Dada mm ni majiyakunde Currently natumia Lotion ya dove uso wangu ni wamafuta Je Nitumie nini vichunusi vidovidogo sana Vitoke na pores kwenye pua pia ninazo pls
Asante dear kwa hii video kuelimisha watu umuhimu wa kutumia sun cream mana ni kweli watu wengi wanajua sun screen ni kwa wazungu tu na tunawasahau watoto jamani. Somo zuri Saifa
Hi dear.. Si lazima iwe suncsreen hii hii. Unaweza kupata aina nyengine Tanzania.. Mtafute Akeeva beauty 0685487242. Mwambie saifabeauty kakuleta na unatafuta sunscreen nzuri kulingana na aina ya ngozi yako.. kama unangozi kvu au yenye mafuta..
Tumia faded kuondoa madoa ya chinois. Na Korean moisturizer ni lotion nzuri kwa uso wa Mafuta. Mtafute akeevabeauty pia instagram Anauza skincare nzuri
Mimi ni mpya nimependa sana darasa lako mm sijui kabisa kuhusu USO wangu kutunza ngozi ya uso na ngozi yangu ya mafuta nitumie nini au roshen ya aina gan
Ni sawa kutumia ila pia naomba nitumie iyo sancreen ambayo unatakiwa mtu utumia ambayo upati cancer ya ngozi mana nikifika dukani nimesahau........asante
Mwanangu ninamiaka 50 USO unamiraba,Na una ranging nyingi,nikaelekezwa hiyo screen e nimepaka nimekua kama jin natembea naona aibu je ,niipake ivyoivyo,pia nafanya kazi za kupika.
Asante kwa information. Hii topic hai boi. Ungeongea tu kwa urefu. hata sikuchoka kukuskiliza.
❤❤❤ asante sana💋💋💋 tutaongelea zaidi
Nice
Asante sana penzi kwa somo
Asante sana jamanii
From the Makeup tu u look pretty..
Thanks for this beautiful video.❤
Your welcome...❤❤❤ thank you for watching ❤❤❤
Tuma no zako tuwasiliane mm nahitaji
Mimi ni mpya nimesubribe. You look so beautiful my dear. Nice video
Jamaniii thank u so much mpenzi..welcome to the fam bam 😍😍😍
I am in 👌🏽👌🏽👌🏽🙌🏽🙌🏽
@@GlowCharls awww just saw ur channel am subcribed to u too babes 😍😍😍
Nmependa Sana video hii. Very informative.. Asante Sana
Asante na weweeeeee❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
Ok namba zako na unapatikana wapi
Dada mm ni majiyakunde
Currently natumia Lotion ya dove uso wangu ni wamafuta
Je Nitumie nini vichunusi vidovidogo sana Vitoke na pores kwenye pua pia ninazo pls
Jmn somo zuri kpnz no zk plz
I love your videos 💓💓
Thank uuu 🥰🥰🥰
Jah bless you my ge
❤❤❤
Asante dear kwa hii video kuelimisha watu umuhimu wa kutumia sun cream mana ni kweli watu wengi wanajua sun screen ni kwa wazungu tu na tunawasahau watoto jamani. Somo zuri Saifa
Asante sana mamy. Thats very truee❤❤❤
ukiwa na oily skin na una chunusi unatakiwa utumie ipi , ambayo pia inang"arisha?
Sasa naomba kuuliza dear hiyo sun screen inapatikana kwa shilingi ngapi ya tz?
Hi dear.. Si lazima iwe suncsreen hii hii. Unaweza kupata aina nyengine Tanzania.. Mtafute Akeeva beauty 0685487242. Mwambie saifabeauty kakuleta na unatafuta sunscreen nzuri kulingana na aina ya ngozi yako.. kama unangozi kvu au yenye mafuta..
nzur sana habbty somo, hili wengi ngoz zao zimeharibika, kwa jua au kwa aina nyngine...
Yess mamy sana. Hassa hapa tanzania jua balaa na linaunguza sanaa
Mwaa thank you
😘😘😘😘
Dada nisaidiee uso wngu wa mafuta sana na midoa ya chunus, naomba uniambie nipakw lotion gani maan nmechokaaa
Tumia faded kuondoa madoa ya chinois. Na Korean moisturizer ni lotion nzuri kwa uso wa Mafuta. Mtafute akeevabeauty pia instagram Anauza skincare nzuri
Inauzwa shingap?
Zipo aina nyingi... hii sikumbuki ilikua shilinhi ngapi
Unaweza paka sunscrean na lotion kwa juu?
Paka lotion. Alagu sunscreen juu
Asante Sana kwa somo Instagram unatumia jina gan kpenz
wapi zinapatikana kipenz mm naitj mm
saifabeauty mamy
madukani... na ata instagram watt wanauza
Mimi nina ngozi kavu na sensitive nitumie sunscreen gani dada
Number one🤣
Love it 😂😂😂😂😂😂... thank uuuuu
@@Saifabeauty Namba yako wasap kpz tunaitaji
Rays ni mionzi kiswahili
Omggg yesssss. Dah sijui why sina google 😭😭😭
Tena najua nimesahau tu
@@Saifabeauty wapi nazipata
Mimi ni mpya nimependa sana darasa lako mm sijui kabisa kuhusu USO wangu kutunza ngozi ya uso na ngozi yangu ya mafuta nitumie nini au roshen ya aina gan
Hi dear... asante sana.
Kwani unatumia nini?
Naeza paka kitu after sunscreen like makeup or poda ama nikipaka hiyo ya mwishi ndio basi tena
Unapaka ndio.. Makeup haina shida...
Naweza kupaka asubuhi iyo usiku nikapaka loshen?
yes dear...
umejitahid mashallah
asanteeee ❤️❤️❤️
Sunblock ni sawa na sunscreen
Yes sawa sawa
dada ujambo,sasa naweza kupaka aje na saa gapi yenye nasitaili kupaka
Mionzi ya Jua =Sun Rays.
Hiyo chemical iko tuonyeshe
Chemical gani??
Ni kweli watu wengi hupuuzia ila ni Muhimu sana kutumia sunscreen
True.. extremly important but people are not aware
Nimekuta sanscreen imeandikwa uv alafu spf vitamin E
Ni sawa kutumia ila pia naomba nitumie iyo sancreen ambayo unatakiwa mtu utumia ambayo upati cancer ya ngozi mana nikifika dukani nimesahau........asante
ni spf yoyote dear ilioandikwa UVA and UVB. tafuta nzuri isiyona rangi nyeupe...
Dada mi natumia ya dk Rachel imeandikwa,long lasting UVA,na UBB protection system inafaa au
Nashida ya mafuta ya Isispharm neotone nitapataje
aww sijui dear
Je ukiipaka unaweza paka roshen alafu yenyewe inakuja kwa juu au ndio ukipaka airuhusiwi kupaka roshen
Unapaka kwanza iyo lotion. Alafu juu yake unapaka spf
Mwanangu ninamiaka 50 USO unamiraba,Na una ranging nyingi,nikaelekezwa hiyo screen e nimepaka nimekua kama jin natembea naona aibu je ,niipake ivyoivyo,pia nafanya kazi za kupika.
Inabidi utafute isio na rangi.... ziko nyingi hazikubadilishi rangi kabisa... natumai umepata
Dada nipe namba zako
Mimi ni mpya lkn uso wangu una mafuta sana nipake mafuta gan mana chunus aziniishi
jaribu adapalene 0.1 % from differin... me nanunua kwa page ya SES iko instagram..
mm ninawekundu kwenye mashavu je, natoa na nn
Na mabaka usoni je nitumie mafuta yapi yananifaa naomba ushauri na je ntapataje na bei yake!
Jaribu instagram welcare unaweza kutumia faded kwa mabaka na usisahau SPF
Ni Aina gani ya hio spf unayotumia wewe?
Natumia chemical spf bila ile weupe ndo ninazopenda mimi
Niabie ile sunscreen zuri naeza tumia
Dm me instagram tutaongea
Zinauzwaje izo
Zinaitwa spf... pharmacy zipo
.. H.s.amos, shoppers plaza pia zipo
Sasa hayo mabaka yakisha kuwa mengi chini ya macho kuyaondoa haswa mtu atayaondoa aje dadaangu
Naona kama chini ya macho pengine uonane na dermatologist... atakusaidia alafu utaendelea na spf na skincare nyengine...