Dada Asante sana kwa elimu Mimi nilikuwa na chunusi nikawa natumia persol forte cream au benzoyl peroxide lakini imenifanya uso mweusi sana na kuwa na mabaka nifanyaje Dada angu naomba nisaidie
I'm male. And im oli skin just like u so please can u tell me all the products which I need to u. And which type of sabuni natakiwa kutumia. Uki niandikia itakua more easy.
You need the basics. Try Gel Face wash Serum: retinol would be amazing for your oily skin. And a moisturizer. Try something light not thick and heavy for your oily skin.
Unamadoa au ni chunusi? Kama chunusi jaribu Differin adapalene gel 0.1 percent. Azeleic acid pia nzuri kwa madoa na chunusi. Toner unaweza kumia glycolic acid Na serum Tru skin vitamin c... Usisahau na spf nimuhimu mno.. 🥰🥰🥰
Your the best... umenisaidia sana
Nakupenda
Dada naomba nifundishe kutumia vitamin C, hyaluronic, na Retinol nazipakaje kipenzi
U mwalimu mzuri sana nimekupenda bureeee
Asante saaana jamani kipenzi ❤️❤️❤️
nakupenda ❤❤
Wewe ni mwalimu mzuri sana
Asantee 🥰🥰🥰
Dada Asante sana kwa elimu Mimi nilikuwa na chunusi nikawa natumia persol forte cream au benzoyl peroxide lakini imenifanya uso mweusi sana na kuwa na mabaka nifanyaje Dada angu naomba nisaidie
Nasubr majib pia
Asante kwa elimu nzuri za ngozi na unamtumia jina gani istgram
🥰🥰🥰 saifabeauty
Very informative, yaan ngozi yangu imekua dull ndo napona allergy reaction ilinipata two weeks back just what I needed, thank you for sharing
Awww jamani maskini sana. Pole sana kwa allergy... and you are very welcome.
@@Saifabeauty naiji mm maelekezo naomba namba
@@Saifabeauty naomba no ya cm
Dada naomba maelezo jinsi ya kutumia iyo serum ya ordinary
Thanks bebe tumeelewa vzuri kabisa 😘😍❤
Asanteee sana jamaniiii...
Shkran
I needed to know all of this thank you 🙏❤ my skin needs carrying for 😍😍😍
Awww yess please start asap... 😍😍😍😍
Napenda unavyoelezea vizuri Saifabeauty hadi raha kwa asijeyejua kabisa lazima aelewe. More skin care videos please
Awww jamani thank uuu. I try to make sure niiweke rahisi ieleweke na isitishe... kila mtu anaweza kushughulikia uso wake
@@Saifabeauty 👍
I love ur channel halafu uko very charming 🙏
thank u soo much hun ❤️❤️❤️❤️
Thanks for this video😍👌
Your welcome my love... Thank u for watching it ❤❤❤❤
Tengeneza diamond video ya retinol cerum. Pia nisaidie sun cream gani ni nzuri mpenzi
okay dear ❤️.. nitafute insta
This was very informative.. Thanks beautiful 😘😘
Thank u sooo much for watching ❤❤❤❤
@@Saifabeauty naomba no ya cm ngozi yangu INA weusi namadoa meus
Nimependa that look 😍😍😍
Jamanii thank uuuuu
Je hii b.b clear serum ni nzuri na waweza paka yenyewe bila lotion
I'm male. And im oli skin just like u so please can u tell me all the products which I need to u. And which type of sabuni natakiwa kutumia. Uki niandikia itakua more easy.
You need the basics.
Try Gel Face wash
Serum: retinol would be amazing for your oily skin.
And a moisturizer. Try something light not thick and heavy for your oily skin.
@@Saifabeauty thenks so much sister
wow! Thankyou for the video
You are very welcome...Thank you for watchning ❤❤❤❤
Dada Mimi nimealibika Sana USO kwahiyo naezaku
Thank you 🧕
❤❤❤❤
A s w niwekeke kwa group yako pls uone uso wangu maana nina makesima
Thanks this is what I needed
Your welcome... ❤❤❤❤
Asante for the honesty in the importance of eye creams.
Ur welcome love... its something people need to be aware of ❤❤❤
tunavipataje xax xix tunaotaka kuanza kutumia xix wenye ngozi ya mafuta
Unaweza kutonesha ovyo vifaa vya kutumia
And we're can I find u in Tanzania. I'm from mwanza
Waoh nice saifa wng
Thank you my love ❤❤❤❤❤
Unaweza kuviorodhesha hivyo vitu ambavyo unafundishia plz
Khabibty umeongelea uso but mwili mzima hujongelea tunafaa kutumia nn kwa mwili wote
Ur a really good teacher 😂😍 mnakumbuka wanafunzi 😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣... jamaniii... thank youuuu
Sunscreen na mekaup nn kinatangulia
Sunscreen kwanza
Samahani dada mimi uso wangu ni wa mafuta naomba uniambie nitumie bidhaa gani itakuwa bora kwangu coz Nina madoa ya chunusi
Unamadoa au ni chunusi? Kama chunusi jaribu Differin adapalene gel 0.1 percent.
Azeleic acid pia nzuri kwa madoa na chunusi.
Toner unaweza kumia glycolic acid
Na serum Tru skin vitamin c...
Usisahau na spf nimuhimu mno.. 🥰🥰🥰
@@Saifabeauty o
Everyone needs moisturizer it just comes down to which one
Yes everybody does...
hiyo slap Alha lipolic acid inauzwa maduka ya vipodozi
Je serum inachubua?
No mamy haichubui
@@Saifabeauty na inamadhara kam ukichanganya n mafuta
Naomba msada ninamakovu sana usoni nitumie nini msada
My hizo bidhaa unauza maan waanga wengi wamapele usoni
no mamy siuzi mimi
Saifa, beauty products za ordinary zipo tz?
Zipooo. Lakini wanauza instagram.
❤️
🥰
Naomba no yako nikuchek private
Habar Dada mm kila mafuta nkpaka yananikataa naomba unpe ushaur
Kwanini yanakukataa???
😂😂😂😂😂Unanifanya nacheka kwa saut 😂😂😂
@@jadidasaid 🤣🤣🤣 sawa sawaaaa
USO wangu unavishimo nifanyeje mpenz
😂😂😂 cant wait for that look tho love it
Coming sooon 😍😍😍😍
Asalam aleykum dada samahan naomba namba yako ya cm
Kwaiyo vitamin c utakiwi kupak ucku
Hapana paka ata asubuhi.. lakini usisahau na SPF juu yake
Tutumie brand gan nzur zaid
maybe jaribu kuanza na the ordinary
Subscribed
Thank you sooooo much my love❤❤❤
Naomba namba yako dear
Mamy nahitaj jmn nawezaj kupat jmn
Zipo zinapatikana ata instagram na madukani
...
Tunaipaje
Naomba namba yako mum
Sorry madam utoe na Bei
Siuzi mimi dear… lakini viko madukani au instagram
na Mimi ngozi yangu no yenye mafuta