RAISI WA ZANZIBAR DR KHUSEN ALLY MWINYI HAYUKO SAWA KATIKA HILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 61

  • @WahidYahya-bf4lq
    @WahidYahya-bf4lq ปีที่แล้ว +1

    Wewe humjui mwinyi. Hawezi kuajiri CCM yoyote asie na sifa ya kuajiriwa sana sana atakua mlinzi labda

  • @salehal-oufy5380
    @salehal-oufy5380 ปีที่แล้ว +1

    Huyu raisi sio MUADILIFU halafu wanamwita mchamungu kweli watu weusi hawana AKILI

  • @isaliisu3408
    @isaliisu3408 ปีที่แล้ว +3

    Hivyo ndiyo ilivyo miaka yote walikuwa hawasemi tu

  • @rahmajaffar794
    @rahmajaffar794 ปีที่แล้ว +1

    Uadilifu kwenye ajira angeunda tume ikafanya assessment kila nyumba ina watu wangapi ? Wangapi waloajiriwa wangapi bado? Wasioajiriwa kiwango chao Cha elimu ,gani au ujuzi waLionao ni upi? Baadae wakaangalia mahitaji yao ya ajira wanahitaji watu wangapi hapo wangepata watu wenye ufanisi. Na uchumi wa nchi ungekuwa na baraka ingeingia lakini kinyume chake ni kupunguza ufanisi makazini na kudhoofisha uchumi..Mungu atusamehe na atuongoze tusiwe katika kaumu za mujahilina. atujaalie tuwe wapenda haki na uadilifu. Na endapo akiwepo mwenzetu anakosea tumkumbushe ili tujitoe katika dhima na aneambiwa ni juu yake kufuata miongozo ya Mungu wake au ya nafsi yake mwisho wa siku malipo ni kwa Mungu

  • @rashidiharoun4908
    @rashidiharoun4908 ปีที่แล้ว +2

    Ah yaani jamani si kila kitu mukitolee ufafanuzi,ivi nikuulize kwani serikali yetu ni ya chama gani,ivi kwanini makka uwe ndo mji mtukufu,ivi kwanini uislamu ndo dini ya haki na isiwe dini nyengine,kwaiyo kama huseni chama chake ni CCM na kapigiwa kura na Wana CCM na waliokuwa wakipiga makofi na kuhangaika huku na kule ni Wana CCM hivi Kuna ubaya gani akawapa kipaumbele vijana wa CCM ivi waafrika hususana wazanzibar tuna nini mbona hampendi kujituma kiakili😂

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 ปีที่แล้ว +3

    hakuna kuleta ubaguzi ktk nchi hii , hii nchi ni yetu sote

  • @khamisseif9775
    @khamisseif9775 ปีที่แล้ว

    Kaka uko sawa hujakosea hata kidogo Zanzibar hupati ajira kama hujawa mwana ccm na haya hayajaanza Leo yapo Toka zamani

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 ปีที่แล้ว +1

    Ccm.bado.mnaamini.mna.uwezo.wa.kuongonza.watanzania?

  • @mcnuhu
    @mcnuhu ปีที่แล้ว +1

    Asalam Aleikum, ndugu yangu huu ujumbe wako hauko sahihi,hicho unachokieleza ulishindwa kutambua Raisi anaongea na akina nani,Nilifikiria uko sahihi wakati ukituma hii clip,ila baada ya kutoa kipande cha hutiba ya Rais,hapo ndipo,nimeona kuwa ndugu yangu hujui protocol za hutuba zinakuwaje, hapo Rais anongoongea na wana CCM tu,na kama angalikuwa anaongea na watanzania wote,kama vile anavyofanya kila mwezi,suala la ajira angelizunguzia kivyengine ili kuonyesha kwa kunufaika kwa watanzania wote,nakuomba futa hii clip yako sababu haina mshiko.

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 ปีที่แล้ว +1

    Hao kawajibu kisiasa kwanza wanachama wa ccm wengi wao hawakusoma vijana walosoma wengi wapenzani hususani zazibry na pemba na wapemba kwanza wanakipaji cha kusoma pale kwetu zanzibry vijana wengi wanashuhulika na ngoma angalia vikundi viya ngoma wapigangoma wamezaliwa wapi

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 ปีที่แล้ว +2

    IKISHA ANAPITA MISIKITINI AOMBEWE DUA, WAKATI DHULMA IMO KTK MOYO WAKE NA HANA MAPENZI NA ALIYEMUUMBA!

  • @SeifYusuph-sb8bv
    @SeifYusuph-sb8bv ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ndio sawa muamba ngoma huvutia kwake

  • @alluabdallah6893
    @alluabdallah6893 ปีที่แล้ว

    yaani upo swa kaka hii nchi ni mazingaombwe matupu

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 ปีที่แล้ว +1

    Rais hajakosea kuwalisha watoto wake kwanza baadae ndio wa jirani

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 ปีที่แล้ว +1

    Ni mjadala mrefu kwa sababu Serikali inaongozwa kwa ILANI ya chama sasa utamuajili vipi mtu asiyetekeleza Ilani. Mbona hujauliza kwa nini hutakuwa Rais, Mbunge, Waziri kama huna chama cha siasa? Yetu pamoja ni nchi Serikali ni mali ya chama na ndio vyama huigombania, kama Serikali ni wote kumbe vyama hugombeana nini.

    • @mohamedatismail
      @mohamedatismail ปีที่แล้ว

      Sio "... utamuajili..." mpumbavu wee. Kis'ahili ni ...UTAMAUJIRI...

  • @saidsheha-wn4qw
    @saidsheha-wn4qw ปีที่แล้ว

    Broo uko sawa kabisa. Bwana mkubwa amekosea.

  • @fundiumeme-siasa.2692
    @fundiumeme-siasa.2692 ปีที่แล้ว +1

    Mimi naona Raisi ameongea sawa ila wewe hukumuelewa kabisa

  • @jumajuma3337
    @jumajuma3337 ปีที่แล้ว

    raisi wangu hapo hujafanya vyema doh ajira sasa ajira zinaenda kwa wana ccm hatari sasa ajira zi za ccm hatari sanaa

  • @alyspare4850
    @alyspare4850 ปีที่แล้ว +1

    Fact

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab ปีที่แล้ว

    HiVi Miradi ya CUf sijui ndio ACT kwa mfano wakiwa na miradi yao hivi unadhani watanufaika Wa chadema au CCM?hebu funueni bongo zenu wacheni ushabiki

  • @OmaryAbdallah-dy6qm
    @OmaryAbdallah-dy6qm ปีที่แล้ว +1

    😂vijana tupambane na halizetu hakun ccm wala chama pinzani" ajira hakuna"

    • @muddygaston1671
      @muddygaston1671 ปีที่แล้ว

      kamsikilize roma nipe maua yangu kuna bet inakuhusu

  • @alijuma8009
    @alijuma8009 ปีที่แล้ว +1

    💯

  • @Saidsalumpandu
    @Saidsalumpandu ปีที่แล้ว +1

    Hee baba ajira mpaka uwe ccm leo

  • @masudbasra566
    @masudbasra566 ปีที่แล้ว

    Sheikh achana mambo ya zanzibar ataletewa mazombi kama mzee shamte utafinya mpaka ukome

  • @amanafi1288
    @amanafi1288 ปีที่แล้ว +1

    Wee unataka aongee nn ndn ya Chama chakee... Chiizz wee

    • @msabahaali758
      @msabahaali758 ปีที่แล้ว +1

      wewe ndio chiz hii nchi ya kila mtu

    • @amanafi1288
      @amanafi1288 ปีที่แล้ว

      @@msabahaali758 Kalaghabhakhoo...!

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab ปีที่แล้ว +1

      Tatizo ufahamu brother mijitu haina ufahamu zaidi ya kutaka kupotosha tu

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab ปีที่แล้ว

      ​@@msabahaali758 Nyinyi ni vilaza ,Muheshimiwa amekwenda kutembelea miradi ya Chama chake ambacho ni CCM ,na hizo ajira alizozizungumza ni katika miradi ya CCM sasa inapokamilika unadhani nani watakuwa wahusika?kama sio wenyewe CCM?

  • @suleimansaid2633
    @suleimansaid2633 ปีที่แล้ว

    Tusubiri uchaguzi 2025 mtapata ajira na heshima mtakuanayo.

  • @salamakassim-ro1dm
    @salamakassim-ro1dm ปีที่แล้ว

    Wee mzee acha izooo

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 ปีที่แล้ว +1

    Sasa yeye hapo s kazungumzia chama chakee

  • @saidKhamis-ut3bl
    @saidKhamis-ut3bl ปีที่แล้ว

    SEMA na njaa zako pale rahisi alizungumza kama kiongozi wa chama na ajira alizokusudia kutoka katika vyanzo vya ajira vya ccm Sasa ww inakuchoma wapi

  • @ayubislam2130
    @ayubislam2130 ปีที่แล้ว

    Yaan huyu jamaa anamatatzoo pumb tupu

  • @allyhemed2434
    @allyhemed2434 ปีที่แล้ว

    Ubaguzi

  • @rommyshabby3959
    @rommyshabby3959 ปีที่แล้ว +1

    Kigogo

    • @zuzadomikano3765
      @zuzadomikano3765 ปีที่แล้ว

      DR.Mwinyi anahaki kwakauliyake lazima amuenzi MAGUFURI na asie penna na akushiriki KUMWAGA DAMU ZA WA ZANZIBARI HUYO SIO KATIKA MRENGO WAKE ,ILI 2025 BILA KUA KATIKA SAFUYAKE ATACHUKUA URAISI NANDIO MTAMJUA KUNGUNI ZOTE ZA ZANZIBARI NA VIROBOTO VYA VYAMA VINGINE ....

    • @MaryamAbdi-sq2jx
      @MaryamAbdi-sq2jx ปีที่แล้ว

      Hujamuelewa tu Ile ni offer t. Come on.

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 ปีที่แล้ว

    Kumekuchaaa!!!!😢

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab ปีที่แล้ว

    MBONA NI WAPOTOSHAJI NYINYI?RAISI ALIKUWA KATIKA ZIARA YA CHAMA CHAKE CHA CCM,ALIKUWA ANATEMBELEA MIRADI YA CCM,ANAZUNGUMZA NA WANA CCM SASA KUWAAHIDI AJIRA KATIKA MIRADI YA CCM KUNA UBAYA GANI?AU WAPI ALIPOKOSEA?MUNAPOTAKA KUTAKA KUPOTOSHA WANANCHI KWANZA MUTENGENEZE HOJA.KISHA NDIO MUJE MBELE YA CAMERA...MJUE TU HUSSEN MWINYI NI RAISI ILA ANA CHAMA CHAKE.

  • @princesaha3262
    @princesaha3262 ปีที่แล้ว

    Kwa hyo kama c mwanaccm hupati ajira??

    • @rashidiharoun4908
      @rashidiharoun4908 ปีที่แล้ว

      Ndo jiulizeni na ufinyu wenu wa akili kwani walio ajiriwa wote ni CCM

  • @arsenalzanzibar2413
    @arsenalzanzibar2413 ปีที่แล้ว

    Waliokuwa Na Akili Ndogo Ndío Wanakimbilia Kwenye CCM Cuz Wapate Ajira.

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 ปีที่แล้ว

    Kwani lazima ajira upewe na serikali si mtu skafanye biashara yake.

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 ปีที่แล้ว

    Mbona Zanzibar ajira km huna kadi y ccm hupewi kazi viongozi wa Serekali wote kwanzia sheha adi raisi ccm kasoro hao mawaziri wa 2 so Ccm ndio mana wanawekana wasokua n elimu n kazi ccm ndio aduwi wa maendeleo 😂😂😂

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 ปีที่แล้ว

    Huna hoja yoyote ajira siserikali tu hata kwenye chama cha mapinduzi niajira .Hujuwi sasa mheshimiwaRais wa Zanzibar nimakamu wa mwenyekiti wa CCM taifa kutoka,Zanzibar.!!!Unajua ajira ni serikalini tu hata CCM inaajiri watumishi .Unaumia nini acha uwanaharakati ya kijinga .Huna chakusema wewe kaa,kimya

    • @cath-ef7wd
      @cath-ef7wd ปีที่แล้ว

      Wewe fudu sheikh anasema kweli haifai ni dhambi.

  • @mohamedatismail
    @mohamedatismail ปีที่แล้ว +1

    Bora ujifundishe Kiswahili kwanza. Umekosea mengi katika clip yako lakini sio tatizo kwa sababu wewe sio wa kabila la Kiswahili. Kubwa kuliko yote ni hili - "haswa" kwa lugha yetu sisi Waswahili ni uchi wa mwanamme. Nadhani ulichotaka kusema ni HASA ambalo linatamkwa "has'a" sio HASWA. Sisi Was'ahili tunapenda matumizi sahihi ya lugha yetu ambayo pia ni lugha ya taifa letu adhimu.

    • @mwigaadam1179
      @mwigaadam1179 ปีที่แล้ว

      Changua hoja ya nsibgi HAKUNA anaejuwa kiswahili site tunamakosa yakikugha,kisaruf matamshi nk

    • @mohamedatismail
      @mohamedatismail ปีที่แล้ว

      @@mwigaadam1179 Ama kweli hujui Kis'ahili, ndio maana hujauelewa mchango wangu. Sikulaumu.

    • @janerouhassanjanerou7933
      @janerouhassanjanerou7933 ปีที่แล้ว

      ndio nini iki!

    • @mohamedatismail
      @mohamedatismail ปีที่แล้ว

      @@janerouhassanjanerou7933 Weee mpumbavu wee. Kis'ahili tunasema HIKI sio "iki".

    • @janerouhassanjanerou7933
      @janerouhassanjanerou7933 ปีที่แล้ว

      @@mohamedatismail mpumbavu mama yako kumamamamayo mi apa sija muita mtu mpumbavu usilete kujua hapa kua na heshima narudia tena mpumbavu mama yako aliekuzalia mkunduni