Hamisi we fundi, kuimba unaweza, gita unapiga. Hafu ushindi anapewa mtu anayejua kuimba tu. Duh kweli anayestahili hapewi. Hongera sana Hamisi, utafika mbali sana
kaza buti mdogo wangu usikatishwe tamaa na walimwengu kama ipo ipo tu utafikia marengo yako anaesema hamisi anaweza usipite bila kuweka like hapa ili tusapoti kazi yake
Wanao amini kwamba msimu uliopita tuliudhika na kuahidi hatutoifatilia tena BSS, kwa kutompa ushindi hamis na uonevu mwingi msimu huo na leo wameamua msimu huu aje kutumbuiza ili tuifatilie tena, like zenu jamaniii
kwani aliwarizisha au ma juggles hila hawakuona kitu sasa umetaka awaimbie nyimbo mpya ya nini ili wamupe nini wakati Jay kasema hamuna kiurumaruma nenda zako huko
Hamisi we fundi, kuimba unaweza, gita unapiga. Hafu ushindi anapewa mtu anayejua kuimba tu. Duh kweli anayestahili hapewi. Hongera sana Hamisi, utafika mbali sana
Kweli kabisa. Hebu mtu aniambie kama Diamond anaweza pupiga gita
kaza buti mdogo wangu usikatishwe tamaa na walimwengu kama ipo ipo tu utafikia marengo yako anaesema hamisi anaweza usipite bila kuweka like hapa ili tusapoti kazi yake
Unajua .janja
Sana nakukubali
❣️❣️❣️❣️❣️❣️ Mungu akutangulie my dogo.
One day utatoka tui, never give up.
Hata harmonize alikatishwa tamaa Ila Sasa hiv ni 2nd star in Tanzania
Waooh Chali yangu wa Gatumba Hamis Bss Duh Chali Yupo vzr uyu kinoma Noma
Your so talented japo walimwengu wanakubania ushindi ila Allah atakufanyia wepesi msimu huu
Khamis fundii tulikumis sana
Anajua sana kuimba huyo jamaa
Wanao amini kwamba msimu uliopita tuliudhika na kuahidi hatutoifatilia tena BSS, kwa kutompa ushindi hamis na uonevu mwingi msimu huo na leo wameamua msimu huu aje kutumbuiza ili tuifatilie tena, like zenu jamaniii
Mm niligawa na king'amuzi cha startimes nikaenda kununua Ds tv kabisa
Ana sauti nzuri ya kuimba. Reincarnation of the original singer.
Who's the original singer?
Khamis wewe fundiiii tuache uongooo unawezaaa saaaaanaaaaaa
Hamiss wi loveyou ❤️❤️❤️❤️☝️
Number one
Nitumie namba yako
Fundii sana ww bro
Unaweza sana
Hamis kaja nakaa dah ongela mungu akusimamie
Hamis anajua nampenda sana best yangu
Unajua sana mdgo
Upo vizur hamisi
I like it bro nice 👌 songs
Anajua jamaa an anajua mpk anakera ww ndo ulishnda sema dah bc tu
Khamis kanenepa sana jamani... Aiseee huyu ndo alikuwa na haki
Umeon ee
Hamis kanenepa jaman
Keshaanza kuzikamatapesa
Unatisha hamisi yani we ni m
Kali
Nshidi wangu uyu,na wanajua
Big up saaana miss you so much
So talented 😌
Nampenda bure wallah
Safiii
Duh sio mchezo
HAMNA KITU ANACHOFANYA HAPA... ILA LAST BSS WALIMDHURUMU HAKI YAKE TU
He's talented
Nimekupa fite boy toka manyema
Mshindi wa Bss misimu wa 10
He's talented!!!!!!
uyu myu akitumika vizuri anaeeza fanya makubwa kwenye gemu ya mziki wa tz
🔥🔥❤️❤️❤️❤️🙌🤸♂️
Khamis we mtaalamu wabongo wawatu kazabuzi baba hapo hapo komaaa
duuu unanikumbusha kbsa we upo juuu
Me nawez kumwita fundiii
❤❤❤❤
0:31 inaitwajwe?
Unakipaji hamisi endelea usifee moyo
Jama huyo ndo alikuwa mshindi 2019 siyo meshack
Hukufatatilia wew meshack hafai huwez linganisha na huyu mtoto!
Labda kwa mwaka huu
Safi
Love you hamis
😍
Dem gani unavigimbi? 😂😂😂
hii nyimbo inaitwaje jamani?
neema sadaka Inaitwa 'Nipate Lau nafasi'
Wanazindua nn matapeli wa BSS mbona meshak hawajamlipa hela zake
Kashalipwa
@@mariamukingazi3668 kumbe ila wahuni sana hao BSS
Yah ndo wamemlipa juz mwaka huu
Hamna kitu hapo sa nyimbo kila siku ile ile tu habadiriki
Usikatishe tamaa wenzio lione
Meshack kaimba nyimbo gani toka ashinde dogo ndo alistahili ushindi
Wewe unaweza au domo tyu
kwani aliwarizisha au ma juggles hila hawakuona kitu sasa umetaka awaimbie nyimbo mpya ya nini ili wamupe nini wakati Jay kasema hamuna kiurumaruma nenda zako huko
Hawaangalii nyimb
Waooh Chali yangu wa Gatumba Hamis Bss Duh Chali Yupo vzr uyu kinoma Noma
Safiii
❤️❤️❤️❤️❤️