MZEE DALALI WACHEZAJI WETU HAWALOGEKI/ NAWAJUA WAGANGA WOTE/ USO KWA USO NA KIBADEN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Hhuyo ni Mzee Dalali akiwapa onyo Yanga kutusu kuwaloga wachezaji wao huku akijitapa kuwa anawajua waganga wote
    "Is a life's and sports channel our vision is to develop and deliver world class Broadcast-based on local and international market"
    #sports #footballclub #zuchu #azamfc #harmonize #harmonize #singidafountaingate #simbanation #footballclub #sports #soccerclub #footballclub #zuchu #azamfc #middlesimba #harmonize #singidafountaingate #zuchu #simbanation #footballclub #sports #azamfc #middlesimba #harmonize #singidafountaingate

ความคิดเห็น • 36

  • @ambassador1067
    @ambassador1067 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mzee kibadeni M/MUNGU akuweke sana na akupe umri mrefu zaidi INSHALLAH.

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kng Kibadeni mungu akupe maisha marefu unaumhim sana Simba tupatie ushauri

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli mzee:watoto wakirudi kule msiri waombewe sana. Wanaturoga sana🎉🎉🎉❤❤❤

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 3 หลายเดือนก่อน

    Kibaden na kisiwa na wewe mzee wakiludi watoto wale toka msiri waombewe. Uchawi upo.tunakuwa unalogwa jamani❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉👍👍👍👍👍

  • @frankP-jh5xw
    @frankP-jh5xw 3 หลายเดือนก่อน

    Asante San mzee simba nguv moja

  • @MartinDismas-ou5oy
    @MartinDismas-ou5oy 3 หลายเดือนก่อน +1

    VWazee wetu, kumbe mmegundua.Nawapongeza Sana. Tuamkeee❤❤❤. Tusionelewe siku zote.😅😅

  • @lyosimwaalyosi5981
    @lyosimwaalyosi5981 3 หลายเดือนก่อน

    Wazee wetu wapo vizuri, tujifunze kwao, uchawi hapo tunawachungaji hapo!

  • @barnabasstanslaus6895
    @barnabasstanslaus6895 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ukizimia zimiaa zimiaa kesho huamkiiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂 🎉🎉🎉 nguvu mojaaaaaa Inshallah 🦁💪💪🙏

  • @HemedYusuf
    @HemedYusuf 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani wanasimba amkeni mapema Hawa yanga wanawaroga sana wachezaji

  • @jumaali9243
    @jumaali9243 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli viongozi walilala nashukuru mmewakumbusha viongozi muwe bega kwa bega na wazee wachezaji wa zamani . Huo ni umoja wa kujenga timu

  • @SalumMwankemwa
    @SalumMwankemwa 3 หลายเดือนก่อน

    Simba mnazidiwa nje kamati ya ufundi na akina manara

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 3 หลายเดือนก่อน

    SIMBA NGUVU MOJA🎉🎉🎉🎉🎉😂❤❤❤❤❤😂😂😂

  • @joely22
    @joely22 3 หลายเดือนก่อน

    Wzeee wameamua kwa kwelli ila Siyo magoma 😂😂😂

  • @HapNdondole
    @HapNdondole 3 หลายเดือนก่อน +1

    Akuna timu inaroga inchi hii kama yangaaaa yaani bila uchawi kushinda kwao ni mbinde hawafaiiii😂😂😂

    • @muhsiniamiri9310
      @muhsiniamiri9310 3 หลายเดือนก่อน +1

      tumefany usajir kk hay mawaz tuondoe mpira umebadlik tutabakia uchawi mpk Lin wenzet walikuw na tmu nzur na ndo ilowap ushndi kwqmwqk huu tmefny usajir mzur hvo lawam haztakiw kk

  • @JuhudiKasanga-yq5ks
    @JuhudiKasanga-yq5ks 3 หลายเดือนก่อน

    Acha bwebwe mzee nanini analoga wachezaji wabovu TU hao

  • @hamisally9255
    @hamisally9255 3 หลายเดือนก่อน

    Jipangeni na nyinyi

  • @allyhabiby529
    @allyhabiby529 3 หลายเดือนก่อน

    Kudadadeki😂

  • @SULEIMAN-l8v
    @SULEIMAN-l8v 3 หลายเดือนก่อน

    HALBADIRI LAZIMA

  • @RobertChagula
    @RobertChagula 3 หลายเดือนก่อน

    Tatizo siyo kocha mzawa au wazawa, siku hizi kocha anakua na jopo la wataalamu wake kamili kama vile kocha wa makipa, wa viungo, mtaalam wa physio, msoma video na match ,kocha msaidizi,sasa makocha wazawa bado sana kufikia level hiyo, tuwe na subira tusitake mambo kwa haraka, tuwaandae kwanza hawa makocha wazawa kwa kusoma na kuwapeleka nje kuona mambo yanavyofanyika kisasa

  • @abdalla8193
    @abdalla8193 3 หลายเดือนก่อน

    NJONI PEMBA MWAMBE TUIMALIZE YANGA KAMA YANGA WALIVYO IUA PAN AFRICA MWAMBE PEMBA

  • @hamisally9255
    @hamisally9255 3 หลายเดือนก่อน

    Mzee mbona wewe unajua kamat zipo mbona nyinyi wazee wa Simba mmelala amkeni

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 3 หลายเดือนก่อน

    Hassan Dalali Mwamba

  • @gharibbilal9180
    @gharibbilal9180 3 หลายเดือนก่อน

    Yanga kamampira uchawi haupo mbana mnaongoza kuruka ukuta hahaha ubayaa ubayaa marahii

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le 3 หลายเดือนก่อน +1

    Aliyemwambia mpira ni sayansi ni nani bac kama mpira ni sayansi tusingeleta makocha tungeleta walimu mashuleni wafundishe ww yanga ww

    • @CholoMwamba
      @CholoMwamba 3 หลายเดือนก่อน

      Kocha py nimwalim km ujacheza mpila uwezi kujuwa

  • @athumanmapunda
    @athumanmapunda 3 หลายเดือนก่อน

    Wanga hauchezi mpira niujinga mtupu mpira ni sayan si

  • @IssaallyIssaally
    @IssaallyIssaally 3 หลายเดือนก่อน

    yani hawa ndio unawategemea waongoze mpira kwa nguvu za kiza hamfiki mbali wenzenu wanachukua wasomi nyie mnawaza uchawi

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 3 หลายเดือนก่อน

      Ndio Mpira wa bongo,,,

    • @athumanibakari8618
      @athumanibakari8618 3 หลายเดือนก่อน

      Avick town mlikuwa mnafanya Nini??

  • @AkramIbrahim-c8w
    @AkramIbrahim-c8w 3 หลายเดือนก่อน

    Mzee Wacha Ujinga Hersi Said Anajua Kutafuta Wachezaji Sababu Yy Bolt Analijua Mo Mfanya Biashar Muhindi Na Mpira Km Maji Na Mafuta Mnalaumi Mnarongwa Awaroge Nani Kwa Lipi

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 3 หลายเดือนก่อน

    Kibaden na kisiwa na wewe mzee wakiludi watoto wale toka msiri waombewe. Uchawi upo.tunakuwa unalogwa jamani❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉👍👍👍👍👍

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 3 หลายเดือนก่อน

    Kibaden na kisiwa na wewe mzee wakiludi watoto wale toka msiri waombewe. Uchawi upo.tunakuwa unalogwa jamani❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉👍👍👍👍👍

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 3 หลายเดือนก่อน

    Kibaden na kisiwa na wewe mzee wakiludi watoto wale toka msiri waombewe. Uchawi upo.tunakuwa unalogwa jamani❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉👍👍👍👍👍

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kibaden na kisiwa na wewe mzee wakiludi watoto wale toka msiri waombewe. Uchawi upo.tunakuwa unalogwa jamani❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉👍👍👍👍👍