Wimbo unaonikumbusha upendo wa Mungu hata wakati kuna mawimbi maishani mwetu... kimbilio letu na msaada wetu wa karibu wakati wa shida...Zaburi 46.. Amen
Amen.. Psalm 46 Psalms 46 1. God is our refuge and strength, A very present help in trouble. 2. Therefore we will not fear, Even though the earth be removed, And though the mountains be carried into the midst of the sea; 3. Though its waters roar and be troubled, Though the mountains shake with its swelling. 4. There is a river whose streams shall make glad the city of God, The holy place of the tabernacle of the Most High. 5. God is in the midst of her, she shall not be moved; God shall help her, just at the break of dawn.
Awesome worship. God created us to just worship him. Praise, praise, praise.. barikiweni Sana Wana chang'ombe choir.. God is using you to heal the heart broken people
Nakumbuka enzi hizo nilikuwa nikichelewa kwenye video lazima nile bakora😢😢😢 kwasababu ya hizi nyimbo za AIC , ,watoto waliokulia kwa mama zao hawawezi kujua tabu tulizopata sisi tulioishi nyumba za watu
Hakika Mungu wetu ni kimbilio nyakati zote. Ndugu wapendwa A.I.C Chang'ombe mnaubariki moyo wangu mno.
Wimbo unaonikumbusha upendo wa Mungu hata wakati kuna mawimbi maishani mwetu... kimbilio letu na msaada wetu wa karibu wakati wa shida...Zaburi 46.. Amen
Amen.. Psalm 46
Psalms 46
1. God is our refuge and strength, A very present help in trouble.
2. Therefore we will not fear, Even though the earth be removed, And though the mountains be carried into the midst of the sea;
3. Though its waters roar and be troubled, Though the mountains shake with its swelling.
4. There is a river whose streams shall make glad the city of God, The holy place of the tabernacle of the Most High.
5. God is in the midst of her, she shall not be moved; God shall help her, just at the break of dawn.
Nothing will stop me from listening to this song daily,I say nothing will stop me
Ooooh Praise Jesus
Ijapobadilika nchi, ijapotetemeka milima
Mungu kwetu sisi ni kimbilio na msaada...hhahahhaah asante Baba
Great song. I still watching this until now. Who is watching this in 2019?
Me
saf sana
Still watching in 2022
Am still watching 2023 July nothing can explain how much I love this song ❣️
Nothing can explain how much I love this song
Hi poa
Zaburi46 ❤ nimesoma hiko kitabu, nikaukumbuka huu wimbo ikabidi niutafte, nizidi kukazia maarifa na kubarikiwa.
Barikiwa sana🎉
❤mabaya huja...mabaya hupita❤❤
I am still watching 2020
August 2020 still
May God bless this choir, I really enjoy these songs
Mungu hawabariki sana
May God bless you guys
Such a wonderful song ❤️❤️❤️
best raggae gossiple ever
Bado nabarikiwa huku na huu wimbo....may God always bless you great singers
Amina. YESU KRISTO pekee ndiye msaada na mlinzi wetu, siku zote nyakati zote. Amina
The song hits different even today
Hiiiii ngoma nipenda sana toka 2010 nimeangalia nikiw mdog na leo 2023
pamoja sana🔥🤛hizi nyimbo nilizosikiliza nikiwa mdogo sjawahi kuzisahau
Hakika Mungu ni kimbilio letu hata sasa.@kenya
Awesome worship. God created us to just worship him. Praise, praise, praise.. barikiweni Sana Wana chang'ombe choir.. God is using you to heal the heart broken people
Ubarikiwe Kwa wimbo mzuri kaka
Amen may God bless 2024
Nilianza kuskiza huu wimbo nikiwa msichana,na Hadi waleo naendelea kuskiza
This song revives me❤❤❤
Hii kwaya inabariki sana kusikiliza
Powerfull ministers
My fav song among their songs❤
2024
Spirit filled song. The message is clear and well presented in that reggae style. God bless. 2021
Aki mmetoka mbali mungu azidi kuwainua zaidi
My faviourest song it blessed me alot I can't do without hearing it woow keep on banning
Music we grew up listening to❤
Zaman walikuwa wanaimba hakuna mfano, sahv kwishaaa!
Wooow wonderful song
It's Reggae Music,
I love it!!!!!!!!!!!!!!!
I always appreciate your work strengthen by our almighty God!.👏
I love this song God bless you
2022 still the best song ...Mungu awabariki
ameen nabarikiwa sana
How glorious is this Mighty Name Jesus christ my Lord and saviour
❤❤
Wimbo wngu pendwa muda ote 19.November 2024🇹🇿
Powerful song
God bless you more
2021 and still the song rock's...Mungu kwetu sisi kimbilio letu...
My favorite song all thedayz
My favourite Choir group of all the years.
Where are they now?. I miss their songs
Mbarikiwe wana wa Mungu
Reminds me of the year this whole choir visited AIC Ziwani, Nairobi. Good memories.
and they sang a certain song an we were all in tears a blessed choir its is
I Love it
i real like these...reminding me my Mother church
This song really blesses me,av sung it so many times till I got all the lyrics
Of course our God is able
it's 2023 s till watching this
Ooh yes....
I'm still watching 2024
Mungu awabali muri imba vizuri sana
Lakini kwenu ninyi mnaolicha jina la BWANA, jua la haki litawazukia Malaki 4:2
I really love their songs moreso this one where did you go
🔥 2 date
Amen
Nakumbuka enzi hizo nilikuwa nikichelewa kwenye video lazima nile bakora😢😢😢 kwasababu ya hizi nyimbo za AIC , ,watoto waliokulia kwa mama zao hawawezi kujua tabu tulizopata sisi tulioishi nyumba za watu
Awesome
❣❣❣
2021 🔥🔥🔥
😩😩🙏
2022 tujuane jmn
nice sing
miaka 14 iliyopita mpaka leo bado inapendeza sana
2022 January nabarikiwa
I always feel one of them
good song
😍😍😍😍😍😘😘😘😘
🙏🏻❤️❤️🔥 2021
this is great can i get a copy at ndutionestop studio in Kenya?
🙏🙏🙏2024
Namsaada wetu
+255....Mungu kwangu mm in kimbilio la nguvu... msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.....
Nyimbo zenu zote huwa zinanibariki saaana
psalm 46
spiritual song
mnaimba vizuri ila, sauti ya besi ndiyo haisikiki hatakidogo.
base yote hiyo then unasema haisikiki!
Amen