Aslay feat Khadija Kopa - UJsiitie Doa (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 เม.ย. 2017
  • ASLAY FT KHADIJA KOPA - USIITIE DOA
    / aslayisihaka
    / aslayisiaka
    / aslayofficial

ความคิดเห็น • 2.2K

  • @MalaikaMsomali
    @MalaikaMsomali 5 หลายเดือนก่อน +53

    Weka like zako kama bado unasikiliza huu wimbo 2024👍❤

  • @nancymwanyae7730
    @nancymwanyae7730 3 ปีที่แล้ว +53

    Ndoa usiitie DOA, maneno ya busara wapi likes za Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @glowbyayans
    @glowbyayans 5 หลายเดือนก่อน +41

    Nani Ako apa 2024 pita na like

  • @officialrinna
    @officialrinna ปีที่แล้ว +68

    khadija kopa and aslay...such a big tune...can't get enough of it in 2023

  • @MercyMuemah
    @MercyMuemah ปีที่แล้ว +45

    Aslay kuvuma zaidi Tena wapi likes za aslay Kenya apa 2023

  • @user-xf8nv4yx4q
    @user-xf8nv4yx4q 3 หลายเดือนก่อน +6

    Uyo jaama anaitwa aslay alipotelea wapi jameni?

  • @bridgitakinyi3597
    @bridgitakinyi3597 5 ปีที่แล้ว +4

    Very nice music,,,nimeiweka ringtone hadi,,,Khadija Kopa mapenzi tele kutoka Kenya,,,Aslay hongera,,,,

  • @aishafransic8749
    @aishafransic8749 4 ปีที่แล้ว +23

    Sichoki kuiangali hii nyimbo mashallah😘😘😘😘😘😘😘😘😘

  • @jamesowich3869
    @jamesowich3869 3 ปีที่แล้ว +80

    2021 msitie doa kwa ndoa lyk za Khadija twende.

  • @yussufmaliki9002
    @yussufmaliki9002 4 ปีที่แล้ว +307

    Kama umeangalia iyi nyimbo 2020 gonga like twende saw

  • @MudizoRoyal-kj3ts
    @MudizoRoyal-kj3ts 14 วันที่ผ่านมา

    Ngoma kali sana hakuna wa kuishusha daraja hii nyimbo mpaka dunia inaisha 😮😂😂 Weka like basi 2024❤😂📌

  • @gemmamark3165
    @gemmamark3165 2 ปีที่แล้ว +3

    Wimbo mtamuu hauchujii katuu ukweli uko pale palee👍👍

  • @brunomasebo9387
    @brunomasebo9387 7 ปีที่แล้ว +13

    mwanauma analogwa kwa mambo,mambo...love that part
    Nice sonng

  • @KasB254
    @KasB254 7 ปีที่แล้ว +647

    wow amazing,+254 namark registar nipeni likes kama unakubaliana na mimi dogo Aslay is super talented.....hii ndo itachezwa kwa harusi yangu

  • @allyjerome9451
    @allyjerome9451 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mwandishi wa huu wimbo ni genious, sijui nani aisee👏👏👏

  • @eunice629
    @eunice629 ปีที่แล้ว +2

    Aslay will always be my GOAT when it comes to bongo🇰🇪🇰🇪

  • @cecilmageka1743
    @cecilmageka1743 4 ปีที่แล้ว +166

    Npo apa narudia ngoma 2020....gonga like tukisonga

  • @shakilayusuf7802
    @shakilayusuf7802 ปีที่แล้ว +15

    I don't remember the much times I have played this song since 2018, especially today,I LOVE THE SONG SO MUCH.The.song sounds new every time I listen to it.I love the words,message,tone and the mood plus the ....between the artists.

  • @petiepenina5575
    @petiepenina5575 6 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo uko na ujumbe mzuri saana big ups yourself.... Aslay and Khadija

  • @suleimansuleiman5498
    @suleimansuleiman5498 6 ปีที่แล้ว +4

    Dada zetu message sent and delivered kwa nia njema kabisa 👍👏🏝

  • @winnieabiero426
    @winnieabiero426 7 ปีที่แล้ว +6

    inshallah nikifungishwa ndoa it wil be my entry tune😍😍😍😍😍😍haaalloooo...

  • @mariammbeyu4634
    @mariammbeyu4634 10 หลายเดือนก่อน +5

    hii nyimbo nayo lazima ichezwe kwa wedding yangu ,,InshaAllah🤲

  • @omarikilagu4101
    @omarikilagu4101 3 ปีที่แล้ว +2

    Duh nyimbo hii nikiangalia dam yanisisimka kwa kweli natamani niingie humo 😘

  • @rittawidmel6191
    @rittawidmel6191 6 ปีที่แล้ว +1

    Yaani huu wimbo mwisho wa matatizo...aslay umebarikiwa

  • @kenyansomaliadiva9591
    @kenyansomaliadiva9591 7 ปีที่แล้ว +15

    nipeni like basi representing all somalis

  • @deborahmamuu4289
    @deborahmamuu4289 7 ปีที่แล้ว +15

    I live in New York City. To be honest this guy is very talented. I
    presume he will be a very successful musician in Africa. I just cant
    understand the language used in this song but i have replayed it
    thousand times tirelessly. UMETISHA MDOGO WANGU ASLAY!!! MUNGU KAKUPA
    KIPAJI CHA AJABU, YAMOTO INAKUCHELEWESHA, WANATUMIA MGONGO WAKO TUU
    maaaa maeeee!

    • @lzalza8074
      @lzalza8074 2 ปีที่แล้ว +2

      🤔🤔🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤣😂huelewi lugha

    • @fridahelelia6914
      @fridahelelia6914 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂so u don't understand Swahili

  • @chrissy_Tv778
    @chrissy_Tv778 6 ปีที่แล้ว +1

    Aslay, umepanga makamusi kweli.., ngoma safi..

  • @muhammedsulubu1883
    @muhammedsulubu1883 6 ปีที่แล้ว +2

    wafundeni wafundike hey ladies kama umeolewa ama bado listen careful to this song you won't regret mawaidha mazuri sana Mo'd da power of love from mombasani kenya

  • @ilishiramzah4488
    @ilishiramzah4488 7 ปีที่แล้ว +22

    Aslay x kopa big up👌bwana harusi msike taratibu mali yako😘😘😘

  • @lynnedarling1135
    @lynnedarling1135 ปีที่แล้ว +3

    Bravo to that guy dancing.Living his life to the fullest 😍

  • @renatusyuda4230
    @renatusyuda4230 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahaaaa!,, Aslay nakukubali sana, 2020 bado naichek ngoma Kali sana, maneno ya kungwi yanafunza sana, Aslay na mama kopa.

  • @stephensanga2443
    @stephensanga2443 5 ปีที่แล้ว +231

    Wale wanaoicheki hii ngoma mpk mwaka huu 2019 gonga like hapa

  • @janetjuniormuthama8219
    @janetjuniormuthama8219 6 ปีที่แล้ว +16

    Keep going aslay....sauti unayo nzuri yakumutoa nyoka pangoni.....wimbo umekubalika

  • @anwaralnabahan2748
    @anwaralnabahan2748 7 ปีที่แล้ว +18

    Huyoo kopa hatari ukimshirikisha lazima akupotezee ndio mana diamond hakumpa sawasawa kaogopa kupotezwa ngoma kali sana

  • @newtonsimba7930
    @newtonsimba7930 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwanaume harogwi, anarogwa kwa mambo.....mambo....eeeeh! hapo hapo.

  • @makomelokipando4259
    @makomelokipando4259 4 ปีที่แล้ว

    We jitaid upendeze uwarushe sana roho ,,,,,,,,,penda sana aslay

  • @betrue33
    @betrue33 3 ปีที่แล้ว +23

    2021 still watching Asly is an asset❤❤

    • @kambere2732
      @kambere2732 2 ปีที่แล้ว +1

      You are not alone... I am here again on 5th Nov, 2021

  • @eliuthamangula1791
    @eliuthamangula1791 7 ปีที่แล้ว +5

    can`t pass a day without listening to it..wimbo mzuri Aslay。。LOVE from 河南郑州+86

  • @user-nb8jy4ue9e
    @user-nb8jy4ue9e 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤ mtu wangu mkali kabisa

  • @petermwangi7047
    @petermwangi7047 6 ปีที่แล้ว

    Kali sana aslay sina usimi hongerà kwa vitu vikali.

  • @hassanluqman7823
    @hassanluqman7823 5 ปีที่แล้ว +105

    Team aslay 2019 mko wapi ???

  • @fellesyiabrendah8194
    @fellesyiabrendah8194 7 ปีที่แล้ว +56

    Mob love from Kenya. Naikubali sana kazi yako Aslay alaf Khadija pia. bonge zuri la colabo.

  • @magelennah2867
    @magelennah2867 5 ปีที่แล้ว

    Uyo bwana harusi akitababasamu daaa!! Mpaka nasikia rahaa

  • @matun1234
    @matun1234 2 ปีที่แล้ว

    Aslay ni kipoko yao, he never disappoint

  • @mangiruben
    @mangiruben 7 ปีที่แล้ว +40

    Mama Kopa nawe umeifanyia kazi hii nyimbo!

  • @racheljaphetic9260
    @racheljaphetic9260 7 ปีที่แล้ว +68

    hata mama kopa naye fundi sanaa sio aslay mwenyewa

  • @boramimi5389
    @boramimi5389 6 ปีที่แล้ว

    Aslay ni fundi, mama yetu Hadija Kopa ni shidaaaaa!

  • @juniormgema2524
    @juniormgema2524 3 ปีที่แล้ว +1

    Kopa wewe baby face mama usungo huooo👌👌👌👌

  • @aminaselemani6212
    @aminaselemani6212 3 ปีที่แล้ว +4

    Wapi 2020 gonga like kam unarudia rudia kuangalia hii ngoma

  • @epifaniaminja7930
    @epifaniaminja7930 7 ปีที่แล้ว +17

    Aslay
    Awesome song ,great message ""mashoga wataaribu ndoa yako..watakupingua watamchua mume wako "❤.

    • @peninasamuel4583
      @peninasamuel4583 5 ปีที่แล้ว

      Great song

    • @zaitunkeji7436
      @zaitunkeji7436 5 ปีที่แล้ว

      Epifania Minja beautiful works that is role African world for 2 people when their are getting married.

    • @zaitunkeji5990
      @zaitunkeji5990 4 ปีที่แล้ว

      You mention the message is clear respect to you husband.

  • @martohzack2075
    @martohzack2075 ปีที่แล้ว

    Napenda hii wimbo kwa sababu ni kioo Cha Jamii, kuna wosia mzuri sana kuhusu ndo wadada hope kulinda ndoa zao

  • @mathewtutorials2048
    @mathewtutorials2048 ปีที่แล้ว

    Aslay ,,,,, wimbo huu wah wah wah,,,,
    Alafu heko naona siku hizi umerudi Kwa mitandao Kwa kishindo

  • @euniceadhiambo9672
    @euniceadhiambo9672 7 ปีที่แล้ว +47

    aslay ww ni fundi wa mistari, I love it

  • @mwalejnr769
    @mwalejnr769 7 ปีที่แล้ว +64

    Aslay always been one of my favourite, wimbo umekubalika

    • @samiasam8849
      @samiasam8849 7 ปีที่แล้ว +6

      Antonio Mwale Jnr 9

    • @johnvkway9545
      @johnvkway9545 7 ปีที่แล้ว +2

      Antonio Mwale Jnr asy nova

    • @cvnm2837
      @cvnm2837 5 ปีที่แล้ว

      Antonio Mwale Jnr vumi

  • @linacharles3583
    @linacharles3583 6 ปีที่แล้ว

    wimbo mzuri sana ,nimechukua ujumbe mdogo wangu, MUNGU akulindie hiyo talanta alokupatia

  • @zainabukalua6641
    @zainabukalua6641 6 ปีที่แล้ว

    Shikamoo Khadija kopa du! nimeupenda bureeeee huu wimbo Asley pambana baba na hali yako

  • @matoomatano8815
    @matoomatano8815 4 ปีที่แล้ว +4

    Haraka yanini wakati hio nimaliyako? I'm in love with dis song

  • @jacklinemutindamutinda1658
    @jacklinemutindamutinda1658 6 ปีที่แล้ว +8

    This is awesome watching from Australia Sydney

  • @hadijahadijaselemani4941
    @hadijahadijaselemani4941 6 ปีที่แล้ว

    Asley mja mungu akuzidishie Aminaa

  • @aidenrichard4440
    @aidenrichard4440 4 ปีที่แล้ว +1

    Aisee unajuaaa .

  • @alicemacharia6805
    @alicemacharia6805 3 ปีที่แล้ว +3

    I love Aslay so very much ....keep up young man

  • @phoebemirikwa557
    @phoebemirikwa557 3 ปีที่แล้ว +11

    I like and in love with this song, ,,,, I must dance with it on my wedding inshalah,,,,, much love,,,, 💜💜💜💒this is the best,,,, good advice in it

  • @jescamichael5994
    @jescamichael5994 3 ปีที่แล้ว

    Wivu usiundekeze utakutoa roho ngoma Kali kinoma

  • @lzalza8074
    @lzalza8074 ปีที่แล้ว

    Nkobhapa tena nkisikiliza mziki wa maana much love a slay and mama

  • @maimunaembalo7748
    @maimunaembalo7748 6 ปีที่แล้ว +50

    Being African is a blessing 💛💚❤️

  • @erickowino752
    @erickowino752 3 ปีที่แล้ว +19

    This guy Aslay , never disappoint always creative. He is surely underrated

  • @maurineokumu532
    @maurineokumu532 2 ปีที่แล้ว

    Mbona aslay umenyamaza siku hizi, napenda nyimbo zako SI utoe ingine na mama Khadija.

  • @nasraalaoifi8217
    @nasraalaoifi8217 7 ปีที่แล้ว

    hadi rahaaaa jamani napenda sana nyimbo hii

  • @suleimansuleiman5498
    @suleimansuleiman5498 6 ปีที่แล้ว +8

    mambo ya KWETU pwani mapenzi mubashara

  • @jumawilliam2423
    @jumawilliam2423 7 ปีที่แล้ว +9

    Haters for this song, are irrational and does not value advice. This song is great, I listen to it daily. |Kopa

  • @divinahgesare8842
    @divinahgesare8842 11 หลายเดือนก่อน

    my favourite Aslay mwamba❤

  • @happydavid2u5david46
    @happydavid2u5david46 6 ปีที่แล้ว

    hatareeeee kubwa umetishaaaa sana

  • @aserikemromeo2328
    @aserikemromeo2328 4 ปีที่แล้ว +3

    Khadijah kopa best lady ever.
    Greetings from Cameroon.

  • @sitikisheto8296
    @sitikisheto8296 7 ปีที่แล้ว +39

    hatareeeeeeeey kijana asly uko sawa bwana

  • @elisha63
    @elisha63 ปีที่แล้ว

    Ila aslay ni mtu super kwa music wetu jamn kipaji cha hali ya juu

  • @maggiemwambapa900
    @maggiemwambapa900 7 ปีที่แล้ว +1

    Yani unastahili pongezi kijana mwenzangu yani Aslay unaweza sanaaaaa your so talented and blessed😙😙😙❤❤❤👌👌👌.

  • @ShankiAustine
    @ShankiAustine 4 ปีที่แล้ว +6

    Nani bado yuangalia hii wimbo 2020

  • @mkolamrua9494
    @mkolamrua9494 7 ปีที่แล้ว +6

    sijui kiswahili ila hii nyimbo 🔥🔥🔥🔥 go go aslay

  • @user-jl1uj4pd1w
    @user-jl1uj4pd1w 9 หลายเดือนก่อน

    Wametishaaa nawapendaaaaa mnooo

  • @happiliciousdiva9767
    @happiliciousdiva9767 6 ปีที่แล้ว

    Mimi nakuelewaga sana #Aslay kwa kwel na hujawaigi kuniangusha keep it up the gud work

  • @peeweelien8363
    @peeweelien8363 5 ปีที่แล้ว +5

    This is Africa at its best...nothing but love❤❤

  • @sheilaotieno4247
    @sheilaotieno4247 5 ปีที่แล้ว +4

    This young man is not just a talented artist but also very handsome

  • @topistarnguraru5896
    @topistarnguraru5896 3 ปีที่แล้ว

    Nyimbo naipenda Mashallah khadija Kopa na Aslay hii itawekwa siku ya harusi yangu

  • @mukeshimanarashide4714
    @mukeshimanarashide4714 ปีที่แล้ว

    Muziki muzuri nic song💞💞💞💞💞mwanaume.harogwi kweli.anarorwa kwamambo mupopakaapo🔥🔥🔥🔥

  • @fatumaababy1281
    @fatumaababy1281 7 ปีที่แล้ว +223

    bonge LA ujumbe..wimbo umenigusa sana.nipo Qatar kweli sana Aslay this round uko poa

    • @babyaisha8192
      @babyaisha8192 7 ปีที่แล้ว +8

      fatuma Ababy nipo Qatar pia give m ur no.nice

    • @lorenzojunior2755
      @lorenzojunior2755 7 ปีที่แล้ว +5

      nakuona

    • @cashkambi5992
      @cashkambi5992 7 ปีที่แล้ว +5

      fatuma Ababy upo Qatar sehem gan nami nipo Qatar fanya tuonane

    • @cashkambi5992
      @cashkambi5992 7 ปีที่แล้ว +6

      Baby Aisha baby Aisha upo sehem gan nami nipo Qatar nipe number yako

    • @fatumaababy1281
      @fatumaababy1281 7 ปีที่แล้ว +4

      Cash Kambi nipo Lulu mall opposite Doha mall

  • @myshylysh3554
    @myshylysh3554 6 ปีที่แล้ว +25

    Ujumbe mpoa ila vyura dah! Wimbi uko dope😍

  • @kemzykemzy9
    @kemzykemzy9 7 ปีที่แล้ว

    Eiiiiish Aslay is a grown up sasa..uyu mtoto nimeona juzi juzi ..nice music

  • @dannamukali6459
    @dannamukali6459 2 ปีที่แล้ว

    Aslay Ako wapi nakumiss sana bro Kenya tunasuburi ngoma mpya

  • @djaliadjalove492
    @djaliadjalove492 6 ปีที่แล้ว +8

    Woooooow this is a wonderful song for a wedding day❤️❤️❤️❤️❤️

  • @benjaminwilliam2919
    @benjaminwilliam2919 6 ปีที่แล้ว +30

    Hey Aslay, I love your music. I'm visiting Tanzania in August. Will you have local shows in August? I'd love to watch you live.

  • @mbokamwaiseje778
    @mbokamwaiseje778 6 ปีที่แล้ว

    Very nice song, ni 🔥 nakupenda hadija kopa ,aslay we kiboko

  • @euniceakudai4203
    @euniceakudai4203 4 ปีที่แล้ว +1

    Real talent, big up Aslay keep going umetoka mbali

  • @suleimansuleiman5498
    @suleimansuleiman5498 6 ปีที่แล้ว +2

    maneno kuntu kwa aliefahamu . Ni darasa zuri sana kwa wanawake

  • @dajuriyticha5643
    @dajuriyticha5643 3 ปีที่แล้ว +5

    I'm here enjoying the good Swahili nation language...

  • @husseinmuganza8355
    @husseinmuganza8355 ปีที่แล้ว

    +243 inakupenda aslay sauuuti jamaaaani wewe ndo king wa Bongo flava 👑👑🇨🇩 kama kuko yule amejiita king alafu ww ndo mungu

  • @onowuizuchukwu7257
    @onowuizuchukwu7257 ปีที่แล้ว

    I Rep Lagos Nigeria and I love TZ music so much, i started following from yamotoband and i really thank God he still put up the fight like Mbosso and never give me like others, keep it up bro

  • @estherkaleni9165
    @estherkaleni9165 7 ปีที่แล้ว +5

    now this is a track right here m proud to say m Tanzanian

  • @gracenjoroge8719
    @gracenjoroge8719 5 ปีที่แล้ว +20

    this song alway encourage my relationship

  • @footballfanaticshub4143
    @footballfanaticshub4143 2 ปีที่แล้ว +1

    Aslay always remains my favourite and best artist in EA

  • @fettymunisi4554
    @fettymunisi4554 5 ปีที่แล้ว

    Ipo pow san Mungu ampeshe na maradhi azindi kutupa burudan