ZINGATIA HATUA HIZI Utajua MAKEUP HARAKA SANAAA |Makeup for beginners

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 54

  • @jeanmariendibanje7308
    @jeanmariendibanje7308 2 ปีที่แล้ว

    Asante dada kwamafunzo namkubali mafunzo yako asante sana

  • @VailethMichael-yh7bs
    @VailethMichael-yh7bs ปีที่แล้ว

    Asante sana nimejifunza Ving dada

  • @mariammdingo4348
    @mariammdingo4348 3 ปีที่แล้ว

    Mashaalah natamani kama ndo mie naweza ivo wallah
    Natamani sana

  • @mumbafaraji4638
    @mumbafaraji4638 4 ปีที่แล้ว +3

    Napenda video zako love Yani aupeleki vitendo harakaharaka na hata km ukipeleka nikwamba tayari mtu unakuwa umeshaona kilichofanywa

  • @gladnessfurahini3096
    @gladnessfurahini3096 2 ปีที่แล้ว

    Yaan dada mungu akubless

  • @lilianwillium8381
    @lilianwillium8381 4 ปีที่แล้ว +2

    Nice

  • @hajiratyferuzzi5177
    @hajiratyferuzzi5177 3 ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @tatumahmud3576
    @tatumahmud3576 2 ปีที่แล้ว

    Asante kipenzi

  • @bettylekela340
    @bettylekela340 4 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sana hongereni.

  • @farajaowden9506
    @farajaowden9506 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa sana. Ila kuchora wanja nashindwa kabisa da, Farida

    • @faridaothman
      @faridaothman  4 ปีที่แล้ว

      Pole dear jitahidi kufanya mazoez t

  • @fatmaramadhan5979
    @fatmaramadhan5979 2 ปีที่แล้ว

    Madam unafundisha vizur sana nipo pamoja na wewe

  • @ayshaititi4483
    @ayshaititi4483 4 ปีที่แล้ว +1

    Very nice dear Ila cjaon contour unatumik sehm gan

  • @elizabethlucas8263
    @elizabethlucas8263 4 ปีที่แล้ว +1

    Mnajitahidi sana

  • @maulidsaid5127
    @maulidsaid5127 4 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri

  • @pendojustin9110
    @pendojustin9110 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante ma kwa mafunzo mazuriii

  • @dorisjessy5960
    @dorisjessy5960 4 ปีที่แล้ว +1

    Uzuri wako ni unafanya mambo yenye tunaeza relate...but next tym ekea mteja gauni asichafue nguo yake na makeup

  • @dianerpoull1177
    @dianerpoull1177 3 ปีที่แล้ว

    Naomba kujua namba za foundation ili kujua mtu na rangi

  • @saadantuse8456
    @saadantuse8456 4 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa

  • @fatmamansour676
    @fatmamansour676 3 ปีที่แล้ว

    Hapo katika kuchonga nyusi nimeona chini umemtia concealer rangi nyengine na juu nyangine vip inakuwa hapo

  • @agnessisrael4143
    @agnessisrael4143 4 ปีที่แล้ว

    Saman da farida natakakuja kujifunza ada pamoja na malaz nishingap

  • @alphoncekyaruzi5965
    @alphoncekyaruzi5965 4 ปีที่แล้ว

    Hongera unafundisha ila naomba unitumie majina ya makeup

  • @swaumabdi4213
    @swaumabdi4213 4 ปีที่แล้ว +1

    Huo wanja ulotumia kupaka kwenye nyusi ni wa pensel

  • @renathagodwine7208
    @renathagodwine7208 3 ปีที่แล้ว +1

    Konsila nini madam

  • @tausramadan7024
    @tausramadan7024 3 ปีที่แล้ว

    IPO SIKU DADA FARIDA NITAKUJA UNIFUNZEEEE😢😢😢

  • @mamawawili7833
    @mamawawili7833 2 ปีที่แล้ว

    Mpo vzli jamani ongeleni

  • @kanisiamkoko7051
    @kanisiamkoko7051 4 ปีที่แล้ว

    Penda sana.

  • @janeulomi7398
    @janeulomi7398 4 ปีที่แล้ว

    Uko poa vifaa vya mekap unauza bei gan

  • @zulfatdidas369
    @zulfatdidas369 4 ปีที่แล้ว

    U killed it

  • @rehemaakwilombe8407
    @rehemaakwilombe8407 4 ปีที่แล้ว

    Kweli video nzuri sana ila naona hujaelezea mambo mengi sana. Baada ya foundation umepaka concealer hujalielezea hilo. Pia matumizi ya poda zenye aina mbili ya shades ili kukupa muonekano mzuri zaidi. Pia nimeona final look ina contour ila sijaskia hilo jamani mmmh

  • @winnielubiki8453
    @winnielubiki8453 4 ปีที่แล้ว +1

    Kiboko kabisa🔥🔥

  • @swaumabdi4213
    @swaumabdi4213 4 ปีที่แล้ว +1

    Jina la hiyo foundation naomba namba yako farida

  • @farhiyaarafat6526
    @farhiyaarafat6526 4 ปีที่แล้ว

    Like Sana mamy

  • @nasrashabani5512
    @nasrashabani5512 4 ปีที่แล้ว +1

    NC MY

  • @ishatybeauty9711
    @ishatybeauty9711 4 ปีที่แล้ว +2

    Dada ninashida nahiyo brash ulokatia nyus naipataj

  • @mwanamkuusudi5210
    @mwanamkuusudi5210 4 ปีที่แล้ว +1

    Hy hii poda unajuaje colour ya sura yako

    • @faridaothman
      @faridaothman  4 ปีที่แล้ว +1

      Huwa zinaonekana nyeusi nyeupe na nyingine huwa na namba kabsa

    • @ahmednassor3061
      @ahmednassor3061 3 ปีที่แล้ว

      Mtu mweupe anatumia namba ngap

    • @ahmednassor3061
      @ahmednassor3061 3 ปีที่แล้ว

      Naomba unifahamishe hizo namba plz yaan mweus sana namba ngp mweupe na maji ya kunde

  • @florencekisumo7548
    @florencekisumo7548 4 ปีที่แล้ว

    Nitajuaje ni rangi gani napaswa kutumia ya makeup

  • @fatumaissahongera3529
    @fatumaissahongera3529 4 ปีที่แล้ว +1

    Consila ya kusawazishia wanja ndo hiyo hiyo ya kupaka juu ya hicho Kabla ya eye shedo

  • @phauziamvuria4100
    @phauziamvuria4100 4 ปีที่แล้ว

    N wewe 2

  • @hawaalmas6760
    @hawaalmas6760 4 ปีที่แล้ว

    Mbona ukutupa namba ya kutuma pesa hiyo ya group la WhatsApp alafu upo kimya sana

    • @faridaothman
      @faridaothman  4 ปีที่แล้ว

      Unahitaj kulipia???? Nitext 0657292650 au lipia jina FARIDA kisha nipigie nikuunge

    • @hawaalmas6760
      @hawaalmas6760 4 ปีที่แล้ว

      Kujifunza kwa njia ya WhatsApp my dear kwahiyo iyo ndio namba ya kulipia ukisha lipia una ungwa kwenye hilo group? Na je ni kwa muda gani dear