The Mboni Show - Binti Kiziwi " Biashara ya Madawa ya kulevya yalinifanya nifungwe gerezani Miaka 8

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 87

  • @sophiamwakila3300
    @sophiamwakila3300 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana binti kiziwi. Umejifunza kutokana na makosa. Na umewafumbua macho watu wengi wenye uchu wa mali. Hongera pia mtangazi Mboni kwa mahojiano mazuri

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji mwana dada kwa kuoji wewe jembe unatosha mungu akubaliki na kazi yako azidi kukupa wahaai mrefu na afya njema

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 4 ปีที่แล้ว +10

    Safi sana Mboni ...maswali uliyouliza umetuwakilisha tuliotaka kujua hasa what happened...Sio kama Interview zingine walimuuliza maswali ya kipuuzi tu

  • @asanatimrisho1816
    @asanatimrisho1816 4 ปีที่แล้ว +10

    Hii interview imenigusa kuliko zote alizowah kufanya bint kiziwi, hongera da Mboni, pole mdg angu hilo ni funzo Kubwa ktk maisha yako sidhan kama utarudia kufanya tenaa hiyo kitu Mungu akusimamie

    • @anabmahmoud9072
      @anabmahmoud9072 4 ปีที่แล้ว

      Mboni big up umefanya interview nzuri sana inamafunzo ndani yake

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 4 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana dada yangu yote ayo ni mitiani ya maisha mshukuru mungu umemaliza salama na mpaka sasa upo nyumbani ni jambo la kumshukuru mollah

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 4 ปีที่แล้ว +10

    Loooh umeniliza ndugu yangu..😭😭😭😭🙉 Alhamdullilah umerudi SALAMA KWA WAZEE WAKO NA MTOTO WAKO.. na kwenye nchi yako. Please ishi kwa salama.

  • @sophiasophia6945
    @sophiasophia6945 4 ปีที่แล้ว +10

    Kabisa hii inter vew ni nzuri sana kuliko zingine zooote

  • @elizasamweli500
    @elizasamweli500 4 ปีที่แล้ว

    Pole sanaa dadangu hata mm nmejifunza kitu mungu akubariki naakupe nguvu yakusimama tena nautafanikiwa sanaa

  • @mariamrashid3252
    @mariamrashid3252 4 ปีที่แล้ว +7

    Uwiii😭😭,nimelia kama mzazi cjui yy aliumia kiasi gani baada ya hy barua,ila yamepita mshukuru Mungu songa mbele.

  • @benardbayakazungubaya8768
    @benardbayakazungubaya8768 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi mungu badoo anampenda xanaa .we learn thorough mistakes

  • @mateusjoao5584
    @mateusjoao5584 2 ปีที่แล้ว

    Nampenda sana uyo dada

  • @takyatupu6839
    @takyatupu6839 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah sis umemuoji vinzuri sana hongera sana😍🔥

  • @catherinecharles932
    @catherinecharles932 4 ปีที่แล้ว +4

    pole sana nduguyangu nimejikuta nalia tu mimi😭😭😭

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 4 ปีที่แล้ว +14

    Mboni ww ndo umejua kumuhoji ktk mahojiano waliomuhoji

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 3 ปีที่แล้ว

    Inauma sana aisee Mungu atutetee katika maisha yetu ya kila siku 😭

  • @btylove1870
    @btylove1870 4 ปีที่แล้ว

    She's so beautiful Mashaallah! Kutenda kosa sio kosa mama bali kurudia kosa. Pole sana

  • @prisscakalasa4996
    @prisscakalasa4996 4 ปีที่แล้ว +1

    Nice interview, mmetulia muuliza na muulizwa,I like it,keep it up da mboni

  • @loveelooh1964
    @loveelooh1964 2 ปีที่แล้ว +1

    Nilipita Thailand ile sehemu Ya kuondokea kuna Mashine kubwa Ata Kama umemeza madawa yanaonekana, na Wakiona mwafrika ndo kabisa wanamkagua sana

  • @veevictorius5116
    @veevictorius5116 4 ปีที่แล้ว

    Kurudia kosa ndio kosa. Binti maisha yatakuwa Sawa mwamini Mungu

  • @bakarisakawa6979
    @bakarisakawa6979 4 ปีที่แล้ว +1

    Nashindwa kuelewa hadi sasa nchi za nje wanapohotaji mkalimani wa kiswahili ni lazima achukuliww mkenya hivi kiswahili wa tz hawajui ama wakenya ndo wamahiri zaid

  • @aisatahaisatah2612
    @aisatahaisatah2612 4 ปีที่แล้ว +1

    Wafanye kazi kweli

  • @suleimanislam7777
    @suleimanislam7777 4 ปีที่แล้ว +2

    Hii interv kweli imeniliza sana pole sandra umeeleza ukweli

  • @almasiyusuph1275
    @almasiyusuph1275 4 ปีที่แล้ว

    Nice interview......Sandra just look forward....yaliyopita c......!!!!

  • @ahmedmazinge4075
    @ahmedmazinge4075 4 ปีที่แล้ว +2

    Umeitendea haki hiyo taaluma,hongera tumepata majibu ki ufasaha

  • @winnieseme4944
    @winnieseme4944 4 ปีที่แล้ว +8

    Kuna cha kujifunza. Barua ya mtoto imenitoa machozi😭

  • @SPrivy
    @SPrivy 4 ปีที่แล้ว

    Sandra nakupenda❤️❤️❤️❤️🥺🥺🥺🥺

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 3 ปีที่แล้ว

    Enz hizo nyimbo ilivuma sana nilikuwa sjui kama ulikuwa nje pole sana madam ndo mapito ya dunia

  • @jojokweka1902
    @jojokweka1902 4 ปีที่แล้ว

    Nice interview

  • @yudatadeshayo4434
    @yudatadeshayo4434 4 ปีที่แล้ว +2

    Fundi mboni wewe ndo umejua kuchimba vizuri

  • @أمينهالحبسي
    @أمينهالحبسي 4 ปีที่แล้ว +2

    Dambon upo vzr sana kimaswari

  • @rehemamustafa8134
    @rehemamustafa8134 4 ปีที่แล้ว +5

    Barua ya mtoto jaman ndio imeniliza!

  • @SetGozo
    @SetGozo 4 ปีที่แล้ว

    great

  • @mumranjuskaranja8216
    @mumranjuskaranja8216 4 ปีที่แล้ว

    No comments.. Ilitolewa kwa Jia ya choo

  • @nurumanyota416
    @nurumanyota416 4 ปีที่แล้ว

    Jamani, alikuwa gereza moja na jack

  • @pendooscar9322
    @pendooscar9322 3 ปีที่แล้ว

    Mim naogopa sana iyo ishu yaan nikisikia tu mtu kashikwa mavi yanabana kiukweli pole Sana ndugu

  • @nurumanyota416
    @nurumanyota416 4 ปีที่แล้ว

    Da mboni mimi nilikataa hicho kipindi na mimi nilikuwa na shawishia sana.

  • @jastinimgidula8976
    @jastinimgidula8976 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante da mboni.

  • @أمينهالحبسي
    @أمينهالحبسي 4 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana sandra mungu akupe wepes

  • @homan_nkwama
    @homan_nkwama 4 ปีที่แล้ว

    We'll come back

  • @mamapeace6730
    @mamapeace6730 2 ปีที่แล้ว

    Inasisimua mwili

  • @orestermartin8899
    @orestermartin8899 3 ปีที่แล้ว

    Daah mpaka nimelia😭😭😭😭😭

  • @mohamedbakari9399
    @mohamedbakari9399 4 ปีที่แล้ว +3

    Subra ni kitu kikubwa sana. Nan angejua baada ya miaka 10 ungetoka ukiwa mzuri kuliko zaman. Tusikate tamaa ukipita kwenye jaribu lolote kuwa na subira

  • @thedeo472
    @thedeo472 4 ปีที่แล้ว +6

    Mzigo unatolewa kwa njia ya aja kubwa. Eti no comments!! Ujinga Tu.

    • @SPrivy
      @SPrivy 4 ปีที่แล้ว +1

      Tulia kaka💀💀 mdomo chuchunge mwanaume mzima

  • @salimashur9678
    @salimashur9678 4 ปีที่แล้ว +3

    "Inatolewa na wapi huo mzigo"no comment....si useme tu mkun........ni haha alafu ndio utuambie samahani!!!!

    • @miriammacha5526
      @miriammacha5526 4 ปีที่แล้ว +2

      Sasa kumbe unajua akuambie ili iwaje ?unahisi kila unacho weza kukitamka wewe kila mtu anaweza kukitamka ?????

    • @dalancydevin4302
      @dalancydevin4302 4 ปีที่แล้ว +1

      😂😂

  • @Dr.zaidi4
    @Dr.zaidi4 4 ปีที่แล้ว

    Anajibu maswali kijelajela.Its like she doesn't want to implicate herself yet she's served her sentence

  • @pendomariki6562
    @pendomariki6562 4 ปีที่แล้ว +1

    Madawa ukimeza unatoa kwa haja Kubwa that is the comment

  • @sandekanyamala2832
    @sandekanyamala2832 4 ปีที่แล้ว +1

    Kiti umesema kweli kabisa

  • @esterfred3980
    @esterfred3980 4 ปีที่แล้ว +1

    Sandra mpole Sanaa yote katika utaftaji pole sanaa mpenz

  • @rechomwaijande3273
    @rechomwaijande3273 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbona kama nimchina mchina kangozi kazuli ungefungwa gereza za Tz tungekupotea Ali yauchimi sasaivi bola ungebaki uko uko tu kuenderea kujifunza kushona

    • @islandgirl4578
      @islandgirl4578 3 ปีที่แล้ว

      Wew homu ni homu tu asikwambie mtu

  • @halima23862
    @halima23862 4 ปีที่แล้ว +1

    Only America Zico hivyo inaitwa Family day

  • @SPrivy
    @SPrivy 4 ปีที่แล้ว

    Na uyo wastara mtumzima ovyo😹😹💀💔

  • @joynko4450
    @joynko4450 4 ปีที่แล้ว

    I missed t show

  • @muniradaudi440
    @muniradaudi440 4 ปีที่แล้ว +1

    Humo mulimo ni ndani ya ndegee au hhhh

  • @aishanatamaniningekuepoktk5062
    @aishanatamaniningekuepoktk5062 4 ปีที่แล้ว

    Mbona humuulizi hao waliomtuma baada yakupata matatizo walimsaidiaje au hawakumjua tena

  • @glorianikiza6033
    @glorianikiza6033 4 ปีที่แล้ว

    Kipindi kizuri saana

  • @hazelbrown4712
    @hazelbrown4712 4 ปีที่แล้ว +1

    Mboni bwana hahahaha Mwanamke wa Kiislamu unajua kufunika Kichwa Nywele umeziziba ila sasa Miguu yote na Magoti Karibia na Mapaja yapo nje🤦‍♀️🤦‍♀️

  • @suezanna2690
    @suezanna2690 4 ปีที่แล้ว

    Huyu dada alijua ni nini amebeba na wapi anaenda st the age of 22 ati huji nini

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 4 ปีที่แล้ว

    Muhimu ndoa sandra msikae mkizini

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 4 ปีที่แล้ว

    Mkenya mmoja amefungwa miaka 25

  • @dianaroserusimbi6003
    @dianaroserusimbi6003 4 ปีที่แล้ว

    Hajui kujib maswal ata, ili bidi wamfundishe jins yakuhadithia

  • @zakiahamisi9840
    @zakiahamisi9840 4 ปีที่แล้ว +2

    Tamaa mbaya, faida yake ndiyo mi sioni sababu ya kukusikitikia mana ulifanya kwa makusudi kutaka kuharibu wengine kwani ulikuwa ujui madhara ya madawa wangekupa kama 20years

    • @lisasalum2462
      @lisasalum2462 4 ปีที่แล้ว +4

      Wewe ni kuma na hujui maisha msenge kweli

    • @watakaniitaje1215
      @watakaniitaje1215 4 ปีที่แล้ว

      @@lisasalum2462 Asa matusi ya nini na Dada wa watu kaongea kitu true hivi angetusua hapo angetuangaliaje uswazi kama sio kwa kujimwambafai zaidi Tena hata iyo 20 midogo akomeeee
      Maisha ndo yanakufanya uharibu watoto wa wenzio mbona sie tunauza vitumbua na maisha yanaendelea tamaa zake tu

    • @farhatsuleymaan5625
      @farhatsuleymaan5625 4 ปีที่แล้ว +2

      Sikilizeni nyie..
      Siku zote tunaambiwa
      Usishangirie kabla refa hajatoa maamuzi.
      Ikiwana na maana usifurahie ingawa bado mapema...
      Hujui lini yatakukuta.
      Msianze kushusha lawama ikiwa hayajakufika.
      Bora mnyamaze tu.

    • @lisasalum2462
      @lisasalum2462 4 ปีที่แล้ว

      Ndio nyie nyie mnatiwaga tu vidole nyumbani yani kula kulala hakuna unachoelewa tuliza kisimi fala wewe...... mtu ana omba msamaha na kujutia makosa yake wewe mkundu unakuwasha nn mnakera wasenge

    • @watakaniitaje1215
      @watakaniitaje1215 4 ปีที่แล้ว +1

      @@lisasalum2462 hakuna tusi jipya labda likageuza mbingu au likazima jehanam hapo msamaha Anamuomba Muumba wake ila ukweli utabaki kwamba akomeeee angetutusua huku uswahilini tusingekunywa maji Tena akomeeee angepata Ata kifungo cha maisha hakuna maajabu Kuna mtu anaeomba msamaha kabla halijamkuta angewin angeomba msamaha msituchoshe hapa
      Tunauza vitumbua tumepanga vyumba tunasomesha watoto na maisha yanaendelea hebu tupishane hapaaa