BABU TALE AONGEA KWA HISIA KUHUSU MKE WAKE/SIWEZI KUOA MKE WA PILI/MKE ANAUMA SANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 261

  • @xkingx8041
    @xkingx8041 4 ปีที่แล้ว +100

    Maskini babutale ulimpenda mkeo kabisa. Ila mwenyezi Mungu ame mpenda zaidi. Pole saaana

  • @amandabilegeya3505
    @amandabilegeya3505 4 ปีที่แล้ว +250

    Kama umegundua anavyoongea Ni mapenzi ya kweli gongo like hapo....R.I.P shammy... mume wa kweli

    • @beatricewangui8343
      @beatricewangui8343 4 ปีที่แล้ว

      Sorry to ask.. Was the wife sick ama shida ilikuwa nini

    • @salummuye20
      @salummuye20 4 ปีที่แล้ว

      Amiiiin

  • @evamwalusamba4608
    @evamwalusamba4608 4 ปีที่แล้ว +19

    Jmn kizuri hakidumu kweli huyu kaka lazima achanaganyikiwe alimpenda kwel mkewe
    It was lovely and true love

  • @kessynurutajiri4940
    @kessynurutajiri4940 4 ปีที่แล้ว +24

    Mwenyezi Mungu akutie nguvu Babu Tale. Yaonyesha ulikuwa na Mapenzi ya dhati kwa Mkeo. Polee sana ndugu yetu..

  • @faithklove9419
    @faithklove9419 4 ปีที่แล้ว +63

    So sad pole sana babutale kwa kumpoteza mke wako mungu akupe nguvu wewe na watoto wako inshallah

  • @akibarahamadi5058
    @akibarahamadi5058 4 ปีที่แล้ว +51

    pole sana babu tale Allah akupe nguvu

    • @lovenessmdoe5079
      @lovenessmdoe5079 4 ปีที่แล้ว

      Taleeeee pole baba pole pole pole uchungu wake Mungu akutie nguvu kaka

  • @nurumanyota416
    @nurumanyota416 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah! eeh Mungu nijalie mume mwenye mapenzi ya dhati kama Babu tale, Mungu azidi kukulinda babu tale na watoto wako na shammy azidi kulala mahali pema peponi, Ameen.

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 ปีที่แล้ว +52

    This was true love, Allah awakutanishe Tena kwenye pepo firdaws

  • @zainabtumba1186
    @zainabtumba1186 4 ปีที่แล้ว +19

    This was real fun love story. True love never died!!!
    May Allah give her Jaanah tul fir- dous in highest level of been great wife and Mother.
    TALE Pole For your lost of loverly beautiful wife. May Allah will give you and your children Patience and strength on this difficult time. AMEEN YARABIII. Sote ni wa Allah Na Marejeo ni kwake poleni na Familia!
    From 🇺🇸/🇹🇿

  • @haileymghoi1582
    @haileymghoi1582 4 ปีที่แล้ว +19

    💔💔💔my heart bleeds may her soul rest in peace..take heart babu Tale I feel for you Sana buh hakuna tunaloweza kufanya Ila kukubali hayupo tena

  • @mabyserolouchcraig2431
    @mabyserolouchcraig2431 4 ปีที่แล้ว +35

    Nili watch hii interview aliongea kwa upendo..innalilah rajiun mola atawakutanisha ahera Amin Inshallah..

  • @fatumaally3266
    @fatumaally3266 4 ปีที่แล้ว +44

    Kiasi ulie babu tale jaman mungu akupe nguvu

  • @haryanyawu640
    @haryanyawu640 4 ปีที่แล้ว +24

    Pole jomoni baba😌😌 dahhhhh I like the way his serious Mungu akupe tumain jamani rest in peace to her

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 4 ปีที่แล้ว +7

    😭😭Pole babutale mlipendana sana na mkeo vyote hivi alivyo kuwa akikufanyia sijui kusafisha kucha kukusubili ucku ukimbuka utakuwa unaumia sana yani daaah mungu mkubwa pole tena

  • @nasraiddy9678
    @nasraiddy9678 4 ปีที่แล้ว +6

    Daah masikini babu tale Allah akupe nguvu na Baba angu mlipendana sana namkeo ni ukweli uliowazi lakini leo Allah kampenda zaidi inahitaji urudi kwa Allah nakumuomba akupe moyo wa subra utulivu hekma ili uweze kulea watoto wako na uweze kumuenzi mkeo kwa kufanya yale mema akiyokua anayafanya enzi Za uhai wake ....muislam anapopatwa na msiba aseme inna lilah wainna ilah rajiun ,kisha ashukuru aseme Alhamdullilah ,ukipata furaha sema Alhamdullilah ...hii itakufanya usifike mahala pa kukufuru kwan Allah ndie mjuzi wa kila kitu kwetu

  • @mercynoreen3288
    @mercynoreen3288 4 ปีที่แล้ว +3

    Pole saaana jamani ulikua na mapenzi ya dhati kwa mkeoa ila Mungu amempenda zaidi ,pole saana tale

  • @ruwaydakhafidh7075
    @ruwaydakhafidh7075 4 ปีที่แล้ว +1

    Kias babu tale aumie Sanaa kapoteza hakika mkewe nizawadi ambayo mungu kampa alafu kaiyondosha mungu akutie nguvu baba wa wasaf

  • @JJones-oh3dd
    @JJones-oh3dd 4 ปีที่แล้ว +30

    Mungu akutie nguvu Babutale RIP shammy😥😭

  • @agnessanga2940
    @agnessanga2940 4 ปีที่แล้ว +4

    Pure Love ...Aiseee Mtakutana Tena Mbinguni Mkaendeleze Haya Mapenz 😭😭😭

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 ปีที่แล้ว +7

    Babu tale anaumia lkn anajikaza kiume iyo ndio penzi la dhati ata uwe unamchenzo ngani lkn thamini ulicho nacho mungu akupe subra muwe pamoja peponi amin

  • @janenguru6723
    @janenguru6723 4 ปีที่แล้ว +7

    Maskini I feel he's pain now.. May God strengthen Babu Tale and rest Shamsa soul in eternal peace.

  • @elpidasmushi3774
    @elpidasmushi3774 4 ปีที่แล้ว +5

    Napenda sana mwanaume anaekuwa proud na mke wake ❤❤❤❤

  • @carolynenafula4011
    @carolynenafula4011 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana babu tale kwa kumpoteza mkeo...be strong...

  • @suzanpatrick9380
    @suzanpatrick9380 4 ปีที่แล้ว +11

    Poleee Kaka yangu Mwenyez Mungu akupee uvumilivuu tyu

  • @swahibamussa2347
    @swahibamussa2347 4 ปีที่แล้ว +1

    Daah kizuli hakidumu pole sana babu tale maan ni donda ambalo hutokisahau

  • @sophiahmedza929
    @sophiahmedza929 4 ปีที่แล้ว +2

    Babu Tale only God will comfort you each and every minute.....no man can wear your shoes but ....it is well.... God will strengthen and comfort you.....May He give you Peace that surpasses human understanding.

  • @KA-yz2ld
    @KA-yz2ld 4 ปีที่แล้ว +2

    M/Mungu akupe nguvu na ulee familia yako katika maadili yanao mpendezea M/Mungu... Pole sana, maskini alikua bado mdogo...

  • @rukiakhamsin9220
    @rukiakhamsin9220 4 ปีที่แล้ว +9

    إ الله وإنا إليه راجعون اللهم
    Allah amrehem na ampe kitabu chake kwa mkono wa kulia na ampe kauli thabiti amjaaliye firdausi ndiyo makazi yake
    awape subra ndugu jamaa na marafiki kwa kipindi hiki kigumu cha huzuni amiyn ya rabby,
    😭😭😭😭😭😭jamani babu tale umepata msiba mzito sana,na kidonda cha Roho kutoka kwa rafiki yako ,mpenzi,Mke wako, na mama wa watoto wako ,pole sana kaka babu tale Allah akulipe baadali njema ya hili

  • @ashaawaro8155
    @ashaawaro8155 4 ปีที่แล้ว +4

    May Allah Grant her jannathul firdaus 😭😭😭 may Allah gives you imaan and sabr in shaa Allah, you loved her but Allah loved her most,Be strong Babutale...

  • @Doomy-ef4ez
    @Doomy-ef4ez 4 ปีที่แล้ว +1

    Akiiii pole sana babu tale mungu akutiye nguvu

  • @sabrinasbrn561
    @sabrinasbrn561 4 ปีที่แล้ว +12

    RIP Shammy😭. Jmn nimeumia sana... Be strong Babutale

  • @esterdoriye4304
    @esterdoriye4304 4 ปีที่แล้ว +4

    Hayo mapenzi niya kiasi kikubwa na kumpata mke kama huyo tale omba sana Mungu umpate wakukufariji zaidi

  • @katealias5255
    @katealias5255 4 ปีที่แล้ว +2

    inauma sana jinsi ulivyompenda mkeo mungu akupe moyo wa kuvumilia B.Tale

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 4 ปีที่แล้ว

    Jaman.pole sana.nimecheka ila .wakati mgumu sasa ulionao.mungu akujaze subra tale.daah polesana

  • @carolinenyakio8592
    @carolinenyakio8592 4 ปีที่แล้ว +14

    Babu tale loved his wife from the bottom of his heart

  • @mamag6886
    @mamag6886 4 ปีที่แล้ว +60

    Now I know why this man was crying jamani. It is well.

  • @marymutheu5471
    @marymutheu5471 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana Babu Tale..mungu akutie nguvu.....💪💪

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamani dah pole babu tale kwa kuondokewa na best wako dah

  • @Khadija.pande6
    @Khadija.pande6 4 ปีที่แล้ว +7

    Masikin 🤔 pole sana #babutale

  • @zuhuranadahhinda1366
    @zuhuranadahhinda1366 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyenzi mungu ampe kauli thabiti huko aliko jamani pole babu tale

  • @mussaathumani3941
    @mussaathumani3941 4 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana Allah akutie nguvu na akuzidishie subla

  • @Noah-se3ni
    @Noah-se3ni 4 ปีที่แล้ว +16

    Ina Baki historia Kweli kwali mummmm nihatari pole sana Babu Tale pamoja na familia yote. 😭😭😭😭

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 4 ปีที่แล้ว +5

    Mmmmhu hii interview ya lini jamani? Duuu pole sana babu tale kwa kumpoteza mke wako mpendwa sana Mungu awe faraja ya moyo wako ktk kipindi hiki chote.R.I.P shammy.

  • @nicewatson6264
    @nicewatson6264 4 ปีที่แล้ว +1

    Daaaa very sad my brother. ...pole sana ni kazi ya Mungu haina makosa

  • @carolinemutunga2309
    @carolinemutunga2309 4 ปีที่แล้ว

    Goodheart babu tale kutoka Kenya twakupa pole zetu .....

  • @vailetmapunda106
    @vailetmapunda106 4 ปีที่แล้ว

    Kaka alimpenda cna mkewe apo kupata mke akawa km yule ni mtihani umakini mkubwa unahitajika,maskini 🙆 anaongea km vle bdo yupo na mkewe.pole babu tale mungu akutie nguvu

  • @zaharamsafiri825
    @zaharamsafiri825 4 ปีที่แล้ว +2

    M.Mungu akutie nguvu

  • @shammydiis4529
    @shammydiis4529 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana babu tale mungu atakupa nguvu

  • @madiyaahmad7453
    @madiyaahmad7453 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atakupa subira Babu tale

  • @finna5970
    @finna5970 4 ปีที่แล้ว +1

    Ooh dear kweli babu Tale Mungu amechukua ubavu wako, nae aendelee kukutia nguvu

  • @queenlameck6924
    @queenlameck6924 4 ปีที่แล้ว +6

    Pole saanaaaaaa bro tale

  • @fofonadia3657
    @fofonadia3657 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah akukutanisha naye peponi Insha Allah

  • @daviddenis886
    @daviddenis886 4 ปีที่แล้ว

    Daaah....pole mzee umempoteza mtu mkubwa mnoo

  • @dorndet6179
    @dorndet6179 4 ปีที่แล้ว

    Tale you are a hero to your Mrs.

  • @nashahmed1313
    @nashahmed1313 4 ปีที่แล้ว +1

    Duh kweli watu hutoka mbali..Allah akupe nguvu babutale

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 4 ปีที่แล้ว +13

    Daah, Mungu akupe subra kaka

  • @OmanOman-uo6qw
    @OmanOman-uo6qw 4 ปีที่แล้ว

    Pole Sana ila ukimuomba mungu kiukweli na kumlilia ishaallah utapata mwengine uckurupuke tu

  • @nancyx3766
    @nancyx3766 2 ปีที่แล้ว

    I love you babu tale your very funny, may her soul rest in peace

  • @balqisabdullah6200
    @balqisabdullah6200 4 ปีที่แล้ว +13

    Jamani babu tale kaumia😭😭😭 allah akutie nguvu😭😭😭😭

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 4 ปีที่แล้ว

    Dah babu tale Mungu akutie nguvu jamn🙏

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 4 ปีที่แล้ว +1

    Daaaaaa inauma sana jamn

  • @bensonashery2360
    @bensonashery2360 4 ปีที่แล้ว

    Respect kwako unajaarbu angalau kuonesha furaha yako japo mwenzio ahatangulia mbele ya haki

  • @zainababdullsadik1247
    @zainababdullsadik1247 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sanaaa umeondokewa talee

  • @jacintanyambura4175
    @jacintanyambura4175 4 ปีที่แล้ว +1

    He's so hilarious,,,he really loved his wife ❤️

  • @nururaymond5
    @nururaymond5 4 ปีที่แล้ว +1

    Daaah Pole sana Babu Tale

  • @alifujo4153
    @alifujo4153 4 ปีที่แล้ว

    Hahaha umenimaliza ati hansome kidogodogo ati nna mwanya nimecheka kwa nguvu

  • @jokhagadafy2144
    @jokhagadafy2144 4 ปีที่แล้ว +8

    Pole kaka sn lkn tambua ALLAH ndio mpangaji n sote tutarud kwa mola wetu ww bd kijana bro ukisem uwoi tn unakufuru inauma sn sn sn ubavu wko kakutangulia lkn hain jinsi tambua ALLAH kampend zaid nkuombea dua ALLAH akuzdishie subra upo kwenyekipindi kigum sn lkn Mke muhimu In shaa Allah itaot mke bora muhimu ibda kaka sali ucku amka muombe ALLAH yyndio kila kitu n kila wakati sema Alhamdulillah

    • @hamisikabwe3980
      @hamisikabwe3980 4 ปีที่แล้ว

      Wakati anasema hayo ilikua ni kabla ya msiba,mkewe alikua bado yupo.

  • @vickyvictoria4085
    @vickyvictoria4085 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akupiganie katika kipindi iki kigumu pole sanaaa

  • @sherin3171
    @sherin3171 4 ปีที่แล้ว +1

    😆😆jamani ulikua funs sana...mungu atakpa nguvu

  • @rosedaniel1981
    @rosedaniel1981 4 ปีที่แล้ว +4

    Maskin hadi raha😂😂😂ila Mweenz Mungu akutie nguvu bro

  • @jaydenkariuki6595
    @jaydenkariuki6595 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aendelee kukupea nguvu

  • @9JaCkYlOvE4
    @9JaCkYlOvE4 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana babu tale mungu akupe wepesi katika kipindi hiki kigumu.R.I.P Shamy

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 4 ปีที่แล้ว +16

    Maskini pole Sana babu tale 😢😢😔😔

  • @fettyally333
    @fettyally333 4 ปีที่แล้ว

    Uyo babu tale anaongea kamaaaa mtu flan uviiiii. Jicho nyanya legezaaa mhhhh mpeni like zake

  • @suzanampanda9767
    @suzanampanda9767 4 ปีที่แล้ว +2

    Daaah tale jamani pole sana Mungu atakupa faraja 😭😭😭

  • @eshialabonita7736
    @eshialabonita7736 4 ปีที่แล้ว +2

    Dah! maskini Allah ampe subra katika kipindi kigum

  • @lovvy854
    @lovvy854 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah utasema siyeye aliye fiwa mungu akupe subra wewe na watotowako

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 4 ปีที่แล้ว +8

    Hii sio ya leo si umeskia anasema jana usiku kaniambia Leo kanikata kucha hii ni kabla na hawez kufanya mahojiano sahv ni mjane na yupo kwenye maombolezo lkn angalia alivyokuwa anamuongelea kwa mapenzi mke wake Yan dah huyu baba anawakat mgumu sana mungu ampe faraja

  • @fatmarisheid8777
    @fatmarisheid8777 4 ปีที่แล้ว +3

    Dah allah atampa subra ..Ameen

  • @samsungj7pro64gb5
    @samsungj7pro64gb5 4 ปีที่แล้ว +3

    Maskini poleee sana kka tale

  • @chonyahalima2068
    @chonyahalima2068 4 ปีที่แล้ว

    Babu tale uxixeme hivy kam hutaoa mke wa pili weng walixema lkn yakuapi maneno yao ww ni uombe mungu t upate mke atakeweza kuwaangalia watoto wako

  • @sherylingeoffrey9266
    @sherylingeoffrey9266 4 ปีที่แล้ว +10

    It's too early to decide whether he will marry again...healing is a process and with time he will be okay and later move on

    • @kilapilojoseph1350
      @kilapilojoseph1350 4 ปีที่แล้ว

      Absolutely....well said, Sherylin Geoffrey.(Long-live you,dearest friend)!

    • @suzzyanne6282
      @suzzyanne6282 4 ปีที่แล้ว

      This was a throwback interview

    • @evelyndiana6071
      @evelyndiana6071 4 ปีที่แล้ว

      It's an old clip....

  • @mwatumudogo3948
    @mwatumudogo3948 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli ulikua unalia kwa uchungu... Mungu akupe subra

  • @hanifahassan9138
    @hanifahassan9138 4 ปีที่แล้ว +1

    We mwmke vaa vizuri bas kioo cha jamii tunakuangalia mapaja nje aisee unatuonesha nini hatakm sio muislamu jiheshimu

  • @neemaandrea8493
    @neemaandrea8493 4 ปีที่แล้ว

    Mpaka machoz yananitokaa jamon ,,pole sanah Babu talee Rest in peace shammy

  • @olivermick3215
    @olivermick3215 4 ปีที่แล้ว

    Wanaume wachache waliobaki wenye mapnz ya dhat ndo Hawa Sasa.....pole baba

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 4 ปีที่แล้ว +1

    Ooh jamani babu tale pole kwa kumpoteza Rafiki yako😭😭😭😭

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 4 ปีที่แล้ว +4

    Walaii babutale pole sana

  • @pendondossy2158
    @pendondossy2158 4 ปีที่แล้ว +20

    Daaaaaahh upo ktk hali ngumu jmn yan ulimpenda saaaana jmn

    • @salmamgeta1599
      @salmamgeta1599 4 ปีที่แล้ว

      Pole sana babu tale ulimpenda mkeo ila mungu kampenda zaidi

  • @zulfaasia1168
    @zulfaasia1168 4 ปีที่แล้ว

    Mungu ampumzishe roho yake kwa amani

  • @nuhairahibrahim3728
    @nuhairahibrahim3728 4 ปีที่แล้ว

    Duuuh😥😥😥pole sana duu Mungu akutie nguvu Inshaallah

  • @khadijaali3688
    @khadijaali3688 4 ปีที่แล้ว +3

    Maskini wallhy kweli walikuwa marafiki yy n mke wake

  • @saumukaisi7003
    @saumukaisi7003 4 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣 kanichekesha Sana mke anaraha yake jmn jiwe🤔

  • @husnasaidihasani7172
    @husnasaidihasani7172 4 ปีที่แล้ว

    Duhhh mungu ampe nguvu kwakweli, namuonea huruma

  • @michaeleustach1487
    @michaeleustach1487 4 ปีที่แล้ว

    mshkaji hayupo sawaa kbcaaa

  • @shangweyussuf640
    @shangweyussuf640 4 ปีที่แล้ว

    Astaghafirullah huwezi keita mkeo mama. Ila pole sana kwa kuondoka na mkeo. Innalillah wainnailaihi rajioon

  • @bertywiththepeach3782
    @bertywiththepeach3782 4 ปีที่แล้ว +2

    From now I will address you like papa big task for you now .....you’re going to be both be strong 😥

  • @alipqasse9967
    @alipqasse9967 4 ปีที่แล้ว +1

    Be strong babu tale it pains alot

  • @camillacaroline8996
    @camillacaroline8996 4 ปีที่แล้ว +7

    I know how pain it feels, so sad!

  • @khneesajumaa2052
    @khneesajumaa2052 4 ปีที่แล้ว

    Nakupongeza sana mkeo ulimpenda sana