KAMUZU BANDA RAIS ALIYEUA MAWAZIRI WAKE KWA KUWAPIGA MISUMARI VICHWANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2018

ความคิดเห็น • 131

  • @phineruge3480
    @phineruge3480 5 ปีที่แล้ว +11

    Kwako sina Ubishi na Wajua vile Nakukubarigi100%

  • @mathyboy851
    @mathyboy851 5 ปีที่แล้ว +14

    Uko vizur kwa utoaji Wa habar unasomeka vizur honger kaka

  • @fezabeauty
    @fezabeauty 5 ปีที่แล้ว +4

    Walikua wanauwana utafikiri wao watahishi milele . Wakowapi Sasa zambi zabure raha duniani ukifa mateso . Bora mateso ukifa furaa

  • @steveswakei9600
    @steveswakei9600 5 ปีที่แล้ว +6

    muziki unaweka juu sana inakua ngumu ku concentrate

  • @Omary_Mjema
    @Omary_Mjema 5 ปีที่แล้ว +10

    Music Upo Juu sana kuliko sauti yako mzee Baba.. Next time Fanyia kazi Please. But be blessed Chief

  • @wolframchikomo8873
    @wolframchikomo8873 5 ปีที่แล้ว +6

    Asante sana Ndugu yangu kutujuza habari za Dikiteta huyu wa Malawi. Naomba tu unisaidie yafuatayo Mpendwa wangu kuhusu Diiteta huyu. Mosi, ilizuka tetesi kuwa Banda aliwahi kuwa Daktari wa Malkia au kuitumikia familia ya Kifalme ya uingereza kabla hajawa Rais wa malawi. Je, ni kweli? Pili, eti kulikuwa na tetesi kuwa huyu Banda aliyejulikana kama Hastinga Kamuzu Banda HAKUWA Hastings Kamuzu Banda mwenyewe ORIGINAL bali ulifanyika mchoro wa KUMPOTEZA Hastings mwenyewe na AKAPANDIKIZWA huyu tunayemuona pichani ambaye kihalisia alikuwa ni mtu kutoka Nigeria au jamii ya Waliberia waliokuwa wakihodhi madaraka Liberia kabla ya Mapinduzi ya Sajenti Samweli Doe. Wengine walisema huenda alikuwa mtu wa Ghana, nk. Na kuwa hii ndiyo sababu alikuwa HAWEZI kabisa kuongea Lugha yoyote ya Kienyeji ya Malawi pamoja na Kichewa. Je, ukweli ni upi? Tatu. Kulizuka ama Tuhuma ama ni kweli (mimi sijui) kuwa Mheshimiwa huyu HAKUWAHI KUOA MKE WALA KUZAA WATOTO maishani mwake mwote. Je, hii ni kweli au uzushi tu? Na kana ni kweli SABABU hasa ilikuwa nini? Nne, kulisikika pia kuwa eti Mheshimiwa huyu alikuwa ANAKULA NYAMA ZA WATU hasa za wanasiasa aliokuwa anawaua kwa kuwashuku kuwa wlikuwa wanapanga njama za kumfurusha madarakani wakiwemo kina Arton Chirwa na wengine. Tafadhali nipe elimu zaidi kuhusu Dikteta huyu, habari zake ni nyingi zilizovuma juu yake. Asante

    • @emanuelshilagi2819
      @emanuelshilagi2819 5 ปีที่แล้ว

      Wolfram Chikomo walflam. nituminambayakonishapoza
      .mijamaayakowa. ushirombo

    • @wolframchikomo8873
      @wolframchikomo8873 5 ปีที่แล้ว

      Mpendwa Emmanuel Shilangi. Sijakuelewa vizuri unachokisema. Unaniomba namba yangu ya simu? Usihofu, wewe nitumie tu ya kwako kwenye ukurasa huu kisha nitakupigia mimi pasi shaka. Asante sana

    • @graceanamallya121
      @graceanamallya121 4 ปีที่แล้ว

      Kama hakuwa na mke Wala watoto,bhas ni kweli alikuwa daktar wa malkia kea sababu kila aliyekuwa karibu na malkia alihasiwa😥

  • @sirionecompanylimited8165
    @sirionecompanylimited8165 5 ปีที่แล้ว

    Hongera mkuu much respect you, wish tuonane mkuu

  • @leonardmrope9528
    @leonardmrope9528 5 ปีที่แล้ว +1

    Unaijua kazi Mzee safi Sana,,

  • @peternyange1894
    @peternyange1894 5 ปีที่แล้ว +2

    nimekupenda bure brazee your good enough

  • @domydocta.
    @domydocta. 5 ปีที่แล้ว +2

    Nakuona mbali Sana.. Nitakutafuta one day tupate autograph

  • @ibizaibiza6283
    @ibizaibiza6283 4 ปีที่แล้ว

    Davista nakukubali sanaa unaongea point tupu na sauti yako sijui umeitoa wapi unique sanaa kaka big up sanaa

  • @ChombsTV
    @ChombsTV 5 ปีที่แล้ว

    Punguza kidogo sauti ya "Background sound". Awesome narration.

  • @allymtz4348
    @allymtz4348 5 ปีที่แล้ว +1

    Broo asante kwa taarifa zako zisizo na ubabaishaji.

  • @standardtv3494
    @standardtv3494 5 ปีที่แล้ว +1

    Simulizi nzuri sana hizi lakini usiweke bed hiyo music kwenye background inadistort isikivu

  • @davidandrew9575
    @davidandrew9575 5 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzur kaka Mungu akusimamie

  • @michaeljohn6381
    @michaeljohn6381 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akuongoze Katika kutufungua ubongo hongera sana

  • @manenokayuni9775
    @manenokayuni9775 5 ปีที่แล้ว

    Kumbe Mambo yanajirudia Asante kwa kutu habarisha

  • @gitaamusicband
    @gitaamusicband 5 ปีที่แล้ว +3

    Nakubali sana mzee baba

  • @hassanmkono1563
    @hassanmkono1563 5 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubali sana davista

  • @emmanuelmwandosya9921
    @emmanuelmwandosya9921 5 ปีที่แล้ว +2

    Nomaaa sanaaa bro..

  • @kfastak
    @kfastak 5 ปีที่แล้ว +5

    Madkta ndio fashen inayo jirudia afrika

  • @jumananamwa19
    @jumananamwa19 5 ปีที่แล้ว +13

    Bro unafanya kitu ambacho ni kidogo cha dakika chache tu ila kina maaana kubwa Sana

  • @leakybugwi9247
    @leakybugwi9247 5 ปีที่แล้ว +3

    uko vzur kaka

  • @officialyoctanyavani776
    @officialyoctanyavani776 5 ปีที่แล้ว +1

    kaxi nzuri kijana

  • @edgargwitaba8286
    @edgargwitaba8286 2 ปีที่แล้ว

    Dah maisha Aya tunapita kweli

  • @alhadji4885
    @alhadji4885 5 ปีที่แล้ว +1

    YOU THE BEST

  • @mayalamapembe4916
    @mayalamapembe4916 5 ปีที่แล้ว

    kipaji chako ni kikubwa brother sana hongera

  • @amaninaupendo.3539
    @amaninaupendo.3539 5 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen. Inasikitisha .

  • @jonathankafu6013
    @jonathankafu6013 5 ปีที่แล้ว

    Nafurahia sana stori zako kujikumbusha historia muhimu za Afrika, lakini Naomba upunguze sauti ya soundtrack na uongeze sauti ya narration kwani inaleta shida kusikia vizuri. Asante!

  • @gilbertluwe573
    @gilbertluwe573 5 ปีที่แล้ว +7

    ulipotoa historia na matukio mengi, nilikufuatilia sana. Lakini hii umeitoa kama ilivyo maana niliisoma shuleni huko huko kama ilivyo. wewe ni hatari.

  • @bakariluhala7332
    @bakariluhala7332 5 ปีที่แล้ว

    Upo vizuri kaka

  • @daudichrchristopher8564
    @daudichrchristopher8564 5 ปีที่แล้ว +1

    Kaka hujawai niangusha upo poa sana kwa stor nzuri

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 5 ปีที่แล้ว

    ,uko vizuri baba

  • @samwelndiletelevisionc3385
    @samwelndiletelevisionc3385 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana brooo ngoja nisabsabscribe maana uko vizuli MUNGU AKUBARIKI KATIKA JINA LA YESU

  • @salimalaraini4017
    @salimalaraini4017 5 ปีที่แล้ว

    Nimefurahi sana kunielemisha historia hii.

  • @hudsson75
    @hudsson75 5 ปีที่แล้ว

    Safi, ila soundtrack ipo juu sana

  • @stewartamaniel3603
    @stewartamaniel3603 5 ปีที่แล้ว +10

    TUPE HISTORIA YA BOB MARLEY

  • @imranimwanja7694
    @imranimwanja7694 4 ปีที่แล้ว

    Rekebisha usomaji. Ukitaja mwaka mtu unashindwa kuelewa ndo mwaka wa tukio pita au lijalo

  • @ajuayejumaomari7577
    @ajuayejumaomari7577 5 ปีที่แล้ว

    Much respect broo

  • @jogechi2105
    @jogechi2105 5 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli umebarikiwa Kwa kueleza mambo.

  • @selbub3064
    @selbub3064 5 ปีที่แล้ว +1

    Nikiwa CANADA nimefurahi kuwa nasikia historia nzuri

  • @sibiromallya5894
    @sibiromallya5894 5 ปีที่แล้ว

    uko vzur mzeeee baba

  • @hamzaselemani4432
    @hamzaselemani4432 5 ปีที่แล้ว +1

    nakubali xna kazizako kaka

    • @issanyoka5641
      @issanyoka5641 5 ปีที่แล้ว

      Nakubali Mzee uko fiti sana

  • @sirijoseph655
    @sirijoseph655 5 ปีที่แล้ว

    big up broo

  • @petervecent7083
    @petervecent7083 5 ปีที่แล้ว

    Pamoja bro

  • @ericklaiton2763
    @ericklaiton2763 5 ปีที่แล้ว +1

    Nzuri

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 5 ปีที่แล้ว

    nimefurahi a sana historia hii

  • @edwardlupondije2771
    @edwardlupondije2771 5 ปีที่แล้ว

    ok uko sawa

  • @shungushula4340
    @shungushula4340 5 ปีที่แล้ว +2

    oya mkuu uko vizuli sana wewe weka vitu tu.

  • @elisamehecharles5432
    @elisamehecharles5432 5 ปีที่แล้ว

    Ogaaah! Huyu msimulizi hajui kunogesha hadithi

  • @chawuwosikutwa7708
    @chawuwosikutwa7708 5 ปีที่แล้ว

    namwenyewe inatakiwa apigiliwe misumali kichwani atakama amekufa mjinga sana

  • @vinapple6055
    @vinapple6055 5 ปีที่แล้ว

    👏👏👏👏👏asante kwa hili

  • @lukandotv8101
    @lukandotv8101 5 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe alkuwa mshenzi kiasi hicho,Ameacha Makovu Mabaya Mnoo...

  • @minahhamisi384
    @minahhamisi384 5 ปีที่แล้ว

    Uko vizur kaka ila punguza sauti ya muziki uweze kusikika vizuri

  • @davykidink9980
    @davykidink9980 5 ปีที่แล้ว

    Nakubali sana

  • @ndimarategambwage5102
    @ndimarategambwage5102 5 ปีที่แล้ว

    Tutakuhitaji - mimi na wenzangu. Ukiona siku zimepita nyingi, nikumbushe.

  • @barakahkasembe3324
    @barakahkasembe3324 5 ปีที่แล้ว

    Nakukubali xn bro

  • @deogratiusernest6293
    @deogratiusernest6293 5 ปีที่แล้ว

    punguza hyo sound track ipo juu sana hadi sauti inasika kwambali. ila bonge la documentary unatupa kaka

  • @andrewkipesha1194
    @andrewkipesha1194 5 ปีที่แล้ว

    Nzur

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 3 ปีที่แล้ว

    Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli ulipo Nipo

  • @barakabakiri6889
    @barakabakiri6889 5 ปีที่แล้ว +1

    enderea kututafutia mastori

  • @staffordshombe1674
    @staffordshombe1674 5 ปีที่แล้ว

    Kunaukweri gani kwamba Banda aliye kuwepo a alikua Banda Wa bandia nifahamishe?

  • @mohamedikibasa418
    @mohamedikibasa418 5 ปีที่แล้ว

    nakukubali davista . uko vizur ?

  • @richardpondo5139
    @richardpondo5139 5 ปีที่แล้ว

    Sasa hiyo back ground sound ya kazi gani, inaposababisha usumbufu masikioni.

  • @mocomoco1836
    @mocomoco1836 5 ปีที่แล้ว

    Moco,,,upo safi broo

  • @Saumujames1234
    @Saumujames1234 5 ปีที่แล้ว +2

    oya bro naomba utuletee history ya George woshnton

    • @jumahero6924
      @jumahero6924 5 ปีที่แล้ว

      Ndo nani uyo wasnhton?

  • @rizikisamwel9904
    @rizikisamwel9904 5 ปีที่แล้ว

    Mbumba ya kamuzu

  • @n.i.n.mmedia819
    @n.i.n.mmedia819 5 ปีที่แล้ว +5

    Tupatie historia ya Bob Marley nayi

    • @n.i.n.mmedia819
      @n.i.n.mmedia819 5 ปีที่แล้ว +1

      @@DavistarMataMediaDM Asante sana

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 ปีที่แล้ว +13

    Bro samahani ukitoa story hatuitaji music, unaboa sana.

    • @officialyoctanyavani776
      @officialyoctanyavani776 5 ปีที่แล้ว

      toa ya kwako bas msengeee nn

    • @saumuhassan6365
      @saumuhassan6365 5 ปีที่แล้ว

      @@officialyoctanyavani776 msenge mwenyewe, tena labda wewe ni msenge wa kiume ndio maana ukawaza yote haya, ckutoa tuc Bali nimeomba atoke mziki msenge wewe hapo ×100 kwani kibaya nilichosema ni kipi au unataka mambo ya instagram na babdle lako la wiki mxiiiiiii

    • @michaelmwashilindi3068
      @michaelmwashilindi3068 5 ปีที่แล้ว

      safi

    • @mudihomb5441
      @mudihomb5441 5 ปีที่แล้ว

      au mbogoso

    • @awadhirajabu7754
      @awadhirajabu7754 5 ปีที่แล้ว

      Uko vizuri ila ila iyo mikerere vipi kama disko cc tunapenda stol zako ni nzuli ila punguza kerere za miuziki atukuerewi vema

  • @davidalabi1456
    @davidalabi1456 4 ปีที่แล้ว

    Foyanny

  • @mfikamontanemc402
    @mfikamontanemc402 5 ปีที่แล้ว

    zikomo kwambiri brother sitimadziwa kkkkkk ena matibisa

  • @aishamsofe3274
    @aishamsofe3274 5 ปีที่แล้ว

    Kwakweli tunashukuru saana kutupatia tusivyovijua

  • @barakabakiri6889
    @barakabakiri6889 5 ปีที่แล้ว +1

    mia mia kaka mkubwa

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 5 ปีที่แล้ว

    Nimesubscribe Hii Channel kwasababu ipo kitofauti kabiiiiiiiisa kabiiiiiiiisa

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 5 ปีที่แล้ว

    duh.

  • @ufc-ultimatefightingchampi8456
    @ufc-ultimatefightingchampi8456 5 ปีที่แล้ว

    He had good education back then , but he never done any good things to help his country or his people except the dictators styles, just absurd.

  • @yuvenaliramadhan4206
    @yuvenaliramadhan4206 5 ปีที่แล้ว

    najifunza mengii

  • @fredmankaingu4172
    @fredmankaingu4172 5 ปีที่แล้ว

    Poa sana mtangazaji

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 5 ปีที่แล้ว

    Siasa za Afrika ni shida

  • @challabeel578
    @challabeel578 5 ปีที่แล้ว

    ShukraaN

  • @husnatgamaah1335
    @husnatgamaah1335 5 ปีที่แล้ว

    Sasa sound effect ya nini wakati mnatoa historia? Badiliken bana embu angalie Global Tv wakat wakitoa historia mtu hadi unaelewa vizuri

  • @amosbinmahona9947
    @amosbinmahona9947 5 ปีที่แล้ว

    Katika wanablog uko vizur sana haya ndo mambo ya muhimu tunapata kuelimika

  • @adelaidedaycareprenurseryk6324
    @adelaidedaycareprenurseryk6324 5 ปีที่แล้ว

    Pepo mkubwa yeye angeweza vumilia misumari hiyo?

  • @ngometvarusha4030
    @ngometvarusha4030 5 ปีที่แล้ว

    Nitapenda kukupa tangazo nimefurahia kazi yako

  • @petrojacob3509
    @petrojacob3509 5 ปีที่แล้ว

    Sijui nasikia vibaya?Uwingeleza,Jera,Mawazili

  • @patriquelaicer3169
    @patriquelaicer3169 5 ปีที่แล้ว

    tumis sauti moja au tone moja iyo staili yako inapunguza umakini masikioni

  • @mussajuma7460
    @mussajuma7460 5 ปีที่แล้ว

    Brooh una kipaji cha kuelezea history

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 5 ปีที่แล้ว

    Kumbe vibalaka walianza kitambo na wazungu ndio wanavyotaka watu kama banda wasiopenda maendeleo na uzalendo wa nchi ila kunufaisha tumbo lake ndio watakuwa sambamba na wewe kuichukulia mali na kufanya shamba la bibi

  • @atheistblood8568
    @atheistblood8568 5 ปีที่แล้ว

    najifunza mengi kupitia channel hii

  • @hundamaniamania872
    @hundamaniamania872 5 ปีที่แล้ว

    Huyu kibaraka alikuwa shenzi sana

  • @fatumarajabu810
    @fatumarajabu810 5 ปีที่แล้ว

    Saafii

  • @petermshali5157
    @petermshali5157 ปีที่แล้ว

    Huo mziki background unakera

  • @hamulimajeshi1512
    @hamulimajeshi1512 5 ปีที่แล้ว

    punguza sauti ya muziki

  • @rajiaroni9530
    @rajiaroni9530 5 ปีที่แล้ว

    Tupe ya hitra

  • @mohamedkhamis8745
    @mohamedkhamis8745 5 ปีที่แล้ว

    Sasa tukusikize wewe au hiyo background music?

  • @vincentshandu7139
    @vincentshandu7139 3 ปีที่แล้ว

    Birth place elementary education and his academic records and his wife

  • @evansnyondo5731
    @evansnyondo5731 3 ปีที่แล้ว

    Uongo hausaidiyi,unao ushaidi?

  • @lucasclavery77
    @lucasclavery77 5 ปีที่แล้ว

    nakukubali kwa utangazaji wako

  • @davidalabi1456
    @davidalabi1456 4 ปีที่แล้ว

    Foyanmu

  • @yisikakabarnaba2871
    @yisikakabarnaba2871 4 ปีที่แล้ว

    Usomaji wako haufuati alama za uandishi.