LYDIA JOHN WATU NA VIATU
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 14 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch
TikTok: bongostarsearch
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
Nani Yuko Hapa Baada Ya Trending Ya Huyu Dada 🙏🙏🙏🙏💖💖💖💖
Aisee Niko live namfuatilia
Oya ni mimi
Niko hapa na aliyegundua kuwa master Jay cjui alikuwa na shida Gani na huyu dada
Wallah mm apa
Me
TULIOKUJA APA BAADA YA KUONA VIDEO TIKTOK... like apa twende sawa
imejileta hiimi cku search ila aliimba kawaida sanaa sio kosa lake
Vipi Mrembo
Mimi
Neno la madam Ritta limefanya kazi leo, nilichoamini ni kwamba usichukulia poa maneno ya watu hasa yale ya kukutia moyo much appreciation @Lydia and @madam litta
ONGEENI MKIMALIZA SEMENI, ILA HUYU MANZI ANAIMBA THAN ANYBODY INSIDE THE CREW Aiseeeee!!!! WHAT A TALENT FROM ARUSHA LYDIA JOHN WHITNEY HOUSTON
Hatumii nguvu nyingi...it comes automatically....huyu naweza mfananisha na Alikiba..
Waliokuja baada ya kutrend😂😂na Ile klip yake
Mungu amsaidie ashinde huyu dada anajua kuomba jmn na anastahili❤
Dada kaimba kweli ,,master J ,,ndo kiatu au mwaonaje jaman😂😂
Shiet😂😂😂
Kabisa yan@@JoelMollel-l7r
Basi tumuite Master kiatu 😂
@@mpjozzegalvanize4926 kabisa yan maan hapendi maendeleo ya huyu dada wa watu
Nlikuwa natafta hii comment 🤣🤣🤣
kura ya ndio.. sister anajua❤
Asee uyu sis 🙌🙌🙌 cjaona wakumfnanisha kwa msimu huu
She is the top...keep it up lydia🎉
Kabsaaa hakunaa mwenye sauti kama yeye
Hongera Sana Lydia kiukwel umeingia kwenye list yangu ya wadada waliopita kwenye Bss na wakanivutia kiuimbaji yaani ni
Frida Amani 2015💯
Patricia Zephaniah 2019💯
Na wewe Lydia John 2023💯
Duu kauli ya madam Rita imetokea leoooooooo❤❤❤❤❤❤❤
everytime i listen to lydia i get goosebumps, a fan from Kenya. huyu atakuwa bibi yangu mungu akipenda
HAHAHAHAHA! Baki Hapo Ukiota...
kama vipi njoo Arusha
😂
usimzeeshe Bado mtoto huyo
Mtoto nan
Bibi ni nyanya
WENGI tumerudi huku baada kututesa na ile iliyotrend juzi.
Lydia you're just charming and gifted.
Nyota ndogo is a legend...I like the mix this girl put on...kuna WATU NA VIATU.Amazing sister WEWE NI SUPER STAR.
What TALENT🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 sauti ya Lydia inanipea Goosebumps kabisa😭😭😭♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Mungu msaidie lydia
MUNGU 🙏 hamtupi kiumbe wake ❤ tumekuja kukuangalia baada ya kusikia kuleeee😂
Tuliongalia baada ya mbosso kumtafuta
Hahah mm
Tuko hapa
Ingekuwa AGT wangeshamaliza mashindano wengine wanapiga mafujo tu vocal zero😂😂
But huyu dada anafanya mzki🙌🙌
❤❤❤❤kabsaaa
❤❤❤❤ huyu ndy mshindi wang
Wenye tumetoka tiktok mbio mbio wapi likes zangu❤
Lydia wangu nakupendwa sana Mungu akutangulieeee
We dada unajua, tena unajua, unajua, unajus, unqjua you are going to be super lady Tanzania🎉🎉🎉🎉
Kwanini huyu hajashinda, hapa ndo nagundua ili upite mahali popote tanzania lazima uwe na connection..mwisho wa siku tunazalisha vilaza katika taasisi zetu na kuacha wenye weredi...huyu dada atafika mbali haijalisha hali yake ya mguu Mungu amempa sauti nzuri
Ulimuona mshindi mkuu????
Njoo ujibu swali huku
Mungu muache aitwe Mungu
Kila jema kwa ridia wangu🙌.
Waoo umeimba vizuri sanaa
You hit the highest level, babes neema ya bwana ikutoshe
Uyu dada akishinda ntafrah sanaaa maana she deserves
Ila master unatukosea sana ww hupati hisia yoyote anapokuwa anaimba huyu mwamba ❤
For really huyu dada anaimba matamshi yanasikika na anajua sana surely 🎉🎉
Roho mbaya master j
Yes upo sahihi kabisa alembilembi matamshi
Lydia i love you since day one,mamaa,all the best❤❤
Wewe ndy star wangu ❤❤❤❤❤
Ndo ivo ameanza kutafutwa na mbosso mzee wa remix
God bless you my young one- you must hit the sky for it ain’t a limit to you any more.
Nakupenda dada yang mung awe nawe❤❤❤❤❤❤❤
Vocally she is the best in here....yan basi tu🙏🏾
Ila mi toka mwanzo nilikona kuwa unaweza sana hongera😢😢
Leo umetabasam❤
I love this girl❤❤❤
Lydia Yuko juu sana anajua kuimba sana
Mungu akutangulie unajua sana. Pia tabasamu ni muhimu sana dear
Ila kiukweli niseme ukweli master j ni mchawi na mchawi siku zote apedag mafankio .. kumbavu zake amekuwa akitroll uyu msichana tagu mwazo..big love Lydia from KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 madam Rita big love 💕 too
Lydia vocally she is very very good anasikika vizuriiiiii
Kabisa yn 😊
Very true
❤ Jaman dada lidy uko vizr san sauti unayo mashallah ❤
I love you so much ua so talented 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
madam litha uwq anaona mbali sana❤
Uyudada nimempenda sana kanimbia nyimbo naipena lidy 🎉🎉🎉🎉ongeraaaaa😂😂😂😂😂umenifuraisha
👏🏽👏🏽👏🏽MUNGU akutangulie katika safari yako mamiloo
All the way from tiktok
😂😂 welcome 🎉
Alivyotolewaga iniliumia coz sauti yake ni tamu sanaaaaa
Wow!! she can sing
Awwwh❤❤ not only talented but blessed
Huyu mdada kipaji anacho yani nampendaaaa
Her vocal is everything ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Ameimba vizuri sana❤
Uko comfortable Sana mwaya uko 🔥🔥
Naipenda sauti yake kwakweli
Dada kaimba vizuri saana
😢😢 huyu dada kanikumbusha mbali sana😭 nimemkumbuka mama Yang miaka 7 sasa sijamuona niko mjini natafuta maisha 😭🥺 mama yangu nikiwa mdogo mama yuko anafua akiimba huu wimbo na mimi nikiwa kando yake nacheza😅😂 lidya asante sana na ukafanikiwe kwenye mziki wako🥰🥰🥰🥰
Wow madam anatia moyo sana
U av shown the world that no hindrance or limitation can bring you down.. keep it up
kwani ana dissability gani?
@@waltergilbert3967mguu mmoja haupo sawa
@@waltergilbert3967 mguu mmoja una shida
Master J hajui hata kuimba sasa ana judge nn mdada kaimba vizuri alafu Master J anasema kaimba vibaya duuu huyu Master J ndio watu na viatu
Kabisa master j anabahatisha anajudge kwa mihemko, hajui mziki vizuri, bahati mbaya watu wanamfatisha 😂. Ukiwa unajua mziki ndo unakuja kujua how weak he really is kimziki.
Dada kaimba vizuri.ila msisahau kama master ni mzoefu kwenye mziki
😂😂😂 eti master jay ndio watu na viatu😂😂umeuwaaa arifu😂😂
watu ni sisi half viatu ni master j
Mkuu unaandika huku unavuta hookah?😂 kwa hiyo master hajui mziki😂
❤❤uko vzr
Mimi naomba hiyo BSS ifutwe Tanzania kwasababu hakuna wanachofanya master wanawaacha wanachikua watu wasiokua na kipaji
Mwenye chuki zk ashidwe ww nimwibaji❤❤🎉
Master j nadhani anataka kumpotezea huyu dada mashabiki dis gal can sing n hav big voice
😂😂 kweli kabisa maana kashawatoa kwenye reli kibao
My anajuwa san tatizo anafunguwa kinywa kwa sana😍😍
wengi tumekuja baada ya trending ndo tuone 🤣🤣🤣🤣
Wow, dada unajua sana
Mbaya sio nzuri ata
Wakwanza kabisaaaaa uyu kuimba nyimbo y Kenya haya mashindano y mwaka huu
Best talent
Ana sauti nzuri sana yaan
Kwann hakushinda for this BSS 😂 mbona anajuaaaaa sanaaaa yooooh
@@perfect-r9sAlf kiswahili hujui 😂
Huyu ni 🔥
Lidya final amesmile😊😊
Wow!, good job ❤❤.
Bongo start search please boresheni jifunze kupitia maajabu talent Congo na wacezaji moto mnao
chukua maua yako dada💐💐💐
Mungu yupo nwe
Jamani mwenye ana wimbo wa MASTER J nina shida nao!!😮😮😮 very sana.
😂😂😂😂😂😂😂
My all time top fan🔥.. Sky is the limit 💥
Aloooooooooooooh so amazing
Gooooood
❤ she is the best
11/1/2025 Ndo naiona kwa mara ya kwanza
Tupo
kaka yangu alikimbilia kuoa nikaimba .................🎧🎧🎧
Alikuwa kawaida sana. Nakubaliana na Master J. Naongea kama producer wa mziki
mziki gani sasa😂
All the best lydia jmn
Mungu atakusaidia ucijal
Lidya yupo vizuri
Keep it up Lidya ur the best🎉
From tiktok dec 2024
Yeah 2025
Aise master J kaongea ukwel ..kaimba kwa note kali sana nyimbo imekosa mvuto
😅😅 aya jaji🤣🤣
Eeh eh eh😂 we jamaa imba wew sasa😂😂
Yan kama hii nayo ni note Kali basi hujui kuimba aisee .. na hapo kakaa angesimama toka mwanzo ungesemaje.... Hiyo ndo key ya wimboo huo!
Mm naona kaimba vizr sana
Hivi unajua note kali?!
uyo master jay haelewagi wasichan yan yy anapenda marapper tuishi naye tu kwa kwel
❤❤❤ my Lydia
Bahati mbaya n kwamba haondoki Leo wewe Ndio utaondoka 😂😂😂 salama
Dada anajua kuimba aisee