HAMISI BSS AMEFUNGUKA JINSI ALIVYOPATA MKE WA KIZUNGU / ANA PESA NYINGI SIMUACHI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • HAMISI BSS AMEFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA JINSI ALIVYOMPATA MWANAMKE WAKE WA KIZUNGU NA JINSI ANAVYOPIGWA PIGWA VITA NA WATU KUHUSU MWANAMKE HUYO FULL VIDEO TUMEKUWEKEA HAPA
    #manaratv #hamisibss #mzungu #bongostarsearch #bss

ความคิดเห็น • 18

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 ปีที่แล้ว +2

    Manara ana roho nzuri sana sana ukirudi Makkah nitakutafuta

  • @Osamactor
    @Osamactor 3 หลายเดือนก่อน

    Makin ndugu Kaz mzur ujumbe ume fika Mzee mwana mke aki penda awezi kuomba ela pesa au huduma ni majukumu ya kawaida kwa wapenz ana weza kua nacho mwana mke mka saidia siku yeye Hana au wewe huna mna saport ana ivo yan

  • @jasonplayz4394
    @jasonplayz4394 10 หลายเดือนก่อน

    Amisi wa biss sihoni ajabu yeye kuwa na mzungu mana walimtabiriya mapema kama atatoka namzungu kwahiyo utabiri wamtu unapotolewa uwa kama utani lakini mwisho utabiri lazima utimiye 🎉🎉🎉❤

  • @GraceHizza-lc9zp
    @GraceHizza-lc9zp ปีที่แล้ว

    Sa umenenepa au macho wangu😮 fanya maxoezi bwana.

  • @ankalimohamed1148
    @ankalimohamed1148 ปีที่แล้ว +1

    Hamisi! Hamisi! Hamisi! Umekuwa ni Mtu wakuvaa Vipuli😮Umehadaika na Nini Wewe😮Ufahari wa Dunia!!!

  • @FaridaJuma-y8x
    @FaridaJuma-y8x ปีที่แล้ว +2

    Kweli pesa ibilis uyu sindio aliekua balagashia aitoki uyutu

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy ปีที่แล้ว +1

    Innalillah Hamisi umekua unavaa Msalaba,pia umevaa Flana yenye picha yanguruwe nimsiba kwakweli

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 ปีที่แล้ว

      Bongo nijanbo lakawaida mbona 😂😂

  • @Lulualshagri
    @Lulualshagri 11 หลายเดือนก่อน

    Mapuli msalaba daah si mchezo

  • @OhongoihondeIhondeohongoihonde
    @OhongoihondeIhondeohongoihonde 11 หลายเดือนก่อน

    Achen wivu sasa mritaka achukuwe nani ,mtaka mmchagurie hata mahusiano

  • @Lulualshagri
    @Lulualshagri 11 หลายเดือนก่อน

    Mzungu wenyewe njaa halafu tom boy isiwe anakufanyia vitu sivyo kwa njaa yako ohooo shauri yako

  • @congojohnpius4554
    @congojohnpius4554 ปีที่แล้ว

    Kwanini 😢

  • @عبداللهالعازمي-ع3ش
    @عبداللهالعازمي-ع3ش ปีที่แล้ว

    Kanenepa

  • @Mwatima-o8v
    @Mwatima-o8v 11 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭😭😭

  • @Lulualshagri
    @Lulualshagri 11 หลายเดือนก่อน

    Dunia hadaa ulimwengu shujaa duuh umevaa flana poc ama kweli ndio huyo mzungu amekufanya hivyo au ulimbukeni wako na njaa yako

  • @AishaAthuman-xx4wq
    @AishaAthuman-xx4wq ปีที่แล้ว

    Hayo mapenz yamama zetu umri wetu tunaangalia maokoto usituchanganyr🥺🙄

  • @harunadaaprincesaidi5522
    @harunadaaprincesaidi5522 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂