NITAKUNYWA SUMU KAMA MBOSSO AKINIKATAA/ NAMPENDA HATA ANIFANYE MKE WA PILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • #wasafi #refresh NITAKUNYWA SUMU KAMA MBOSSO AKINIKATAA/ NAMPENDA HATA ANIFANYE MKE WA PILI

ความคิดเห็น • 1.8K

  • @mynameisindicated
    @mynameisindicated 3 ปีที่แล้ว +8

    Dada nimempenda kwa alivyofunguka. Ni wasichana wachache sana wa kufunguka hivi. Congratulations

  • @shikopamedia356
    @shikopamedia356 ปีที่แล้ว +2

    🕺🕺🕺....ila chembechembe za India daah oya mboso 🙌🏽🙌🏽 chanzo kilianzia hapa 😂😂😂

  • @mathakway3827
    @mathakway3827 4 ปีที่แล้ว +11

    Mmmhhh mungu tusaidie, mapenz upofu, mapenz ugonjwa, mapenz kitunguu unakat na kulia mwenyew, haya Dada safar njema kwenye mapenz yako

  • @alabassiabullahi2162
    @alabassiabullahi2162 4 ปีที่แล้ว

    kunywa sumu si kazi mingi dada maisha ni yako pia mwanzo labda huyu unampenda kuna Bora mwenyeze mungu amekujalia nenda soma utajaliwa maisha si hiyo pekee munira..... unajina Nzuri sana... pia sifa yko itakua tu hvo..

  • @khalidmbwana114
    @khalidmbwana114 4 ปีที่แล้ว +89

    Allah akuongoze.maana uko gizani dadangu

  • @najmaalwy6949
    @najmaalwy6949 4 ปีที่แล้ว +1

    Upuuzi huuui dada yetu watuaibishaaa tuuu wanawake wah kenya, siku zote sisi hatukimbili wanaume ila ni u controll yr fillings mboso ana familia yake dadangu mungu atakupa wa kheir

  • @augustmj4573
    @augustmj4573 4 ปีที่แล้ว +27

    ooohyooo wasafi wasafi wasafii nawakubalii knoma 😋😋😋

    • @kingafrojr6970
      @kingafrojr6970 4 ปีที่แล้ว

      august mj Awa jamaa noma sanaaa yani 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @aishahamisi5025
    @aishahamisi5025 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamani mboso nyimbo zako zinafanya upendwe sana hatamimi ningekua binti mdogo ningekusaka vibaya Ila nisha pita nakupenda

  • @fredrickkiliani4663
    @fredrickkiliani4663 4 ปีที่แล้ว +351

    Duuu mama rwakatare kasha leta shida na upepo wa kisulisuli,🤣🤣🤣🤣

    • @dallasmoon653
      @dallasmoon653 4 ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @jordanjonas4921
      @jordanjonas4921 4 ปีที่แล้ว +1

      Faridy Kiliani umenae kwer

    • @mariyaal5366
      @mariyaal5366 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @chido_wa_south2171
      @chido_wa_south2171 4 ปีที่แล้ว +1

      Nahuu ni uleule upepo wa kisulisuli

    • @majdkhald5813
      @majdkhald5813 4 ปีที่แล้ว

      🤣😁😁

  • @latifsalehadam71
    @latifsalehadam71 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana dada yangu . Nyumbani ni nyumbani . MUNGU AKULINDE urudi nyumbani . Waze wako wanaku hitajia sana kushinda uyo mbosso .

  • @hamedal-shruiqi2123
    @hamedal-shruiqi2123 4 ปีที่แล้ว +119

    Mmmmm hatariiiiii mkenya mwenzangu pole

  • @officialjclever9879
    @officialjclever9879 4 ปีที่แล้ว +2

    Mbosso me natafuta mke wa kuoa mpe nauli ashukie mwanza ntampokea 🙏🏻🙏🏻

  • @kayadolf5817
    @kayadolf5817 4 ปีที่แล้ว +10

    Acha ufala sister, mapenzi ya kibongo yatakutoa kamasi, vitu ground ni different

  • @josiahjohn5230
    @josiahjohn5230 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyo dada anajipotezea bule mda wake bola aludi kwao tuu atajuta sana kwann mabinti mna pepo wa baya rudi kwenu dada mboso hakufai

  • @dr.bilallymaster6784
    @dr.bilallymaster6784 4 ปีที่แล้ว +176

    Simtaki kibrother namtaka kimapenzi, waliosikia vyema kauli hii nipeni like zenu

    • @hassanbaska1282
      @hassanbaska1282 4 ปีที่แล้ว +1

      nacheka tu niko tayari kuwa wa 9 hata wa mwisho nampenda sana .......

    • @georgejulius2769
      @georgejulius2769 3 ปีที่แล้ว

      Hahah

    • @florianhenry7198
      @florianhenry7198 2 ปีที่แล้ว

      Maana yake mbosso asimamishe miti kwenye tope mwishowe tope likauke!!!!!!! Ulisikia wapi Mtu mwenyewe kakupa Ten ya Ktz angalia sana dada

  • @samirmoyo9303
    @samirmoyo9303 4 ปีที่แล้ว

    Wasaaafi...Wasafiiiii.....aise sasa na mm nimechka kuwa shabk haki vile naanz kuimb najua🦁 atanpokea kwel kuwa usafin rahaaa uuwiii hautongoz ndio maan wasaf hatuoi ngooo kama na ww upo tayar kujiung Wasaf like hapa nikuplek

  • @emanuelatseari5826
    @emanuelatseari5826 4 ปีที่แล้ว +4

    wakenya n mashemeji zetu tunawapendaaaaaa sanaaaaaa

  • @fatmamajuu5255
    @fatmamajuu5255 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamani me katika maisha yangu sijawai kufikiria kunywa sumu kwasababu ya mapenzi.

  • @mtanzaniamzanzibara8019
    @mtanzaniamzanzibara8019 4 ปีที่แล้ว +314

    Anaekubari kua kenya ni mashemeji zetu angonge like hapa, kesho nafata mrembo kenya na mm😂😂

    • @chibonitv7836
      @chibonitv7836 4 ปีที่แล้ว +1

      Mtanzania Mzanzibara mwenzako amefuatwa subiri na wewe wakufuate

    • @mtanzaniamzanzibara8019
      @mtanzaniamzanzibara8019 4 ปีที่แล้ว +2

      Watakuja tu upepo wa kisulisuli utawaleta😂

    • @lwitikoraphael2820
      @lwitikoraphael2820 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @yuusufnuur5752
      @yuusufnuur5752 4 ปีที่แล้ว

      Hahahaha twakukaribisha sana254

    • @charitymghoi1199
      @charitymghoi1199 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

  • @makarangaadonias5156
    @makarangaadonias5156 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah noma na nusu

  • @emmaculatajohn399
    @emmaculatajohn399 4 ปีที่แล้ว +14

    Naomba nimalizie mwaka Kwa Amani na furaha niliyonayo Amen. Nouma sana pole munira. Love ooo

  • @evaristifaustini5399
    @evaristifaustini5399 4 ปีที่แล้ว

    Mamaeeee nakwambiaaa uspokaaa vizurii utatombwaAa mpaka urudi mombasaa mwenyewe hapo bongo sio pamchezo

  • @bonishani8570
    @bonishani8570 4 ปีที่แล้ว +409

    kama unakubakii ni upepo wa kisulisuli ndo umemletaa mrembo huyuu
    like ...
    😂😂😂😂

  • @rukiamaliyo1898
    @rukiamaliyo1898 3 ปีที่แล้ว

    Muogope Allah Munira Binti wa Kiislam, Kazi ya Kukupa Uhai na Kuutoa Uhai Si yako Unakufuru bana.

  • @anesikakwezi6490
    @anesikakwezi6490 4 ปีที่แล้ว +5

    Mbosso chukua mtto huyo mtto yuko vizur kinomaa🔥🔥

  • @stephanojohn5317
    @stephanojohn5317 4 ปีที่แล้ว

    Duuuuh noma sana wanawake sijui mnaugonjwa wa kisulisuli wanaume wapo wengi wakini unamfuata mwanaume ambaye anamke wake inashangaza sana

  • @aishamawalla1839
    @aishamawalla1839 4 ปีที่แล้ว +121

    Mzuri sanaaaa,ila unaweka mdomo vibaya mno

    • @elinahdaudi8195
      @elinahdaudi8195 4 ปีที่แล้ว +2

      Mimi nafikiri ni kilema wa mdomo

    • @erickmpalanzi6021
      @erickmpalanzi6021 4 ปีที่แล้ว

      Hahahhahhahhahahha aishaaaaa

    • @aishamawalla1839
      @aishamawalla1839 4 ปีที่แล้ว +5

      @@elinahdaudi8195 mapozi shogaaaa

    • @aishamawalla1839
      @aishamawalla1839 4 ปีที่แล้ว +1

      @@erickmpalanzi6021 mapozi yamezidi,ila dada duuu nimkali kinyama hapo hajapigwa sop sop na kidodoki umeona jamaaa anampa elfu 10 ya chips au ya vochaaaa?hata huku uswazi kwetu wa men zetu wanajikamua kidogo walau ule uinjoy life japo kidogo

    • @erickmpalanzi6021
      @erickmpalanzi6021 4 ปีที่แล้ว +1

      @@aishamawalla1839 namimi ntaanza kuimba kwakwel

  • @biashasuleimanabdalla481
    @biashasuleimanabdalla481 3 ปีที่แล้ว

    Assalamu aleikum warmatulla taala wabarakatu. Mwenye Enzi mungu atustiri hizi dalili zakiama. Wala mwanangu usisubutu kunywa sumu mwenye Enzi mungu hampokei mwenye kujikatia umri. Wazazi wako ndio watakao kukosa mboss ata endelea na maisha yake zaidi naunavyo fikia.

  • @cristianamos8790
    @cristianamos8790 4 ปีที่แล้ว +17

    She's so biutfull, but if mbosso doesn't take you home, I will do that.

  • @ngirafreddy3229
    @ngirafreddy3229 4 ปีที่แล้ว +1

    Sisi tumkufia tukachoka ila uyu amechizi bana😜😜😜😜😜😜
    Pole Sana

  • @chido_wa_south2171
    @chido_wa_south2171 4 ปีที่แล้ว +29

    Emotionally, Dooooooh!! Mbosso weweeeeee😀😀😀

    • @user-ws7bc8pv3f
      @user-ws7bc8pv3f 4 ปีที่แล้ว

      Huna lolote bado jifuze gutuza nwele zako bona uko mcafu😏😏😏uyo mdomo vipi?🙄ebe gatafute wengine we arigupa 10000fr😂😂😂wengine wanapewa manyumba,magali,we napewe 10000fr😅😅😅mi naona kunywe sumu tuuu😆😆😆😆mana na babayika sana hata tick ?nilazima uweze sm?daaaah🤔🤔huna lolote kbs we nenda kalime mwambie mama yako ukoneshe shamba ulimeee🤗🤗🤗 unajua nimejishitua niko natapika kukuona pubafuuu😥😥😥

    • @arjunimayagila9500
      @arjunimayagila9500 4 ปีที่แล้ว

      Baby kendy rudi shule kwanza usione kama hakupendi umetorokwenu umekuja home nisaidieni basi mnaoujua wimbo huu

    • @gplanet8279
      @gplanet8279 4 ปีที่แล้ว

      John Steven hahahahahah

  • @OmanOman-xe7gw
    @OmanOman-xe7gw 4 ปีที่แล้ว +1

    Maskini dada uko mzuriiii nenda ukakamilishe shuleee i love you 😘😘😘

  • @cosmasevarist6221
    @cosmasevarist6221 4 ปีที่แล้ว +209

    Wakenya mnashida gani na wanaume wa Tanzania???
    Au sisi ni watamu????😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖

    • @jujulizzy283
      @jujulizzy283 4 ปีที่แล้ว +6

      Tuna udambwi mwingi tukiwa faragha

    • @samlush6127
      @samlush6127 4 ปีที่แล้ว +2

      Hahahah msenge we jamaa

    • @cosmasevarist6221
      @cosmasevarist6221 4 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @cosmasevarist6221
      @cosmasevarist6221 4 ปีที่แล้ว +2

      @@jujulizzy283 😂😂😂😂😂😂
      Udambwi udambwi

    • @wemakalamu3538
      @wemakalamu3538 4 ปีที่แล้ว +4

      Vivuruge nyie atakae wapenda nyinyi atakua tahira kama huyo binti dadeeeki soma iyo.

  • @idrissahussein5366
    @idrissahussein5366 3 ปีที่แล้ว

    Yes nimeipenda iyooo

  • @aseelaaseela4913
    @aseelaaseela4913 4 ปีที่แล้ว +55

    Simpendi kibrother nampnd kimapenzi 🙆‍♂️niko tayar kunywa sumu😳 pole dada moyo wako umepend pasp sahihi..

    • @UzalendoNaUtu
      @UzalendoNaUtu 4 ปีที่แล้ว

      😀😀😀😀😀😀

    • @halimatanzani8587
      @halimatanzani8587 4 ปีที่แล้ว

      😄😄😄😂😂😂😂

    • @aseelaaseela4913
      @aseelaaseela4913 4 ปีที่แล้ว +1

      Katalizwa hakaaa ahaaaa 😂guys msichek ni janga hili 🤣🤣🤣🤣 unakuwaje tayar kunyw sum kw mty ambae unajua fika hawez kuw wako.... dada kachanganyikiw na baba wa 4 ako ready kulea wote muhim anampend wanawake siye 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @marrykisara3138
      @marrykisara3138 4 ปีที่แล้ว

      Ahaaaa

    • @feimymusic990
      @feimymusic990 4 ปีที่แล้ว +1

      Aseela Aseela weeee mwache mwenzio

  • @shaniahrachma7767
    @shaniahrachma7767 4 ปีที่แล้ว

    hawa waswahili wa mombasa wanaujinga sanaa washazoea starehe hawapendi kujituma kuolewa tu na kuzaa hovyo na kupewa talaka kwa mwezi hemu acha mapepe ww mtt mbosso sio size yko wataka mume ama umalaya pumbaffff...asiyefunzwa na mamaye......

  • @eviepretty2646
    @eviepretty2646 4 ปีที่แล้ว +417

    kama umemkubali huyu Dada ni mrembo half kaletwa na upepo wa kisulisuli kwa mboso tujuane

    • @arttz1453
      @arttz1453 4 ปีที่แล้ว +3

      😂😂😂😂😂😅😅😅😆😅😆😅😆😅😆😆😆

    • @wemakalamu3538
      @wemakalamu3538 4 ปีที่แล้ว +7

      Afadhali ninywe pombe kuliko kuzaa mtoto kama huyo hasara tupu

    • @shaymaajohn436
      @shaymaajohn436 4 ปีที่แล้ว +3

      Hahaaaaaaaaaaa upepo wa kisulisuliiiuu

    • @najmasalimsalim2741
      @najmasalimsalim2741 4 ปีที่แล้ว +1

      @@wemakalamu3538 wasema polepole

    • @user-ws7bc8pv3f
      @user-ws7bc8pv3f 4 ปีที่แล้ว +1

      Vipi wa kenya?bona mnashida🤔🤔🤔ivi uko tayali yakuvamiya doa ya mboso ili ukue je? wabongo 🤗mukue maco yahayo majini najitokeza kenya😎😎 nyoooo ibu nenda kologe iyo sumu ukufe tu!mana boso cukulia nyooooo 😏😏😏 ebu jihangalie

  • @godfreysebastian2260
    @godfreysebastian2260 4 ปีที่แล้ว

    ohooo my good Mboso nimajificha hapa njoo mami

  • @Ephantus7teenchronicles
    @Ephantus7teenchronicles 4 ปีที่แล้ว +40

    Kenyans get married to Tanzanias and vice versa. Izi mataifa Zina mahusiano ya kimapenzi tangu Enzi Za kinababu 😉😉
    Ka unakubaliana nami nipe like 👇👇👇👇

  • @chirrakibona4962
    @chirrakibona4962 4 ปีที่แล้ว +2

    Ira wana wake wa, kenya mnaupendo Sana💚🇹🇿💚🇹🇿

  • @chicharitoronaldo5950
    @chicharitoronaldo5950 4 ปีที่แล้ว +6

    Balaa Zito ALLAH Atustiri In Shaa Allah

  • @hawaduguda7321
    @hawaduguda7321 4 ปีที่แล้ว

    Daaa mapenzi mapenzi shikamoo mapenzi mmmh

  • @shanizyusuf8210
    @shanizyusuf8210 4 ปีที่แล้ว +10

    Amepatwa na upepo wa kisulisuli😃😃😃😃😃😃pole dada utatiwa alf uachwe upo.

  • @escomsupplies3476
    @escomsupplies3476 4 ปีที่แล้ว

    Ghai...maajabu haya dunia kapasukaaa acha nimtumikie Mungu siku zote mie

  • @nohatredbutlove5786
    @nohatredbutlove5786 4 ปีที่แล้ว +44

    Huyu kama ni mdogo wangu nakata hizo fito zake asitoke tena ndani, pumbavu🤣🤣🤣

  • @lailamohammed3213
    @lailamohammed3213 4 ปีที่แล้ว +44

    Nmecheka kifalaaa kuna watoto wanamatatizo jaman si anatakiwa asome😥😥😥

    • @Djroja_mo
      @Djroja_mo 4 ปีที่แล้ว

      Kwakweli😂😂😂

    • @juliasbeda2894
      @juliasbeda2894 4 ปีที่แล้ว

      Hahahaha

    • @josephlyanga328
      @josephlyanga328 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

    • @isharaz4834
      @isharaz4834 4 ปีที่แล้ว

      Daaah wallah atuabisha wakenya huyu..pumbavu

    • @lavabite7128
      @lavabite7128 4 ปีที่แล้ว +1

      acha bhana mapenz yana nguv kushnda shule sema mwanangu mbosso kazngua kampa mtto elf kumi. by lava boy official insta

  • @petrokambo779
    @petrokambo779 3 ปีที่แล้ว

    Angekuwa Hana hela ungempenda

  • @beatricekissia1013
    @beatricekissia1013 4 ปีที่แล้ว +37

    Mbosso eshimu isia za uyu Dada

    • @famitoissanawanda6295
      @famitoissanawanda6295 4 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa wengi hawajui swala la hisia

    • @abdallakalawa7402
      @abdallakalawa7402 4 ปีที่แล้ว

      kweli nishida ikiwezekana amuelewe mapenzi nikitu cha ajabu😍😍😍

  • @khamichaji5332
    @khamichaji5332 4 ปีที่แล้ว

    Mbosso Khan hatariiiiii konk fire

  • @sadakhamis6684
    @sadakhamis6684 4 ปีที่แล้ว +4

    Njaa inasumbua mji mzito😍🤣🤣

  • @sadickhamis9343
    @sadickhamis9343 4 ปีที่แล้ว

    Ehh mungu Baba simamisha Dunia nishuke vichekesho kila kukicha Kenya hakuna wanaume nn Tanzania juu safi mboso unawakilisha vyema taifa letu Wanaume wa Tanzania wote kama mpo karibu na duka mwambie muuzaji akupe soda nakuja kuripa

  • @mukusinsuleymani3243
    @mukusinsuleymani3243 4 ปีที่แล้ว +32

    Tobaaa🙆🙆🙆 uku kuokota Embe kweny mchungwa madomo zege nafac Kama iz wanaztafuta polen🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @dallasmoon653
      @dallasmoon653 4 ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂😂 sijui hizi nafasi huwaga zinaenda wapi Kwa madomo zege. Ni kama ule msemo kwenye miti mingi hamna wajenzi

    • @khadijanjama9016
      @khadijanjama9016 4 ปีที่แล้ว

      😃😃😃😃😃

    • @halimatanzani8587
      @halimatanzani8587 4 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂

    • @mukusinsuleymani3243
      @mukusinsuleymani3243 4 ปีที่แล้ว

      @@dallasmoon653 kwer eee

    • @ashazubere3837
      @ashazubere3837 4 ปีที่แล้ว

      😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @luizpaul6199
    @luizpaul6199 4 ปีที่แล้ว

    Upuuuzi
    idleness ni mbaya sana.Nkkkt

  • @feisalbaruan7227
    @feisalbaruan7227 4 ปีที่แล้ว +8

    Mbosso ulitumia dawa gan ili utupe na sisi mabaharia mana sio kwakuliliwa huko😆😆😆😆😆

  • @rojaamos4097
    @rojaamos4097 2 ปีที่แล้ว +1

    Hatali mboss

  • @kingafrojr6970
    @kingafrojr6970 4 ปีที่แล้ว +4

    Jamani 🔥🔥🔥 mtoto mashallah naogopaaaaa😏😏😏😏

    • @margrethkimaro2009
      @margrethkimaro2009 4 ปีที่แล้ว

      Namimi nakupenda jamani mboso duh mimi nitakuwa watatu. 😂😂😂😂😂🤣🤣

  • @reycwkizenga7445
    @reycwkizenga7445 3 ปีที่แล้ว

    Mdogo wangu upo sawa aa

  • @rashidaboud990
    @rashidaboud990 4 ปีที่แล้ว +11

    Kweli hela matatizo mboso asingekuwa msanii angebaki single milele hata perfect match Kenya hachukuwi slay queen.. Hhh

    • @youngmiska5774
      @youngmiska5774 4 ปีที่แล้ว

      Rashid Aboud 😂😂😂😂

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 4 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa ajue kabisa sio kwamba yy ni mwanaume perfect kuliko wengne ila ni title yake na pesa ndo zinawachanganya😛😛😛ukiangalia lidada kama hilo limekubuhu kabisa inamaana limeacha mpenzi kenya😎😎yani tena WEWEE!!

    • @ernestmateo6967
      @ernestmateo6967 4 ปีที่แล้ว

      Huu upepo balaa jamani

  • @KladesKladseee
    @KladesKladseee 4 ปีที่แล้ว

    Daaaah huyu mrembo mungu akufungue macho jamni umepotea

  • @janewanjiku8537
    @janewanjiku8537 4 ปีที่แล้ว +20

    Crazy girl from Kenya

  • @aleky2336
    @aleky2336 4 ปีที่แล้ว +1

    Dada ukiwa serious penda kitu moja,saii naona wampenda mbosso pia unapenda sumu,chagua moja,

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 4 ปีที่แล้ว

      Hahaha kitambi changu bamoleee!😁😁😁😁

  • @aminamauhfoda9201
    @aminamauhfoda9201 4 ปีที่แล้ว +7

    Mzuri mashallah

  • @MrNdanguza
    @MrNdanguza 4 ปีที่แล้ว +2

    Duh mahaba ya Mombasa shidah mtoto mzuri sanaaa mix mwarabu

  • @bodeamaimbo4180
    @bodeamaimbo4180 4 ปีที่แล้ว +40

    Upepo wa kisulisuli unaleta balaah sasa

    • @eddymenas
      @eddymenas 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

    • @arttz1453
      @arttz1453 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😁😁😆😆

    • @mohamedmbulu4293
      @mohamedmbulu4293 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @neyjoseph813
      @neyjoseph813 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂

    • @renafarmers1375
      @renafarmers1375 4 ปีที่แล้ว

      Bodea Maimbo duh uyo ni taira

  • @snakeboy1225
    @snakeboy1225 4 ปีที่แล้ว +1

    Ishu ndogo sana hiyo
    Kesho naanza kuimba

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 4 ปีที่แล้ว +6

    Km unakubali kuwa uyu demu akili c nzuri "mawenge" like apa...

    • @rehemanassor6317
      @rehemanassor6317 4 ปีที่แล้ว

      Abdul Mohd dishi linayumba chamsingi wapigieni Azam waje kurekebisha mitambo uwiiiiiiiiii uso mkavu eti wake wa 4 kwani kuoa wa 4 ni lazima kuoa wa 4 nisunah nasilazima jamani kwani alieomba upepo wakisulisuli aliita wanaume, wanawake misielewi miujiza hii

  • @mjemathedone9824
    @mjemathedone9824 4 ปีที่แล้ว

    Jaman wasafiiii xaxa mnang'aaa mpka madem wantka kunywa sumu duuuuuh munila poleee

  • @yuusufnuur5752
    @yuusufnuur5752 4 ปีที่แล้ว +8

    Dah mbosso mtoto hatakunywa sumu kisulisuli chafanya kaziyake hahahaha wanawake sisi sijui tunakwama wapi namapennzi pole yako dadangu 254

  • @maryamally2787
    @maryamally2787 4 ปีที่แล้ว

    ALLAH akufanyie wepesi dadaa kwani iblis kakuingilia paka huoni kama ni moto unajipalilia... angalia qisaa cha nabii yusuf (A.S) na mke wa mwajiri wake.... hapo ndo utajua nguvu za iblis... Allah akuongoze mkenya mwenzangu, mdogo wangu😢😢😢

  • @ommie_nyzer
    @ommie_nyzer 4 ปีที่แล้ว +5

    Eeeh io zaidi😂😂🔥🚨💯

    • @judithandrew6480
      @judithandrew6480 4 ปีที่แล้ว +1

      Unajiaribu mbwembwe za mdomo unavyouweka

  • @evahawazi9196
    @evahawazi9196 4 ปีที่แล้ว

    Utaumwa ukimwi dada yangu usije ukajutiya maisha yako ya kesho wasani awaowaki

  • @40kstore
    @40kstore 4 ปีที่แล้ว +4

    Mpaka hapo mbosso ushamkosa dogo,yaani kakupa buku ten alafu unasema 😂😂😂😂

  • @keviewsononkundie2437
    @keviewsononkundie2437 4 ปีที่แล้ว +1

    Woooiiiiii. sema Mapenzi kunogea.
    from +254 ,Wabongo nipe likes tafadhali

    • @sarapaulo4718
      @sarapaulo4718 3 ปีที่แล้ว

      Za nn? Kwanza mwambie hyu ndg yenu atulize ksimi harafu tutakupa like 👍

  • @paschaljohntz4295
    @paschaljohntz4295 4 ปีที่แล้ว +6

    Kama umeelewa hii kiki imesukwa na mbosso like hapa 😅

  • @b12chomolla62
    @b12chomolla62 4 ปีที่แล้ว

    *Daaah yaan hii Gift ingeangukia kwangu mzee wa zege huwa halilali aisee ningetembeza rungu lile la Comredi kipepe likasome*

  • @julietamileck6663
    @julietamileck6663 4 ปีที่แล้ว +5

    Ebitoke mwingine the end of year😁😁♥️🤔

  • @josiahkamugisha9193
    @josiahkamugisha9193 4 ปีที่แล้ว

    Dah! Hii Kali ya mwaka

  • @aminajuma2981
    @aminajuma2981 4 ปีที่แล้ว +13

    Upepo wa kisuli suli ume mpenda mboss 🤣🤣🤣🤣

  • @mariabahati1264
    @mariabahati1264 4 ปีที่แล้ว

    Mwenye Ezi Mungu atakusitiri tu kuongea duas Mungu akuepushie hizo balaa shetani ashindwe maskini msichana wa watu....Ni kweli huo ni upepo wa kisuli suli ila Mungu atakuepushia namuhurumia saana huyu msichana mdogo maskini

  • @pigapesa2366
    @pigapesa2366 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtoto mzuri harafu hajui kuringa Tanzania 🇹🇿 ya MH : Magufuli ni TZ mpya watajipendekeza wengi Mwaka huu na bado....!💘👏🏃🏃🙌

    • @davidchesco52
      @davidchesco52 4 ปีที่แล้ว

      Piga Pesa eeeeh watahamia wote

  • @alexmavindi2104
    @alexmavindi2104 4 ปีที่แล้ว +64

    Dàahh yaan dada nimzuri Hadi unakosea kutaja tiketi unasema tikiti duuuuhh , km naww umeisikia hiyo fanya km tunapungiana mikono hivi

    • @mariamosaideabudala3463
      @mariamosaideabudala3463 4 ปีที่แล้ว +1

      Alex Mavindi yawezekana we ndio umekosea

    • @UzalendoNaUtu
      @UzalendoNaUtu 4 ปีที่แล้ว

      Hahahahah

    • @HASASON
      @HASASON 4 ปีที่แล้ว

      Tikitimaji

    • @hassansapi2704
      @hassansapi2704 4 ปีที่แล้ว +3

      We ndo umekosea kaka.. Ticket ni kingereza na Tikiti ndo tafsiri yake kwa kiswahili fasaha.

    • @HASASON
      @HASASON 4 ปีที่แล้ว +2

      @@hassansapi2704 sema kiswahili cha Kenya, Tanzania tikiti ni melon, tikitimaji watermelon, Tanzania ni tiket

  • @chiuxpartel6632
    @chiuxpartel6632 2 ปีที่แล้ว

    Wallai mbosso never disappoint hta Mimi nakupenda

  • @rogermazombo9744
    @rogermazombo9744 4 ปีที่แล้ว +4

    Hahahaha Hahahaha iyo ni upepo wakisulisuli ume mkuta @Mbosso

  • @abdullatifsuleiman7131
    @abdullatifsuleiman7131 2 ปีที่แล้ว

    That is truth love wow

  • @shameemrashid5219
    @shameemrashid5219 4 ปีที่แล้ว +8

    Yaan ungemfwata tu mwenyew kuliko uende kwenye media kam aliwez kukupa elf10 si ungemkamata palepale umwambie ya moyoni mwako,,, mapensi mapensi mabaya😂😂😂😂😂😁🤗

  • @liberatedpeople6054
    @liberatedpeople6054 4 ปีที่แล้ว

    Daah si unijaribu mimi kwa dakika ☝ tuu uone kazi ya mabaharia

  • @kingafrojr6970
    @kingafrojr6970 4 ปีที่แล้ว +4

    Jamani jamani anampenda mbosso 🔥🔥🔥🔥🔥!!?

  • @suziehennessy9829
    @suziehennessy9829 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaschana kadogo sana,anahangaikia mapenzi,anahitaji kuelekezwa njia mwafaka maana hajui anachokifanya

  • @dularwambo3243
    @dularwambo3243 4 ปีที่แล้ว +12

    Jaman em tuoneshen basii ataa Chini shemeji kama ana Mshepu... asaa atokee ukoo hana ataa mshepu arud tuu kwakeli...🤕🤕

  • @leotena8456
    @leotena8456 4 ปีที่แล้ว +1

    Vuuuuuuuuuuuuuuh! Puuuuuh! Upepo ukamdondojea mbosso dadeki!

  • @malimabwanjiga3883
    @malimabwanjiga3883 4 ปีที่แล้ว +53

    Upepo umemleta 😂🤣🤣

  • @peterludovick7020
    @peterludovick7020 4 ปีที่แล้ว

    Duuh wakati wengine wanakataa wengine ndio ivo tena dah... kweli hii kali, kazi kwako DADA

  • @victoriavickie2080
    @victoriavickie2080 4 ปีที่แล้ว +3

    Though atafaulu but i love the determination

  • @vanny.jx.nakubalxnvannyboy1587
    @vanny.jx.nakubalxnvannyboy1587 4 ปีที่แล้ว

    Mwenzio. Matha ametolewa kafara na ww jitie kiherehere akakutoe kfr

  • @hummymgaza6915
    @hummymgaza6915 4 ปีที่แล้ว +9

    Na akachane nywele kwanza 🤣🤣🤣

  • @tusajigwemathias3758
    @tusajigwemathias3758 4 ปีที่แล้ว

    Kweli mapenzi yame take over

  • @muhubiriproduction69
    @muhubiriproduction69 4 ปีที่แล้ว +11

    huu upepo wa kisuli suli umekuwa aje tena?? badala ulete wanaume unaleta wadada, mambo kwa ground ni tofauti kabisa

  • @muranisalim3572
    @muranisalim3572 4 ปีที่แล้ว

    Wewe utajipa sumu 😆😅🤣😂 nakubali binti nimekuunga mkono wawili mbosso changa Mka baba unahaki yakuowa 2 adi wa4 😍

  • @Dapeopletz7
    @Dapeopletz7 4 ปีที่แล้ว +7

    Very jinga kabisa, hawa ndio wakupiga risasi

  • @jamesqs1110
    @jamesqs1110 4 ปีที่แล้ว

    Tooooooooba Upepo wa kisulisuli umewakumba wa kenya umewaleta mpaka bongo