Mzize nampa maua yake kanibadilishia matokeo,drogba wa bongo au Lukaku na wachezaji wote kwa ujumla big up,tuwakilishieni nembo ya watoto wa jangwani,GSM mwendo huo huo mpaka waisome namba ,love yanga daima mbele nyuma kwetu mwiko.
Na Leo katika siku alizocheza mzize Leo ndio amecheza alikuwa na utulivu sometime usilazimishe kufunga wewe ata pasi inatosha Leo kacheza vizuri sanaaaaaaaaaaaa
Asanteni sana sana mno vjn wetu. Nimeelemewa,yaaani nakosa neno zuri la kuwapongeza.Niseme tu burdan mrabata.Mlikuwa vzr idara zote,asikwambie mtu kweli Yanga tam. Daima mbele nyuma mwiko. Wenye husda na husda zao,kina nani ??,c hao madunduka/makolokolo
Shabiki sugu wa Yanga Fc kutoka 🇰🇪 Kenya, tafadhali nipeni like
🎉🎉
Hongera kuchagua yanga💚💛
Leo Mzize amepiga kazi haswa😅👍🔥
Ukuta wa Jericoh umevunjwa rasmi...Young yetu pokea 💐yako kutoka 🇷🇼
Naombeni like 5 kwa Yanga 🖐
Waambieni simba walale uvunguni
❤❤❤❤❤ Ilove You Yanga
❤
Mimi ni yangaaa
😢😮😅😅
Yanga ih ilivo kua ya Moto🔥🔥🔥
Mzize nampa maua yake kanibadilishia matokeo,drogba wa bongo au Lukaku na wachezaji wote kwa ujumla big up,tuwakilishieni nembo ya watoto wa jangwani,GSM mwendo huo huo mpaka waisome namba ,love yanga daima mbele nyuma kwetu mwiko.
Put some respect to pacoume zizzou mwamba ni hatari
Mzize akiendelea na umakini huo namuona mbali big up kocha kuwaingiza kwenye mfumo😂😂😂😂😂..
Ninamuita BBS "Big Brain Striker" Walid Clement Mzize unaweza kumuita Drogba wa Bongo
Young africa best team in africa right now
AL AHLY🤫
Hongera yanga..bao ya nne walicheza utamu..sisi ndo yanga
Tunawakubali sana wachezaji wetu ❤❤ nasubiri Hidden Camera
Hongera kwa wachezaji wetu na benchi la ufundi bila kuwasahau viongozi na sisi mashabiki wallah tumefurahi sanaa
WANANCHIII NIPENI KOMENT 5✋🏻✋🏻✋🏻😁😁 HAPAA
💛💛💛💛💛💛💛💛
hongera sana Dar young Africans ,Fans,Bench la ufundi,Rais na Management nzima ya Club ,Kongoleee
Hongera sana mwananchi mwenzangu 💚💛💛💛💛💛
Mmenifurahisha toka machakos kenya..
Tabu leleeeeeee Laaaaaaaah🖐️5G🖐🏼💚💛💐💐💐
Daresallam Young African 💚💛🖤🔑🗝️
Ahsanten sana Jana mmekonga nyoyo zetu na mmekata ngebe za mtani, Magnificent, Excellent 👌
Watchint all the way from South Africa ❤❤
Viva Yanga Viva Wananchiiiiii 🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️⚽🔝💛💚👊💥5G Hii imeeenda
Naombeni salamu tano🖐
Hongereni wananchi, hongereni wachezaji, hongereni uongozi kwa kuwaadhibu hawa mandunduka. Mmewapelekea aibu ya mwaka.
akha i had a lot of stresses but after reviewing that match i felt stronger
TABULELE LAHHHHH 💛💚🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nipe tano zangu nitembeee zangu👊👊👊👊👊👊👊👊
Yanga ❤❤❤❤❤❤❤
Tabulele laaaah💚💛💚💛💚hii sio raha ila ni zaidi ya furaha jmm wananchi ni mwendo wa kutabasamu😊😊😊😊😊😊
Mzize namuona mbali saaan jmn,hongera kwa kujirekebishaaaa
Simba mfumo wa mvua umewachanganya 😂😂😂😂😂
Nilijipata nikiwa fan wa Yanga FC from 2017
✋Hi five To All Yangs African Fans 🎉🎉Am so happy wallah 💚💛Waliamini Mvuaaa😂😂
Refa kawasaidia Sana Ile penati Yule beki WA Simba alitakiwa ale redcard😂😂😂😂😂
Bora aliwaacha ili tuwapige nyingi pacpo kicngzyo cha Redcard
Hata HUKU nilipo mvua kali Lakini Mnara unasoma vizuri tuuuu.... FULL 5G 📶......Vijino vyote......
Hii tunaita UNDER-MBWA...😊
7:00 😂😂😂😂 Mohamed Hussein
Wachezaji wetu,kazi nzuri saaana.Ahsante Mungu.🙏🙏🙏🙏.
Yanga tumejua kusajili tupewe maua yetu👌👌😉
Hongereni sana mmeupiga mwingi sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️💐💐💐💐💐🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️
Hongera kwa wachezaji wetu na benchi la ufundi pamoja na viongozi Daima mbele nyuma mwiko 🔥🔥🔥🔥🔥
Amen.
Pamoja sana💪💪💪
🦁🦁🦁🦁 0 - 5 au 1 - 5 msitunyime ata la kufutia machozi😭
Safi rqha sanaa 😂🎉🎉
Hongera wachezaji wetu na benchi la ufundi hakika kazi mmeifanya
Tumempiga Mtu Tano Alafu Kumbe Ni Tarehe 5 😂😂😂
YANGA bingwa tena 🔰💥💥💥
Tumewanyanyasa sana hao mbwa walitamba sana hii week😅
Pamoja sana hakika mmenipa Raha sana siku ya leo
Muandishi acha mbwembwe simba tumepata lakufutia machozi sio 5-0 kama ulivyoandika😁 lkn hongera sana kwa ushindi mliopata🎉
Tulio rudia kuangalia Zaid ya mara Moja tujuane kwa like hapa za kutosha
Hii yanga itaniuwa 😂😂😂you
yanga tamuuu💚💛
Na Leo katika siku alizocheza mzize Leo ndio amecheza alikuwa na utulivu sometime usilazimishe kufunga wewe ata pasi inatosha Leo kacheza vizuri sanaaaaaaaaaaaa
Asanteni sana sana mno vjn wetu.
Nimeelemewa,yaaani nakosa neno zuri la kuwapongeza.Niseme tu burdan mrabata.Mlikuwa vzr idara zote,asikwambie mtu kweli Yanga tam.
Daima mbele nyuma mwiko.
Wenye husda na husda zao,kina nani ??,c hao madunduka/makolokolo
Yanga💛💚🔰💛💚
Like zangu Kwa yanga
Yanga tamu
Yanga baba lao 💚💛💚💛💚
Yanga❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Love yanga
Nipeni like zangu shabiki damdam walisema atufikibmbali apa niwapi❤❤❤
Ynga tamu ❤❤❤
Nilikuwa nina stress leo lakini baada ya kujikumbushia haya magoli ya timu yangu, stress zimeisha.....Yanga Afrika for life💚💚💚
Alhamdullah
Itabaki kwenye kumbukumbu kwao
Simba 1__5 yanga admini umeteleza Apo kwenye ubao. ....ni tano moja
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥.👊👊👊👊👊👊 Yanga daima mbele nyuma mwiko hahahahaaaaaaaa had watakubali huu mwaka
Oyaaaaa weeeeeee👋😊
Ahsante Mungu,ahsante Yanga
Ahsanteni wanainchi birthday yangu imefana sana
1-5 yanga mbele nyuma mwiko
mshike uyooo HATOKI MTU
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 yangaaaaaaa
Ukisikia timu kubwa ni yangasc💚💚💛💛
💥💥💥💥💥💥💥💥💛💚🖤
Love you Aziz key 🔐
Best team
Rekebishen tattle Simba watani wetu walishinda Moja tuwape haki yao
Hiiii yanga top top🔰🔰🔰💚
Watambue Simba jamii ya Paka kuwà uchawi hauvuki maji
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👋
💛💚🖐
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
💚💫
Allaah Akbar
Tabulele lahaaaaaa
💚💛💚💛💚💛💚💚💚💛💚TABULELE LAAAAAAAAAH
Amna Beki apoo simbaa
Alaaaah
Mzize kaupiga mwing sana
Tumewamwagia shwaaa
❤❤❤❤❤
Tabulele laaah😂...5G
Shabalala we believe nisikilizen sahabalala so beki
Owa eee ni atar
Hawato sahau
Wnainchi oyeeeee
Huyu mzize kakomaa kocha apongezwe
Wananchiiiiiiii
Yanga Tamu mnatupa lahaa