SELE NA WANAE | EPISODE 3 | Comedy| love story 💕 | SINEMEX BONGOl
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 30 มิ.ย. 2024
- Kuna wakati matumizi mabovu ya akili huwa yanaharibu mustakabari wa maisha, SELE anatumia akili za kijinga kuwalaghai wanawake na kuzaa nao kitu kinachosababisha anapata kizazi ambacho kinatokana na matokeo ya akili yake maana siku zote maji hayapandishi mlima,maji hufata mkondo na hiki ndicho kinachofukuta kwenye familia ya "SELE NA WANAE"
Cast
1. MBOGO KISIKA as Sele
2. GUMSSAN JUMA CAIRO as Gum
3. MUNAHWARA M TANGU as Munna
4. NILIHAM JUMA CAIRO as Nilham
5. ASMA ADAM as Kunguru
6. YUSSUF KOMBO as MPEMBA
7. Rukia Rweyemamu as RUKIA
#mwakatobe #mtotomchawi #snakeboy #clamvevo #madebelidai #madebe #mkojani #Sele #selenawanae #mbogo #kunguru #jumasaada#bongomovie #swahilimovies #bodaboda #deleva #mkoleni #kungwi #kunguru #jandoni
Join this channel to get access to perks:
/ @sinemex
DONT CLICK THIS: bit.ly/3vwRX1e
Follow me:
Instagram: sinemex_?ig...
FaceBook: profile.php?...
Tiktok : / sinemexbongo
For business inquiries:
Email: sinemex.tz@gmail.com
Phone:+255 673 595 742
If you like this video please subscribe, leave a comment and turn on the notification bell for more amazing videos. Thanks!!
swahili movies full tanzania bongo movies 2024 full movie Swahili movies full
#sinemex #sinemexbongo #movies #netflix #film #comedy #drama #bongomovie #youtubevideo #swahili #swahilimoviesfull #tanzaniabongomovies2024 #fullmovieSwahilimoviesfull #chilagi #sele #selenawanae #selemani #baby - บันเทิง
Duh wanawake tuna kiti chetu mbinguni😂😂😂😂😂
Good good 👍🏾
Watoto simple tuu huyu akiwa mkubwa barmaid na huyu mwingine konda wa daladala 😅😅
Nice work Shabiki wenu kutoka kenya Ila dakika zenyewe kumi then Advatisement kibao na introduction ya dakika mbili si mwabiesha
Work on that
Duh.. Kweli sele na wanawe hahahaa baba akimbia mwana.. Twende nalo can't wait n, t epsd
Kesho saa tisa na nusu jioni
Punguzeni matangazo mtuongeze dkk bhn 😥😥😥🔥🔥🔥🔥
Tutafanya hivyo
Alafu wewe mtoto wa Cairo wewe
Sikizeni ss ndio mashabki zenu ongezeni dakika
Tutafanya
Hadi raha 😂😂😊
Apa penyewe uwa nnapendaga sana za watoto
Maneno gani ya kumwambia mtoto ata kama una ela kuna jinsi ya kuongea 😢😢
Watot kama Hawa ndio wale nani kama mama I love you mama siku ya wamama duniani😅
@@user-ig3wo3td2x Asante sana
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Love la kutosha kwakweli ! Asante sana
Sasa mtoto anajua malaya jaman hebu tuwatunze watoto wetu kwa njia inayostahili wasipatwe na depression,shabiku mgeni kutoka Kenya ❤❤❤
@@user-ec3bz5qp1c Tunafanya yaliyo kwenye Jamie na huyo mtoto anajaribu kutuambia ukweli kuhusu watoto wetu wa mtaani hapo anafundisha ndugu yangu
@@Sinemex sawa