USALAMA TV
USALAMA TV
  • 440
  • 193 466
TANZANIA SALAMA E01
#SalimishaSilaha
Salimisha Silaha Haramu, Muda wa kusalimisha.
Mwisho wa kusalimisha Silaha :
31 Oktoba 2024.
Muda:
Saa 2.00 Asubuhi hadi Saa 10.00 Jioni
Maeneo ya Kusalimisha Silaha.
1.Kituo cha Polisi
2.Ofisi ya Serikali ya Mtaa
3.Ofisi ya Mtendaji wa Kata/Shehia
มุมมอง: 40

วีดีโอ

USALIMISHAJI WA SILAHA
มุมมอง 442 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#SalimishaSilaha Salimisha Silaha Haramu, Muda wa kusalimisha. Mwisho wa kusalimisha Silaha : 31 Oktoba 2024. Muda: Saa 2.00 Asubuhi hadi Saa 10.00 Jioni Maeneo ya Kusalimisha Silaha. 1.Kituo cha Polisi 2.Ofisi ya Serikali ya Mtaa 3.Ofisi ya Mtendaji wa Kata/Shehia
JESHI LA POLISI ALITAWAVUMILIA MTU AU KIKUNDI WATU KITAKACHOVUNJA SHERIA AU KUHATARISHA AMANI
มุมมอง 55412 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Nasaha za Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura wakati wa kufunga Mafunzo ya Awali ya Polisi kozi namba 1, 2023/2024 Oktoba 25, 2024 katika Shule ya Polisi Tanzania - Moshi mkoani Kilimanjaro.
Kamishna wa Polisi Zanzibar akizungumza na waandishi wa habari
มุมมอง 30616 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kamishna wa Polisi Zanzibar akizungumza na waandishi wa habari
1080 HD NYERERE FULL
มุมมอง 14914 วันที่ผ่านมา
1080 HD NYERERE FULL
JESHI LA POLISI LINAVYOMKUMBUKA HAYATI JK NYERERE
มุมมอง 26214 วันที่ผ่านมา
JESHI LA POLISI LINAVYOMKUMBUKA HAYATI JK NYERERE
NAIBU KAMISHNA MISIME AFUNGA MAFUNZO YA WAWAKILISHI WA URA SACCOS KANDA YA MOROGORO
มุมมอง 13914 วันที่ผ่านมา
NAIBU KAMISHNA MISIME AFUNGA MAFUNZO YA WAWAKILISHI WA URA SACCOS KANDA YA MOROGORO
KIKAO CHA UTATU
มุมมอง 17514 วันที่ผ่านมา
KIKAO CHA UTATU
4 October 2024
มุมมอง 16621 วันที่ผ่านมา
4 October 2024
MKAGUZI MSAIDIZI ZAKAYO AELEZEA MIAKA 60 YA POLISI KWA LUGHA YA KIRUSI
มุมมอง 611หลายเดือนก่อน
MKAGUZI MSAIDIZI ZAKAYO AELEZEA MIAKA 60 YA POLISI KWA LUGHA YA KIRUSI
RAIS SAMIA MGENI RASMI KILELE CHA MIAKA 60 YA JESHI LA POLISI.
มุมมอง 702หลายเดือนก่อน
RAIS SAMIA MGENI RASMI KILELE CHA MIAKA 60 YA JESHI LA POLISI.
UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA MAAFISA WAKUU WAANDAMIZI WA POLISI MWAKA 2024
มุมมอง 73หลายเดือนก่อน
UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA MAAFISA WAKUU WAANDAMIZI WA POLISI MWAKA 2024
POLISI WAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA CHADEMA
มุมมอง 2.6Kหลายเดือนก่อน
POLISI WAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA CHADEMA
KIKAO KAZI CHA MAAFISA WAANDAMIZI
มุมมอง 243หลายเดือนก่อน
KIKAO KAZI CHA MAAFISA WAANDAMIZI
WAZIRI MKUU AFUNGUA SEMINA ELEKEZI YA VIONGOZI WAANDAMIZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
มุมมอง 150หลายเดือนก่อน
WAZIRI MKUU AFUNGUA SEMINA ELEKEZI YA VIONGOZI WAANDAMIZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
POLISI KUADHIMISHA MIAKA 60
มุมมอง 281หลายเดือนก่อน
POLISI KUADHIMISHA MIAKA 60
WAUMINI WAKUMBUSHWA KUKEMEA MAOVU
มุมมอง 65หลายเดือนก่อน
WAUMINI WAKUMBUSHWA KUKEMEA MAOVU
ACP FAIDHA ASISITIZA MAFUNZO KWA WANAOINGIA KATIKA NDOA
มุมมอง 191หลายเดือนก่อน
ACP FAIDHA ASISITIZA MAFUNZO KWA WANAOINGIA KATIKA NDOA
MAKAMBAKO WAFIKIWA NA KAMPENI YA TUWAAMBIE KABLA HJAWAJAHARIBIWA
มุมมอง 104หลายเดือนก่อน
MAKAMBAKO WAFIKIWA NA KAMPENI YA TUWAAMBIE KABLA HJAWAJAHARIBIWA
DCP DAVID MISIME :JESHI LA POLISI LIMETOA ONYO KWA ATAKAYE RATIBU UHALIFU
มุมมอง 4682 หลายเดือนก่อน
DCP DAVID MISIME :JESHI LA POLISI LIMETOA ONYO KWA ATAKAYE RATIBU UHALIFU
POLISI WABAINI MAUAJI MENGINE SINGIDA NA DODOMA
มุมมอง 2.9K2 หลายเดือนก่อน
POLISI WABAINI MAUAJI MENGINE SINGIDA NA DODOMA
UTEKAJI, MAUAJI SINGIDA MAKUBWA YABAINIKA
มุมมอง 8502 หลายเดือนก่อน
UTEKAJI, MAUAJI SINGIDA MAKUBWA YABAINIKA
ALIYEMUUA BINTI NA KUMUWEKA NDANI YA BOX NA KUMTUPA VICHAKANI AKAMATWA
มุมมอง 2302 หลายเดือนก่อน
ALIYEMUUA BINTI NA KUMUWEKA NDANI YA BOX NA KUMTUPA VICHAKANI AKAMATWA
POLISI YAENDELEA KUWANASA WATEKAJI NA WAUAJI
มุมมอง 2.9K2 หลายเดือนก่อน
POLISI YAENDELEA KUWANASA WATEKAJI NA WAUAJI
KAMISHNA AWADH AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI
มุมมอง 1.9K2 หลายเดือนก่อน
KAMISHNA AWADH AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI
WAWILI MBARONI KWA KUSAMBAZA TAARIFA ZA UONGO MTANDAONI
มุมมอง 1392 หลายเดือนก่อน
WAWILI MBARONI KWA KUSAMBAZA TAARIFA ZA UONGO MTANDAONI
MATUMIZI SAHIHI YA BARABARA KWA WATEMBEA KWA MIGUU
มุมมอง 682 หลายเดือนก่อน
MATUMIZI SAHIHI YA BARABARA KWA WATEMBEA KWA MIGUU
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Jeshi la Polisi, CP Awadhi Haji ataka jamii kuilinda reli ya SGR
มุมมอง 5282 หลายเดือนก่อน
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Jeshi la Polisi, CP Awadhi Haji ataka jamii kuilinda reli ya SGR
JESHI LA POLISI LAJIPANGA KUIMARISHA USALAMA USAFIRI WA SGR
มุมมอง 5622 หลายเดือนก่อน
JESHI LA POLISI LAJIPANGA KUIMARISHA USALAMA USAFIRI WA SGR
WATAWA WA KIKE WAJITOKEZA KUPINGA VITENDO VYA USAFIRISHAJI HARAMU WA BINADAMU
มุมมอง 263 หลายเดือนก่อน
WATAWA WA KIKE WAJITOKEZA KUPINGA VITENDO VYA USAFIRISHAJI HARAMU WA BINADAMU

ความคิดเห็น

  • @geminimushy9532
    @geminimushy9532 7 วันที่ผ่านมา

    Pongezi kwa wote waliosimamia zoezi Hilo.

  • @NeemaMei
    @NeemaMei 8 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤ this

  • @aliabass5242
    @aliabass5242 17 วันที่ผ่านมา

    nataman kua askr

  • @geminimushy9532
    @geminimushy9532 25 วันที่ผ่านมา

    Tulijua uhalifu huu unatendwa na wanaume tu, kumbe na wanawake wameanza kutafuta usawa wa kijinsia hata kwenye uhalifu? Jukumu lao la upole lihimizwe zaidi ili waachane na uhalifu ambao unakwenda sambamba na ukiukwaji wa haki za binadamu,

  • @geminimushy9532
    @geminimushy9532 หลายเดือนก่อน

    Good job

  • @Peterchila-un2lx
    @Peterchila-un2lx หลายเดือนก่อน

    Wanaiga wanajeshiii

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 หลายเดือนก่อน

      Kila Taasisi ya Serikali inao Mpango Mkakati wake wa Miaka 5, ambapo humo kuna Marengo Mahsusi, Shabaha, Mikakati na shughuli (activities) walizopanga kutekeleza kila mwaka. Hivyo kama activities zinafanana kwa majeshi yote si jambo la kushangaza muhimu watatueleza kipi ni kusudio lake kiasi wakaidhinishiwa fedha na Bunge. Ebu tuwe watu du kusoma nyrka za serikali na kujiridhisha na kile wanachopanga kufanya kama huduma kwetu

  • @juliusmagunila6308
    @juliusmagunila6308 หลายเดือนก่อน

    Mimi ntaandamana mniue tu

  • @Immamk__44
    @Immamk__44 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kupoa mpaka kieleweke maandamano yako palepale

  • @RichardStephen-xc7yc
    @RichardStephen-xc7yc หลายเดือนก่อน

    Duu! Yaani mtihani kwani kuandama tukishinikiza serikali kupata majibu ya maswahiba ya watanganyika wanaopotea ni shida kweli?

  • @SelemaniHamiss
    @SelemaniHamiss หลายเดือนก่อน

    Najiuliza.amani.gani.wanayoisema.au.uoga.ndo.aman.watanganyika.kweli

  • @assenganews9435
    @assenganews9435 หลายเดือนก่อน

    Mnataka wakaandae kikosi cha kigaidi na kubeba silaha au

  • @DicksonMhenga
    @DicksonMhenga หลายเดือนก่อน

    Polisi hatuwaogopi tunawaogopa watekaji tu Kwa sababu na NYIE hamuwajui watekaji.

  • @aloicyemarawiti7156
    @aloicyemarawiti7156 หลายเดือนก่อน

    Tukutane rode bosi Wang misime

  • @igulug5450
    @igulug5450 หลายเดือนก่อน

    Hatuna imani na upelelezi wenu serikal ni ileile vyombo ni vilevile vitaleta upelelezi wa kweli sina imani na serikali hii madamano ni muhimu kwa mjibu wa sheria mtuuwe wote tu na sisi tutwatumia uchawi wa nyuki

  • @fficialkenah
    @fficialkenah หลายเดือนก่อน

    Mpelelezi? Mnampeleleza nan

  • @JovinBuberwa
    @JovinBuberwa หลายเดือนก่อน

    Tunawataka watu wapatikane

  • @omaryramadhani290
    @omaryramadhani290 หลายเดือนก่อน

    Wako kikatiba au hawako kikatiba mbona mnatumia sana ubabe wakati ni haki ya katiba maana uchunguzi mnaoufanya wakati matukio mnafanya wenyewe uweni watu tu mmezoea mbona

  • @Lyangampinga
    @Lyangampinga หลายเดือนก่อน

    Hamjasema bado tunakuja tu Samia must go ipo pale pale

  • @NaaliSimba-t2p
    @NaaliSimba-t2p หลายเดือนก่อน

    mnavoteka watu sio uhalifu ila kuandamana ni marufuku sasa ngoja tuone kama hao vijana hatutawaona

  • @Damiantuby
    @Damiantuby หลายเดือนก่อน

    Mimi na akili zangu timu hyo paragraph ya mwisho ulioongea sihafikiani nayo

  • @NaaliSimba-t2p
    @NaaliSimba-t2p หลายเดือนก่อน

    tena mkisema hvo ndo mnakosea bila hao vijana hatujawaona hakuna kitachotuzuia mnajidanganya

  • @Pidophantom16
    @Pidophantom16 หลายเดือนก่อน

    tutaandamana mtake msitake

  • @furahamwikombo-p7g
    @furahamwikombo-p7g หลายเดือนก่อน

    Polisi mnawaweza tu Chadema,,Ila watekaji hamuwawezi wako juu ya Sheria..

  • @furahamwikombo-p7g
    @furahamwikombo-p7g หลายเดือนก่อน

    Maandamano yana zuiwa kwa Kukamatwa wahusika wa utekaji,,Kushitakiwa mbele ya Sheria kwa Uwazi. Kuzuia bla kulete wahusika ni Uonezi tu..Ukimuonea mtu,anakuwa Tayari kufa,Kuliko kulwa hai..

  • @samprassandco.7137
    @samprassandco.7137 หลายเดือนก่อน

    Hapa hamna jeshi la polisi

  • @salminvisram8556
    @salminvisram8556 หลายเดือนก่อน

    Jeshi la Polisi lishughurikie matukio ya Utekaji na Mauaji ya Raia. Lkn pia Jeshi la Polisi lijitoe ktk lawama na tuhuma dhidi yake kila mara ktk matukio ya utekaji na upotevu wa watu nchin kwa kufanya kazi kikamilifu kwa Mujibu wa Katiba na PGO

  • @hamadmwarabu-df6zk
    @hamadmwarabu-df6zk หลายเดือนก่อน

    Safi sana Jeshi la polisi

  • @vitusgervas4939
    @vitusgervas4939 หลายเดือนก่อน

    upelelezi gani

  • @KezeaChacha
    @KezeaChacha หลายเดือนก่อน

    Tutaandamana mtake msitake

  • @kusekwamachibyawaganda7806
    @kusekwamachibyawaganda7806 หลายเดือนก่อน

    Asanteni Usalama Tv

  • @ZakariaMnzava-q1v
    @ZakariaMnzava-q1v 2 หลายเดือนก่อน

    Saivi watanzania hawdanganywi na police Wala ccm

  • @ThomasAlute
    @ThomasAlute 2 หลายเดือนก่อน

    Acheni uongo polisi hivi mnajua watu wanaakili kuliko nyie mambwa hasa wewe misime

  • @subiralema
    @subiralema 2 หลายเดือนก่อน

    Wanganga ote wakamatwa

  • @IsiahMosl
    @IsiahMosl 2 หลายเดือนก่อน

    Hongeren kwa kaz kubwa mnayofanya jeshi la polis wananchi tuendelee kutoa taarifa tunamuomba mungu aendellee kutulinda waja wake milele.

  • @linusrupia1871
    @linusrupia1871 2 หลายเดือนก่อน

    Binafsi natambua ugumu wa kazi katika kutekeleza wajibu wa majukumu ya jeshi la Polisi Tanzania. Nawapongeza askari wetu wote wanaotimoza wajibu wao kwa mujibu wa sheria.

  • @gwadandimeshack6615
    @gwadandimeshack6615 2 หลายเดือนก่อน

    Hongereni polisi na wananchi kwa ushirikiano Mungu atusaidie .

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 2 หลายเดือนก่อน

    Haya mnayataka wenyewe pigeni marufuku waganga wa jadi na wanaombea watu kwa kivuli cha dini lasivyo matukio ya kupumbavu na kijinga kama haya hayatoisha

  • @josephkate3664
    @josephkate3664 2 หลายเดือนก่อน

    Bravoo Police

  • @nicolasmsaki5987
    @nicolasmsaki5987 2 หลายเดือนก่อน

    Taarifa mnachelewa kuzipata kwa sababu mahusiano p Ya police na wananchi ni zeroooo

  • @DeeZote
    @DeeZote 2 หลายเดือนก่อน

    Mapolisi wamekuwa wasoma taharifa za maiji tu kila siku

  • @RajabuAbdi-rs7sp
    @RajabuAbdi-rs7sp 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

  • @AFRiCANKiDOnline
    @AFRiCANKiDOnline 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri ila mnapaswa kujitazama mtu anapotea mwez wa nne mnakuja kupata taarifa mwezi wa 8 Jitahidini wakuu

  • @naseebjoseph5330
    @naseebjoseph5330 2 หลายเดือนก่อน

    Watu ni wanyama sana!

    • @JofreyMsigwa-ok7hv
      @JofreyMsigwa-ok7hv 2 หลายเดือนก่อน

      Du n hatar mzee hao watoto walizikwa wakiwa hai spat picha mateso waliyopata mmh

  • @mussamohamed8865
    @mussamohamed8865 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona dunia imefika pabaya sana

  • @LucianSanga-q8j
    @LucianSanga-q8j 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ndio kazi tuliyo Watuma Mfanye Hongera sana Tutaka ku sikia hivyo Hatu taki neno Wasio julikana

  • @CharlesMulaki-j8h
    @CharlesMulaki-j8h 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona hamjasema wanasiasa soka na wenzake tunawataka

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 2 หลายเดือนก่อน

    Mwanadamu bwana kashindikana mbinguni na duniani hivi mwenye macho ataambieaje tazama au mwenye akili aambiwe fikili hivi na hivi kweli lisasi za moto ndani ya maandamano ya wanawake wanaoombolezea watoto wao wadogo walioibiwa ndio nguvu ile ile ? Au hapo imekaaje kwa kweli hekima ya dunia iliyo ya namna ya kishetani ikitawala kati ya wanadamu inakuwa ni vigumu kutofautisha vitu na utu wamechoma vitu kwa uchungu wa misiba na kupoteza watoto hukumu yao ni kuwaongezea kuwaongezea msiba mala dufu

  • @andrewmaiga4331
    @andrewmaiga4331 2 หลายเดือนก่อน

    Afande unafaa kuwa IGP ajae. Hongera sana

  • @ReginaMussa
    @ReginaMussa 2 หลายเดือนก่อน

    Waganga pia ndio chanzo kikubwa cha mauaji

  • @elizabethkalinga0822
    @elizabethkalinga0822 2 หลายเดือนก่อน

    Mleteni Peupe huyo Fatuma, maana ametufedhehesha Wanawake, kapewa Madaraka makubwa yeye anaamua kuyatumia Vibaya tena Kiunyama.