HAKUNA MWISLAMU DUNIANI ANAYEWEZA KUJIBU HOJA ZETU...WAMEMBAKI TU NA BWEBWE!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 30

  • @Laysonmwakajila
    @Laysonmwakajila 3 วันที่ผ่านมา +1

    Brother Ndacha Hongeren sana M Layson Mwakajila from Tanzania hakika Mungu n mwema Sana kufikia hatua hii wanakimbia Hakika Yesu Mungu wetu ni mwema sana

  • @mjombawallace4966
    @mjombawallace4966 3 วันที่ผ่านมา +6

    Huku uganda tunataka kanisa watumishi wa mungu ;ndio mimi siwezi join wa Sabbato wa General conference no i want to be mwana matengenezo pia 🙏🏿🙏🏿🙏🏿

    • @khomeshapaul5470
      @khomeshapaul5470 3 วันที่ผ่านมา

      Amina, Mungu akutie nguvu katika maamuzi hayo.

    • @pascalkalama
      @pascalkalama 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@JameM-l1umbona unahasira juu amesema hawez jiunga na wasabato wa gc. Hio imebadilisha imani

    • @AareMjungu
      @AareMjungu 2 วันที่ผ่านมา

      hajasema kalazimishwa​@@JameM-l1u

  • @franciscomtambakuluca2830
    @franciscomtambakuluca2830 3 วันที่ผ่านมา +1

    Ndacha ni kiboko ❤❤❤

  • @funakoshtadash6163
    @funakoshtadash6163 3 วันที่ผ่านมา

    Karibu Mwl Ndacha na Massawe Bwana awe nanyi kwa kila hatua

  • @LaughKey-f8x
    @LaughKey-f8x 3 วันที่ผ่านมา

    Masawe inakaa n Mwalimu mzuri pia ju amekaa na Mwalimu Ndacha for long tunatamani kumuona nayye akuje Kenya pia tumuone akiandamana na Mwalimu Ndacha huku Kenya pia

  • @wickymbugunde9298
    @wickymbugunde9298 2 วันที่ผ่านมา

    Mwl Ndacha. Wakristo ni wafuasi wa Kristo lkn ukweli ni kwamba Yesu Kristo ni Mfalme na Wana wa Mfalme ni wafalme na malikia. Sasa Kuna tofauti kubwa Kati ya wafuasi wa Kristo na Wana wa Kristo. Sisi sio Wakristo Bali ni watoto wa Kristo. Kwh ni makosa wewe uliyemwamini Yesu kuwa Bwana na Muokozi wako kujiita wewe ni mkristo Bali ujiite ni mwana WA Kristo au mwana WA mfalme

  • @dominicnyangweso4779
    @dominicnyangweso4779 3 วันที่ผ่านมา +3

    Ni kweli hakuna mwislamu atajibu hoja ya mkiristo

    • @ulimwengumaulid7397
      @ulimwengumaulid7397 3 วันที่ผ่านมา

      @@dominicnyangweso4779 wew huwezi jibu hoja katika bibilia yako, mfano niambie Kaini alioa mke alimtoa wapi???

    • @Alexfadhili6404
      @Alexfadhili6404 3 วันที่ผ่านมา

      @@ulimwengumaulid7397Aliowa dada yake.

    • @pascalkalama
      @pascalkalama 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@ulimwengumaulid7397hii ni hoja ya kitoto. Kama unajiamini omba debate alafu ulete hiyo hoja.

  • @paskalmichael6658
    @paskalmichael6658 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mwaipopo hamuwezi ndacha, MPAKA ameingia mitini. Amedanganya KUWA anahudhuru, kwanini asimuweke mwenzake?

  • @Msemakweli058
    @Msemakweli058 3 วันที่ผ่านมา

    Unajua waisilam wengi sijui kwann wanakuwa wabishi tatizo ni kuaminishwa kitu furani uisilam umeanzia arabu lkn wao hawakubali mpaka wanasema uongo adam alikuwa muisilam

  • @evermtuku
    @evermtuku 3 วันที่ผ่านมา +2

    Uislam bila uwongo ni bure tuu

    • @ulimwengumaulid7397
      @ulimwengumaulid7397 3 วันที่ผ่านมา

      @@evermtuku Ukristo ndo umejaa uongo mtupu, Kaini alioa mke alimtoa wapi??

  • @Austinemarko
    @Austinemarko 2 วันที่ผ่านมา

    Mm ninauhakika hakuna muislam anauwezo wa kuvunja hoja za ndacha hkuna. yani vile ndacha alimlima shafii bila jembe.

  • @AareMjungu
    @AareMjungu 2 วันที่ผ่านมา

    uenda kazuiwa na wenye dini yao ili asije aibisha Dini

  • @McharoMshana-x6p
    @McharoMshana-x6p 3 วันที่ผ่านมา

    Mwalimu nimefwatilia mafundisho yako hawatakuweza dini ya majini hio

  • @billmike8441
    @billmike8441 3 วันที่ผ่านมา

    Mwaipopo hana akili ya kujibizana na wewe katika hoja

  • @Furahinikatkabwana
    @Furahinikatkabwana 3 วันที่ผ่านมา

    Uislam ni mlango wakuelekea kuzimu,ndio maana hakuna muislam aliesoma kibabe ambae sii mganga kama wakina sule

  • @ulimwengumaulid7397
    @ulimwengumaulid7397 3 วันที่ผ่านมา

    Kwa hiyo Bwana Ndacha unasema ukiristo haukuanzia antiokia au umeamua kumeza tu maana ukimuuliza mtu yeyote atakuambia

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 3 วันที่ผ่านมา

      Wanaofuata YESU hawakuanza kuitwa Wakristo Antiokia Soma Biblia MARKO 9: 41

    • @nicholousmtemi3902
      @nicholousmtemi3902 3 วันที่ผ่านมา

      Duuu kuna watu wagumu kuelewa sana aisee yani anasikia kinachosemwa ila hataki kuelewa

    • @ulimwengumaulid7397
      @ulimwengumaulid7397 3 วันที่ผ่านมา

      @@paulmushi2428 soma Matendo ya mitume 11.26 halafu soma na hiyo marko 9.41 angalia muktadha(context) ndo utaelewa sio maana sawa lakin pia soma katika lugha ya kiingereza hiyo mistar kama alivyosoma hapo Simulizi utagundua utofauti

    • @ulimwengumaulid7397
      @ulimwengumaulid7397 3 วันที่ผ่านมา

      @@nicholousmtemi3902 Kamuulize Mchungaji wako hilo swali halafu uje unipe jibu kama litakua sawa na ndacha

    • @Msemakweli058
      @Msemakweli058 3 วันที่ผ่านมา +1

      Ukirsto kama umeanzia antiokia kwanini unatajwa kwa Quran?

  • @wakeshojana
    @wakeshojana 3 วันที่ผ่านมา

    MWAIPOPO JANA AMEJISHEBEDUA NA KUJIPIGA KIFUA KUMBE LEO AMEINGIA MITINI???? DAAAH.....WAISLAMU IOKOENI NAFSI YENU KWA KUMFWATA YESU NDIYE KWELI, UZIMA NA NJIA (DINI) PEKEE YA KWENDA PEPONI!!
    THANK ME LATER!!