBANI KWA P DIDY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 11

  • @CragPierre
    @CragPierre หลายเดือนก่อน

    Issa ! Jitoe. Jifanye hujui hii issue. Utaharibu jina na biashara Yako. Ushauri wangu wa bure

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 หลายเดือนก่อน

    Yeye natimu yake walimshambulia sana hamo kwenye.issue ya crdb. Leo yamemkuta kweli malipo ni. Hapahapa😂😂😂

  • @joctanmtambi895
    @joctanmtambi895 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa mnaanzaje kuzusha kitu msichokuwa na uhakika nacho

  • @MajaniAntony
    @MajaniAntony หลายเดือนก่อน

    Hawez kumuacha dd katafunwa mtoto

  • @balagamijebalagamije4152
    @balagamijebalagamije4152 หลายเดือนก่อน

    ila huyu jamaa anaakili sana

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 หลายเดือนก่อน

    We mbona unauliza maswali siyo Yake pumbavu ulikuwa hauna akili timamu huyo muulize magari Na majumba Kuku jike we

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 หลายเดือนก่อน

    Issa na dotto ni marafiki awagombani.

  • @CragPierre
    @CragPierre หลายเดือนก่อน

    PD ni another level ! Jamaa ana akili. .Hii scam na business wa TZ tunahitaji kuielewa vizuri kabla hatujaongea na kujibu maswali ya waandishi wa habari. PD ni genius. Money maker. Master Planner. Ndiyo maana yeye Yuko kimya. He knows what is doing kupitia hao wote wanaotajwa kwenye scandal hii. PD will keep making more money forever.

  • @adamlubawa1281
    @adamlubawa1281 หลายเดือนก่อน

    WEWE MTANGAZAJI NI MBEA NA INAONEKANA HUMPENDI MONDI SABABU
    MASWALI YAKO NI YA UCHONGANISHI NA UMBEA ACHENI WIVU

    • @AdamLameck-x5n
      @AdamLameck-x5n หลายเดือนก่อน

      Shobo mond apunguze ucpende ushoga wewe

  • @GhaniaSaid-u5k
    @GhaniaSaid-u5k หลายเดือนก่อน

    Ucmtj mtume kwnye ujinga