🔴LIVE: KADA WA CHADEMA ALIYETEKWA NA KUOKOTWA PORINI KIBITI ANAFUNGUKA KILA KITU MUDA HUU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • 🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 692 318213)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

ความคิดเห็น • 14

  • @AshaMwamba-i7g
    @AshaMwamba-i7g 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole mama uyo bonge ajiandae uyo dada bongee

  • @mcharo255
    @mcharo255 วันที่ผ่านมา +1

    Loooh, mwanamke anapigwa namna hiyo!

  • @EdwardUrassa-xc6gz
    @EdwardUrassa-xc6gz วันที่ผ่านมา

    Pole sana

  • @africa5451
    @africa5451 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    POLE SANA MAMA

  • @henryndosi2002
    @henryndosi2002 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyu amejiteka muongo hizo drama waandishi uchwara hawajui kuuliza maswali wamepangwa

    • @annajohn2488
      @annajohn2488 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kabisa

  • @mussakilo4916
    @mussakilo4916 วันที่ผ่านมา

    Pole sana ila ninaswali Unasema boda alikupakia ukiwa hauji elewi alikubebaje?je alikufunga na mipira kama mzigo?boda anawezaje kupakia mtu mahututi asie jitambua na hakujui amepita vituo vi gapi vya polisi?na amepita hospitali ngapi?

  • @IDDMWENDO
    @IDDMWENDO วันที่ผ่านมา

    Duh...!!!

  • @joshuayasolo4199
    @joshuayasolo4199 วันที่ผ่านมา +1

    Ila Tanzania,bado sana Democratic hawana kabisa

  • @JemaMhagama-oz6me
    @JemaMhagama-oz6me วันที่ผ่านมา +1

    Mbona maelezo yako Kama Yana utata

    • @TestEmail-qk5ws
      @TestEmail-qk5ws วันที่ผ่านมา

      Utata gani sasa. Sikiliza vizuri labda

  • @MkudeSimba-p3f
    @MkudeSimba-p3f วันที่ผ่านมา

    Wakati boda wanakuchukua ulikuwa hujielewi au ulikuwa na maumivu makali ? Ni bora unde kituo cha polisi ukatoe maelezo polisi hawawezi kufanya hivyo ! Polisi watafanya uchunguzi ! Pole sana !

    • @AshaMwamba-i7g
      @AshaMwamba-i7g 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwaiyo kadanganyaa

    • @JemaMhagama-oz6me
      @JemaMhagama-oz6me 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@MkudeSimba-p3f kesi ya nyani unampelekea ngedere