I left Islam for Christianity. Tulipitia wajati mgumu na familia yetu, ila baada ya kumkubali Yesu kuwa mwokozi wa maisha yangu, milango ilifunguka. Am now a Civil Engineer na Yesu anaishi ndani mwangu. Hii nyimbo imenibariki.
Kiukweli, huwa sipendi muziki wa taarab. Lakini kwa kazi hii uliyoifanya, nakupa kongole sana mate. Bwana Yesu akubariki kwa utume mwema, injili iwafikie wote.👏🏾👏🏾👏🏾
More More please muziki wa gospel ukuwe wa kila aina. Kila sector tuingie na kuiteka kabisa kabisa. Rnb, reggae, taarab, jams, afrobeat, worship nk. Kazi njema 👏👏👏👏👏👏👏👏
September 2024, curtesy of my ex,,,,,,,she made me like taarab😍🥰
Nalipenda ziki sijifaii 💯
Bravo bro.My favourite song.keep on going.
Amen mtumshi Ubarikiwe sana nyimbo Yako inaujumbe mzuri🙏.
Safi sana kijana wangu, ubarikiwe daima.
Barikiwa tunapaswa kumwimbia Yesu Kristo pekee❤
hongera kakaangu unakipaji kikubwa sana pambana yani nimeipenda Mungu akuinue zaidi na zaidi
Hongera sn my broo kazi iko poa sn
Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi
Hiiii Imeenda Sana kazi Nzuri 🔥
Hongera uko vizuri sana
Hii ndiyo namna ya kumtukuza mungu kwa kila mafunuo
Hii Kali sana hongera sana
Safi kaka nimekubali
Kazi nzuri sana
Wow
Eeeeee niacha niimbe nimuimbia Yesu
I left Islam for Christianity. Tulipitia wajati mgumu na familia yetu, ila baada ya kumkubali Yesu kuwa mwokozi wa maisha yangu, milango ilifunguka. Am now a Civil Engineer na Yesu anaishi ndani mwangu. Hii nyimbo imenibariki.
Amen amen...
Safi sana Alen nimekucheki
Napenda hii miondoko Kama muimbaji wa injili nafuraiya hii kazi
Ngoma nzuri
Kiukweli, huwa sipendi muziki wa taarab. Lakini kwa kazi hii uliyoifanya, nakupa kongole sana mate. Bwana Yesu akubariki kwa utume mwema, injili iwafikie wote.👏🏾👏🏾👏🏾
Amina amina kaka
Ujumbe mzuri Sana,. Mungu akubariki
Kazi Nzuri Sana
Good
Hongera mtumish
Hahahaa safi sana kijana
Hongera sana. .
Mungu akubariki Sana MTU wa Baba
Barikiwa sana kwa wimbo mzuri sana
Barikiwa Sanaa mtumishi
Safi sana boss
Mtumish Ubarikiwe sana mtu wa Mungu huduma yako ninjema sana nyimo nzuri sana asingetupenda yeye tungekua wapi utukufu kwake niache niimbe good song
Amen kaz nzur kaka nice 👍
Songa mbele ubarikiwe
Uko vzuriii
Yes umetulia bna atuangalii uko kwa style gani bna Muhimu kumshukuru Mungu kwa alipotutoa
Kazaaaaaa umetishaaaaa umenifanya nisikie rahaaaaaaaaaaa. Mimi naomba misong kama hiii baba yaani wachatuongezeeee mipower ya kutungaaaaa hahahhhaahahah Usirudi nyumaaa kazaaaa watatuelewaga mbeleeeee
Asante sana
Woooow! Ujumbe mzuri sana Mungu akuinue zaidi
Niachani imbe💃💃
Atasitiri nampenda YESU.Wau wimbo mzuri mwanangu.Kutoka Ugerumani.Narudia kuusikiza
Yes hakuna mwingine ni Yesu pekee
Wimbo umeweza,safi Sana.
Kazinzuri sana
Ubarikiweeeee
Asante sana dada Veronica
Tumeirudia tena bado haijachuja...very hot 🔥🔥💪
Wallahi nimeipenda sana
Wow! So lovely
Hallelujah kwa Yesu
Hongera sana❤
Nimebarikiwa sana na huu wimbo
Safi sana
Njema sana
Ubarkiwe mwana wa Mungu
Consistency, hongera sana rafiki
Asante sana kaka.
mwimba taaribu mvaa tai Mzee atm
More More please muziki wa gospel ukuwe wa kila aina. Kila sector tuingie na kuiteka kabisa kabisa. Rnb, reggae, taarab, jams, afrobeat, worship nk. Kazi njema 👏👏👏👏👏👏👏👏
Nice video
BARIKIWA mutumishi
Taarab inahuuu
uko vizuri bro,big up sana
Barikiwa
wimbo huu jamani nitaarabu
Kwan taarab sio wimbó
Hii ya moto brother! Mungu akutie nguvu uendeleee hadi kileleni.
Nice song my Brother Allan
Taarabu mrua kwa sifa na utukufu wa Mungu
barikiwa sana
BARIKIWA SANA
Asante
Niacheni niimbe.. woow..🔥
Wimbo nzuri
Mungu akuinue dogo
Jamn walimu wangu mungu awabariki
Uko poa sn my brother
Safi bro
Hongera Sana Mr Allen.
Uko sawa
Yeye ananipenda,,,kwangu yeye Ni Rafiki 🙏🙏❤️
Ubarikiwe
Niacheni niimbe
Kazi kuntu! Mungu akujalie na akunehemeshe.
Amina
Need more of taarab gospel songs.So refreshing!
0766666027 whatsapp me.
Nakubali uwezo 🔥
Asante dogo.nisaidie kushare🤣
May Almighty God bless you Mr ATM
Hongera Mr ATM
Asante sana Ndgu yangu
Kundi toka wapi hili ❤❤❤
Uko vizuri sana
Safi bro Mungu akuinue kwa kazi nzuri
Wimbo ni nzuri ila mauno jamani mh!
Keep going
Dhahabu
Safi
Jamani naombeni huu wimbo upewe tuzo maana ni 🔥🔥🔥🔥🔥
nice song
Big up bro
Mkuryaaa
@allenmlelwa7950 Can I get a beat and permission to this song in my church? I love it and want to present to my church in Dallas Texas
Nice gospel 🙏👌 taarab❤️💯 love it
Broo.... yo killin us.
Nice job👏👏👏👏👏👏👏👏👏
ooohhh my god
ASANte Yesu kwa wimbo huu . 🔥🔥🔥
Waaooh
ATM .... nice
Duro
remain only two person
Nice