WIMBO WA MARAFIKI LOWASSA ULIVYOONGEZA MAJONZI MSIBANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • 🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 767 400402)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

ความคิดเห็น • 101

  • @masikitikomwakyonde1259
    @masikitikomwakyonde1259 8 หลายเดือนก่อน +6

    For sure tuache utani Huyu Mzee kagusa watu Wengi mmi binafsi nimefahamia MONDULI TEACHERS'COLLEGE alikuwa mstari wa mbele mno Kwa maendeleo ya Elimu na ujenzi wa makanisa,misikiti na kujitoa pia akuwa na tamaa Bali alizika na Mali walizokuwa nazo alipogombea urahisi nikafurahi mno nilijua Nchi ya Tanzania imepata mtu mwenye kujali watu because any leader without WISDOM it NOTHING .Huyu Mzee alikuwa na HEKIMA MNO uraisi ailitaka tu kukidhi mahitaji ya watanzani MWENYEZI MUNGU ni kweli Kila mwadamu anamspungufu nakuomba msamehe Huyu Mzee huko aendako Amina RIP MY SUPER MAN LOWASA.

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 8 หลายเดือนก่อน +14

    Mama bahati sauti yako Mungu awabaliki wote waimbaji

  • @rosemaryhamilton5700
    @rosemaryhamilton5700 8 หลายเดือนก่อน +7

    Bukuku big up , the voice ooh Lord

  • @Mecktilida
    @Mecktilida 8 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu awabariki sana waimbaji wote pumzika kwa amani shujaa wetu😭😭😭

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bahati Bukuku Ana nguvu ya MUNGU ndani yake inayotokana na Utakatifu na maombi ndio maana ameimba kwa UWEPO MZITO WA JEHOVAH MUNGU kawafunika wote wa mbeya mwenzangu

  • @madam-florensialutego
    @madam-florensialutego 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu Awabariki waimbaji wote mlioweza kufka kufariji familia ya ndugu hayati Edward Ngoyai lowassa

  • @msabatozeson9023
    @msabatozeson9023 8 หลายเดือนก่อน +7

    Bahati bukuku unabalaa sanaaa! Sio kwa Sauti hiyooo duh

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 8 หลายเดือนก่อน +7

    Bahati bukuku dada yangu kutoka mbeya umewafunika wote
    ...sauti kutoka rama rahel analilia watoto wake ,mstari safi kutoka kwenye BIBLIA TAKATIFU

  • @patchomwamba9529
    @patchomwamba9529 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mama bahati Mungu azidid kukupa kubali zaidi hakika unakitu

  • @Kanyawela
    @Kanyawela 8 หลายเดือนก่อน +3

    Kipaumbele1. Elimu,kipaumbele Cha pili Elimu na kipengele Cha tatu Elimu aise uyu Mzee rowa ahhaaa

  • @sabrinamwakyusa4501
    @sabrinamwakyusa4501 8 หลายเดือนก่อน

    bahati bukuku umetishaaaaaaaaaaaa❤❤❤

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 8 หลายเดือนก่อน

    Bahati bukuku dada yangu yaani unajua tena unajua sana uko ROHONI...Sauti toka rama raheli akililia watoto wake ...YEREMIA 31:15

  • @yunisluvanga4211
    @yunisluvanga4211 8 หลายเดือนก่อน

    Bukuku roho wa mungu yupo ndani yako ongela saana mungu akupiganie umeimba vzuuri mnooooo

  • @SaadaNdaro
    @SaadaNdaro 8 หลายเดือนก่อน

    Bahati sauti nzuri Sana na kwa mungu inaonyesha uko mnyenyekevu ongera dd

  • @vagashappnecy4850
    @vagashappnecy4850 8 หลายเดือนก่อน +2

    Bahati bukuku ❤

  • @ElizabethMitaron
    @ElizabethMitaron 8 หลายเดือนก่อน

    Bahati bukuku nailed it 😢😢

  • @josephinenyangi9484
    @josephinenyangi9484 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wote wanasauti na wameimba vizuri

  • @jaquilinekivunge331
    @jaquilinekivunge331 8 หลายเดือนก่อน +4

    Bahatiii una sauti mama

  • @WastaraHamisi
    @WastaraHamisi 8 หลายเดือนก่อน

    Polen sana

  • @witnessnelson4807
    @witnessnelson4807 8 หลายเดือนก่อน +3

    Nitakukumbuka kwa mema uliyotutendea wanafunzi wa Manyara miaka ya 2000 ulitupenda nakujali afya zetu kula yetu na hata elimu yetu. Pumzika Babu.....

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ulale pema EDUWADI ngoyay Lowasa R.l.P.,💔💔💔💔😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😭😭😭😭LOWASA

  • @happynkya9770
    @happynkya9770 8 หลายเดือนก่อน +1

    bukuku ❤❤❤

  • @AnasataziaEliasi
    @AnasataziaEliasi 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akupe pumuzik la milele siku zote 😭😭😭😭

  • @memoryngambi7570
    @memoryngambi7570 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awabariki

  • @miriammollel1755
    @miriammollel1755 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmmmh Bahati Bukuku ❤❤❤

  • @pendo8082
    @pendo8082 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bukuku❤❤❤

  • @Benjaminkakamasha662
    @Benjaminkakamasha662 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hyo sauti ya bukuku ingekatwa naye aongezea maneno machache autegeze wimbo mpya mkubwa

  • @oliversanga2681
    @oliversanga2681 8 หลายเดือนก่อน

    R.i.p Lowasa. Bahati ❤

  • @NeemaMbingamno-y9r
    @NeemaMbingamno-y9r 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki Kwa faraja zenu

  • @Christina-b5f
    @Christina-b5f 8 หลายเดือนก่อน

    bahati bukuku ❤❤❤mchungaji wangu

  • @queenmapunda7868
    @queenmapunda7868 8 หลายเดือนก่อน +1

    Pumzika kwa amani Mzee wetu.Waimbaji mmeomboleza kwa kweli.tupo pamoja

  • @stellawillison1148
    @stellawillison1148 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki waimbaji

  • @glorynamwenje5816
    @glorynamwenje5816 8 หลายเดือนก่อน

    Bahati Bukuku 🔥🔥Mungu awabariki na waimbaji wote!!

  • @VeronicaSalvertory
    @VeronicaSalvertory 8 หลายเดือนก่อน

    Nzuri Sana

  • @official_dicksonmunga
    @official_dicksonmunga 8 หลายเดือนก่อน +4

    Sikutegemea kumkuta bahati Bukuku na Nay wa mitego kwenye ngoma moja 🤔

    • @officialshelomwangole256
      @officialshelomwangole256 8 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅😂😂 Lakini Kwa Nini tuchekeshane na haya ni maomboleza daaah my country people🙌🙌🙌

    • @tanzcanmediatv4473
      @tanzcanmediatv4473 8 หลายเดือนก่อน

      Wifi yangu huyo jamani🎉🎉🎉

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nasubiri ngoma ya Ney wa Mitego ikisena Lowasa waambie uliyoyaacha huku.

  • @EdinaMwaisumo-cg3mi
    @EdinaMwaisumo-cg3mi 8 หลายเดือนก่อน

    Umelala yooo

  • @JacklineMwaleleka
    @JacklineMwaleleka 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bahati sauti Yako imenifanya mwili wangu usisimke

  • @kissamwaibila
    @kissamwaibila 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nakumbuka bahati ktk kampeni kipindi Cha lowasa

  • @gaudiosamweha1792
    @gaudiosamweha1792 8 หลายเดือนก่อน

    Jmn bahat bukuku ameimba Kwa machungu zaidi, alimpendaga mno had ktk majukwaa ya kampeni alikua anamnadi Kwa nyimbo hata mwanga alikuja bahat bukuku 2015 .

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 8 หลายเดือนก่อน

    Lala Salama baba yetu🙏

  • @JudicaelleGatali
    @JudicaelleGatali 8 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzur

  • @LehaAloyce-eu9bg
    @LehaAloyce-eu9bg 8 หลายเดือนก่อน

    Pole familia ya lowasa

  • @oscarulotu9878
    @oscarulotu9878 8 หลายเดือนก่อน

    Baba hajawahi kumjibu mtu vibaya hata kama umemtendea mabaya, ila alistahili kupewa maua yake akiwa hai, pumzika baba mzalendo wa kweli LOWASA

  • @elizalutiga6287
    @elizalutiga6287 8 หลายเดือนก่อน

    Daaaaaaaaah

  • @DionisiaBaynit
    @DionisiaBaynit 8 หลายเดือนก่อน +2

    Dah bukuku sauti nzr sn

  • @SMG224
    @SMG224 8 หลายเดือนก่อน

    Pumzika kwa Aman baba hatuna jinsi 😭😭😭

  • @SalomeClaytony-lj1hd
    @SalomeClaytony-lj1hd 8 หลายเดือนก่อน

    Nenda salama baba 😭😭😭😭

  • @catherinejoram776
    @catherinejoram776 8 หลายเดือนก่อน

    Nakukubal sana bahat bukuku nataman niimbe pia kwa viwango ulivyonavyo

  • @Benjaminkakamasha662
    @Benjaminkakamasha662 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bukuku amefanya vizuri kwenye kuimba hapo

  • @neemamabena-xx5er
    @neemamabena-xx5er 8 หลายเดือนก่อน

    Ney wangu

  • @sekundasemali5487
    @sekundasemali5487 8 หลายเดือนก่อน

    Pumzika kwa Aman Shujaa.Hapa dunian tu wapitaji tu na mbinguni tutarejea.

  • @NeemaNuru-w1n
    @NeemaNuru-w1n 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mch Bahati kafunika balaaa

  • @LehaAloyce-eu9bg
    @LehaAloyce-eu9bg 8 หลายเดือนก่อน

    Pole family

  • @manyangadavid7009
    @manyangadavid7009 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli!! ishi udharauliwe, kufa usifiwe

  • @SaadaNdaro
    @SaadaNdaro 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bukuuku unaomba vizuli

  • @kijanisaini5688
    @kijanisaini5688 8 หลายเดือนก่อน +3

    Bukuku dah

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 8 หลายเดือนก่อน +2

    Furora mbasha upo

  • @alhajiabedi3314
    @alhajiabedi3314 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nyimbo ni nzr lakin kwani kila ki2 lazima mutaje MAMA

    • @philemonmagesa5548
      @philemonmagesa5548 8 หลายเดือนก่อน

      Yani hata namm najiuliza mama ameingiaje kwann asingemtaja mke wake?

  • @AlexAminieli
    @AlexAminieli 8 หลายเดือนก่อน

    Nakubali mama yangu bahati bukuku

  • @lakiabalozi5633
    @lakiabalozi5633 8 หลายเดือนก่อน

    Hapo nimemwelewa mbasha na shusho,bahati na hawa wakiume

  • @KaboraPilimo
    @KaboraPilimo 8 หลายเดือนก่อน

    Hongeren xana nyimbo nzuuriii mnooo

  • @RehemaMichael-fz8qs
    @RehemaMichael-fz8qs 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ney mpole leo

  • @YusuphTelana
    @YusuphTelana 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ney wa mitego😅

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 8 หลายเดือนก่อน

    Shusho uko salama kweli nawasws na uimbaji wako na sidhani kama ukosawa kabisaaaa yaani siku ya mwisho tutabakia midomo wazi mh

  • @RahelIdiphonce
    @RahelIdiphonce 8 หลายเดือนก่อน

    Kwa heri baba etu jamani

  • @AksaWilliam-kt5mk
    @AksaWilliam-kt5mk 8 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭,MUNGU NA ATOE FARAJA YA PEKEE KWA FAMILIA

  • @Manujlaizer-hk1if
    @Manujlaizer-hk1if 8 หลายเดือนก่อน

    Inaegua machizi mungu ailaze roho Yake mahala pema

  • @DavidDeheroDehero
    @DavidDeheroDehero 8 หลายเดือนก่อน

    Hatareee bahati

  • @official_neemamlay180tz
    @official_neemamlay180tz 8 หลายเดือนก่อน

    😢😢

  • @loserianisaitoti
    @loserianisaitoti 8 หลายเดือนก่อน

    nikweli Kasi yamungu haina makosa bb pumzika kwa amani

  • @DenisChristopher-g8y
    @DenisChristopher-g8y 8 หลายเดือนก่อน

    Muuu jaman majonzi Kwa wa Tanzania wote

  • @LevinaNfinix
    @LevinaNfinix 8 หลายเดือนก่อน

    Poleni jamani mbele yeti nyuma yake

  • @thomasogutu
    @thomasogutu 8 หลายเดือนก่อน

    Bahati bukuku katisha ajabu

  • @gladnesswazir-zz9lk
    @gladnesswazir-zz9lk 8 หลายเดือนก่อน

    R.i.p dady Lowasa 😭😭🤲🙏🙏🙏🙏

  • @beatricefredilick1646
    @beatricefredilick1646 8 หลายเดือนก่อน

    Pumzika kwa amani

  • @christinamlelwa2181
    @christinamlelwa2181 8 หลายเดือนก่อน

    Pumzika kwa amani baba

  • @rosekadzokillian9700
    @rosekadzokillian9700 8 หลายเดือนก่อน

    Rip

  • @dainangunda8392
    @dainangunda8392 7 หลายเดือนก่อน

    Bukuku na shusho

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 8 หลายเดือนก่อน

    Umetangulia Baba nenda kwa aman sis tupo nyuma yako

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa5548 8 หลายเดือนก่อน

    Nimefurahi kumuona rais wakitaa

  • @ruthdavie1175
    @ruthdavie1175 8 หลายเดือนก่อน +2

    Dada Bahati amewafunika

    • @lusticendokole9385
      @lusticendokole9385 8 หลายเดือนก่อน

      hawashindani😂

    • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
      @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@lusticendokole9385acha wivu mpuuzi wewe katoa mawazo yake kampongeza bahati bukuku ulitaka upongwzwe wewe na bichwa lako hilo

  • @lizzyhussein2157
    @lizzyhussein2157 8 หลายเดือนก่อน

    Nitamkumbuk sana kipnd kile cha ukawa

  • @CharlesMrosso
    @CharlesMrosso 8 หลายเดือนก่อน

    Amesaidia wengi eamesoma

  • @AllenYordan
    @AllenYordan 8 หลายเดือนก่อน

    Rest in peace 😂 lowassa vita umevipiga mwendo umaumaliza

    • @WitnesKephas
      @WitnesKephas 8 หลายเดือนก่อน

      Ujuh maana ya emoj

  • @AshaIbrahim-r6u
    @AshaIbrahim-r6u 8 หลายเดือนก่อน

    Pumzika kwaamani loasa

  • @andreafortunatus126
    @andreafortunatus126 8 หลายเดือนก่อน

    Flora mbasha unaimba aise

  • @maryvee5351
    @maryvee5351 8 หลายเดือนก่อน

    Bahati bukuku❤❤❤

  • @gracejohnJohn-ut4ut
    @gracejohnJohn-ut4ut 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bukuku❤❤

  • @MarthaHaule-ng9il
    @MarthaHaule-ng9il 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo mzur

  • @JacklineMwaleleka
    @JacklineMwaleleka 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bahati sauti Yako imenifanya mwili wangu usisimke

  • @rehemakilembe-e2x
    @rehemakilembe-e2x 8 หลายเดือนก่อน

    Bukuku❤️