Asalaam alaykum brother ISMAILI jemedari kaondoka tufute machozi mapambano yaendele huku tunafuta machozi huku tunakaza mwendo ..munaweza nasi tukonyuma yenu atae chaguliwa aheshimiwe tumpe confidence tumuunge mkono .. yes we can .. we will get to the promise land .. Allah will be with us..
Tunamuombea dua allah amsamehe makosa yake na amuingize peponi kiongoz wetu mpendwa pia na ww tunakuombea dua kwa Allah upone kiongozi wetu tuendelee kuipambania kwa pamoja nchi yetu mpaka tupate mamlaka kamili inshaallah tunakuomba tupe nguvu afya na uzima ameen.
Mungu Anapompenda Mja wake Humpa Hidaya. Na Katika Hidaya zenye Urukufu zaidi basi ni ile ya Kupendwa na watu. Kwa hakika kwa hapa Zanzibar Mungu Alimfungulia Maalim Seif Hidaya hiyo. Inshaa Allah Mungu Atatujaalia Kiongozi mwengine Atakayeweza Kutawala nyoyo zetu. Na Kusema Ukweli JUSSA Tunamtegemea sana katika hili
Innalillahi wainna ilayhi rajiuun, Allah amsameh makosa yke na ampe wazungumzaji wema ktk kabri yke... Ya Allah tupe na sisi hatma njema.... tuwe na Subra soote in sha allah...
Hatuwez kumsahau Maalim Daima tutamkumbuka😭😭😭😭😭 Hakun aliekua hakuumia Allah amlaze mahali pema peponi Inshaallah Allah amjaalie kabr lake rowdhwanminriyaadhwijanna
Masha Allah tupo pamoja mh Jusa.. Allah amlaze pahala pema peponi .. na waheefadh viongozi wetu walobaki..Amin..UMOJA UMOJA UMOJA..💕ALLAH AKUPE SHIFAA NA WEWE MHESHIMIWA JUSA. AMIN Marhoum maalim Tajiri wa MOYO WAKE MASHA ALLAH.
Tuwe pole sote Muh. Jussa, tunajuwa wewe ulikuwa right hand wa Maalim Seif, tumuombeeni Maghfira na sisi tuwe na subra, na tunamuomba Allah atupe khatma njema, آمين
Hakika maalim sef alikuwa mtu wa kipekee kuwahi kutokea kwa tanzania mtu aliepitia misukosuko mikubwa ya kisiasa na kubwa zaidi ni kuweza kusamehe wale wote waliomfanyia mabaya mkasa mkubwa pale alipofungwa kwa kesi ya kusingiziwa kipindi cha rais samini mungu amlaze mahali pema peponi AMIN
Pole mh, jussa tunatarajia kuona nani atavaa viatu vya mh, maalim seifu, maana viatu vya mh, maalim seifu ni vizito sana, mwenyezi MUNGU ailaze pema peponi.
Allah amswaameh kiongoz wetu ampe qauli tthaabit amfanyie sahli khaswaa ktk usku huu wake wa kwanza qabrini,amuweke mahala pema peponi awazidishie subra wana familia na atuzodishie subra wazanzibar na wote walioguswa na msiba huu mzito kwa jumla na atujaalie namna bora ya kumuenzi na maneno na vitendo ...hkika alikuwa zaid ya kiongoz na ametufunza mengi ,twalia na kuhuznika laakin hatuna namna zaid ya kumshukur allah na pia kumuombea...
إنا لله وإنا إليه راجعون..... May Allah taala grant Maalim seif Sharif Hamad Jannat firdaus and grants the the family subra Jameel..... Kaka Jusa pole sana
Ndio maana kichwa changu kiliumia Sana kuwaza nani atawashikanisha Jussa , bimani, mazrui .....Mungu aendelee kuwafariji na kiwapigania Mimi naamini maalim alikuwa zaidi ya mlezi kwenu nimeumia sana
Wise men still hope you get better soon inshaa Allah we need to make zanzibar better place for us all tumechoka huku uhaibuni stay safe Allah bless stay strong
Wazanzibari tustahamilini na msiba huu wa maalim seif lakini jussa ustahamili zaidi pale ulipoweza kukitoa muhanga ukiwa na maalim seif na yakakukuta yalio kukuta . Pole sana mh. Jussa
Ilikuwa ni lazima siku moja maalim afe, ni mfumo wa maumbile, lakini kinachouma saana ni kumdhulumu sio yeye bali ni sisi kunyimwa haki na nafasi ya kunufaika kupitia maarifa yake na vipaji vyake, chuki miongoni mwa wanaobebwa kiutawala ndo sumu ya kutudumaza na tukawa hivi tulivyo, ni ajabu tusioijua siri yake serikali mbili kumuogopa mtu mmoja
NI KWELI AMEONDOKA DUNIANI WATU WAKIWA NA UMOJA NA MAELEWANO KARUD KWA MUNGU WATU WAKIWA WAMOJA NA AMANI NCHINI KARUDI KWA MUNGU KUACHA NCHI NA AMANI MUNGU MSAMEHE MAKOSA YAKE TUTAMKUMBUKA MAISHA NA HATOSAHAULIKA KTK MAISHA YETU
Allah amrehemu maalim na atupe subra kwa sote na hasa kwa wale waliokuwa karibu nae kama mhishimiwa jusa na wenzake.. Leo Raisi magufuli alitoa siri nzito na mimi namshukuru kwa ukweli wake kasema maalim alimuandikia barua Mara Tatu ili aonane nae lakini watu WA serekali ya znz walimwambia muache tu.. Kisha akamkubalia aje kuonana nae asema magufuli picha niliyokuwa nayo ya maalim alipokuja ilikuwa ni picha nyengine kabisa..
Inalilahi waina ilaihi Rajiun hiyi ndio dunia viongozi tujifunzeni kwahili lililopitia yeye hakujali chama yeye kajali Nchi kwanza na maslahi ya wananchi 😭😭🤲🤲🤲
Hata kama hatovaa yeye (Jussa) Lakini Mungu Atatuletea yule Ayakayetupigania na Kuitetea kwa dhati Nchi yetu. Na kwa sasa Jicho letu zaidi liko kwa JUSSA.
Allah amsamehe makosa yke kiongozi wetu ambaye tulimpenda sana amjalie kaburi lake liwe miongoni mwa bustani za peponi ameen.
THE LEGACY OF MAALIM SEIF SHOULD GO ON nawapa pole pamoja na familia yngu nzima kutoka MOMBASA mungu awape subra ndugu wa Zanzibar.
Asanteee sanaaa tushapowaaa ndokhatima ya kilaa mmoja wetuuu
Pamoja sana Jussa
Shukran tumepoa
Znz kulikuwa na Mfalme mmoja na maraisi tele, jana ndio tumehakikisha. Mfalme aliyetawala nyoyo za watu. Allah akurehemu wetu Mfalme Seif Sharif Hamad
Hakika unayoyasema ni ya kweli tena kweli tupu. Allah amjaalie Maalim wetu pepo ya daraja la juu. Amin Yarabil Alamiin....
Swadaqta
Pole san mh jussa ww ndie tunaekuangaliya katika kipind hich kizito hakika ww ndie uliekuw karibu san na maalim hakika huu ni msiba mzito ulio tufika
YaAllah (sw) umsamehe madhambi yake na umjaaliye nuru ktk kaburi lake
Aamin
Pole ndugu jussa tunakupenda na tunakuthamini tunakujali
Inna Lillah Wainna ilayeh rajiun. Mwenyezi Mungu amrehemu na ampe qaul thabit na amlaze mahala pema. Allahuma Ameen .
Pole sana muheshimiwa jusa hakika wewe ndio mkono wa kulia wa maalim alipokuwa maalim nawewe upo tuwe pole wazanzibari 😭😭😭
Asalaam alaykum brother ISMAILI jemedari kaondoka tufute machozi mapambano yaendele huku tunafuta machozi huku tunakaza mwendo ..munaweza nasi tukonyuma yenu atae chaguliwa aheshimiwe tumpe confidence tumuunge mkono .. yes we can .. we will get to the promise land .. Allah will be with us..
Tunamuombea dua allah amsamehe makosa yake na amuingize peponi kiongoz wetu mpendwa pia na ww tunakuombea dua kwa Allah upone kiongozi wetu tuendelee kuipambania kwa pamoja nchi yetu mpaka tupate mamlaka kamili inshaallah tunakuomba tupe nguvu afya na uzima ameen.
Nashamhuna mtakieni dua
Mungu akutie nguvu na Subra sisi tumeumia lkn wewe umeumia zaid Tunamuomba Allah amjaalie pepo ya darja la juu mzee wetu In shaa Allah
Mungu Anapompenda Mja wake Humpa Hidaya. Na Katika Hidaya zenye Urukufu zaidi basi ni ile ya Kupendwa na watu. Kwa hakika kwa hapa Zanzibar Mungu Alimfungulia Maalim Seif Hidaya hiyo.
Inshaa Allah Mungu Atatujaalia Kiongozi mwengine Atakayeweza Kutawala nyoyo zetu.
Na Kusema Ukweli JUSSA Tunamtegemea sana katika hili
pole.mwangu.jussa.pole.tuwe.soote.mungu.amlaze.pema.peponi.maalim.seif
Innalillahi wainna ilayhi rajiuun, Allah amsameh makosa yke na ampe wazungumzaji wema ktk kabri yke... Ya Allah tupe na sisi hatma njema.... tuwe na Subra soote in sha allah...
Hatuwez kumsahau Maalim Daima tutamkumbuka😭😭😭😭😭 Hakun aliekua hakuumia Allah amlaze mahali pema peponi Inshaallah Allah amjaalie kabr lake rowdhwanminriyaadhwijanna
Inna lillahi waina illahi rajiun m.mungu amlaze mahala pema peponi tunamuobea janna ferdous ya rabbi l allamin Maalim Seif Allah ampe kauli thabit poleni sana wote
Masha Allah tupo pamoja mh Jusa.. Allah amlaze pahala pema peponi .. na waheefadh viongozi wetu walobaki..Amin..UMOJA UMOJA UMOJA..💕ALLAH AKUPE SHIFAA NA WEWE MHESHIMIWA JUSA. AMIN
Marhoum maalim Tajiri wa MOYO WAKE MASHA ALLAH.
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه فسيح جناتك. Pole sana ndugu yetu Ismail na waznz wote
Tuwe pole sote Muh. Jussa, tunajuwa wewe ulikuwa right hand wa Maalim Seif, tumuombeeni Maghfira na sisi tuwe na subra, na tunamuomba Allah atupe khatma njema, آمين
Allahumma amiin
Allah mpe malimu Seifu Sharfu Hamad pepo ya daraja yajuu
Aamin
Amiin yarabil-allamiin
Yah Rabi watie nguvu viongoz wa Act wa mchague Mh jusa awe Makamo wetu wa kwanza wa Rais inshaallah amin
Poleni sana Ismail na wote wa Zanziber
Duh jussa usilie broo utatuliza na sisi,maana kwa hakika amekwenda legand lakini bado mawazo yake yatatumika ktk maisha yetu
Pole sana kiongoz pia na ss ultugusa sana mxba
😭😭pole kaka sio ww nasis wng tunamauvu makali km ww wallah...Allah atufanyie wepes in shaa Allah
Hakika maalim sef alikuwa mtu wa kipekee kuwahi kutokea kwa tanzania mtu aliepitia misukosuko mikubwa ya kisiasa na kubwa zaidi ni kuweza kusamehe wale wote waliomfanyia mabaya mkasa mkubwa pale alipofungwa kwa kesi ya kusingiziwa kipindi cha rais samini mungu amlaze mahali pema peponi AMIN
Maashaallah namuomba Allah akufanyie wepesi katika mambo yako kaka jussa vile vile Allah ampe kauli thabit
So sad!! Inna lillah wainna ilaih rajiuun!! Legacy aliyoiacha Maalim tafadhali iendelezwe na waliobaki. Kweli ndg ISMAEL umeumia sana ingawaje sote tumeumia pia.
Pole mh, jussa tunatarajia kuona nani atavaa viatu vya mh, maalim seifu, maana viatu vya mh, maalim seifu ni vizito sana, mwenyezi MUNGU ailaze pema peponi.
Nakuona Jussa unavyoumia, pole kaka tupo pamoja tumeumia 😭😭😭😭Alipo tupo na sisi twamfata 😭😭😭😭
Allah amswaameh kiongoz wetu ampe qauli tthaabit amfanyie sahli khaswaa ktk usku huu wake wa kwanza qabrini,amuweke mahala pema peponi awazidishie subra wana familia na atuzodishie subra wazanzibar na wote walioguswa na msiba huu mzito kwa jumla na atujaalie namna bora ya kumuenzi na maneno na vitendo ...hkika alikuwa zaid ya kiongoz na ametufunza mengi ,twalia na kuhuznika laakin hatuna namna zaid ya kumshukur allah na pia kumuombea...
Amin yarrab
Pole sana mheshimiwa Jusa. Usiliye kheri ipo njiani. Hakika baada ya dhiki ni faraja
Mgu amjalie wigi warehma Amin
Nakuamini sana jussa ukipata nafasi yke naamini utayaendeleza aloacha mzee wetu kipenzi chetu maalim seif sharif hamad
Siku nzitoooooo ya rab tupe subra
اللهم اغفر له وارحمه وعافه واعف عنه اللهم لاتحرمنا أجره ولاتفتنا بعده.... آمين
Yaa Rabbi Msamehe Madhabi Litie Nuru Kabri Lake Ijaalie Pepo Iwe Makaazi Yake
Haendi na nyumba wala magari wala mapesa Alhamdullillah anaenda na sanda yake dua zenu wote ndio muhimu
Kiukweli tunampenda sanaa wazanzibar Maalim seif shariff hamad
Umeona eeh
Yaa Allah mrehemu Maalim Seif Sharif Hamad na umpe maisha mema ya BARZA na umfanyie wepesi hisabu yake AAMIN
M mungu amlaze pahala pema peponi na mpe kauli thabit na M mungu tunakuomba umpeleke pepo ya jannat lfirdus inna lillahi wainna ilahi rzjiuun
Allah akujaalie pepo kipenzi chetu Maalim 😭
Amin amin
aaaamin
Amiiin
Ameen Yaraby
إنا لله وإنا إليه راجعون..... May Allah taala grant Maalim seif Sharif Hamad Jannat firdaus and grants the the family subra Jameel.....
Kaka Jusa pole sana
Kiukweli tulimpenda Sana maalim seif Ila kazi yake Allah haina makosa
Ni kweli kabisa
Allah amrehem kiongozi wetu AMIIN
Suleiman amiina
Ndio maana kichwa changu kiliumia Sana kuwaza nani atawashikanisha
Jussa , bimani, mazrui .....Mungu aendelee kuwafariji na kiwapigania Mimi naamini maalim alikuwa zaidi ya mlezi kwenu nimeumia sana
Pole sana Kala Ismail Tunajua unaumia cc poa tumaumia😭😭😭😭
Jikaze Jussa kuwa mkakamavu japo ni ngumu tupe moyo ndugu zako 😭😭😭😭 maumivu, huzuni na 😭😭😭😭
Wise men still hope you get better soon inshaa Allah we need to make zanzibar better place for us all tumechoka huku uhaibuni stay safe Allah bless stay strong
Alla humma ajirniy fiy muswibati wakhlufniy khayra mminha
Gone from sight but never on hearts of Zanzibar people. U will always be missed and loved. May your soul rest in peace my Ammi. Ameen
Of course! May his soul rest in peace!!
@@jumakapilima5674 ameen
May his soul rest in peaceful place in janat firdarous Ameen yarab🙏🙏 and May Allah grant patience his family, friends and nation at large😓😢
Kiukweli malim hakuwa mroho wa madaraka wala mwizi wa pesa za selikali tumeona kijijini kwao kulivyo masikini Mungu amrehem
Jussa ulikua pacha na maalim tunakutegemea Jussa Allah amlaze pema malim daima tutamkumbuka innalilahi wainailairajiun
Wazanzibari tustahamilini na msiba huu wa maalim seif lakini jussa ustahamili zaidi pale ulipoweza kukitoa muhanga ukiwa na maalim seif na yakakukuta yalio kukuta .
Pole sana mh. Jussa
Kila anachokiondosha mngu hukiondosha kwa mopango yake Alla atatupa kilicho kuzuri inshaalla
Ilikuwa ni lazima siku moja maalim afe, ni mfumo wa maumbile, lakini kinachouma saana ni kumdhulumu sio yeye bali ni sisi kunyimwa haki na nafasi ya kunufaika kupitia maarifa yake na vipaji vyake, chuki miongoni mwa wanaobebwa kiutawala ndo sumu ya kutudumaza na tukawa hivi tulivyo, ni ajabu tusioijua siri yake serikali mbili kumuogopa mtu mmoja
NI KWELI AMEONDOKA DUNIANI WATU WAKIWA NA UMOJA NA MAELEWANO KARUD KWA MUNGU WATU WAKIWA WAMOJA NA AMANI NCHINI KARUDI KWA MUNGU KUACHA NCHI NA AMANI MUNGU MSAMEHE MAKOSA YAKE TUTAMKUMBUKA MAISHA NA HATOSAHAULIKA KTK MAISHA YETU
mwenyezi mungu amsamehe madhambi yk na amjaalie wazungumzaji wema.
Allah amrehemu maalim na atupe subra kwa sote na hasa kwa wale waliokuwa karibu nae kama mhishimiwa jusa na wenzake.. Leo Raisi magufuli alitoa siri nzito na mimi namshukuru kwa ukweli wake kasema maalim alimuandikia barua Mara Tatu ili aonane nae lakini watu WA serekali ya znz walimwambia muache tu.. Kisha akamkubalia aje kuonana nae asema magufuli picha niliyokuwa nayo ya maalim alipokuja ilikuwa ni picha nyengine kabisa..
Sheni tu huyo hakuna mwengine
Amiin
Allah amsamehe makosa yake yote na amjaalie pepo ya firdaus
Maneno mazima
Naam anafaa kua mrithi
Naaaam
Broo pole sana
😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤲🤲🤲
Usilie ndugu yangu tuweni na subra Allah atatufikisha kwenye kheri nasi tuko pamoja
Alla amsameh makosa yake
Mtoto wa sefu
Tunakuangalia wewe jusa sasa allah ampe pepo ya firdaus
We ni mrith
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Tajir mkubwa wa peponi
Tutamkumbuka maalim Allah amrehem amsamehe makosa yake
Kwel baba
NI SHAIRI LINALOLIZA LA KUSISIMUA MOYONI KWA KWELI MAALIM ALIKUWA VIFUANI MWETU😭😭😭
👇👇
th-cam.com/video/RLR-aAqLh6k/w-d-xo.html
Mbele yake nyuma yetu ni msiba wetu sote
Wewe wala huwezi kuvaa viatu vya maalimu seifu!!
Kuna anaeweza?
Kwani kasema atavaa?
Inalilahi waina ilaihi Rajiun hiyi ndio dunia viongozi tujifunzeni kwahili lililopitia yeye hakujali chama yeye kajali Nchi kwanza na maslahi ya wananchi 😭😭🤲🤲🤲
@@zamzamsuleiman6824 kwani namimi nimesema amevaa?