@@cricwambali1352 huyu ni top six wa bss na Ile platform ukifika top ten ww ni mshindi maana unakuwa na nafasi ya kujulikana na watu weng Zaid hata Frida Amani alikuwa top three ya bss na Sasa yy ndio madam president kweny hii rap game na Sasa Kila akitoa kitu ni Dude naongea kwa ushahid, you talk nonsense.
Dada anajua,story zilezile za harmonise, nae huyu Master J alimfukuza kwenye stage kipindi cha BSS,ila kama unajua mziki unaona star ajae hapa kama watu watamshika mkono vizuri.
Kama aina hii ya mziki watu wengi wanapenda kwann wasanii wa kibongo wasituimbie aina hii ya muziki??wengne tunachukia Sana miziki ya wavuta bangi singeri na amapiano
Me namshaur apambane na maisha mengine..hawa wasanii ni mashetani....wanafanya kama hiyo . Then akijaa kwnye mfumo wanamtelekeza kama walivyomfanyia anjela......watakutumia tu
Dada kuwa makini sana Katika kipindi hiki cha ku_trend kwako,... Sa hv wanamezea mate nyota Yako... please jitahid wasije kulala na wewe hasa hao watu maarufu... Utapotea sister Yangu.
Namuona Pauline Zongo mpyaaaaaa🔥🔥🔥🔥 sijui labda sikio langu sio la muziki...
Absolutely
Yes
Yes
Na vile hatumii nguvu sasa❤❤❤🎉🎉Lydia ww ni🔥🔥🔥😍😍😍
BIG UP MREMBO MATUMIZI MAZURI YA MTANDAO , KIPAJI AMAZING ..
Zao la bss ipo siku hii industry ya music itaelewa umuhimu wa madam Lita kweny revolution
Acha upuuzi wewe alikataliwaga huyu ni juhudi zake
@@cricwambali1352 huyu alifika hadi top 10 mh
@@cricwambali1352 huyu ni top six wa bss na Ile platform ukifika top ten ww ni mshindi maana unakuwa na nafasi ya kujulikana na watu weng Zaid hata Frida Amani alikuwa top three ya bss na Sasa yy ndio madam president kweny hii rap game na Sasa Kila akitoa kitu ni Dude naongea kwa ushahid, you talk nonsense.
Yaan hatumii nguvu maashallah nimekupenda❤❤
Lydia since day one bss nikikwambia wewe utakuja kuw star mkubwa sana
She is very talented and she have very powerful voice ❤
Dada anaweza sana Bless your
Kazii safii kabisa isiyo lazimashwa❤❤❤❤❤
Anajua mpk anakinai..🙌🔥💯
Dada anajua,story zilezile za harmonise, nae huyu Master J alimfukuza kwenye stage kipindi cha BSS,ila kama unajua mziki unaona star ajae hapa kama watu watamshika mkono vizuri.
Mbona huyu alifika mpk top 6 kabisa sema master J huyu hakua his cup of tea.
Mashaallah 🎉
Atumii nguvu natural
Safi sana, uwezo unao tena sana. Utafika mbali
Mm mwenyewe nampenda ❤❤❤❤
Kama mm
Nomaaah saana aisee 💯🔥 good Voice music
Akika unakipaji mungu akufungulie milango ya mafanikio yakipaj chako
She is so talented
Anajua anajua Anajua tena❤❤❤
weeeeeeee dada anajua inabidi achangamkiwe halaka sanaaa anakipaji kikubwa
Umetisha sana
Yuko powa wasafi yuko pamoja
Hapondo utajua bss wanaua vipaji..hiki kipaji nacho kilikua kimesha uliwa duh!!
BSS si walimtupa😂 wasanii wanafiki si wafanye nae kaz
Ametisha sana hyu dada
🎉🎉🎉 kwel huyu dada noma cn
Lidya. ❤❤❤❤
Hongera sana nitakusapoti ukiitaji kufika mbali
❤❤so much
kweli ata mimi namkubali plz mchukueni mastaar plz alafu ni mrembo pia
Safari ngumu imeanza 😮😮😮 nakuombea Na uwe makini
Anajua
Nimempenda buleeee ana saut nzur
Sauti nzuri sana
Waoh
Bado nyie wanafiki mana ungemtag🤗🤗
Namuona Hawa wa nitarejeya
BSS sijui wanajisikiaje
Hiyo kawaida. Kama kwa Harmonize tu kilichomkuta
Wanajisikiaje wakati ndio uzao waoo bila bss ungemjua😂😂
Ukweli umeimba vizuri san yaan umetulia utumii nguvu
Nimeipenda usiogope njo kwenye geme
Kashatoboa maisha huyoo
BSS mwaka 2023-2024 top 5
Watu hawakioni jmn
Kama aina hii ya mziki watu wengi wanapenda kwann wasanii wa kibongo wasituimbie aina hii ya muziki??wengne tunachukia Sana miziki ya wavuta bangi singeri na amapiano
N motooooo
Talent Girls ❤❤
Anafaa akuje SNS tumjue zaidi Ako na kipaji sana mwanangu
Me namshaur apambane na maisha mengine..hawa wasanii ni mashetani....wanafanya kama hiyo . Then akijaa kwnye mfumo wanamtelekeza kama walivyomfanyia anjela......watakutumia tu
Daaaaa umetishaaaa
❤❤❤❤❤❤❤❤❤saf
Hao wasanii ni wanafki tu kwani hawakumuona BSS au wameona nyota wanataka waiibe?
❤❤
Kibaji
Yaani jambo lo lote likimgusaga kusah huwa linapoteza ladha kinoma,jamaa kwenye sanaa kama anatia nuksi ila anisamehe bure tu sio mimi tu
Moto
😂😂ati Mungu amempea kakako msaliti ambae anafanana nae
Msaliti au msaidizi wakufanana nae
Nice
❤Ila kawaida sana
Na wewe ni wakawaida sanaaaa
Acha wivu mbwa ww
😢😢😢😢 ndio akili ya mwaka 2025 hii unataka kutumia?? Duh
Mpeleke b ss salama na mr rasta atasema toka urudi mwaka ni
Alifika top 5 mwaka jana
Duh noma
Dada kuwa makini sana Katika kipindi hiki cha ku_trend kwako,... Sa hv wanamezea mate nyota Yako... please jitahid wasije kulala na wewe hasa hao watu maarufu... Utapotea sister Yangu.
❤❤❤❤
❤❤🔥🔥
❤❤❤🎉🎉🎉
Hao tunawahita waelezea hadithi aendelea Na mitindo hiyo hiyo ya kuimba hivyo na kuongea
Nilifikiri na Diamond ka comment
🔥🔥🔥
❤
Niliwaza kwann sns hamja mposti 😅
Utafika mbali
Huyu anakipaji
Sio bongo hiyo hata inginzwa kwe makundi ana shushw Kama phina kashushwa na Abby
Wcb wamchukue ndy atafika mbali
Lydia u trying to mak
Tena si alikuwa ana chechemea kweny bongo starch
Ndo huyohuyo
Si huyu alikua bongo stah search
Nm sn aisee
Unapatikana wp
Apo Aslay au mbosso wanatakiwa kumcholea mistari atasumbua
Wanataka kuiba nyota
Kapiga cover ya nyashinski mungu pekee aisee mkali sana
Rumba
huyu dada ni lidya alishiriki bongo star search ya mwaka jana
bss product
Kashatoboa
ALIKUA BSS HUYU
❤❤
She's so talented
❤
❤❤❤❤
She is so talented
❤❤❤❤❤❤