NYIMBO NYINGI ZA SASA KANISANI ZINAMTUKUZA SHETANI BILA KUJUA|Nabii Aston Adam Mbaya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 61

  • @msanginaza905
    @msanginaza905 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mm huyu mtumishi Adamu amenifundisha sana na nimepata picha ya tathimini ya maisha yangu ...Mungu ambariki sana mtumishi Adamu na mtafsiri wake pamoja na promover tv

  • @flourishing_wilderness6072
    @flourishing_wilderness6072 9 หลายเดือนก่อน +13

    Kama una roho mtakatifu hizi nyimbo utazijua, hazipeleki hisia zako kwenye toba na kumtafuta Mungu katika utakatifu bali unapata hisia tu zakuburudishwa (spiritual sleeping peel) , saa nyingine zimebeba hisia za huzuni, unahisi kujihesabia haki, zinaamsha kiburi na kumfanya mkristo arizike na hali yake ya kiroho
    Edit: Pia hizi nyimbo zinatabia ya kuchuja; muda wake wakuvuma ukishapita haileti hamu kuisikiliza, inakuwa very empty haifai tena kwa nafsi lakini wimbo uliovuviwa na roho Mtakatifu HAUCHUJI KAMWE. Unaweza ukaisikiliza 20 yrs later na bado ukasikia ule uwepo/hamu ya kuwa karibu na Mungu au kuacha uovu au kutiwa moyo. Ushawai kupitia mahali pagumu ukamkumbuka Mungu naye akakukumbusha wimbo flani wa zamani, hata kama ni wa kitabu alafu ulipousikiliza au kuuimba ukasikia amani!

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 9 หลายเดือนก่อน

      We dada una rohomtakatifu dana ase umeeleza vzr mnoooooooo mpk nimejikuta uchi kiroho

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 9 หลายเดือนก่อน

      ila watu wako Busy kusifu Kishetani Shetani

    • @mabondolawrence1812
      @mabondolawrence1812 8 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa mtumishi

  • @sallymumia8425
    @sallymumia8425 9 หลายเดือนก่อน +4

    Very true most gospel music when you see their dances,their dressing code,and song,lord have mercy

  • @julianamhenga1712
    @julianamhenga1712 9 หลายเดือนก่อน +5

    Wakati Mungu alinifundisha hiki kitu nilijisemea itakuwa ni akili yangu na siyo ROHO MTAKATIFU, lakini nilipopata kufatilia ndo nikajua kuna kitu hakiko sawa. Na watu tunaimba tukijua tunamuimbia Mungu kumbe hakuna

    • @Kais12311
      @Kais12311 9 หลายเดือนก่อน

      shallom ...ata mimi nilichukulia poa kabisa lakini hiki kitu hua kinazidi kunisumbua sanaa yani sana...mpaka juzi baada ya kugundua kua nimepoteza mpaka hamu ya maombi na kubaki kusikiliza hizi nyimbo ndio nikashtuka nikazifuta zote ....

  • @CherieDeDieu
    @CherieDeDieu 9 หลายเดือนก่อน +4

    Tres Vrai l'homme de Dieu

  • @annamakandawa7065
    @annamakandawa7065 9 หลายเดือนก่อน +3

    Ni kweli kabisa

  • @marthaumazi2197
    @marthaumazi2197 9 หลายเดือนก่อน +1

    That's very true man of God ,

  • @LucyKway
    @LucyKway 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atusaidie

  • @Stelaelias-i8o
    @Stelaelias-i8o 9 หลายเดือนก่อน +5

    Bwana Yesu atusaidie

  • @josykogei7647
    @josykogei7647 9 หลายเดือนก่อน +3

    Ukweli mi niliota naona waimbaji ila si waimbaji ni sura za kutisha

  • @Stelaelias-i8o
    @Stelaelias-i8o 9 หลายเดือนก่อน +3

    Nikweli kabisa 😢😢

  • @MariamMlingwa
    @MariamMlingwa 8 หลายเดือนก่อน +1

    Very true 😢😢

  • @marymwapiya1274
    @marymwapiya1274 9 หลายเดือนก่อน +2

    Juzi tu nimekutana na video mtumishi wa Mungu mmoja akasema kunamuimbaji aliacha ndoa yake ni shoga na huku nyimbo zake zinapendwa sana anasema alialikwa kuimba huko congo wakafumaniwa na binti anayemuita mtoto wake .kwa kweli Mungu atupe macho ya rohoni

    • @lukafbbwebelof3874
      @lukafbbwebelof3874 9 หลายเดือนก่อน

      Nimwimbaji gani huyo? Mtuambie nasisi tujuwe na tumjuwe

    • @marymwapiya1274
      @marymwapiya1274 9 หลายเดือนก่อน

      @@lukafbbwebelof3874 chunguza muimbaji wa kike anabinti na huyo binti ni wa kumlea wote wanaimba

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@lukafbbwebelof3874Hakumtaja Jina

  • @PerisChari
    @PerisChari 9 หลายเดือนก่อน +2

    Na utajuaje nyimbo inatoka kwa Mungu ama kwa shetani

  • @upendochiwa25
    @upendochiwa25 8 หลายเดือนก่อน

    Mm moyo wangu ndio unanipa ga kibali

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 7 หลายเดือนก่อน

    Hapo Sikupingi

  • @kayf-kk7bg
    @kayf-kk7bg 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akubariki sana kwa somo la maonyo. Bila macho ya rohoni tutawezaje kuona?

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 9 หลายเดือนก่อน

      Tuombe Mungu atupe macho ya rohon

    • @kayf-kk7bg
      @kayf-kk7bg 9 หลายเดือนก่อน

      @@janethmwihumbo1289 ni kweli janethmwihumbo1289

  • @MariamMlingwa
    @MariamMlingwa 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kwakwel inatsha tupo nyakati mbaya

  • @ainekishagodwin1877
    @ainekishagodwin1877 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kanisani nàtamani kuacha kusali kanisani wanapiga mapiano na watoto wanafundishwa jucheza stail 😢😢😢

    • @ireneauxley8802
      @ireneauxley8802 9 หลายเดือนก่อน +1

      Usiache , yapo makànisa bado yametunza uwepo wa Mungu

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 8 หลายเดือนก่อน

    Zingine zinapigwa mpaka baa lkn eti ni za kanisani!

  • @Alfredmusa24
    @Alfredmusa24 9 หลายเดือนก่อน +5

    Je, unakubaliana na hawa watumishi??? Toa maoni yako hapa kwenye reply section tufundishane 👇

    • @owenomwanawayesu6961
      @owenomwanawayesu6961 9 หลายเดือนก่อน +3

      Kweli kabisa….

    • @PatrickMathias-cs9qc
      @PatrickMathias-cs9qc 9 หลายเดือนก่อน +4

      Ndio wapo sahihi haswa

    • @rosemarymwanitega7926
      @rosemarymwanitega7926 9 หลายเดือนก่อน +4

      Yes wapo sahihi kabisaaaaaaa

    • @Alfredmusa24
      @Alfredmusa24 9 หลายเดือนก่อน

      @@owenomwanawayesu6961 kweli kabisa

    • @Alfredmusa24
      @Alfredmusa24 9 หลายเดือนก่อน +1

      @@PatrickMathias-cs9qc haipigwi

  • @yesuanikumbukejanuary8363
    @yesuanikumbukejanuary8363 9 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU nakuomba utukumbuke tuta ponaje sisi jamaani

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 9 หลายเดือนก่อน +1

    Secret agenda😂