Babangu alikuwa anapenda kuimba huu wimbo kila siku usiku before alale nikitambo sana kama bado niko mdogo lakini bado nakumbuka hangelala bila kuimba huu wimbo...continue resting in peace my dad...mimi nami pia siezi lala bila kuimba wimbo huu pia
Bwana yesu asifiwe nashukuru mungu kwa umbali umenitoa umekuwa mwema mungu nisaidie mimi na nyumba yangu nikutumikie maishani yangu yote bila wewe mungu mimi ni bure kabisa praise God
I just thank God for I came to this site .... Kwa hakika ni salama rohoni mwangu , let God just take control of my life I just want God who opened my womb to held my hand and help me complete my building and make my family United again for we have stayed far from our father in law for long . He has stayed alone for long and his brother has been using his land for personal benefits .... If we shall go home and stay as family I will sing this song again praising God
This song brings me to tears, 1st time I heard it at my aunts burial, then my favorite cousin, then my grandpa💔. Now i sing it for worship I'm really healed n grown❤
Hata nikipita katika nyakati ngumu najua nipo na wewe Yesu hiyo nischa niangamie maana umekuwa sehemu Yangu maana umesema hata nijapopita katika blonde la uvuri wa mauti utakuwa na Mimi kuniokoa maana mkono wako Bwana Si mfupi hata ushindwe kuokoa nijapo pita kwenye maji mengi hayata nigharikisha maana wewe hujali Wala husinzii. Uliye. Mlinzi wa Islaeri Nakupenda Yesu Wangu❤❤❤❤❤
Nikisikiza huu nyumba nakumbuka mwanangu niliyempoteza 2021 akiwa na mwaka moja na nusu ,nikiusikiza Kila mara namwomba Mungu anisamehe dhambi zangu na amlaze mahali pema peponi .😢❤❤❤
Anyone 2024 listening to these song.... Amen 🙏🙏🙏🙏
Mm apa july 2024
Am here... amen
Mimi pia October..........amen❤❤❤❤❤❤❤🎉❤🎉
Babangu alikuwa anapenda kuimba huu wimbo kila siku usiku before alale nikitambo sana kama bado niko mdogo lakini bado nakumbuka hangelala bila kuimba huu wimbo...continue resting in peace my dad...mimi nami pia siezi lala bila kuimba wimbo huu pia
❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢
Huo wimbo nauimba Kama maombi kwangu ❤
Getup☑️
@@AbnerMoturicomment
Huu wimbo umenitoa hadi machozi😭😭
Kila ninaposikiliza huu wimbo napata tumaini jipya katika maisha yangu👏👏👏👏
Bwana yesu asifiwe nashukuru mungu kwa umbali umenitoa umekuwa mwema mungu nisaidie mimi na nyumba yangu nikutumikie maishani yangu yote bila wewe mungu mimi ni bure kabisa praise God
Amen 🙏🙏
I just thank God for I came to this site .... Kwa hakika ni salama rohoni mwangu , let God just take control of my life
I just want God who opened my womb to held my hand and help me complete my building and make my family United again for we have stayed far from our father in law for long . He has stayed alone for long and his brother has been using his land for personal benefits ....
If we shall go home and stay as family I will sing this song again praising God
Mungu naomba tukaweze kua waminifu kwako na ukasikie maombi yetu
My Dad hangekosa kuimba hii wimbo daily.😢😢😢😢😢RIP DADDY Always in our hearts 😢😢😢😢
When I sing this song I find myself crying lakini najua kwamba bwana Yu katika sehemu yangu Kila mara
Neema Ya Bwana wetu Yesu kristu na iwe ndani yetu siku zote
Amen and Amen and Ameeen ❤🙏🙏🙏
Amina
Bwana Yesu asifiwe Mungu naomba ukae na Mimi siku zangu zote za maisha Nakushuru Mungu kwa umbali umenitoa na kufika hapa ni huruma zako MUNGU
Nimetembea Rafiki yangu leo ni mngojwa sana bali hii wimbo ndio imenijaa kwa roho, naimba nikimwangalia,Mungu mtia nguvu
This song brings me to tears, 1st time I heard it at my aunts burial, then my favorite cousin, then my grandpa💔. Now i sing it for worship I'm really healed n grown❤
Ukitembea na YESU hatakuacha pekee yako hatakwacha njiani katika hali zote atakua na wewe
Niongoze safarini mwangu mbeli unichukue mlangoni mwa mbingun niingie n ww bwana 😭😭🙏🙏
Wimbo wa kututia nguvu kwenye safari ya mbinguni bwana awe sehemu yetu mpaka tuingie mlangoni mwa mbingu.
Amina😢
Amiina
Pole sana Ndugu, Mwenyenzi Mungu ampe pumziko la Milele.
Utukufu kwa Yesu Kristo pekee kwa pendo lake kwetu. Lord Jesus Christ we thank you for your merciful 🙏
Hata nikipita katika nyakati ngumu najua nipo na wewe Yesu hiyo nischa niangamie maana umekuwa sehemu Yangu maana umesema hata nijapopita katika blonde la uvuri wa mauti utakuwa na Mimi kuniokoa maana mkono wako Bwana Si mfupi hata ushindwe kuokoa nijapo pita kwenye maji mengi hayata nigharikisha maana wewe hujali Wala husinzii. Uliye. Mlinzi wa Islaeri Nakupenda Yesu Wangu❤❤❤❤❤
Amen 🙏🙏
Pamoj naww Tatembea naww Amen. Mungu ni mwema ❤🎉
Nino usikiliza wimbo huu hua unanikumbusha mambo mengi sana ya kua siku yangu ya mwisho katika Dunia hii nitakuaje
MUNGU wetu ni mwaminifu hakika
Amen
Amen @@manubett2881
katika safari ya maisha yetu tembea nasi Bwana .... mpaka ujapo tena.
daaah nataman utakatifu mung nijalie ❤❤❤
Huu wimbo wanitia nguvu sana kuwa siko pekeangu katika safari, haijailishi wawindo ni kiasi Gani,glory to God
Who's here November 2024 pita na like every hour umerudi hapa❤❤
Nkikumbuka wimbo huu nakumbuka mtoto wa bro 2liyempoteza last year may his soul rest in peace
In kenya, our president loves this song lakini hatembei na yesuu😭😭
Don't judge him one day he will correct his ways, hatuishi huku
That's why you're a priest there
Imagine❤
Ee Bwana Yesu usiniache katika safari yangu ya maisha bila wewe mimi siwezi niongoze wewe peke yangu
Nikisikiza huu nyumba nakumbuka mwanangu niliyempoteza 2021 akiwa na mwaka moja na nusu ,nikiusikiza Kila mara namwomba Mungu anisamehe dhambi zangu na amlaze mahali pema peponi .😢❤❤❤
Nyimbo *
Ni mbinguni
I love this song very much. It blesses my soul a lot!
Whenever l listen or sing the song l feel the presence of God in me
How do you sing this song without you crying 😢😢coz daaamn😭😭😭have been chopping onions for the last few hours😭😭😭
Uinuliwe mfalme wetu yesu kristo,usiyetuacha katika safari yetu ya imani
Every time I hear this song i remember far ... thanks Lord for everything 🙏🙏🙏🙏😭
Dear Lord! I always need your guidance and protection as Im northiñg without you.
Thanks, you lord for being with me in my journey amen
Imana irre inaha umugisha kk indirimbo za yu zirapfasha zikanyubaka🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🩷👍
The song is more inspiring 🙏🙏🙏🙏🙏
I feel am moved always when I listen to this song❤
Halle luyah,, praise the Lord 🙏🙏
Nikisikiliza hii Wimbo nakumbuka uncle yangu aligarh 2024
Did you see your inquiry
Ubarikiwe sàna 🙏🙏🙏
Kila ninasikiliza huu wimbo nakumbuka ajali iliyompata babangu naakatucha rest in my dear father 2007
Am in deep pain ooh lord remember me 😭😭😭😭😭😭🙏😭
May God comfort you my sister
So sorry utakua sawa mama
@@nicehonesty912 thanks dear be blessed
Who is here today
Mungu ni murikie mwanga wa baraka juu yangu eeeh jehova
Tubalikiwe pamoja bwna usehemu yangu ita nawwe bwana imba nawwe mpendwa haijalish unapitia nn Ila imba TU bwana usehemu yang
Kipekee hua nymbo hii inanigusa snap maana mwangu alipo pokea kipaimala asee jaman achen tu mungu aitwe mungu wapendw nashindwa hat nielezeeje achen
The song blessed me so much
We singing this song with my dad at midnyt I'm telling you it's un believable with the house keyboard ata usingizi inapotea
Who is here September 2024.. Blessings 🙏
Me at20sept2024
Me Oct
Am here ...amen❤❤
Nimebarikiwa saaana
Kila.saa.nakuita.baba.yangu.mungu.usiye.lala.wala.kucinzia.naiman..ntatembea.ba.ww.cku.zote.za.maisha.yangu.Ameen.nampenda.mungu.mana.yy.ndie.nuru.yangu
Ameen and Ameen
Tembea .namimi bwana mahili hapa sikutaka bwana naomba unufushe rafiki yangu
Amen BWANA U SEHEMU YANGU
This song touch my soul❤❤❤
I like this song
This reminds me of my late sister only Ursila J in the village
Glory to the most High. Amen
Nzur sanaaa
pamoja na wewe yesu
Pamoja nawewe,pamoja na Wewe katika safari yangu natembeya nawewe
Dedicate this to song to zolaa continue resting bro
❤❤Niki sikiya hu wibo nasikiya bwana yuko na mimi
Forever in our hearts continue resting in peace shosh 😭😭💔🕊️
My favorite song ❤🙏
Ubarikiwe sana
Katika ulimwengu huwezi lolote bila kuwa pamoja na Yesu
Hakika yesu pekee ndiye rafiki❤ wa kweli
💝💖💗💞💕 Welcome Holy Spirit, I love you❤❤❤
Bwana kuwa nami katika safari yangu tembea na mm
Mungu wangu ni wewe tu
God is great
This song touched me❤❤❤
blessed song
thanks.
Hallelujah I love this song
Asantee 🙏 Mungu
I remember when I was married me and my house girl we was sing this song
Easter
Wow it's great to ear❤❤
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
this reminds of my mum's burial,
Any one who listens to this song everymorning❤❤
And before i sleep😢
Thank you dear God 😘 💕 ❤️ 💖
Près de toi près toi, merci seigneur sans toi je ne rien
Hallelujah God of Mercy
Best song
Kila ninaposikiliza huu wimbo nakumbuka babangu aliyeaga 2021
Good song especially in times distress.
Nikiimba huu wimbo natoka machozi ya furaha
Pamoja na wewe Mungu wangu
Peace be with you
Amen
Amen Mbalikie 🙏🙏🙏🙏
Glory to God ❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nyimbo nzuri sana. Ni number ngapi ndani ya nyimbo za wokovu
Katika safari yangu na tatempea na wewe
Asanteeee munguu❤
❤Amen 🙏 🙌