Baba kalobo au Baba Joan unajua ukiwa unamba asali,lamba kidgo ili baadae upate kuilamba itakukinai,movie ilikua nzuri n tamu sanaa ila unakoendelea ni upuunzi sasa umeharibu kila kitu
Nimesha fika lakini baba kalobo ucunge vizuli uyo dada Usije unajuta badaye na ujue eti mke wako amekusaidia vingi na anapenda Mwanako Ila tuyitegemeye tu na jua ni filemu lakini musisahau kuonyesha upendo mukugonga likes hapa kwa hiyi comment mie mufana wa baba Joan kutoka burundi❤❤❤
Nyie wanafiki mnao sema hii movie iishe baba karobo ni anatumia maarifa makubwa sana na ndiyo maana hii movie ni kali sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 baba karobo apewe maua yake 🙌🙌🙌💯🔥💯🥰🥰
Baba joan baba joan baba joan hii inaonekana kama movie mpya, tafuta title mpya maana binafsi baba yangu kipofu iliishia pale ulipoona.. Tunakupenda sana ndo maana tunafuatilia movie zako.
Jamani atakae soma hii msg Mungu ampe hitaji la moyo wake
Amina
Wa kwanza kutoka Kenya 🇰🇪. Mnipe likes za BABA KAROBO 🎉
Ile kiusawa hii movie ilikua yiishie pale babakarobo kamuowa zuu wangap wanakubaliana na mmi😂❤❤❤
Hii movie inazindi kuwa tamu zaidi endeleni mpaka episode 101❤❤wapi like Kama unakumbaliana na Mimi from Kenya alfu huyu kendi ni mkenya ❤❤😂😂
@@Mwendakanambia 😂😂😂😂😂😂😂
Wazo langu pia jamani😂😂
dah!ndg zangu mpo chapu mda wote mnaichungulia kama baba karobo imetokaa😮😮.🎉🎉 hongera bb karoboo
Iyii movie munaenda kuiaribu sasa tume ichoka kabisaa
Jmn Leo nimewai kabisa like kwangu nawapenda team baba karobo mpo🎉🎉🎉❤❤😂😂😂😂😂
Nomba likes zangu from kenya
Hii movie inatosha sasa kama unakubaliana na mimi gonga like apa 🎉🎉🎉 from mozambiqui 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Kwakweriii inaendelea vibaya😊
Kwakweli sahizi inaelekea kubaya haipendezi kabisa
Ni kweli malizen movi mnaharibu bhna
😂😂😂😂😂😂😂
Kweli
Baba kalobo au Baba Joan unajua ukiwa unamba asali,lamba kidgo ili baadae upate kuilamba itakukinai,movie ilikua nzuri n tamu sanaa ila unakoendelea ni upuunzi sasa umeharibu kila kitu
Kazi nzuri,ila mnakoenda sasa mnaharibu. Bora mngemaliza tu pale baba karobo alipoona na kuonesha jinsi alivyofanikiwa kimaisha tena.
Kwel kabsa
Unaco sema ni ukweli
Haswaaaa! watu tumepoteza appetite
Hii movie naiishe jaman kama ni baba karobo alipona, huko mnakoelekea mnaharibu movie leten movie nyengine mpya😂
Tena wanaharbu kwel ngoja tuone mwisho wao
Baba Joan tuletee episode mpya mkuu,naamini kazi Yako ila episode ikiisha buni mpya,,,,hapa tunarudi nyuma.ni ushauri tu
Hapo umesema
Kweli kabisa unasema kweli
Nikweli kabisa
Nimesha fika lakini baba kalobo ucunge vizuli uyo dada
Usije unajuta badaye na ujue eti mke wako amekusaidia vingi na anapenda Mwanako Ila tuyitegemeye tu na jua ni filemu lakini musisahau kuonyesha upendo mukugonga likes hapa kwa hiyi comment mie mufana wa baba Joan kutoka burundi❤❤❤
Cool baba Joan ❤❤❤❤🎉🎉❤❤
KAZI KALI ILE MBAYA KAKA BIG SANA
Tumewai leo more love team baba karombo 🎉🎉❤❤
Kama unaamini mpango wa mama karobo hauwezi kufika mwisho gonga like tu
Mimi 🥰 burudani hapo mwisho fire 🔥kwa kweli unyama mwingi sana patronize ft zû
Hâta nami nimehai kutoka Congo drc
Ila nasra mzuri jamani ,mungu fundi
Nasira sihapenda kwa kweliiii😢🎉🎉
Nawapenda sana trem baba kalobo
Baba karobo kapona malizeni movie mnakoelekea mnaiaribu kabisaaaaaaa
From Kenya enjoying it
Daah me niwapongeze tu maana mupo chapu sana.
Kazi nzuri sana
Ngoja tu nitafute movie nzuri niangalie
Kazi nzuri baba joan
Wanaotamani mama karobo aumbuke weka tick
Hii movie iishe mana hapa hatupati funzo ila tunaelekea kupotezeana muda na mashabiki🎉🎉🎉🎉 kulingana na inako elekeaa
We we candy kazi yako kubwa ni kufurunga ndoa za watu umezidi mama
Baba kalobo usituaribishiye movie tunapo elekeya siyo pazuri
Leta ya kwako tuichangamkie
@@clémchoux ᴛɪʏᴀʀɪ ᴋᴀsʜᴀʜᴀʀʙᴜ ᴍᴘᴜᴜᴢɪ ʜᴜʏᴜ,,
Mzee baba unakoelekea unaharibu ujumbe man
Baba kalombo unajawa Cady vile anasubuwa Kwa house girl 😂😂😂 anajuwa kucheza card zake poa kuwa makini sana😅😅
😂😂😂😂true
@@beatrice9186 Cady ni sumu hatari 😂😂
Tunaomba huu mchezo ufike mwisho baba karobo
Mwambieni mwandishi amechemsha maji kwa moto was mshumaa hajui kuandaa series😮😮
Toa iyo picha ya kolo kwenye profile yako 😂😂😂😂😂
kwani kuna new characters are coming up again 😢
@@YusraSiyaleo-yk2fzwewe kiboko sikuweza nimeiona nikashtuka hata mm😂😂😂😂😂
Leo mapema sanah
Mimi borake baba karobo amepona hayo mengine ni yenu🤠🤠🤠
Malizen muv,hk inakoelekea itaisha vibaya sana
Mimi wa kwanza toka 🇧🇮
Wapili kutoka burundi jameni nimecelewa ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Leo nimewai ndondosheni like hapa jamani jooni tusemesane hapa kusu mama karombo duh anavimbwanga huyu from Kenya 🇰🇪 ♥️ ❤❤❤❤
Mshaanza kuzingua mkianza vzr lkn now unavuruga movie
Nayipenda ❤🎉❤🎉
wa 42 leo munipe like namungu atawabariki nina mufatiliya baba kalobo jisi kendy anatamu changanya mara pili huruma mingi huwa ina haribu
Wakwaza leo nipeni like zangu
Daaaa bola mbadilishe jina man sio baba kipofu tena
Ila baba karobo mnaenda na uyo dada ila sio kwazujati nawapenda sana ❤❤❤
Next ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Mambo yamepamba moto 🎉
Second to comment but malizeni movie mnaharibu sasa
Hujalazimishwa kuangalia
@@MaureenDeche na sijakuambia unijibu . Acha kiherehere on opinions of other fans. Kupanuka ovyo ni mbaya
@@kenyasloughinggags1553 so ulikuwa wa comment bt hutaki kujibuwa bas hukecomment
❤❤❤nakukubali sana ❤❤❤🎉🎉
Kp twasubili plan b 🌺💐💐💐🌹♥️🥰🪻
Twasubiria plan b ❤ kutoka 🇰🇪
Yee mwenyewe anatembea kwa miguu alafu amevaa yebo alafu yuko maeneo ya uswailini alafu atakupandisha ndege atakutoa uswahilini😂😂😂
😂😂😂😂😂😂nimechea Kwa sauti
@Babajohn ebu ii movie iishe jamani musha anza kwaribu jamani toka RDC congo
Kama unamkubal baba kalobo gonga like
Vipi dada
Hii movies imeanza kuwa kama MERLIN 😂😂😂
Movie ilishaish Lakin bado inaendelea mmh kunakoelekea ni movie kua mbaya na kukosa mvuto aisee
Kabisa wanaendeleza muv bila sababu
@@TatuMkeso yaan mpk mtu unachok kuangalia maan zinaungan ungan mpk inakosa Radha kiukwel ilitakiwa amaliz alivyoona na alivyomuoa zuu
Wakwandza leo mnipee likes za Baba karobo
❤❤❤❤🎉🎉🎉😊😊😊 LOVE you 😘
Hellow wapendwa tunashukuru kwa kutuletea kwa mda
Penzi LA baba kipofu aliyeonaa na zujat 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌😥 Team Riyadh wap like zangu wamwishoo leo mm🇰🇪🇸🇦😂😂
Ak mnajua kutegea
Emotional twist, hii movie mmeweka maudhui ya usaliti tofauti na yale ya mwanzo ya ushikirikina na uvumilivu. Mama karobo na fasheni wateseke iiishe.
Nimewahi leo
Maliza movie unaharibu sasa
Mapemaa
Burundi tupo kbx🇧🇮🇧🇮
Aaaaa marafikiza nimecherew rajin musifik mbara ngonja tufatiriy tuwon bitayishiy wp mana mimi nawonakabxa inaanza nicangan na baba karobo awe makin san nahuy kisikorokwiny muombaomb asije akajutiya burundian🎉🎉🎉🎉
Nasra naye kulikon
Kiukwel mnataka kuharbu kaz
Wapili mimi hapa nipeni like zangu
hasate
Leo nimewahi😂
Kuna mtu anatafuta vita na Mr Rahasa 😅😅
Baba karobo hapo ba hug unasingua 😢.
Nyie wanafiki mnao sema hii movie iishe baba karobo ni anatumia maarifa makubwa sana na ndiyo maana hii movie ni kali sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 baba karobo apewe maua yake 🙌🙌🙌💯🔥💯🥰🥰
Ebanae hatujachelew sana mno love this movie ❤❤❤
Wakwanza leo kuona movie basi munipeni like kutoka kwa baba karobo nawapenda sana❤❤❤
Baba joan baba joan baba joan hii inaonekana kama movie mpya, tafuta title mpya maana binafsi baba yangu kipofu iliishia pale ulipoona..
Tunakupenda sana ndo maana tunafuatilia movie zako.
Nice
Mnakoelekea mnaenda kuaribu movie yenu maan baba karobo ameshaona na zujath ameshaolewa na baba karobo sas kingne nin ambacho mnatak tuone
Ngoja tuone inapoelekea
Baba karobo naomba ukae mbali na candy
Malizem move mnako elekea mnaharibu
Mama karobo 😂😂 mm nampenda jamani wanaompenda gonga like😂😂
Utakua umejichanganya kuandika sio mm kalobo ni bb kalobo maayo
@@HabibaSelfkweli kabisa 😂😂😂😂
4
Wakwanza leo mnipee likes zangu kutoka Congo
❤️❤️❤️
Haaa jamaa hii move iiishe mwaharibu sasa😮😮😮😮
Ila bongo move bhana Yani Huyu kaka anavyomtongoza nasra anamwita kabisaa nasra ila kupewa ni tu anauliza Tena jina
Kutoka Congo Kinshasa baba Joan mbona kama mnataka haribu huu mchezo tena brother ❤...maliza sasa🎉
Baba Joan tunakuomba
Movie iishie hapo maanamulianza vizuri xai mnaendakuzingua
Wanaume waongo paka waongo tena 😂😂😂😂😂eti nikiwa na wewe takubadilishia maisha. Kwani wewe ni Mungu 😂😂
Nasla usimwace Rahasa
Mm naona hii moves ihishe mana wwzidi kualibu mbele japo nzuri
Candy hana tofauti na Gachagua😂
mm hata nataka kusema labda ni movie ingne imeanza kumbe bado ni baba yanguu,,,,, utamu nkma umeisha kwa hii moviee,,
Sini mnaiyalibu sasa
Nasra umeboa
kazi njema sana nawashangaa hata wanao sema iishe
Haha Sasa dakika 26 sijacelewa San🇴🇲🇴🇲🇧🇮
Jaman mnaharibu movi bhna malizeni
Movie imearibika kabisaa,walete 2 nyingine
❤
Hii move na babangu kipofu imeisha sasa hii nimove nyengine tofauti
Iyi movie iishe thu ju kwenye munaelekeya siyo pazuri kbz