MC PILIPILI NA MKEWE WALIVYOINGIA UKUMBINI KWA MBWEBWE..!
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
- MC PILIPILI NA MKEWE WALIVYOINGIA UKUMBINI KWA MBWEBWE..!
Mchekeshaji MC Pilipili na mpenzi wake Philomena, leo Juni 29, wamefunga pingu za maisha katika kanisa la Mbezi Chapel jijini Dar es Salaam....
Baada ya kufunga ndoa yao, wameandaa hafla fupi katika ukumbi wa Mlimani City...
#NdoaYaMCPilipili
Https://www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Globa
Harusi nzuri sana mmependeza sana 👏👏👏👏👌👌👌
Mlipendeza Sana mungu awatangulie jamnan nami natamani Sana mungu anipe mume mwema mungu nibariki na Mimi🙏🙏
Mungu niongoze vema ili siku moja iwe hivi kwangu na kwa Mme mwema ulie niandalia, hongereni sana
mmepndza sana
Htr
wadada wamedamsh nipeni likes zao 👌👌👌
Woow awesome wedding,wapi likes za mr ad Mrs
Ziko kwao
Mungu awajalie kila la kher
warembo wazuri wameoendeza sana Allah awasimamie ndoa iwaepushie na husda za wanadamu
Amen Rahma
Amen
Dijei yupo vzuli kuzipnga ngoma safi sana
Nikiangalia natamani kulia ee mungu nisimamie siku moja niwe hivi Hongera mcpilipili
Usilie utapat wako dear
Ucjar darling utapata ila muombe Mungu macho na mwili visichukue nafasi kubwa
With time utapata
Utapata lini wakati ukiombwa tu namba za simu unabetua mdomo!!!
@@witnessmonyo113 Ubarikiwe kipnz
Hongera sana kwao maharusi mungu awapiganie ktk safari mlioianzisha
Am more than happy glory be to Almighty God wawawawa I was so worried for you guys am so so happy Mungu awalinde kipindi chote mzae watoto wema wa kumpendeza Mungu na watu wote katika Jina la Yesu Kristo amen 🙏🏽
Hongera sana Mc Pilipili Mungu awe pamoja nanyi ktk ndoa yenu.
Hongera Sana bro wengine wapo nyuma ahsante Masanja kwa bakora ubarikiwe street Pasto
Mpendeza
congratietions Mr and Mrs Emanuel muishi maisha marefu
mmependez san mungu awape kizazi chenye furah na amani
Hapo Mc mngemweka Dr Chen ingenoga zaidi Walah!!!!!
Bjr
Mc Pilipili Hongera sana. Mmependezaa Mno
Ozaaaaa!! Mashallah Mmependeza aisee kila lakheri ktk safari yenu ya ndoa amani na upendo vitawale ktk familia yenu MC Pilipili
Mashaallah mashaallah zangu jamani 💕💕💕❤️❤️❤️
Filomena umpe mc vizuri si kwa harusi hii! mambo ni moto 🔥
Mambo nikamahayo
Haaaaaaaaaa nimecheka,vizuri hivyo vp
😂😂😂
Mary Gaspar hongereni sana mung awbariki kwenye ndoa nyenu mpate vizazi vilivyo vyema vyenye kumcha mung
Mary Gaspar kabisaa
Woow, it's amazing congrats sweet mena and brother pilipili , nawaooo omalicha na mi I lyk de dance moves ooh
Matukio ya muhimu kama haya wekeni nyimbo za kibongo tu achaneni na nyimbo za kigeni kwenye harusi zao hawaweki nyimbo zetu ng'o
Hongera sn kaka Mungu awajaliy kizazi chema
hongereni sana na mungu wa mbinguni awabariki
Wamependwza👏 Sana harusi imenoga Sana👌👌
Harusi ya kitaifa 😀😀😀😀mmependeza sana
hongeren san mungu awalinde kwa kila jambo katika ndoa yenu
Bjr
Wooo mung awAlnde waweze kudumu pamija
Huyo ndio mwanaume muoaji, sio mtu akuvalishe Pete ya uchumba tena akae miaka miwili hadi ajisahaulishe tena aanze kuregarega kwa wengine
😂😂
umenena harafu bado unasema mchumba wa mtu
@@subiransasi8029 yaani watu wengine wanakera, wanavalishana Pete ya kufurahisha na sio ya uchumba.
Kweli kabisaa
Mumenoga sana
Barakallah Mena na muwasho
Jamani nilikuwa nakuchukia kwa tabia yako lakini leo umeusafisha moyo wangu.MUNGU awatangulie
Cute mena umenoga sana mungu akawalindie ndoa yenu
All the best waiting my time
H
mimi ni Mc pia kuhusu Dj nyimbo hayo nimachaguo ya wahusika ya madis wao ndio walichagua hizo nyimbo.pia kuhusu muziki kwa ujumla ukumbi ukiwa mkibwa sound huwainasambaa sama japo hapo naona base ilikua chini kidogo ndio mana mziki unasikika kama makelele.but all in all ilikua njema
Hongera mc mmependeza sana wapendwa
wow hongereni sana mungu awatangulie zaidi from 254 tunawapenda
mc anaonekana anampenda sana mkewe had raha yan
to God be the Glory
Hata kam ni wakrsto niwajibu kuvaa nguomkajistiri
Hongera sana iwe ndoa ya kheri
Pendeza sana nyiye mungu mwema.
Cute sana mena ,grt wedding. Mr nd mrs May lord blz ur union
Jehovah nimambariki na mimi sikumoja iwe ivi
Hongereni sana umenoga mungu awape muongozo mzuri ktk maisha yenu
Bismilah mashalaah harus ilinoga. Ila wenye wivu hawatakosa la kusema🤣🤣🤣
👏👏👏👏👏👏
Wewe achana na hilo sebene ❤️❤️❤️❤️👌 🔥
WAP mgogo jaman
Hongera san
Hongereni sana... Tu nawatakia maisha mema na yenye baraka
Congratulations 👏👏👏👏💞
Mungu hawabariki💞💞💞
Huyu ndiye PILIPILI. Pilipili kali lazima iwashe. washawashawasha baba. Hongera. wenye wivu wamewashwa na pilipili, hapa hakuna kujinyonga, ni kupigwa na mwasho wa PILIPILI.
hongera chipilipili chikupaaya
Suit pink sio nzuri hiyo rangi ni ya wadada harusi nzuri
Umeona eeeh
Who said pink is only for women?🙄🙄🙄
@@khalekichambo1131 Wondering as well, people still living backwards.
Tusikariri rangi, tukubali mabadiliko. Wamependeza sn
kbsa waridi n y wadada
Mmependeza sana wa dada
Dj hovyo sana natamani nimfate humohumo kaniboa kwaya nying mzuri yy sijui ana weka nyimbo gan hazierewek mfyuu dj stupd
Yaaaani mziki ni o kabsa me nimeboreka sana km yangu vile kweli mfakamia maji hayanyi, nimeona wasaani wengi kuingia wanachemka
Hongereni sana na Mungu awabariki.
Nice one
Ni harusi nzuri sana ,mepndeza mno
wow masha Allah
Am the next.. congrats and all the best
harusi nzuri wanaoponda wanaona wivu,!
NEEMA MABIKI nice
Maashaallah maashaallah maashaallah👏👏👏IMEPENDEZA SANA MUNGU AWADUMISHE INSHAALLAH
Hongera sana!! Big step you have done
Hongera ndefu mnooo mke mrembo. Mmenoga mungu akawapiganie nyote
Baraka za Mungu zikawe muongozo wa maisha yenu ya ndoa🙏🙏
Mashaallah Allah waone wanao wameingia kwenye khery wacmami amen ongereni maharuc
Mashaallah sokwaharus hii
Wamependeza sanaaa... DJ kaniangusha jamn
Mashaallah mungu awape muongze mwema kweny maisha yenu
Nice couple ❤
Wamependeza sana japo wamevaa suti na raba hawa wacheza show
Masha allah masha alla bi harusi ana shep masha allah
Hongera hongereni sana
Huseni Mimi nipo kwenye ndoa miaka 7 nashukuru kwailo mash Allah ila mi nimefunga kiislam zaidi sio kama iyo
Allah akufanyie wepesi na akulinde❤️
Rahma Ramadhan hata mimi miaka8 kiislam zaid
Rahma Ramadhan mungu akuzidishie ukae miaka mia katika ndoayakoo
Harusi pambe ❤❤❤
Mzeeeeee pilipil bigup brow together with ma shem
Lovely couple 😘
Big up the wedding was so gud
Mme jaliwa ila zalau mnaongoza na uma raya
Mtazani hamf
Mzee bba meno 32 nje hongera San pilipili
hilo gauni jaman mungu anakuona umedamshi
Jamani Kwa nn wadada wamebdilishana rangi na wakaka pink is for girls ingekuwa suit za blue wangependeza
Happiness Misanga mwanaume akivaa suit ya pink means anaupendo sana
Bc wangevaa wtee dark bluee pink kwa wakaka haijapendza
Nice
Hongera sana na kila LA kheri ktk maisha
Mashaallah mashaallah
Dj na mc mmemuangusha mc plpl harus imepoa san bhn nyimbo inapigwa mwanz mwisho ai
Nakuunga mkono
Duuh kumbe palinoga hvyo uuwii kweli harusi ya taifa 🔥🔥🔥🔥
pendeza sana bibi harusi umepambwa simple adi raha 😍
Congrats
Mmependeza sana
Mungu awabariki sana
Jina la nyimbo ya kwanza please anayejua aniambie
Jomon mwenyew naitafta
Mashallah
ongela
bolauwenajikolako mapema
Mungu awasimamie jaman maana ndoa za mastaa kwakwel huwa zinamashaka
Ukweli
Congratulation
Mumependeza sanaa
Wow awesome congratulations mcpilipili
Nimeipenda hii
Bibi harusi katulia saana Hata Sio mcharukajii safii
Mmatisha kaka
looooh c kwa kupendeza huko Mr en Mrs Mc pilipilii hongeraa kwenu jmn
Masha Allah
Hongera sana kaka
Wamependeza sana
Tanzania kuna wasichana wazuri jamani. Angalia hiyo listi ya wadada, Wasimamizi walivyo wazuri.
Umeona hee este Kwanza uchumba wa muda mrefu wanasemaga si mzur Mala nyingi unavunjika kama unajuwa huitaji kuowa Sasa ni bola usubili kuliko kukimbilia kutowa baruwa halafu kimya
Jaman kumbe mke wa pili pili mzur
Ya wasimamiz ndio usiseme huwaga wanakuwaga wazur
Halafu wamefanana
Umeona ee
Congrats😍💞
Nzuri sana
Mc pilipil umetisha