WAUMINI WAKUMBUSHWA KUKEMEA MAOVU
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 29 ต.ค. 2024
- Mrakibu wa Polisi Dkt Ezekiel Kyogo amewakumbusha waumini wa kanisa la EAGT Makambako kukemea maovu kama vitabu vya Mungu vinavyosema.
Ameyasema hayo Septemba 1, 2024 wakati alipokuwa akizungumza kanisani hapo katika kuitambulisha kampeni ya Tuwaambie kabla hawajaharibiwa