Kazi hazina viwango lazima wanyooshwe nakumbuka mwaka jana aliikataa kuifugua nyumba ya walimu Paje pesa zimetumika nyingi na viwango vya jengo vilikua chini. Big up kiongozi wa mbio za mwenge.
Kila siku tunapigwa tozo tuu kila kona, wacha akoromewe hakuna namna, tozo zinauma sanaa ukiona kuna watu wanaleta utani na hii nchi. BIG YES FOR ME KWA ALICHOFANYA KIONGOZI WA MWENGE.
Hakuna heshima kwenye makosa wananchi jamn ameonesha scatting apo zona upana mkubwa baada ya mwaka mmoja mwanafunz akiludisha kiti nyuma anabomoa kwa wanaojua ufundi pil unapewa kazi ufanyi ukisikia kiongoz anakuja au mwenge unaita mafundi wafanye kazi upesi mwenzio kasoma na anajua ndo mahna kawekwa apo
Huyu wa mwenge yupo vizuri sana wako wakinamagufuri wengi wanakuja. Ila sasa afande uwe na msamaha ametubu kaka yako msamehe. Tunaomba lais akuone akupe wizara nyeti kama umeme hivi uko vizuri sana. Ila uwe unasamehe. Na huyo mwalimu asimzalau mtu kwa mwili umli
Cheo gani hapo Sasa... Hiyo Ni Bangi.... Sikia hata maneno hayana Radha ya cheo au uongozi.... Wakimbiza mwenge wachaguliwe watu wenye hekma na busara katika uongozi....
Mbio za mwenge ni mbio kweli kweli, hakuna muda wa kuremba.. inachosha mno hata kama unalipwa posho. Muda ni mfupi, na kila mradi wanakuwa na ripoti kabla. Mkimbiza mwenge yuko sahihi kabsaa..kwenye miradi tunapigwa mno. Nilikuwa team ya mkoa, ilikuwa kazi kweli. Piga kazi kijana wa mbio za mwenge
Acha kulopokaa ..ujinga ndio wawaponza watu..we wadhani huyo mwalimu halipi Kodi? Au waongeaa kwakuwa hujui..Tena umeambiwa kaiba pesa...nyie ndo vijana WA hovyo tunaosema...angekuaa babaako aomba msamaha ivyo ungependa . We wadhani Hilo ni kosa la mwalimu ? Hujui protocol za procurement na ujenzi hivyo usicomment ili uonekane mzalendo kumbe hujui mambo
Being employed by anyone, whether govenment, NGO or any private sector is a great slavery I have ever seen in my life. Let us fight to be our own bosses.
Nyiee ndomnataka madudu yawe yanaendela kwenye nchi hii mpumbavuu kabsaaa wewe unaona mtu anakosea kabsaaa unamuacha kwasababu ya utamaduni mkundu kweli wewe
Kiongoz wa mbio hana nidhamu hata kidogo. Hata kama mtu amekosea huwez mkoromea kama ni mtoto wako. Unaweza kumwelewesha in a polite way na akakuelewa. Hawa ndo aina ya viongoz kama makonda, huwa wanalewa madaraka.
We mwehu kweli hivi unataka mwanajeshi akubembeleze chizi kweli wewe hivi unaijua vizuri kazi ya mwanajeshi? Na amesomea nini unafahamu? Hapo ametumia utu mno kupita kiasi la sivyo wote hao hakuna mwenye kazi, anaekudanganya ni mjinga hivyo anadhani anaemdanya ni mjinga zaidi ndio tafsiri wake, na ujue kwenye cheo hakuna mkubwa wala mdogo na hapo ndio tunafeli ila huyu afande ametumia heshima sana na utu na ndio maana amemwambia mwalimu ni kweli wewe ni kaka yangu umenieidi umri lakini ndio unidanganye? Je unataka tukutane uraiani tushindwe kusalimiana? Huo ni utu tosha na kuwabakisha kazini ni zaidi ya uungwana.
Hivi nyinyi watanzania wenzetu mnataka viongozi wa aina gani? Akija mchapa kazi mnamuangalia umri na kumsema hana adabu akija mtu mzima mnasema kzi imemshinda anatakiwa astaafu alee wajukuu au anaweza kupewa majina yooote ya kuchukiza.
Hayuko sawa kivipi ujue pesa zilizo liwa hapo ni kodi za watu wenye maisha duni kashibisha tumbo lake alafu muda anakamatwa aonewe aibu kwakuwa mkubwa no angekuwa anajiheshimu na kuheshimu madaraka yake asinge fanya aliyofanya haya kajitakia mwenyewe
HATA AKIWA MWANAJESHI,AMEKOSA NIDHAMU NA HALINGANI NA SIFA ZA WAKIMBIZA MWENGE. KWANI NIDHAMU YA JESHI NDIYO IKO HIVYO? ANAONGEA KULIKO MWENGE WENYEWE. STAHA YA MANENO YA KINYWA CHAKE HAYAENDANI NA SIFA YA WAKIMBIZA MWENGE.KWANI HUYU NDIYE WAKWANZA KUKIMBIZA MWENGE NA KUKAGUA MIRADI YA SERIKALI? NIDHAMU YA KICHWA CHAKE NA MPANGILIO WA MANENO YAKE NI SHIDA.
Guyz msimlaumu Dogo, hii nchi inastress sana kiufup, Kuna maswala yanaendelea kwenye hii nchi ukiyaona tu yanatia hasira an, budget ni kubwa kuliko vitu vinavofanyika, kama Kuna mtu kajenga kibanda Cha kuhifadhia vifaa vya ujenzi kwa million 20, why usipanic
Kuongea uongo inakera sana..mtu anashindwa kukubali mapema na kueleza ukweli anakomalia uongo na ndio hii inafanya mtu afokewe kama mtoto. Sasa alikuwa anakomaa ooh nimeosha inakera sana. Huyu kamanda nimemuelewa anaongea ukweli na hana tatizo anataka kazi zenye kiwango. Tusimbilie kutetea kuwa mtu kadhalilishwa wakati hayo kayataka mwenyewe..amgesimamia kazi vizuri au angejiuzulu hicjo cheo mapema alipoona hawezi kusimamia basi yasingemkuta haya
Wote waliompinga kiongozi wa mbio za mwenge nimafisadi, huwezi kumuona kiongozi wa mbio za mwenge Hana adabu wakati huo mwalimu ndo Hana adabu kwa watanzania, heri kiongozi amemkosea mwalimu 1, kuliko mwalimu alivyo wakosea watanzania wote. Mnaompinga kiongozi wa mwenge msilalamike tozo, na Kama mnalalamika cjui mnatumia kigezo gani, hayo madarasa ndo tozo zetu, tcha asilete uhuni.
Yaani wanaweza hata kukudai pesa bila kufanya kazi kabisa na kukwambia kwani si tupo eneo la kazi? Tulipe tutafanya siku yoyote🤣. Wabongo ukiwa na kazi ya kufanyiwa usipokuwa kauzu hawafanyi na utawalipa. Wana nguvu za kudai hela ila sio za kuifanyia kazi🙂
Uwalimu niajira... Wanatafuta Maisha , kwahyo usichukulie Kama walimu wanatoa msaada kwa kufundisha kwao. Kwahyo ulitaka apigiwe makofi kua amefanya kazi nzuri wakati haja fanya Poh. Tupunguze kutia huruma Walimu wenzangu. Ss tunalipwa lazima tufanye kazi kwa Nidhamu.
Hakuna wa kulaumiwa dogo hana ko sa kazi ya jeshi lazima ufokeee huwezi bembereza na hapo lawama ni za engineer mkaguzi alikuwa mwalim pia hakutimiza wajibu wake
Of course kaz nzur,,, lkn ushaur wang ,,,Ukisha ombwa samahan kwa namna kama ile hapakuwa na haja ya kumukaziaaa sanaaa vile kwasababu mtu kashakubali kosa lake,,, na hakuna mkamilifu,
Kongole kwako kamanda.. huyo mwalimu angetaka Hasifikewe angefanya kazi za watu inavyotakiwa... Sasa mlitaka huyo kamanda amchekee. Jiheshimu utaheshimiwa.
Dogo usifike mbali huko,, haya makosa sawa ila mkubwa akikuomba msamaha mala moja anakupa na heshima akiwa. Wewe ni kama mwanae muelewe maja mwambie usirudie ila dio kumkaf si sawa kwa wazee wetu hawa,,
Huyu anatumwa na rais kukagua miaradi yani muwakilishi wa rais kwahyo hapo amesimama kama rais kabisa..Inshort hapo anaongea Rais Imagin angeongea vip?
Jamani Jalibuni Sana Kutofautisha Ukubwa Wa Mwili Ukubwa Wa Miaka Na Ukubwa Wa Cheo Mnazani Kazi Ya Mwenge Ninini Kazi Ya Mwenge Kumulika Pazuli Na Pachafu Wananchi Tuone Na Kujua Yupi Mzarendo Sasa Mnazani Anakosea Sasa Akiambiwa Live Nisawa Kwasababu Ukiwa Mtumishi Wa Uma Wewe Ni Wa Uma Uma Ujue Kama Mzarendo Utajilekebisha Kama C Mzarendo Utafanya Madudu
@@serafinamalecela4728 nikweli lakini kwa kweli mtu mzima kuna namna ya kumwadhibu,Fikiria kwa mfano ni mzazi wako!ungekubalina na namna huyu kijana alivyofanya???
Kazi hazina viwango lazima wanyooshwe nakumbuka mwaka jana aliikataa kuifugua nyumba ya walimu Paje pesa zimetumika nyingi na viwango vya jengo vilikua chini.
Big up kiongozi wa mbio za mwenge.
Kila siku tunapigwa tozo tuu kila kona, wacha akoromewe hakuna namna, tozo zinauma sanaa ukiona kuna watu wanaleta utani na hii nchi. BIG YES FOR ME KWA ALICHOFANYA KIONGOZI WA MWENGE.
Hongera Sanaa Mkuu hiyo ndio speed inayo takiwa kwa nchi kama Tanzania maana ukizubaa utasomeshwa ngonjera 👏👏👏
Kazi so yako kimbiza mwengrf
Subhana llah
Mtoto wa Nani Hana adabu kiasi hiki
HAKUNA KUBEMBEMBELEZANA, KAZI ZIFANYIKE KWA UWELEDI, UKIZINGUA LAZIMA UCHANWE MAKAVU
Hana adabu kivipi asiye na adabu ni aliyepewa kazi nakufanya Madudu
Ww adabu unayo acha dogo afanye kazi bwana kama kaharibu asiambiwe et mkubwa
Heshma ya mwenge inapotea kwakuwapa kazi vijana wa aina hii kwanza hana adabu
Mwenge inahitaji heshima gani?
hapa kazi adabu nyumbani
Ulitaka aseme Samahani mzee hii rangi umekoseea babaa
Ila mwl kusimamia kazi chini ya kiwango ana adabu??????
Jeshi kijana yuko vizuri
Namkubali sana huyu jeshi@🔥🔥
Dogo yuko sawa kwa upande wa kazi ila kashindwa kuzingatia respect
Huyo ni afande, afande hana imri
Sio sawa kabisaa kijana mdogo pia nawe unataka kusujudiwa na mtu mzima sawa na baba yko I say thats not fair kijana mwenzanguuuuu....
Kwenye ukamanda akunana udogo
Sure,,
Kwenye upumbavu
Hakuna heshima kwenye makosa wananchi jamn ameonesha scatting apo zona upana mkubwa baada ya mwaka mmoja mwanafunz akiludisha kiti nyuma anabomoa kwa wanaojua ufundi pil unapewa kazi ufanyi ukisikia kiongoz anakuja au mwenge unaita mafundi wafanye kazi upesi mwenzio kasoma na anajua ndo mahna kawekwa apo
Yuko sahihi Jeshini hatunaga mkubwa , amri ni moja tu . Uzee huko uraiani.
Afande wa mchongo
Ila wote wako sahihi kiongoz lqzima awe strong mwalimu nae kaonezha utii kwa kiongoz
Huyu wa mwenge yupo vizuri sana wako wakinamagufuri wengi wanakuja. Ila sasa afande uwe na msamaha ametubu kaka yako msamehe. Tunaomba lais akuone akupe wizara nyeti kama umeme hivi uko vizuri sana. Ila uwe unasamehe. Na huyo mwalimu asimzalau mtu kwa mwili umli
Acha watu wakaguliwe
Hivi mnajua kodi ilivyo ngum kulipa 😂😂
👊🏾👊🏾👊🏾
Sawa unacheo Ila kua na adabu📌
Cheo gani hapo Sasa... Hiyo Ni Bangi.... Sikia hata maneno hayana Radha ya cheo au uongozi....
Wakimbiza mwenge wachaguliwe watu wenye hekma na busara katika uongozi....
Mbio za mwenge ni mbio hasa,hakuna muda wa kuremba..ni mwendo jeshi.
Nimekosa cha kuandika kiukweli😭
Mbio za mwenge ni mbio kweli kweli, hakuna muda wa kuremba.. inachosha mno hata kama unalipwa posho. Muda ni mfupi, na kila mradi wanakuwa na ripoti kabla. Mkimbiza mwenge yuko sahihi kabsaa..kwenye miradi tunapigwa mno. Nilikuwa team ya mkoa, ilikuwa kazi kweli. Piga kazi kijana wa mbio za mwenge
Piga Kazi Sheikh Scout...Tunaolipa kodi Ndio Tunaelewa ayo maumivu ya kuibiwa Pesa Za Serekali ...
Acha kulopokaa ..ujinga ndio wawaponza watu..we wadhani huyo mwalimu halipi Kodi? Au waongeaa kwakuwa hujui..Tena umeambiwa kaiba pesa...nyie ndo vijana WA hovyo tunaosema...angekuaa babaako aomba msamaha ivyo ungependa . We wadhani Hilo ni kosa la mwalimu ? Hujui protocol za procurement na ujenzi hivyo usicomment ili uonekane mzalendo kumbe hujui mambo
Ache kumzingua mwenge wa msimu
Being employed by anyone, whether govenment, NGO or any private sector is a great slavery I have ever seen in my life. Let us fight to be our own bosses.
Mbwa wa boss ni boss wa mbwa wengine
That's true
Kabisa rafik angu!!!
Sure 💯
Hasa walimu wanabebeshwa mizigo fani za watu
Hii sio sawa kabisa .
Huu sio utamuduni wetu wa kudhalilishana namna hii.
Ila akiiba malii ya umma ndio sawa
Nyiee ndomnataka madudu yawe yanaendela kwenye nchi hii mpumbavuu kabsaaa wewe unaona mtu anakosea kabsaaa unamuacha kwasababu ya utamaduni mkundu kweli wewe
@@josephchiluka9357 lugha yako inaonyesha umekosa maadili hujafunzwa adabu na wazazi wako na malipo yako utayapata hapa hapa duniani.
Hvi unajua huyo amsimama nafasi ya Rais?..Sasa jiulize angeongea hvo rais ungesema amemkosea adabu?..
Kiongoz wa mbio hana nidhamu hata kidogo. Hata kama mtu amekosea huwez mkoromea kama ni mtoto wako. Unaweza kumwelewesha in a polite way na akakuelewa. Hawa ndo aina ya viongoz kama makonda, huwa wanalewa madaraka.
Sijui wamemtoa wapi?
Kwani kasemaje
Kwenye kazi hakuna iyo kitu. Kazi ieshimiwe
Huyo ni afisa wa jeshi nikiongozi mmsimchukulie poa kasoma uongozi vizuri tu
Huyu ni Afsa mkubwa wa Jeshi msimchululie poa. Mwenge hukimbizwa na wanajeshi
Hakuna nidham tena, hv hakuna watu wenye staha kwenye hizi kazi naona kijana hayuko sawa
Kaka jeshi akunaga nidhamu ni utendaji tuu
We mwehu kweli hivi unataka mwanajeshi akubembeleze chizi kweli wewe hivi unaijua vizuri kazi ya mwanajeshi? Na amesomea nini unafahamu? Hapo ametumia utu mno kupita kiasi la sivyo wote hao hakuna mwenye kazi, anaekudanganya ni mjinga hivyo anadhani anaemdanya ni mjinga zaidi ndio tafsiri wake, na ujue kwenye cheo hakuna mkubwa wala mdogo na hapo ndio tunafeli ila huyu afande ametumia heshima sana na utu na ndio maana amemwambia mwalimu ni kweli wewe ni kaka yangu umenieidi umri lakini ndio unidanganye? Je unataka tukutane uraiani tushindwe kusalimiana? Huo ni utu tosha na kuwabakisha kazini ni zaidi ya uungwana.
Hivi nyinyi watanzania wenzetu mnataka viongozi wa aina gani? Akija mchapa kazi mnamuangalia umri na kumsema hana adabu akija mtu mzima mnasema kzi imemshinda anatakiwa astaafu alee wajukuu au anaweza kupewa majina yooote ya kuchukiza.
Hayuko sawa kivipi ujue pesa zilizo liwa hapo ni kodi za watu wenye maisha duni kashibisha tumbo lake alafu muda anakamatwa aonewe aibu kwakuwa mkubwa no angekuwa anajiheshimu na kuheshimu madaraka yake asinge fanya aliyofanya haya kajitakia mwenyewe
HATA AKIWA MWANAJESHI,AMEKOSA NIDHAMU NA HALINGANI NA SIFA ZA WAKIMBIZA MWENGE. KWANI NIDHAMU YA JESHI NDIYO IKO HIVYO? ANAONGEA KULIKO MWENGE WENYEWE. STAHA YA MANENO YA KINYWA CHAKE HAYAENDANI NA SIFA YA WAKIMBIZA MWENGE.KWANI HUYU NDIYE WAKWANZA KUKIMBIZA MWENGE NA KUKAGUA MIRADI YA SERIKALI? NIDHAMU YA KICHWA CHAKE NA MPANGILIO WA MANENO YAKE NI SHIDA.
Huyu kiongozi WA mwenge ni Roho ya Magufuli!?
Nakubali depo umeupiga mwingi sana...
Alooo mwanaume kukoromewa na mwanaume mwenzake afu ni mdogo ake hatakama ni kiongozi inakata Sanaa😂😂😂😂
Kijana wa hovyo
Unajisikiaje mtu mzima akikuomba ivyo msamaha una ladhimisha kumzalilisha mtu mzima unajiona mkubwa
Guyz msimlaumu Dogo, hii nchi inastress sana kiufup, Kuna maswala yanaendelea kwenye hii nchi ukiyaona tu yanatia hasira an, budget ni kubwa kuliko vitu vinavofanyika, kama Kuna mtu kajenga kibanda Cha kuhifadhia vifaa vya ujenzi kwa million 20, why usipanic
Sijui likoje ovyoooo
Hawa ndo wale wale akina Makonda na Sabaya
Anavyojishauwa kama mbunge kumbe mkimbiza mwenge anajiona .amefika kwenye kazi
Fatuma nitumie bas namba yako ndio mzuri hivyo
Huyu ni zaidi ya mbunge engineer huyo alafu commander wa jeshi
Cheo ni dhamana dogo acha kiburi ......ilikuladhimu umuite chemba
Hapan Chemba palepale ndio mahali pake
Chemba rushwa hiyo na yeye wakati anfanganya hakumwita chemba
Anataka kupandishwa cheo
Mwenge unavyotukuzwa mkimbizaji mwenyewe ndi huyu
Kuongea uongo inakera sana..mtu anashindwa kukubali mapema na kueleza ukweli anakomalia uongo na ndio hii inafanya mtu afokewe kama mtoto. Sasa alikuwa anakomaa ooh nimeosha inakera sana. Huyu kamanda nimemuelewa anaongea ukweli na hana tatizo anataka kazi zenye kiwango. Tusimbilie kutetea kuwa mtu kadhalilishwa wakati hayo kayataka mwenyewe..amgesimamia kazi vizuri au angejiuzulu hicjo cheo mapema alipoona hawezi kusimamia basi yasingemkuta haya
👍👍👍👍👍👍👍
Kafanya Nini sjaelewa
Kijana anafokea baba zake ,awaonye kwa staha au agome kuzindua lakini sio kuwafokea bana
Hawezi kukataa hapo
Uongo unakera
Ndogo pamoja sana
Jamaa yuko smart
Wote waliompinga kiongozi wa mbio za mwenge nimafisadi, huwezi kumuona kiongozi wa mbio za mwenge Hana adabu wakati huo mwalimu ndo Hana adabu kwa watanzania, heri kiongozi amemkosea mwalimu 1, kuliko mwalimu alivyo wakosea watanzania wote. Mnaompinga kiongozi wa mwenge msilalamike tozo, na Kama mnalalamika cjui mnatumia kigezo gani, hayo madarasa ndo tozo zetu, tcha asilete uhuni.
@@chrisstopherbasa4840 Kama Mama angu ni mtanzania basi nimiongoni mwa waliokosewa
@@chrisstopherbasa4840 jina zuri lakini matusi ya nini adabu huna😗😗😗😗
kijana wewe wa mwenge mbona huna adabu?
Wewe ndy huna adabu Kodi zetu inakula tu mijitu fulan huoni Hy imeota vitambi Kodi zetu hizo
Tukijua maana ya Scout na wakina nani wanapewa kuongoza mbio za Mwenge kama scout tutaelewa kwanini mjadala umekua hivo.
Sure bro 👊
Huyu jamaa anatafuta Kiki han lolote Kaz nzur tu anatoa Makosa ya kitoto ambayo hayana mashiko
muache alogwe apumzike
Kiki kwenye kazi weee VIP¿¿¿
Good principle za kijeshi karibia apigwe doso abebe dunia
😂😂😂😂dosoo 832kj
Watanzani bila kumkazia anaweza kukushika makalio kabisa.. kwahy ww bro wawakie hivo hivo.
Yaani wanaweza hata kukudai pesa bila kufanya kazi kabisa na kukwambia kwani si tupo eneo la kazi? Tulipe tutafanya siku yoyote🤣. Wabongo ukiwa na kazi ya kufanyiwa usipokuwa kauzu hawafanyi na utawalipa. Wana nguvu za kudai hela ila sio za kuifanyia kazi🙂
Mungu awasaidie walimu mnaonekana chokalaa wakati ndo wamewafanya mjitambue
Kwa hyo ndo kielelezo cha yy kuiba
Uwalimu niajira... Wanatafuta Maisha , kwahyo usichukulie Kama walimu wanatoa msaada kwa kufundisha kwao. Kwahyo ulitaka apigiwe makofi kua amefanya kazi nzuri wakati haja fanya Poh. Tupunguze kutia huruma Walimu wenzangu. Ss tunalipwa lazima tufanye kazi kwa Nidhamu.
Mnanichanganya sana
HAO NI WALE WANAOPEWA TENDA KWA MCHONGO NDO HAO
Bia tamu
Ana onekan anavuta na bangi hyu kiongonzi wambio
Hiiiiii jmn nimejisikia vby huyo Baba kuomba mxamaha.... Lkn ndio ivyo amna namna
Maskin anaomba msamaha balaa😭😭
Mbwa wa boss ni boss wa mbwa wengine,,
Mm sijaelewa shule ya jesh na vp mwanajesh mpk anaenda kukagua shule hakuna tawala husika na shuli hizo
Hawa ndo vijana mnaowatengeneza wenyewe elimu ndogo bangi nyingi vinana wakupiga kura tu matokeo yake ndo hayo na bado
Huyu kiongozi yupo sahihi kabisa hapaswi kuchekea kosa
Tena yuko vizuri sana
Huyu kijana ni muhuni.. mwalimu aeshimike
Mwalimu aheshimike hata anapobolonga? Kwanza huyu mwalimu ni mpigaji
Mwenge umekabidhiwa Kwa watu wasio sahihi
Acha awaburuze wanezid mno
Askari anafatilia mambo aliyofanya raia. Lazima moto uwake kwenye mahojiano.
Jamani kijana mdogo unapigiwa magoti
Hii dharau
Vigezo gani vinatumika kumpata kiongozi wa mbio za mwenge
Hakuna wa kulaumiwa dogo hana ko sa kazi ya jeshi lazima ufokeee huwezi bembereza na hapo lawama ni za engineer mkaguzi alikuwa mwalim pia hakutimiza wajibu wake
Safi san dogo
Jaman nisaidieni mie mwaka gani huuu ilikuwa?
Huyo ni askali sio raia hawezi kuongea kwa kubembeleza muelewe
Kumbe ukiwa Askari watakiwa kudhalilisha watu... ?
🔥🔥🔥🔥🥰🥰🥰🥰
Ni wapi hapo
Ni hatari sana
uyu jama na mukubali sana
Huyu dogo apewe ubunge wa kuteuliwa
Kwanza mwenge ndo nini kupoteza Kodi za watanzani tu kitu akina faida lakin kilisha komariwa ujinga tu
Mwenge unaumuhimu
Of course kaz nzur,,, lkn ushaur wang ,,,Ukisha ombwa samahan kwa namna kama ile hapakuwa na haja ya kumukaziaaa sanaaa vile kwasababu mtu kashakubali kosa lake,,, na hakuna mkamilifu,
Huyu kaka nmempenda bure3e!! Walimu wengi n majeuri Haswa wa huku vjjin kwetu
Dogo akipewa urais mtaninginia😂
Heee mwenge ndo huu tena,
Mbona kauli za kihuni
Kongole kwako kamanda.. huyo mwalimu angetaka Hasifikewe angefanya kazi za watu inavyotakiwa... Sasa mlitaka huyo kamanda amchekee. Jiheshimu utaheshimiwa.
NYIE mnaompinga dogo ingekua enzi za magufuri wangehama Tanzania wakaenda Burundi dogo Yuko vizuri baraaa
Sasa unamuulz Mwalimu skirting Kwan Mtaalam wa ujenzi?
He is all right
Huyu dogo ana Mambo ya ajabu tu
Mwache afanye kazi yake,,
Saf kiongoz jeshi ni amri vitendo utekelezaji na maelekezo mwl kajichanganya
Nisamehe nyingi ivo!?😯😯
uyo ni makonda kavaa kinyago
Kiongozi WA mbio za mwenge mkorofi huyu duuu..Rais awe makini uteuz wake angemfokea hivyo mamaangu .cjuii
Ungefanyeje
@@martinemifuko71 nshakwambiaa cjuiii.. wataka nimfanyejee
Msimba tcha wang mbn mwamba alikuvua vyeo kbsaa
Wamengawana haooooo walim😂😂😂🔥🔥🔥🔥
Safi sn kipngoxi wa mbio.
Acha uonevu ajirini ma engineer huyo ni mwl tu kazi yk ni kufundisha.
Lugha ya staha in mhimu kijana
Dogo usifike mbali huko,, haya makosa sawa ila mkubwa akikuomba msamaha mala moja anakupa na heshima akiwa. Wewe ni kama mwanae muelewe maja mwambie usirudie ila dio kumkaf si sawa kwa wazee wetu hawa,,
Yaani mwalimu anadhalilishwa kama hivi? kama mimi Raisi namfunga huyu kijana miaka 100
Mwalimu anajua amepiga ndio maana anakuampole
Uzuri mkimbiza mwenge ni mtoto wa kitaa😂😂😂
Somea unjinia tumwambie mama
Huyu jamaa namuangalia kila wakat
Nimeogopa!!!!
uyu mwamba nilimkubari sana
Mambo sindio hayo Ila kuwa.makini Sana nahao watu maana duuh,🤔 hawapend kuambiwa ukweli
SERIKALI inakosea walimu HAWANA ujuzi wa ujenzi wa majengo wangepewa engineers afanye izo kazi
Kiongozi wa mwenge majukumu yake ni yapi kwani katika nchi? Na hiki anachokifanya ni majukumu ya kiongozi gani kwa hapo sengerema?
Hata mm nashindwa kuelewa mana anakuwa Kama Waziri sasa
Huyu anatumwa na rais kukagua miaradi yani muwakilishi wa rais kwahyo hapo amesimama kama rais kabisa..Inshort hapo anaongea Rais Imagin angeongea vip?
Ana uwezo kumfuta kazi au kumchukulia hatua za kisheria na akakaa ndani vizuri tu.
Kodi yangu inaniuma sana ikitumika visivyo!!!!!tunabanwa mpaka maumivu
Jamani Jalibuni Sana Kutofautisha Ukubwa Wa Mwili Ukubwa Wa Miaka Na Ukubwa Wa Cheo Mnazani Kazi Ya Mwenge Ninini Kazi Ya Mwenge Kumulika Pazuli Na Pachafu Wananchi Tuone Na Kujua Yupi Mzarendo Sasa Mnazani Anakosea Sasa Akiambiwa Live Nisawa Kwasababu Ukiwa Mtumishi Wa Uma Wewe Ni Wa Uma Uma Ujue Kama Mzarendo Utajilekebisha Kama C Mzarendo Utafanya Madudu
Askari hana Mdogo na mkubwa acheni kumuita Dogo...
Ukora..😆😆hata kwetu wapo
Huyu Afande atawanyoosha wazee kinyama!!! Hata buti atawapiga🤔🤔
Dogo kazingua sana sijui kalelewa wapi mmh
Uongo unaudhiiii
@@serafinamalecela4728 nikweli lakini kwa kweli mtu mzima kuna namna ya kumwadhibu,Fikiria kwa mfano ni mzazi wako!ungekubalina na namna huyu kijana alivyofanya???
Kazi haziangalii umri mzee siku utaelewa