MAAJABU! PAKA 'ANAYEONGEA' AZUA TAHARUKI DODOMA, MASHUHUDA WAELEZA "AMESEMA ANA NJAA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • MAAJABU! PAKA 'ANAYEONGEA' AZUA TAHARUKI DODOMA, MASHUHUDA WAELEZA "AMESEMA ANA NJAA"
    www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 271

  • @mansourjuma3731
    @mansourjuma3731 9 หลายเดือนก่อน +17

    . Ni huzuni sana kw kiumbe wa Mungu. Huyo Kiumbe wa Mungu anatapa tapa na roho yake kwsbb ya njaa na kiu. Wanasema anaongea wana mchukua na video ilihali walitakiw wamsaidie kw namna moja ama nyengne. Ipo siku Allah atakuja kutuuliza kuhusu hilo. 😢💔 Allah tujaalie tuwe wenye kuziona neema zako na kuzifanyia kazi😢

  • @tumainjohn6165
    @tumainjohn6165 9 หลายเดือนก่อน +8

    😔😔😔 illiteracy is the problem, i feel sorry for the cat. 😒

  • @edwardlesian9318
    @edwardlesian9318 10 หลายเดือนก่อน +18

    Mungu anaongea na sisi kwa njia pasipo sisi kujua hapo mngemsaidia chakula kwajili ya maisha yke

  • @Ambwene
    @Ambwene 10 หลายเดือนก่อน +22

    Tuna vyombo vya habari vya ajabu sana tanzania 🇹🇿

    • @emmanuelletema8385
      @emmanuelletema8385 10 หลายเดือนก่อน

      Ww ndo ovyo

    • @neemamalaki8512
      @neemamalaki8512 9 หลายเดือนก่อน

      Nchi gani unaijua Ina vyombo makini ambavyo sio vya ovyo ukatuletee.

    • @dastanchitera-bm5wn
      @dastanchitera-bm5wn 9 หลายเดือนก่อน +3

      Mnayataka wenyewe kuitwa vyombo vya habari vyaajab ajabu maana hata watoa habari wenu waajabu,,, kwahiyo hapo anamaik anashindwa nini kumuongelesha paka watu wakaamini then ndio aendelee na mastori

    • @ngaribaonlinetv
      @ngaribaonlinetv 8 หลายเดือนก่อน

      Waongo wao wanatafuta views

    • @user-jh9yv1zp1l
      @user-jh9yv1zp1l 2 หลายเดือนก่อน

      Untk taarif mtu kabakwa,untk taarf mby bs ufanyiw ukatil ww wengn wapate taatif zako

  • @allyfatma7359
    @allyfatma7359 10 หลายเดือนก่อน +36

    Wenzetu wangetumia muda huo kuokoa maisha ya huyo paka kama kumpa chakula na huduma nyengine muhimu.sisi tumepost mtandaoni kama habari....this is life.

    • @SophlaJackson-nt1nc
      @SophlaJackson-nt1nc 10 หลายเดือนก่อน

      Wasema nini wewe😮

    • @allyfatma7359
      @allyfatma7359 10 หลายเดือนก่อน +1

      @@SophlaJackson-nt1nc samahani

    • @user-cn9br7en7w
      @user-cn9br7en7w 10 หลายเดือนก่อน +2

      Umeshaambiwa anaongea sasa ww utampa chakula mnyama anayeongea kama binadamu??

    • @lazandasweet9308
      @lazandasweet9308 10 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂 acha kuvunja utamaduni wa watanzania Amin tu😂😂

    • @maryamtan682
      @maryamtan682 10 หลายเดือนก่อน

      Weeee kuweza, pk anaongea ivi kweri?

  • @QueenGulf-bg3cw
    @QueenGulf-bg3cw 9 หลายเดือนก่อน +7

    Si wampe chakula kwanza ndio waendelee na interview aongee vizuri

    • @kenos1185
      @kenos1185 9 หลายเดือนก่อน

      😂we ungempa

  • @abdullatifhassan9399
    @abdullatifhassan9399 10 หลายเดือนก่อน +18

    Acheni uongo na kukuza mambo...... Kaongea neno gani mbona hatujaskia chchte?

  • @officialjasonraider
    @officialjasonraider 10 หลายเดือนก่อน +18

    Instead of filming it, feed it for Gods sake!!! This goes without saying. If it actually spoke, where’s your humanity?? Don’t laugh but respond to its needs. Mbona wazungu tunawatreat vizur, afu tunapoteza utu kwenye vitu vinavyotuhusu wenyewe?! Ofcz it’s a cat, but this is symbolic

  • @ibraheemiddy8612
    @ibraheemiddy8612 10 หลายเดือนก่อน +6

    😂😂😂 hiii Nchii Ukifa Na Mawazo Umejitakia Mwenyewe😂😂😂

  • @Mwenyekiti1118
    @Mwenyekiti1118 9 หลายเดือนก่อน +6

    For God sake kwani Haki za wanyama Tanznaia hakuna Mbona ni kama mnamdhalilisha mnyama

  • @user-sz7cu8vm4j
    @user-sz7cu8vm4j 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ila watanzania wanaroho mbaya sana huyo ni kiumbe wa Mungu jamani😢😢😢

  • @mariamyusuf2825
    @mariamyusuf2825 9 หลายเดือนก่อน +4

    Jameni huyu ni paka tu!!?? Why cant someone ampeleke kwa vet. Mpelekeni kwa vet. She/ or he looks very sick.

  • @theuniversetv2870
    @theuniversetv2870 10 หลายเดือนก่อน +16

    Badala ya kumpa chakula mnamrekodi binguni mtapasikia tuu kila jambo lina maana kwa mungu

  • @user-ly8cf1fw8q
    @user-ly8cf1fw8q 10 หลายเดือนก่อน +6

    Wacheni zenuu huyo paka ingekua uzunguni anepelekwa veterinary services akasaidiwa but Africans kwa kuamini uchawi tuu, paka ahitaji kusaidiwa mnasema anaongea mbona hajadhuru mtu?😢

    • @masaidancer
      @masaidancer 9 หลายเดือนก่อน

      Akili bongo hamna baada wa mlishe chakula wamekalia kuamini ujinga tu it so sad 😢

    • @collinsfidelis7311
      @collinsfidelis7311 8 หลายเดือนก่อน

      Ndo ushasema uzunguni hapa ni bongo

  • @jumawaziri9656
    @jumawaziri9656 9 หลายเดือนก่อน +4

    Kwakweli watu wa dodoma mnaniangusha sana... Sasa paka anamaumivu mnasema eti anaongea. Muache ushamba😊😊

  • @chachawambura4030
    @chachawambura4030 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kuongea Gani Kwa hivyo bana, paka anaugulia maumivu ya kukata roho ndio kuzungumza Gani Sasa huko. Kiumbe hana hatia anauawa

  • @ip_header
    @ip_header 9 หลายเดือนก่อน +13

    Story ni paka anaongea lkn wanaohojiwa ni wanadamu.
    Bora hata wange mpatia chakula kuliko kuUpload content isio na mashiko.

    • @montewheezy
      @montewheezy 8 หลายเดือนก่อน +2

      Hata we umeskia akiongea kweli ama ni story ya jaba 😅😅ati paka anaongea

    • @user-to2co7qm2k
      @user-to2co7qm2k 8 หลายเดือนก่อน

      🎉😂😂😂

    • @user-to2co7qm2k
      @user-to2co7qm2k 8 หลายเดือนก่อน

      🎉😂😂😂

    • @user-to2co7qm2k
      @user-to2co7qm2k 8 หลายเดือนก่อน

      🎉😂😂😂

    • @user-to2co7qm2k
      @user-to2co7qm2k 8 หลายเดือนก่อน

      🎉😂😂😂

  • @user-sw7el1um1i
    @user-sw7el1um1i 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mwenyekiti nimempenda sana kaongea point sana

  • @Soso12nov
    @Soso12nov 10 หลายเดือนก่อน +51

    Elimu kitu cha msingi sana , Tanzania ni ujinga na umasikini ndo utatumaliza

    • @user-cn9br7en7w
      @user-cn9br7en7w 10 หลายเดือนก่อน +1

      Ujinga gani sasa au umekurupuka kuongea tuu

    • @tumsimekahwa553
      @tumsimekahwa553 10 หลายเดือนก่อน +2

      Pole bro😂😂

    • @adaboychibu1659
      @adaboychibu1659 10 หลายเดือนก่อน +2

      Elimu,umaskin vinahusiana nn hapo sasa!yaani wee mwenyewe vitu ulivyo andika ndo vinakuhusu sasa!jinga sana wewe

    • @josephstephen2047
      @josephstephen2047 10 หลายเดือนก่อน +1

      Ujinga na umaskini unakumaliza wewe mwenyewe na ukoo wako usitujumuishe sisi wengine mwehu wewe

    • @zulekhajaku3626
      @zulekhajaku3626 10 หลายเดือนก่อน +2

      Mi naona watu tu ndio wanoongea uyo paka ata sijamsikia hakuna ukweli wowote hapo

  • @eliasray3212
    @eliasray3212 13 วันที่ผ่านมา

    Wasafi media ila Sio wasafi kiakili sawa kaongea ila anakufa Kwa njaaa..........

  • @lilcham-sz7u
    @lilcham-sz7u 9 หลายเดือนก่อน +8

    Ila Tanzania tuelimike Tanzania is fill of myth and funny illusion we are never logically 😂😂💯🙌...

    • @Rasoulhk98
      @Rasoulhk98 8 หลายเดือนก่อน

      Kila kukicha ni kushangazwa na hiki na kile.

  • @montewheezy
    @montewheezy 8 หลายเดือนก่อน +3

    Wenye wanahojiwa ndio mapaka, mwenye amelala ndio binadamu

  • @marianakapeller4699
    @marianakapeller4699 9 หลายเดือนก่อน +1

    yani siku mtu mweusi akiendelea kifikra mumpige mawe huyo ibilisi. badala ya kumpa paka maji na kumpeleka kwa dr wa wanyama au muangalie mtamsaidia vipi maana ni kiumbe ambacho kinahitaji msaada mnaanza na imani za kishirikina dah! SO SAD

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 10 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU SIO WA STAILI HIYO JAMANI...HUO NI USHIRIKINA PYUA., KAPIGIKA UKO NA WENZIE WAKAAMUA WAM BWAGE HAPO KWA UMBO LA PAKA...SIO PAKA HUYO,,asanteni

    • @fatihiyadossa375
      @fatihiyadossa375 9 หลายเดือนก่อน

      Safi san nilikuw naitafta comment yenye akili kama hii nikwel uyo sio paka nawashangaa hao wanaosema apewe chdkula Mimi Nina uadui na pka alishawah kunikimbiza atar oak sio wazur nimtu uyo

  • @miishhassn
    @miishhassn 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kuongea kwa wanyama pia ni moja ya dalili za kiam si mngempa chakula mnamrekod tu 😢

  • @nilufaallyhussein7678
    @nilufaallyhussein7678 10 หลายเดือนก่อน +9

    Poor Cat 🐈 is hungry 🤤 omg 😱 uneducated people

  • @kaylekatynez1769
    @kaylekatynez1769 9 หลายเดือนก่อน +5

    Seriously humanity is lost ........instead of helping ur doing stupid stuff like this 😢 oh for God's sake

  • @user-ih9xy5vd5d
    @user-ih9xy5vd5d 8 หลายเดือนก่อน +1

    Maskini nchi hii ina watu wa ajabu, leo tunaongopa eti mzungu alitutawala kwa bunduki, ni uongo, mijitu haina hata akili mnyama wa watu anateseka kwa maumivu mitanzania mipumbavu inashindwa kujua hilo

  • @herrwin.
    @herrwin. 10 หลายเดือนก่อน +13

    paka yuko hapo alafu mnakazana kumuuliza balozi kama paka anaongea, kwann msimuulize uyo pakaaaa mweneywe,,, na nyie kweli mnapost habari kama iziiiii 🤣

    • @neema_mollel
      @neema_mollel 10 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂nomaa

    • @zamdayusuph858
      @zamdayusuph858 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂et jaman kituo kikubwa cha kuaminika kinaleta habar kma hii

    • @herrwin.
      @herrwin. 10 หลายเดือนก่อน

      @@zamdayusuph858 😅😅😅

    • @herrwin.
      @herrwin. 10 หลายเดือนก่อน

      @@neema_mollel 😅😅😅

  • @shimemondo2963
    @shimemondo2963 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo paka wa mumwagie mafuta ya Mwaiposa wataona maajabu zaidi ya hayo

  • @alisteusarchard3656
    @alisteusarchard3656 10 หลายเดือนก่อน +5

    Kazi tunayo,Hadi waandishi wa habari wanatumia muda na garama Kwa ujinga huu

    • @allyfatma7359
      @allyfatma7359 10 หลายเดือนก่อน

      Kwakweli

    • @user-cn9br7en7w
      @user-cn9br7en7w 10 หลายเดือนก่อน

      Hiyo ni Habari na wamefanya hivyo ili kuvutia waangaliaji mtanadaoni

  • @pandaman4302
    @pandaman4302 8 หลายเดือนก่อน

    Huyo mzee Emanuel ndiye paka anayeongea?kwa sijasikia paka akiongea

  • @abdillah_Viera96
    @abdillah_Viera96 9 หลายเดือนก่อน +3

    Kweli.. Ujinga UnawezeshA Hongereni Watoaji taarifa Wapuuzi

  • @icclcharters3389
    @icclcharters3389 8 หลายเดือนก่อน

    What a nonesense!Mtu anaenda kureport kbs paka anaeelekea kukata moto probably njaa au certain illness na watu wanamuangalia wakidhani anaongea instead kumsaidia either kupeleka kwa daktari wa wanyama au kumpa huduma ya kwanza ili kuokoa maisha yake🏌🏿‍♂️

  • @suleimansaad8449
    @suleimansaad8449 8 หลายเดือนก่อน

    Paka Ameitisha chakula.Jibu nikumpa chakula sio kicheko.labda ni malaika kaja kama paka.HABARI NDIO HIYO😢😢😢

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 10 หลายเดือนก่อน

    Basi wangelimpa chakula KWANZA Akala paka mwenyewe kachoka hivo atakuongea ataweza. Sengine MTU huyo wamemgeuza paka sasa wameshindwa jinsi ya kumludisha ki ubinaadam

  • @habariduria1359
    @habariduria1359 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hiki chopo kishtakiwe hakijajali haki za wanyama

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 3 วันที่ผ่านมา

    Majiya upako hayo yamafanya kazi uesu yupo kaazini

  • @jazzeminecute8422
    @jazzeminecute8422 9 หลายเดือนก่อน

    Saidiya iyo paka.yaani na izi technology ila bado upumbafu unazidi

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 10 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo paka atakua ni jini ama amefungwa spika ya Bluetooth

  • @jasminemohammed4285
    @jasminemohammed4285 10 หลายเดือนก่อน

    Paka ukimfuga Kwa kumsemesha anaiga mvumo wa sauti anakalili matukio na saa ila watz wamekariri ushirikina lakn paka ukimfundisha Kuna maneno anatamka kama taki Toka Nini nani mama huyu hata jina linaloendana na ulimi wake anaita .. Mungu mlinde huyo paka

  • @collinsstanley6126
    @collinsstanley6126 8 หลายเดือนก่อน

    Ila education kwa hii inchi sini for free 😢

  • @cizamagdalenamotherofmercy8334
    @cizamagdalenamotherofmercy8334 8 หลายเดือนก่อน

    Bad people , Government should arrest all of them . That poor cat was tall and nice where are The world animals we paid contributions to help animals from the worldwide?

  • @delishabeaut3366
    @delishabeaut3366 9 หลายเดือนก่อน

    Hii siyo maajabu ni vitu za kawaida kenya yetu watu wanajigeuza Ndege panya paka Ng,mbe na kila kitu sasa hii diyo inashagaza watanzania😂😂

  • @user-oh6wc8xr5w
    @user-oh6wc8xr5w 4 หลายเดือนก่อน

    Paka ashapigwa kachoka anakata ROHO mmnatudanganya Paka anaongea acheni upuuzi 😅😅

  • @calvinstephen1541
    @calvinstephen1541 9 หลายเดือนก่อน

    Sijaelewa huyo paka ndiy huyo mzee anaye hojiwa au?? Maan wanahojiwa watu na siyo paka

  • @IMANWILLIAM-bl2ui
    @IMANWILLIAM-bl2ui 10 หลายเดือนก่อน +1

    paka kaongea nn sasa apo achen akili za kimaskin

  • @ramadhankisongola9634
    @ramadhankisongola9634 10 หลายเดือนก่อน

    Wewe kama kazi huna acha kurusha ujinga kwa watanzania, msipende kiki za kifala

  • @FaidhathKhamis-ml7ok
    @FaidhathKhamis-ml7ok 2 หลายเดือนก่อน

    Maajabu Dunia imeisha

  • @ANTO254NAIROBI
    @ANTO254NAIROBI 8 หลายเดือนก่อน

    Mbeleni vyombo vya habari Tanzania zilikuwa za kuaminika kabisa ....sasa wako kama sisi wakenya tu...uwongo

  • @audifacejosephat7071
    @audifacejosephat7071 10 หลายเดือนก่อน +3

    Habari bila kumhoji paka ni takakata😂

  • @Mrboom720
    @Mrboom720 9 วันที่ผ่านมา

    Duh

  • @aboudybahmesh5424
    @aboudybahmesh5424 8 หลายเดือนก่อน

    Khajuraho walakuwatabillah ujinga ulioje yaani paka badili yakumpa maji pia mwashindwa kweli hamna watu mpeni maji amekonda kwa njaa

  • @ayoublupande3007
    @ayoublupande3007 10 หลายเดือนก่อน +2

    😂🤣 Ila watu niwaongo sana hasa jambo likishikwa na wanawake ni uongo mtu TU yn paka anataabika na kukata roho eti anaongea hahaha 😂 watu bwn

  • @user-samweli
    @user-samweli 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi namtaka huyo mwenye paka anipe dawa 😂

  • @suleimansaad8449
    @suleimansaad8449 8 หลายเดือนก่อน

    Paka asema ana njaa.badala kuumpa chakula mwacheka.mtapata laana wana Dodoma

  • @delishabeaut3366
    @delishabeaut3366 9 หลายเดือนก่อน

    Hii ni uchawi nimewai Hona mtu hakigeuzwa paka na anaogea kama binadamu😮

  • @CandyVois
    @CandyVois 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂sasa mbon paka kachok na hata hajasema kit chochote maswal ambay umeoj kwa huyo baba ungemuoji paka mmekosa habar

  • @billionaireoswardkanyala1307
    @billionaireoswardkanyala1307 29 วันที่ผ่านมา

    Na mambo yote yanayoendelea nchin mnaturipotia paka anaongea

  • @philiplangat4467
    @philiplangat4467 9 หลายเดือนก่อน

    Tafdhali acheni kupumbaza
    watu,hoji uyo paka tusikie

  • @martingwanduluko1135
    @martingwanduluko1135 10 หลายเดือนก่อน

    Apa wasafi wamepigwa apa hakuna mwandishi atawahalibia media akichokiandika kingine kinachofanyika kingine🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

  • @sakinaamani1486
    @sakinaamani1486 9 หลายเดือนก่อน

    Mumpe chakula acheni dhana mbaya mumpe maziwa au maji lakini wa tanzania jamani mbona hamsomeki

  • @erickmalamsha6938
    @erickmalamsha6938 8 หลายเดือนก่อน

    Mi nilijua mwandishi utasema umefanikiwa kufanya mahojiano na paka huyo kumbe na ww myeyusho tu

  • @IsihakaYahaya
    @IsihakaYahaya 25 วันที่ผ่านมา

    Mnyama kuongea ni ktk dalili za kiama kimekarbia

  • @Vel42
    @Vel42 9 หลายเดือนก่อน

    Watanzania mnanichekesha na matangazo ya ajabu ya kitoto,mara wafu wanafufuka😂😂😂😂😂😂

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 11 วันที่ผ่านมา

    Hakuna hospitali ya wanyama

  • @user-jr1ki4bt9i
    @user-jr1ki4bt9i 17 วันที่ผ่านมา

    Ndomana wenzetu kwa kwenye haki wakwanza wanyama

  • @startz24
    @startz24 10 หลายเดือนก่อน

    Asa maana ya chombo chako cha habari ni nini umeshindwa kumuuliza chochote na kutuzibitishia kwamba nikwwli anaongea au aongei auuu ndo walewale waandishi waongo

  • @hawahawa8441
    @hawahawa8441 10 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji unafeli wapi kwanini usimuulize paka mwenyewe alafu unatuandikia paka anaongea🤔 ovyo kweli sasa mbona hatujaona akiongea!

  • @maxmilianmexades6684
    @maxmilianmexades6684 10 หลายเดือนก่อน +1

    wasenge nin hawa watu baada ya wampe chakula wanakazana kumuhoji tu na kuchekacheka

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 8 หลายเดือนก่อน

    Nimesubiri nisikie mpaka mwisho hakuna kitu kutumalizia bando zetu 😂😂😂😂😂paka anaongea mbona hatukusikia na mizee mingine kama ,,,,,😊😊😊

  • @ibrahimvcphilimoni7115
    @ibrahimvcphilimoni7115 8 หลายเดือนก่อน

    nimesubili kama atahojiwa nisikie kama anaongea sjamsikia hapo Ndo umebugi kutumalizia MBs Bule

  • @user-nf9cc1hi1t
    @user-nf9cc1hi1t 9 หลายเดือนก่อน

    Hawa ndio watu wutawakuta shingo ngumu wanaongelea vita vya Ukraine na Urusi, au 😂apalestina na waisraeli😂😂😂😂😂

  • @myself4128
    @myself4128 9 หลายเดือนก่อน

    Nchi ya Majuha na washirikina!

  • @harriebhex8663
    @harriebhex8663 9 หลายเดือนก่อน

    Report mwenyew anaonekana hamnazo😅

  • @Mojabo-qi7sv
    @Mojabo-qi7sv 10 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢Duh

  • @josephbizzy1813
    @josephbizzy1813 8 หลายเดือนก่อน

    Wabongo miyeyusho
    yaani nyomi lote hilo upuuzi mtupu 😂😂

  • @user-nx8mo9wk1m
    @user-nx8mo9wk1m 9 หลายเดือนก่อน

    Hiyo siyo haki wachawini wanadamuawa na wachawi piya ni wanadanu sito haki hiyo Haworth wote hawakusoma gurani

    • @user-nx8mo9wk1m
      @user-nx8mo9wk1m 9 หลายเดือนก่อน

      Wachawi ni wanadammu wanga ni wanadanu hiyo Simon haki kumuoneya hayawani Haworth binadammu hawana dongo wao mndiyo wachawi

  • @user-zv1lb3qt1z
    @user-zv1lb3qt1z 9 หลายเดือนก่อน

    Sa mbn watu ndo wanahojiwa wakati paka yuko hapohapo muhoj yeye

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 10 หลายเดือนก่อน

    Huyo mwandishi nae uchwara mlengwa yuko hapo kwanini wasimuhoji wanawahoji watu?

  • @mtutulaclassic6207
    @mtutulaclassic6207 10 หลายเดือนก่อน

    we mwandishi ni fala badala umuhoji paka tumsikie wenyewe wewe unahoji watu na paka yupo.

  • @MichaelJames-tp6co
    @MichaelJames-tp6co 9 หลายเดือนก่อน

    Muandishi mwenyewe umekua muoga kuongea na paka tukaskia anaongea kweli au haongei hapo umeenda kutushudia nini sasa

  • @harrisonkazungu7793
    @harrisonkazungu7793 9 หลายเดือนก่อน

    Paka n huyo mtu unaongea naye

  • @bigboy684
    @bigboy684 10 หลายเดือนก่อน

    yani kitu kilichokupelekaapo ujakifanya zaidi yakutangatanga tu abaliyamsingi aujatuonesha ebu nenda kajifunze ndouludikazini usiweunatualibia mb zetu

  • @dorahkaruma9299
    @dorahkaruma9299 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo mwandishi wa habari ulienda kufanya nini hapo? Si ungesogea karibu na paka ushuhudie kwanza ndio utupe habari; pumbavu wewe
    Kwanza nakufungulia mashtaka

  • @mohamedmwikongi8533
    @mohamedmwikongi8533 8 หลายเดือนก่อน

    Hamna Mtangazaji hapa

  • @habariduria1359
    @habariduria1359 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwanahabari ni mpumbavu kama Paka 🐈 anauongea kwann usimsaidia anachotaka alafu tukamsikilza anaongea vipi we ni mjinga

  • @ericdaniels2608
    @ericdaniels2608 10 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo ni mchawi, amejiugeuza. Ameshapigwa hapo..

  • @pmwendemusyoka109
    @pmwendemusyoka109 10 หลายเดือนก่อน

    Mbona sijasikia paka akiongea? Nasikia tu kelele za ya watu!

  • @user-fr9vn6ph6i
    @user-fr9vn6ph6i 6 หลายเดือนก่อน

    Dah msukule

  • @user-ps4oc3nt3u
    @user-ps4oc3nt3u 3 หลายเดือนก่อน

    Simpe chakula jaman mbona mna roho ngum

  • @selemanmaganga-le4zg
    @selemanmaganga-le4zg 10 หลายเดือนก่อน +2

    Sijamsikia akizungumza mwandishi maneno mengi hakuna ushuhuda.

  • @user-th6mr7sq2k
    @user-th6mr7sq2k 9 หลายเดือนก่อน

    Hahaha wasafi oyeeeee hahaha

  • @user-oc3wu7js5k
    @user-oc3wu7js5k 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mchawi huyoo

  • @salahhddindasuvic6447
    @salahhddindasuvic6447 9 หลายเดือนก่อน

    Dah

  • @paulmbwilo6477
    @paulmbwilo6477 9 หลายเดือนก่อน

    Mpeni chakula huyo paka ,pumbavu nyie, watu wazima, media kubwa mnapoteza muda kutangaza vitu vya ovyo...! Huyo paka ana njaa na kiu ya maji

  • @sadikidaudi460
    @sadikidaudi460 10 หลายเดือนก่อน

    Muandishi nawewe hujielewi angalia vyakulipoti simumpe chakula huyo kiumbe

  • @MelisaSamson-nd4og
    @MelisaSamson-nd4og 10 หลายเดือนก่อน

    Sasa mbn sijaskia akiongea ata kidogo ila tanzania acheni basii

  • @user-up2kg1wm9p
    @user-up2kg1wm9p 9 หลายเดือนก่อน

    Hizo niimaniza kishirikini. Huyo ni paka kama paka mgempa chakula

  • @jumahassan273
    @jumahassan273 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hii media inamambo ya kitoto