#EXCLUSIVE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2023
- #EXCLUSIVE: LINDA (50) AMWAGA MACHOZI ALIVYOMUIBIA PESA BABA YAKE, AFICHUA ALIVYOUZA DAWA za KULEVYA
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
ludhiana na mmeo
P
P😊
P
P
P
, Hii interview Kwa kweli nzuri sana, Mama anajielewa Sana , na Mkweli , tabasamu lake laonyesha Ukweli wake. Nakutakia Maisha mazuri na marefu linda
Jamani this woman loves her family! been crying like a baby just by watching how emotional she was while talking about her family❤️
50 years wow, she is young and beautiful 😍
I love Linda, she is phenomenal woman and very humble
Yani Linda aisee nimekupenda zaidi ..Yani nilitamani interview isiishe... Upo muwazi mpaka Raha.. Yani wewe ni mwanamke ambaye hauchoshi..
Masikini Pole 😢 nakupenda saana dada linda❤❤❤nakufatilia saana
Kuna watu wanajua kujitafuta. hongera dada!!!
Linda wewe ni rafiki yangu tulipotezana kama miaka 8 sasa, nakuomba ujishushe umrudie mmeo,
Hawa watoto watakuwa kama alivyo Layla na watakuacha maisha ya magharibi utapata upweke rafiki yangu, kingine wewe ulimpigia magoti mke wa kaka yako ili wasameheane waishi pamoja na mimi nipo chini ya miguu yako Linda msamehe shemeji mrudiane, mnapendezeana sana na itapendeza mzeheke pamoja.
MashaAlla MashaAlla ❤niwapenda sana ❤Pole na chamotozamaisha😢 kama kunauwazekono wa kurudiana bola muwa pomoja kuna maisha ya leo na kesho
Huyu dada Linda jamani hajui kulinga juu ya kuwa na maela ni mtu wa watu ana roho nzuri sana nimefurahi sana kukuona na family yako interview nzuri sana mwaaa! 😘❤❤❤❤❤
Unamjuwa.
Hii interview ipewe tuzo da Linda mi pia nimeishi knyama mi mjukuu wa ni michapo na baba yako alikuwa maarufu Kama mzee mafriji nimefurahi sana kumbukumbu nzuri sana ❤ Beutiful daughters and you are Beutiful as always big up sana
Baba yao ni mtu wa wapi?
Unamjuwa?. Baba yake ni mzungu kweli?
@@husseinhussein9971 Ni mtu wa Uganda baba yake ukoo wake uko huko
I love the chemistry btn mom and children😅
Linda nimekupenda sana ni mkweli umeongea mambo mengi yaukweli na tumejifunzaaa❤❤❤❤❤
Nimependa interview yote ❤ rudiana na mumeo tu inaonekana bado kuna nafasi yake ktk moyo wako. Pia mnahoji haikua na sababu ya kuweka mtu mwenye madawa ya kulevya akibadilishana na mtu mwenye pesa! Mnafundisha nini sasa kwa jamii 😢
Beautiful interview thumb up Linda
Dah mashallah watoto wakubwa jaman 🎉kafanana na mwanae adi raha ❤aki kama marafiki kama umesha kaa miaka mingi hiyo tafaka 1 imesha isha haina haja tena ya kumalizia taraka nyingine
I love this interview, big up Linda love you
Its a beautiful story by a beautiful soul
Mashallah ❤story nzurii ila dada imelda bwana😂😅kichwa cha habari"AMWAGA MACHOZI"😂nimeangali hadi mwisho sijaona machozi😢 inshallah 🤲 ipo siku na mimi nitafika ulaya na nitatoboa kwa sasa nipo ulaya oman😂
😂😂😂😂
Pamoja mpenzi
Masha Allah mzr 50 lkn and kama binti hongera unajitunza napenda unajielezea vzr sana mkweli hukwepeshi maneno
Tabasamu tu alio nayo sidhanii kama chuki inaweza kuwemo moyoni mwake
Linda....am happy for U...hot interview🔥🔥🔥
Nimeenjoy hii interview sanaaa
Makumbusho na madawa ya kulevya those days 😭😭😭😭I hear you mamaaa.tuulizeni whuuuuuu''
Miaka hamsini Yuko mwaaa mrembo
Kuna watu wana bahati
Tena alikuwa mzuri zaidi ya hivi. Yani MashaAllah huyu dada ni mzuri haswaa
@@ashamayuwe2891unamjuwa?
@@ashamayuwe2891baba yake ni mzungu au
Hapo lazima imerida katoka na pesa
Linda anaonekana ana roho nzuri sanaaa
Mapic pic to
Linda unapenda ndugu zako aiseee
Nice interview, thumb up dada Imelda
Mariam upendo wa kweli haufi.sio kwakuwa mbali miaka mitatu tu bali hata milele
Thanks 🙏🙏🙏🙏👍
Perfect life sana taht true everything life ya America and Europe
Asante nnimependa interview
Dada Linda You have a beautiful heart God bless you.
Story yake nimeipenda inavutia na kutia moyo
DADA LINDA
MIMI NAKUPENDA SANA. MIMI NI MWANAMKE WA KIKRISTO LAKINI UMESEMA VIZURI SANA KUHUSU MWANAMKE KUWA CHINI YA MUME HIVYO NDIYO BIBLE INASEMA.
Then KUHUSU DIVORCE AM TOTALLY AGAIST IT. KAMA MUME WAKO ALIKUKUTA NA MWANAUME MWINGINE AU WEWW ULIMKUTA NA MWANAUME MWINGINE HAPO SAWA OTHERWISE PLEASE PRAY ABOUT IT AND ASK GOD ABOUT YOUR MARRIAGE. YOU NEED TO BE WITH YOUR HUSBAND AND YOU WILL HAVE A BETTER LIFE. ❤❤❤❤
Utafanikiwa sana , ur beautiful and honest
@linda I've learnt a lot from you kudos ❤❤
Rudianeni bhana,you guys love each other❤
Nampendaga sana uyu dada 🔥🔥
Mtu mzuri sana linda
Dada linda unanikumbusha mbali sana pole kwa msiba wa baba yako pia natamani kupata namba zako za simu
Dada yuko free mno nimempenda mno yuko naturo❤
Nimekupenda bure dada i❤❤
Kuna wakati Mange kimambi na Linda walitukanana vibaya sana TH-cam, sijui kama video zao bado zipo TH-cam. Na Melinda anamtetea baba yake kwasababu ya upendo wake anataka warudiane na mama yake,ila Mariam hataki kwasababu huyo siyo baba yake mzazi .
Lamia Botique ilikuwa babkubwa enzi hizo. Linda alikuwa smart sana
Unamjuwa kumbe. Baba yake mzungu kweli?. Miaka 50 kafika?
Linda still loves her husband so please communicate nicely to her husband if he still loves her before she lose herself by listening to one kid opinion while her heart and her partners heart are still together
I love Linda ❤❤❤
Dada imeee ur interview is so 🔥 ❤
Hakika simulizi ya Dada Linda inafundisha sana 😭😭😍😍🙏🙏
Wallah nawaona marayakwanza nawapenda sana allah andeleye kukulindiA watoto inshaallah naww pia akupe maisha marefu
Wow very sad and nice story
Wtt wazurii MashaAllah
Nakupenda sana linda
Shukran Sana tumejifunza kitu
Imelda yupo vzur sanaaa napenda hich kpnd chako
Nice story indeed
Dah, sikujua Mr Bezuidenhout ali fariki , R.I.P. Mr Bezuidenhout.
Kama umeolewa kiislamu bado mwaweza Kurudiana Linda talaka 1 ni talaka regea miaka 3 si tatizo kama bado mwapendana
Talaka 1 ni talaka Kwa miezi 3 kama imepita
Mahari mpya na ndoa mpya inasihi
linda nimekukumbuka sana dada yangu ulikua jirani na fadhila kama utasoma koment hii fadhila salum yupo wapi
Nimempenda sana huyo dada mpe namba yangu nimpe elimu ya ndoa yakislam
Kwa muislam talaka moja ukifikisha miezi 3 au ukipata hedhi Mr 3 au km ulikuwa mjamzito ukijifunguwa talaka imeisha mpk akuowe tena kwa mahar mengine😊
Linda nakupenda
😅😅😅😅😅 Benjamin wa batuli Bosco ile movie niliipenda sana jmniii kumbe anaitwa Richard😅😅
❤
Linda mrembo,lakini hapa makeup mbaya
Hakuna haja ya kuzimalizia talaka 3 moja unaweza kumove on,na kama bado mnapendana rudi mama
Kweli umri ni namba tu, love you linda!
Very good lindà
❤❤❤❤
Lovely family
Story yake ina mafunzo sana huyu dada
Huyu dada nampenda sana
Yaani fridge nimeliweka store natamani mzee angekuwa hai anitengenezee fridge 😂😂😂
Umeachika lkn mkitaka kurudiana mnanafasi mbili zaidi zakuweza kurudiana.coz umeachika talaka rejea
Imelda its high time ujifunze kingereza…. Ni aibu
Moyo yako nasema nini😂😂😂😂😂😂😂😂😂 i love this family jaman😂😂😂😂😂
I love kids ❤❤❤
Zuri sana😍😍😍
Uliza mashekhe acha kuuliza wadada wa mitaani. Ili upate jibu sahihi na kutokana na madhehebu yako.
Sio lazima zimalizwe
Wewe umeachika baada ya kumaliza eda
Ila ukitaka kurudiwa tena inafaa una talaka mbili bado
Lkn kuna talaka ya kutundika
Baada ya kuambiwa ukiondoka ni ndio unaachika ukaondoka basi talaka inasihi hapohapo
Au ukiambiwa ukifanya jambo hili ndio talaka yako basi ukifanya tu talaka inakuwa imethibiti
Emerlda bhana interview nzr lkn umeibana sana imekua fupi😅
At 16 years you were very sharp. You could board a plane and even traffic drugs?
😢😢😢😢damu nzito
nimekupenda mama uko poa Sana
Linda❤❤❤❤❤😂😂😂😂ur dotas are very charming and comfidental
Mwe! Nini hiki tena
Sio lazima zote mbili ila miez mtatu na wiki mbili hivi haina haja akupe zote
Mim I think Mariam ndo anakuvuruga Ila ukweli ni kwamba bado unampenda huyo baba …fanya maamuzi mtangulize Mungu
hapo make sure mbona hatujasikia alifanya nini!!!!
She is too smart
Waa kuna watu wanaakili kweli yani mtoto wa 16 ametorokea ulaya waa
Ujasiri wa hali ya juu
Hapa Ulaya ni kawaida sana
@@nafuwswedi2465 kibongo bongo sio kawaida tena miaka hiyo at least Kwa sasa angalau kidogo wengi wanaujasiri sio miaka hiyo
😂😂umeweza best
❤❤❤❤❤❤❤
👌👌👌👌👌❤️❤️❤️
BONGE LA WIFI HONGERA SANA LINDA LOVE U
Watoto wake pia wazur snaa
Hii ilibidi iende masaa 5 dk 45 hazitoshi
Nimekuamini uko safi
🥰🥰🥰
Uyu dada ana mengi mnoo yani ila kakatishwa yani 😢dah