Dudu Baya na Mwanae Wagombaniwa Kariakoo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2018
  • Subscribes: / kidanistars
    Dudu Baya ''KONKI"Atinga Kariakoo Na Mwanae Kusagula Mitumb
    Subscribes: / kidanistars
    Instagram: / kidanistars
    Facebook: / kidanistars
    Twitter: / kidanistars
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 105

  • @thebrown_voicetz
    @thebrown_voicetz 5 ปีที่แล้ว +8

    Nime furahi Sanaaa baba kutimiza wajibu wake kwa mwanae mungu mkubwa 👏👏👏

  • @fredmankaingu4172
    @fredmankaingu4172 5 ปีที่แล้ว +17

    Diamond amemtoa tena Dudu konki mpaka mihela imeregesha pamoja familia mungu akuzidishie Nasibu

  • @rizbfighter8574
    @rizbfighter8574 5 ปีที่แล้ว +1

    Vzr sana dudu baya mtoto akikosea wew kama mzaz huna budi kumsamehe ukiendelea kumkazia unamzibia rehema zake Mungu

  • @mabroukabeid148
    @mabroukabeid148 5 ปีที่แล้ว

    Umetisha konki we mambaaa.

  • @elieshistephen5548
    @elieshistephen5548 5 ปีที่แล้ว +8

    dahh salute. sana kwa dudu baya hahah dingi Na mwanao wao pendeza sana Mungu awalinde

  • @newmelody4189
    @newmelody4189 5 ปีที่แล้ว +14

    Safi sana nimefurahi kukuona namwanao

  • @maxozone3762
    @maxozone3762 5 ปีที่แล้ว +2

    Konki konkiii ,,, hauna bifu na yyte ndio maanake uko peace popote unatembea bila wasi wsi wowte ,,,,,,, Big up konkiii nd his son

  • @solomonkanene8489
    @solomonkanene8489 5 ปีที่แล้ว +3

    hongera sna konk konki konk master

  • @sophicatesalim9757
    @sophicatesalim9757 5 ปีที่แล้ว +10

    Nafurahi kukuona na mwanao kama mume suluhisha ni sawa maisha ya endelee mtu ni wanawe nafurahi unapenda wanao

  • @joharisimtowe5661
    @joharisimtowe5661 5 ปีที่แล้ว +2

    safi Kama umemsamehe willy maana mtt akinyea mkono haukatwi unaoshwa na maisha yanaendelea good dady

  • @douglasslema2837
    @douglasslema2837 5 ปีที่แล้ว +16

    Jamaa anapenda watoto wake hata kwa kidogo

  • @kingswebe3251
    @kingswebe3251 5 ปีที่แล้ว +1

    Watu walisha mchoka, Apite harmonize hapo au rayvany utaona tofauti.

  • @johnjackson4363
    @johnjackson4363 5 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana dudu mpende mwanao hapo ndio pepo yako ilipo

  • @emmanuelgavile2737
    @emmanuelgavile2737 5 ปีที่แล้ว +1

    Kizazi sanaaaa

  • @chunafetty6737
    @chunafetty6737 5 ปีที่แล้ว +1

    Daaah hadi raha💪👌

    • @pendomarco9307
      @pendomarco9307 5 ปีที่แล้ว

      Diamond hatari mpska dudu kawa hivi

  • @alihakizimana7206
    @alihakizimana7206 5 ปีที่แล้ว +2

    Safi sanaaa

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 5 ปีที่แล้ว

    konk mastaaaa💃

  • @fredmankaingu4172
    @fredmankaingu4172 5 ปีที่แล้ว +4

    Konki tatu na konki moja ngoma juu

  • @mtetezihassani2285
    @mtetezihassani2285 5 ปีที่แล้ว +1

    Kizazi sana kaka.

  • @mosamossile9113
    @mosamossile9113 5 ปีที่แล้ว

    Jamaa Anajihamini Sanaa aisee kwer uyo mbabe Ataki hata Baunsa

  • @njeerysalum5862
    @njeerysalum5862 5 ปีที่แล้ว +1

    temaaa libigijiii hiloo

  • @jabirwalcott6530
    @jabirwalcott6530 5 ปีที่แล้ว +1

    Konk konk master mmependeza

  • @georgesamwelchacha7680
    @georgesamwelchacha7680 5 ปีที่แล้ว +8

    NJOO MUONE
    KARIAKOO KUMENOGAA
    KONK KONK KONK MASTER!!!

  • @mariamlusana6250
    @mariamlusana6250 5 ปีที่แล้ว +2

    kuna uyo kaka hyo midevu ka fagio la chooniii.....mmh mnvoshngilia sas n uyo n dudu baya angekua wizkid apo tako zngepasuka😀😀😀

  • @richardphilipo312
    @richardphilipo312 5 ปีที่แล้ว +7

    willy naona jinojino ucje ukaenda vutia bangi ela ya sikukuu

  • @emmanueljohn6765
    @emmanueljohn6765 5 ปีที่แล้ว

    baba na mwana wanatafuna big g kikonk konk2 mwanzo mwisho huy ndo konk master

  • @goodhelpnolland9637
    @goodhelpnolland9637 5 ปีที่แล้ว

    Konki konki konki master

  • @gggjjahhhh9419
    @gggjjahhhh9419 5 ปีที่แล้ว

    Hahahaha huyo ndo konk konk konk master Daah mmenitamanisha jamaan yaani nimepaona k/koo hadi nimetaman ningekuwa tz

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 5 ปีที่แล้ว +7

    kwa hili konk master uko pis sana na wana mtoto kwa mzanzi

  • @mariamlusana6250
    @mariamlusana6250 5 ปีที่แล้ว +3

    hao walochukua video uko status watu hawapumuii..hv uyo Dada alovaa njano juu mbn smuelew

  • @dastonamichaels1854
    @dastonamichaels1854 5 ปีที่แล้ว +5

    Mmmh kama kenya gikosh

  • @mbondokambi8053
    @mbondokambi8053 5 ปีที่แล้ว +1

    Duuuh tayar jina lisharidi tena...

  • @sophiamose1328
    @sophiamose1328 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimefurahi 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @sikitu8957
    @sikitu8957 5 ปีที่แล้ว +4

    Kweli uyu Diamond ni noma saana nyota yake ina nga'a mpaka basi

  • @justinanicolous3822
    @justinanicolous3822 5 ปีที่แล้ว +2

    Hajagombaniwa wala nn mi naona katembe mwenyewe tuuu bila tabu yeyote

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 5 ปีที่แล้ว +1

    kweli nimeamini akuna nyota inayozimika moja kwa moja

  • @susanlazaro7492
    @susanlazaro7492 5 ปีที่แล้ว +45

    😂 😂 😂 😂 hao wamachinga wataibiwa Nguo bure joo wanatwanga photo na konki master,kumbe ukifatana na mondi hta mwezi tu Nyota inawakaa km unaamini Hilo like hapa tweeeendeeee

    • @deboraelias1862
      @deboraelias1862 5 ปีที่แล้ว

      waongo hakuna anayemgombania angepita d mmngeona au rei

    • @pascalbonny2457
      @pascalbonny2457 5 ปีที่แล้ว

      nimeamin wabongo walio wengi awana kaz na ndyo mana Wanashabikia ujinga huku wamewazba wenye shughuli zao kutoendelea! kisa et konk mazuzu nyie

  • @ramadhankibwana6425
    @ramadhankibwana6425 5 ปีที่แล้ว +2

    Kweli konk konk konk master anaga makuu

    • @mwanajumaomahundumla6504
      @mwanajumaomahundumla6504 5 ปีที่แล้ว

      Sanaa sio mastar wengine wamefulia wanaona aibu kujichanga mwisho wa siku wanajifungia mpaka wanakula unga

  • @remyndaribike3964
    @remyndaribike3964 5 ปีที่แล้ว +1

    Konk oil chafu

  • @misalabacharles2728
    @misalabacharles2728 5 ปีที่แล้ว +1

    Konk master

  • @tumakemmy9089
    @tumakemmy9089 5 ปีที่แล้ว

    nimependa sana ulichokifanya konk

  • @petermwenda1186
    @petermwenda1186 5 ปีที่แล้ว +1

    ili jembe nimelielewa yuko powa sana

  • @mjombamtukula9531
    @mjombamtukula9531 5 ปีที่แล้ว +1

    mwanangu. wille nimeondokaa

  • @mohamedsadiki1575
    @mohamedsadiki1575 5 ปีที่แล้ว

    vijana Wengi wa Dar es salaam wanamatatiz ya akil

  • @halimatanzani8587
    @halimatanzani8587 5 ปีที่แล้ว

    Adiraha

  • @alisiaaly5018
    @alisiaaly5018 5 ปีที่แล้ว

    Kuna dada kavaa nguo ya njano kaniacha hoiii

  • @princessfettyrashidi2409
    @princessfettyrashidi2409 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimecheka kama Fara 😂😂😂😂 namwangalia wile nacheka sana harafu hizo camera jmn huwa mnatembea nazo ?? Kwamba unajua kabisa watu watakushangilia au mnatufanya Sisi kondoo 🙄🙄🙄🙄

  • @abdulukwachu4447
    @abdulukwachu4447 5 ปีที่แล้ว +1

    Mtu mwenye Upendo na Watu hutembea Bila Baunsa WA Bunduki Respect #Dudubaya

    • @asiaseif7229
      @asiaseif7229 5 ปีที่แล้ว

      Abdul Twaha kwanza huyo hana haja na baunsa nenda kiboya akufurahishe😂😂

    • @abdulukwachu4447
      @abdulukwachu4447 5 ปีที่แล้ว

      Asia Seif Hapana Sina Ugomvi nae Usinichonganishe

    • @asiaseif7229
      @asiaseif7229 5 ปีที่แล้ว +1

      Abdul Twaha tamwambia😂😂😂

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 5 ปีที่แล้ว +8

    KARIAKOO KUMENOGA

  • @salumali7031
    @salumali7031 5 ปีที่แล้ว +1

    Apo nimekuelewa konk

  • @kelvinaudax8287
    @kelvinaudax8287 5 ปีที่แล้ว

    Mzee huyo Maria niandae sh. Ngapi

  • @aminakawawa1935
    @aminakawawa1935 5 ปีที่แล้ว +3

    Mtoto ananiogopa baba yake

  • @abdulmzee4046
    @abdulmzee4046 5 ปีที่แล้ว +3

    dudu kajipanga

  • @mariamgodi6171
    @mariamgodi6171 5 ปีที่แล้ว +4

    unatisha km njaa

  • @manawaaporinary9635
    @manawaaporinary9635 5 ปีที่แล้ว +1

    Dudu baya

  • @happymahega2000
    @happymahega2000 5 ปีที่แล้ว

    Aache ubahili msanii hutakiw kuonekana ovyo. Inakushusha ilitakiwa a shop kwny maboutique km kwa kina chiddimapenz ,au angetuma MTU aende na mwanae

  • @gracenyanza432
    @gracenyanza432 5 ปีที่แล้ว

    hahahaha watajuta na self machinga

  • @chrisskumulaga5136
    @chrisskumulaga5136 5 ปีที่แล้ว

    huyo Dada labda bodigadi hhhhhhh

  • @estermusha7945
    @estermusha7945 5 ปีที่แล้ว +4

    Machinga mtakuta nguo zimeibiwa sasa

  • @ezekielraymond8749
    @ezekielraymond8749 5 ปีที่แล้ว

    Mapokezi yapo tofauti na kiki zako

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 5 ปีที่แล้ว +3

    Kweli kumbe dudu baya ni pesa tu alikua hana ila ni moja ya watumiaji wabaya wa pesa

  • @gabrielisack7786
    @gabrielisack7786 5 ปีที่แล้ว

    Vijana wa kitanzani ni vichekesho

  • @sasherbaiby7277
    @sasherbaiby7277 5 ปีที่แล้ว

    majitu mashamba yanii

  • @shabanbuchu2130
    @shabanbuchu2130 5 ปีที่แล้ว +1

    Ivi miaka yake inaruhusi tabia hii?

  • @daudidaudi7846
    @daudidaudi7846 5 ปีที่แล้ว +1

    Dondi ubalikiwe

  • @emmanuelgavile2737
    @emmanuelgavile2737 5 ปีที่แล้ว +1

    Hana haja ya baunsa nenda kiboya

    • @asiaseif7229
      @asiaseif7229 5 ปีที่แล้ว

      Emmanuel Gavile 😂😂😂

  • @FatmaFatma-kt1or
    @FatmaFatma-kt1or 5 ปีที่แล้ว +1

    Nyota imewaka

  • @mustafamohammed3730
    @mustafamohammed3730 5 ปีที่แล้ว

    wacheeni upuuzi rais wetu hana time na vibaka

  • @clemimison3271
    @clemimison3271 5 ปีที่แล้ว

    Konki acha kutukana mitandaoni mzee,
    Kua kiakili

  • @mbarakapandu101
    @mbarakapandu101 5 ปีที่แล้ว

    huyu dogo mambo haya ndo anoyapenda kusoma hataki

  • @mariamaaa4949
    @mariamaaa4949 5 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂

  • @alenmatarigana9424
    @alenmatarigana9424 5 ปีที่แล้ว

    washamba wa k/koo

  • @salehsalhamselem3285
    @salehsalhamselem3285 5 ปีที่แล้ว

    Konki

  • @hussenhussein8622
    @hussenhussein8622 5 ปีที่แล้ว +1

    Konk

  • @saddamali-st2qg
    @saddamali-st2qg 5 ปีที่แล้ว

    Anatafuta kiki hana ishu

  • @doyjack95jack39
    @doyjack95jack39 5 ปีที่แล้ว

    konk kaingiliwa

  • @georgeshija1276
    @georgeshija1276 5 ปีที่แล้ว +2

    hili jamaa fala kweli lilikuwa linamjataa mwanae

    • @sophiamose1328
      @sophiamose1328 5 ปีที่แล้ว

      Kawaida Ya mzazi kwani wewe mtoto uta jazwa maneno vipi utukane mzazi wako ukoje wewe Ata mimi hukosana na mzazi wangu ila huwez niona nikimtukana mbele za watu hiyo hubaki siri ya familia

    • @georgeshija1276
      @georgeshija1276 5 ปีที่แล้ว

      Sophia Mose we umeona dogo kamtukana wap km sio yeye alikuwa anakataa harakati zake hujielewi na wewe

  • @rashidsaleh1828
    @rashidsaleh1828 5 ปีที่แล้ว

    dogo kaamua kurudi kwa baba ake ili apate nafasi wcb

  • @venancekavishe9823
    @venancekavishe9823 5 ปีที่แล้ว

    Kuna Dada mmjoja kavaa njano juu mbona kila Konki anapoenda nae yupo nyuma🤔

  • @rizbfighter8574
    @rizbfighter8574 5 ปีที่แล้ว +3

    Vzr sana dudu baya mtoto akikosea wew kama mzaz huna budi kumsamehe ukiendelea kumkazia unamzibia rehema zake Mungu

  • @robertdaud9894
    @robertdaud9894 5 ปีที่แล้ว +1

    Konk

  • @ziakaitala2221
    @ziakaitala2221 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa umaarufu wa siku 5 unampa wenge