Hapo kwenye kutongozwa ni kweri kabisa nipo very serious najiamini hata nikiwa barabarani unaona wanaume wanakuwa very exited ila kutongozwa nashiwa kuangaliwa kwa matamanio😅😅😅
Kaka nakufatilia sana hata kama sina bando nikiweka tuu lazima nipitie sana kwenye majina ndoo nafatilia sana kwe hii herufi upoo sahihi mie mama yangu c

ni kwery maan kutongozwa sio mala kwa mala
Asante kaka, much love from kenya
Daaah tumbo langu jaman
Kumbe
Je c na p zinaendana
Sahihi kabisa
Nafurahi sana somo lako
Kaka nakufatilia sana hata kama sina bando nikiweka tuu lazima nipitie sana kwenye majina ndoo nafatilia sana kwe hii herufi upoo sahihi mie mama yangu c
sasa ikiwa herufi C ameolewa na H wanachane ama apo kuna utaratibu wa nyota
Je christopha na neema yanaendana
N na C ni adui wakubwa nenda kwenye herufi N usikie.
Mbona nandy kaoana na billnas? Billnas anaitwa Christopher yule na ameoana na nandera na wanapenda tu